kisima Susana Official Audio

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @Director_Kitindi_Complete
    @Director_Kitindi_Complete 9 месяцев назад +3

    Kisima wewe Ni Msanii Namba Moja Duniani kwenye Asili Mimi Ndio Nasema Sasa❤❤🔥🔥🔥

  • @busungu_tv
    @busungu_tv 9 месяцев назад +7

    Nipo Kariakoo DSM, Kazi nzuri, nyimbo zako zinanifariji sana najiona nipo usukumani yaani nimefungulia sauti ya juu sana wakwele wanashangaa tu naenjoy sana najivunia kuwa msukuma pia najivunia sana fahari yangu, jembe langu, nyundo yangu ya kweli KISIMA MAJABLA#KIZAZI OG CHA KISUKUMA
    Achana na mambo ya majungu na manyimbo ya nyama mara harusi achana nayo wewe ni mtu msomi mwenye kutunga mashairi nyimbo ikaimbwa vzr na kusikilizwa bila kuchokaaaa
    Nasemajeeeeeeeeewe
    Bado hawajasemaaaaaaa yaaan hapo baaado yaaan bado

    • @JaphetSimon1
      @JaphetSimon1 9 месяцев назад +2

      Me mwenyewe nipo Tanga nisha Turn On Notification yaani akipost tu tayari ninayoooooo😂😂😂😂😂 Ila Kisima hakika tumepata Jembe la nyimbo za Kisukuma KWELI KWELI🙌🙌🙌

  • @johnkilogeja7296
    @johnkilogeja7296 9 месяцев назад +2

    kisima nakukubali sana kaka mkubwa kazi tumeipokea vzr sana katoro 💥💥💥💥 karbu nyama choma kwa mama nasoro

  • @MayengDulu
    @MayengDulu 9 месяцев назад +3

    Kazi nzuli ya Susana Iko sawa

  • @stansilausmakungu
    @stansilausmakungu 9 месяцев назад +2

    Nipo arusha 🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChristinaSami-dj5ej
    @ChristinaSami-dj5ej 9 месяцев назад +2

    Hongera sana 🎉🎉🎉

  • @busungu_tv
    @busungu_tv 9 месяцев назад +4

    Daaaah!!! KISIMA hakika wewe i kizazi OG kilichobaki kwa vijana wa kisukuma

  • @kubedeus5638
    @kubedeus5638 9 месяцев назад +2

    hakika utabaki kuwa mfano this is because of your thinking capacity bro your so good kisima bravo

  • @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx
    @JumamgemamatogoloMatogol-de8gx 9 месяцев назад +3

    Umeliwasha tena moto 🔥🔥🎥 ni ule ule 💪🏼

  • @petermakoye8828
    @petermakoye8828 9 месяцев назад +3

    You're unstoppable keep moving Mr Kisima the Great from Sukumaland

  • @MussaLutubija
    @MussaLutubija 9 месяцев назад +2

    Kisima nyimbo zako zina ujumbe wa kweli endelea kutililisha nyimbo tukopamoja nawe

  • @bigtimetz
    @bigtimetz 9 месяцев назад +3

    Dj kutoka manzese msambazaji wa nyimbo za asili tayar kashaziona kazi mpya anazo anapiga kazi🔥🔥

  • @JEREMIAHLUSANIKA
    @JEREMIAHLUSANIKA 9 месяцев назад +5

    🔥🔥🔥

  • @MayungaLupama
    @MayungaLupama 9 месяцев назад +3

    Kazi nzuri bro

  • @manambavideoproduction8394
    @manambavideoproduction8394 9 месяцев назад +4

    Salamiti tumefikiwa na susana maua yetu tafadhari🎉🎉🎉

  • @GeorgeRichad
    @GeorgeRichad 9 месяцев назад +2

    Niko majimoto ujumbe mzur nabiti Kar kutoka kwa IMA zebro hakika ukovzur kisima mngu akupe Maisha marefu

  • @maduhumanyangu1544
    @maduhumanyangu1544 9 месяцев назад +3

    Music Producer Selee Tz
    nikiwa Biharamulo..Nishazipata Kazi za mwamba.

  • @Boniphacehachili
    @Boniphacehachili 9 месяцев назад +3

    Nasikilza nyimbo zako kk kutoka DSM noma san

  • @ThobiasBarnaba-fs6pv
    @ThobiasBarnaba-fs6pv 9 месяцев назад +1

    Bigapu sana bro good job

  • @DanielDaniel-gx2ou
    @DanielDaniel-gx2ou 9 месяцев назад +3

    Kaka big up 🎉🎉🎉🎉

  • @leticiachares727
    @leticiachares727 9 месяцев назад +3

    Bigeup sana

  • @mahungujulius1788
    @mahungujulius1788 9 месяцев назад +1

    Congratulations to you ma Best Friend,God bless you

  • @ibrahimbaraka5262
    @ibrahimbaraka5262 9 месяцев назад +3

    We KISIMA umepigaje hp❤❤❤🎉🎉

  • @ramadhankwilasa2371
    @ramadhankwilasa2371 9 месяцев назад +2

    Kazi ya uhakika kutoka kwa kijana mpambanaji kisima kijana wa bariadi simiyu

  • @ntuzuboy7342
    @ntuzuboy7342 9 месяцев назад +1

    Brother hujawahi kifeli🎉

  • @KijaMaduhu-bs4kr
    @KijaMaduhu-bs4kr 9 месяцев назад +3

    KISIMA usiwape nafac hata kidogo wenyew majung pga kaz hahahaha unanifrahisha sana ase daah

  • @PauKija-q5k
    @PauKija-q5k 8 месяцев назад +2

    Kaka big up

  • @ManotiMabanza
    @ManotiMabanza 9 месяцев назад +1

    Ifakara. Town. Moro. Lejea. Kisima. Mbenja. Mikochi. Madaba daba. Pesa. Top🙏

  • @HappnesiMaziku
    @HappnesiMaziku 9 месяцев назад +1

    Digidigi❤🎉

  • @ramadhankwilasa2371
    @ramadhankwilasa2371 9 месяцев назад +1

    Mbunge wa itilima hana baya na mtu hakika ni big bos nakumbuka vizuri mno 2015 kipindi hicho ndo unahagaika mara madensa wote wakukimbie tu

  • @masukamusicsoundtz2394
    @masukamusicsoundtz2394 9 месяцев назад +1

    Big up

  • @Kilasmndewa
    @Kilasmndewa 9 месяцев назад +2

    🔥🔥

  • @Mr.EyanTz
    @Mr.EyanTz 9 месяцев назад +1

    No one like you kisima

  • @masukamusicsoundtz2394
    @masukamusicsoundtz2394 Месяц назад +1

    Good

  • @MpembaJulius
    @MpembaJulius 8 месяцев назад +1

    nakwel hatamm sinalakusemajuuyahuyu makenyimbozake hazinamfano

  • @yohanatitus7622
    @yohanatitus7622 9 месяцев назад +1

    👏👏👏

  • @ndeteleleoizdory2292
    @ndeteleleoizdory2292 9 месяцев назад +2

    ❤❤

  • @Mr.EyanTz
    @Mr.EyanTz 9 месяцев назад +1

    Kisima hakuna kama wewe

  • @masungasayi3298
    @masungasayi3298 9 месяцев назад +3

    🌿🌱🌷🥀🌹🌴🍀👍

  • @MpembaJulius
    @MpembaJulius 8 месяцев назад +1

    By kisimahakunamfano

  • @HassanWilson-f7q
    @HassanWilson-f7q 2 месяца назад +2

    ❤❤❤