Nakumbuka mwaka1/01/ 1996 tuliingia nao kanisani maandamano ya Kipaimara. Tangu siku hiyo mpaka leo nabarikiwa. Asanteni sana kwa kuimba vizuri. Nikifika nitaimba umeniponya. Jitahidini tukutane Kwa Baba Mbinguni.
Namkumbuka Bibi yangu Ridhikieli Kisaka Mmbaga! Alikuwa anaupenda sana wimbo huu, na Hata siku ya Msiba wake na Matanga, niliongoza Tarumbeta kuimwimbia wimbo huu!!!
Wimbo mzuri umeimbwa na kwaya nzuri katika ubora wa hali ya juu.....amazing one.. Mungu awabariki ktk huduma yenu na akaikumbuke sadaka yenu ya kujitoa kumuimbia
I’m teary listening to you brothers and sisters in christ ❤reminds of all my loved 🥰 ones who have passed on 🕊️💔🕯️💐☦️Proudly Lutheran from Springs South Africa 🇿🇦Love ❤you guys ✨
Huyu alieimba kwa sauti ya nne ni nzuri marekebisho kidogo tu kwake inakaa vizuri kabisa. Msikosoe sana kuimba ni kipaji jamani MUNGU AWATIE NGUVU MKO VIZURI
Nashauri huu wimbo utengenezewe notes zitakazotumika kama notes mbadala wa notes za awali. Waabuduo wanaweza amua chagua notes yeyote kati ya hizo 2. Kwa mara nyingine KKKT Msewe mbarikiwe 🙏🙏🙏
Sisi ni akina nani hata tusimsifu Mungu ? Hongereni @ Msewe, Salaam Nyingi zimfikie Bibi Gelege, Mama Mchogole yule aliyejitambulisha kama Jeshi la Mtu mmoja, Yule Binti (Mary The Soloist) Sauti ya 1,2,3,4 Walimu na washarika wote,
Nakumbuka mwaka1/01/ 1996 tuliingia nao kanisani maandamano ya Kipaimara. Tangu siku hiyo mpaka leo nabarikiwa. Asanteni sana kwa kuimba vizuri. Nikifika nitaimba umeniponya.
Jitahidini tukutane Kwa Baba Mbinguni.
Hakika kweli wimbo huu unanibariki sana. Hasa nikiuimba kwa kinyumbani kisambaa..Huwa najiona hivihivi naingia mbinguni....
Wako vizuri mno
Amen
Amen, utukufu ni kwa MUNGU
Niimbia kidogo wandee naimi nitamiwe.
Natamani tupate version ya kisambaa
Namkumbuka Bibi yangu Ridhikieli Kisaka Mmbaga! Alikuwa anaupenda sana wimbo huu, na Hata siku ya Msiba wake na Matanga, niliongoza Tarumbeta kuimwimbia wimbo huu!!!
Najiona jmn ooh hallelujah
Wimbo bora kabisa kabisa kwangu
Glory to God Almighty 🙌🕯️✨Lovely Lutherans 👌
Mungu azidi sana kuwabariki wote kwa uimbaji uliotukuka.Hongereni sana.pia mpiga kinanda uko vizuri sana umeutendea haki wimbo!!
Amen. asante sana
Uwezo mzuri wa kutawala jukwaa hapo kuna ambao baada ya kugeuka awamwangalii mwl kz njema mno
Winbo unanibariki sana najhisi kububujikwa na machozi nikikumbuka siku alipotwariwa baba mzazi kuondoka ulimwengu huu kuingia ulimwengu mwingine
Amina.
Asanteni sana na Mungu wetu Wa Utatu azidi kuwabariki na sauti nzuri za kumsifu
Mi nawakubari sana karibu tabata shule
Amen Tutakaribia
Wimbo mtamu mno,huyo Jamaa mnene anaeimba sauti ya tatu amekusanya point nyingi Sana!.Barikiwa!
😂😂😂 asante jina la bwana libarikiwe
@@joelsamwel2580 umeimba vzr Sana Bro,muziki unataka watu wanaojua kuzifumania noten!
