sio kina wengine wanaishi nyumba za kukodi na wanasema Wana mijengo mjini,,but watanzania onyesheni love Kwa huyu kijana naona CIO wengi mnampa support
hongera sana kili haya ndio mambo ya muhimu ukipata pesa kwanza jenga villa lako halafu mambo mengine ndio yafatie 😊👏🏽👏🏽 vijana tunaweza tukiamua..maisha ni mazuri pale unakwako na biashara zako 🥳
@@sangavilley2792 kwaiyo cha muhimu umeona gari kwanza ?we ni mzima kweli? private transport yako inakuja baada yakumaliza kwanza kujenga nyumba then biashara.. hiyo gari ukinunua kwanza halafu garama za service ya gari utazitoa wapi kama una kipato kinachoingiza pesa kwanza?
Mwenyezi mungu akulinde ww na uzao wako akuepushe na macho ya shali na husda Za walimwengu unyao wako ubalikiwe zaidi na zaidi na usimsahau mungu siku zote za maisha yako mungu akulinde kill Paul ww ni moja kati ya wengi ambao wanakuangalia how inspiring you are to young generations Hongera sna🙏🌟❤️ wish you endlessly successful life dear to you and your family...🔥📌
Mawazo yenu kina Fatma bhana mtu akianza ujenzi tu mnakimbilia aoe kuna mengine yakufanya kabla ya ndoa ndo maana Africa sisi tunashindwa kuinuka kiuchumi kwa mawazo madogo ya kufanikisha Jambo moja bila kufikilia kwamba kuna mengine yakuboresha Ili kujiimarisha zaidi.
Na anaaakili pia sio nimepata pesa basi nijionyeshe kuja kukaa dar najenga kwetu na nitakaa kwetu ndo kuliponitoa dar nitakuja kutembea asante broo kili
@@ameenaameena1224 Wengi Wetu Tunamiin ivyo ukiishi dar Ama ukijenga dar Ndio Upo Tanzania Yni Watu Wengi wanaamiin Kuwa dar Sio mkoa kumbe Ni mkoa kma vile mingine Ila Mtu Ajioni Yupo Tanzania et Mpka ambie na yye Ypo dar Ama anakaa dar Tna Mtu Anaringa Anakuona wewe Mshamba Utasema Anaishi Paris ufaransa kumbe upumbavu mtupu Sbbu anaishi Dar shuwaiin Sna hawa. Yni Watu wamekaririshwa Ujinga na Ulimbuken Mtu akienda Tu miez 3 Akirudi Kwao Kijijin et Kasahau kilugha Cha Nyumban kwaoo Yni yananikeraga sna
Furahia mafanikio y mwenzio ili nawe ubarikiwe,hongera kilipo unakili sana MwenyeziMungu akutangulie raha baadaye baada y kuweka mambo sawa nyumbani mashaAllah
alipangalo Mungu mwanadamu hawezi pangua,daaa! mama yake angekuw hai ale matunda ya mwanae,baba nae ndo mgonjwa ,mgonjwa ,ila sifa na utukufu ni kwa Mungu ,safi sana kijana ,Mungu aendelee kukusimamia
Hello killing and neema wishing you both best luck in the future .keep lips singing dancing 🎶 you'll be successful happiness in your life. I'm from Greece 🇬🇷 creta
This is a diffferent trend i appreciate the talent of u both and do as u did first traditional type and ur facial appearence surround and dresses made u famous this much keep all same never make up everybody like it keep doing similar way good luck young guys this is how should happen
Ongera sana kaka yetu kwakazi mzuri unayofanya mungu hakutangulie kwakila hatuwa na kwakila jambo tupo pamoja nawe na tunazidi kukuombea Mungu hakulinde na hakupe Afya njema Amii🙏🙏🙏👌👌❤️❤️
Ni kweli Leo tunaona haya kesho atazuka star ⭐ ataleta kiki zake na kumfanya asionekane roho mbaya haijengi lakini Bora hivihivi asivume maana ivumayo haidumu
Dah najisikia Amani sana napo muona kijana wa kike au kiume anapambana kwajili ya heshima ya nyumbani kwao ...Mungu akufanikishe zaidi kill unazidi kutuinspaire wengine kwa vitendo
Unajua why labda kaulizwa maswari ambayo hapo watu wasikie labda mpaka hapo ushatumia gharama kiasi gani,au ihi nyumba mpaka inaisha itatumia