@@brysonkaale3003 asante sana sana
🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️
😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
napenda sana huwa najikia niko ulimwengu mwingine♥️♥️♥️ naipenda imani yangu ya Kikristo
Kwa kweli nahisi roho wa Mungu yupo mahali hapa. Hakika Mungu awape baraka zake kuu. Mmenipeleka mbali sana kihisia!
Amen
Barikiweni zaidi wana wa mungu ,hamna hofu wala mashaka jeshi la kristo yesu mfalme
Jitahidi kuweka herufi kubwa kwenye Mungu na Mungu ni vitu viwili tofauti na Yesu na yesu Kuna utofauti pia🙏samahani lakini ndivyo inavyotakiwa
❤❤safi mno mno, nimeusikiliza zaidi ya mara kumi
AMEN. Mungu akubariki
Wimbo mzuri umeimbwa na kwaya nzuri katika ubora wa hali ya juu.....amazing one..
Mungu awabariki ktk huduma yenu na akaikumbuke sadaka yenu ya kujitoa kumuimbia
Amen. asante sana
Mbarikiwe sana na MUNGU
Nakumbuka Sana hii kitu mungu awabariki Sana wstumishi wake
Hongera mmependeza na majoho mungu yupamoja nanyi
I’m teary listening to you brothers and sisters in christ ❤reminds of all my loved 🥰 ones who have passed on 🕊️💔🕯️💐☦️Proudly Lutheran from Springs South Africa 🇿🇦Love ❤you guys ✨
Wimbo uliojaa ujumbe mzito,,tutafakari sana maneno ya wimbo huu.
Huyu alieimba kwa sauti ya nne ni nzuri marekebisho kidogo tu kwake inakaa vizuri kabisa. Msikosoe sana kuimba ni kipaji jamani MUNGU AWATIE NGUVU MKO VIZURI
Ameeen Mungu awabariki sana wimbo mzuri sana
Mbarikiwe sana kwaya kuu msewe
Safiii sanaaa
Mungu awabariki sana
I love Lutheran Vibes. Missing it a lot.
Amen. You are welcome
@@msewelutheranchurchchoir where this church located in dar?
@@jimmyfrankie8301 UBUNGO MSEWE
Nyimbo nzuri naipenda nawish kuhudhuria ibada..MBARIKIWE WAIMBAJI WOTE
Wimbo mtamu,wapoza moyo,mbarikiwe sana watumishi wa Mungu.
Amen ubarikiwe kwa kuutazama
Ninataka kuingia mjini kwa mungu
Nimebarikiwa
Mbarikiwe Sana Mungu wetu anakaa katika Sifaa Jina lake ni kuu Sana
Amen
Jamaniii safi sana kwaya kuu
Amen
Whaaaooo. So good. I LIKE IT
amen
Jaman mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri 😘😘😘😘
Amen. ubarikiwe kwa kuutazama
Dah hallelujah 🙌
Joeli hana utani kabisa hakika mungu awatunze ila hyo sauti ya 3 ikiongozwa na joel huyo i think ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu awabariki kwa uimbaji huu mzuri sana.
Amen
Bwana asifiwe, naikumbuka bibi yangu aliimba huu wimbo halafu akakata roho😭
AMEN, pole sana, Mungu akupe faraja.
@@msewelutheranchurchchoir Asante sana mbalikiwe
Ooh pole Sana rafiki Mungu ni mwema Kila wakati.
Asante sana mko saf kabisa
Ameen! Asante sana.
Amazing, Bwana awabariki
Amen ubarikiwe pia kwa kutuunga mkono
I like it. Be blessed Msewe lutheran church
Amen
♥️♥️♥️♥️♥️
Amen alleluia...All glory be to the God Almighty....Amen.
Amen
Hongera sana kwaya kuu msewe mpo vizuri
Amen. Utukufu ni wake MUNGU
Nimebarikiwa Sana kwa wimbo huu na hata clip niliyoshare na marafiki wameguswa mno na kazi yenu Mungu awabariki sana Msewe KKKT
Asante sana rafiki yangu na kaka yangu ELIAPENDA.
utukufu ni kwa MUNGU, ubarikiwe sana
Waambie waendelee kutuunga mkono.
Amen natarajia mtakapozirekodi nyimbo hizi nitawashirikisha katika ununuzi wa flash bila shaka ili kuwasapoti
@@eliapendamwinuka4222 amen. zitakuwepo katika flash na platform zote za kwaya. mungu akubariki
Oooh thank you lord!!!!
Mbarikiwe sana
Amen ubarikiwe pia
Mungu awabariki sana KKKT Msewe 🙏🙏🙏
Amen Ubarikiwe pia
Nashauri huu wimbo utengenezewe notes zitakazotumika kama notes mbadala wa notes za awali. Waabuduo wanaweza amua chagua notes yeyote kati ya hizo 2. Kwa mara nyingine KKKT Msewe mbarikiwe 🙏🙏🙏
@@aaronswai3092 Amen 🙏
I'm Roman Catholic, Hii tenzi naipenda ajabu
Amen. Endelea kubarikiwa.
@@msewelutheranchurchchoir nibarikiwe PAMOJA nanyi ndugu zangu
Naombeni mtunzi na beti zake kwa wanaoufahamu jamani
Mbarikiwe
organist ❤🔥❤🔥
Amina.
Glory to God❤❤🎉
The organist wow
Amina.
Yesu Kristo awe nanyi wapendwa, mzidi kuitenda kazi yake, hata tukutane bandarini kule!!
Amen
Kkkt raha yangu
Good work
Thank you so much 😀
Mungu akutunze Kwa yote mwlm Theodory Kwa huduma hii
Thanks bro asante Lanes! Nyongise Hilo!
hii itanifanya hata mimi nijiunge kwaya kuu msewe sasa alafu mama lema external tukutane reformation
@@ignatusrogerslema8650 Hahahahahahaha! Umemaliza kila kituuu! Ignatius karibu sana MSEWE!!! 🤝🤝🤝🤝🙏
@@theodoryngwembele kk hongera kwa kazi nzuri yenye kugusa jamiii
@@atukuzwemwambopa7595 Asante sana Atukuzwe!! Mungu ametupa vipawa tuvitumie! Tunamshukuru sana kwa ajili yenu mnaotutia moyo kwa kazi hii.
AMEEN THANK YOU LORD
safi sana
Amen
may God bless you
Amen,
Ni kweli kabisaa
Amen
Mungu azidi kuwalinda na kuwainua mmeimba vizuri sana .
Amen. ubarikiwe
Hakika mmebarikiwa na bwana
Sisi ni akina nani hata tusimsifu Mungu ? Hongereni @ Msewe, Salaam Nyingi zimfikie Bibi Gelege, Mama Mchogole yule aliyejitambulisha kama Jeshi la Mtu mmoja, Yule Binti (Mary The Soloist) Sauti ya 1,2,3,4 Walimu na washarika wote,
Mungu akubariki. salamu zimefika na wewe unakaribishwa sana
Amen
tenor Iko poa
Hi ni kanisa ya wandosi
😢Naombeni mtunzi wa huu wimbo
Ni wimbo wa kitabuni TUMWABUDU MUNGU WETU
Daaaaaah yani Mmbarikiwe sana ,bila kumsahau organist ni mtu sana yan ,Je copy inapatikanaje?
Haleluyaaa
Amen
💥💥💥💥💥
Nice I like the song but were can I get the score 🎼🎼
Call this number
Hii kitu imetulia balaa! Nahisi kuingia MBINGUNI.
🔥🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwa MUNGU
Hakika Mwl na si wewe tu
Naliaga sana huu wimbo ukiimbwa, pale pa Yesu unisaidie looooo, pathetic. Mungu akubariki Kaka Theodory.
Mdogo wangu Lupyana! Mimi huo wimbo kila nikianza ku solo hivi nasikia kububujika chozi! Mungu aendelee kututunza kwa kazi yake.
Huu ndio utamadun wa kilutheri,tuitunze falsafa yetu katika uimbaji.
Amen Mungu atusaidie
Nimebarikiwa sana
Hakika mmebarikiwa na bwana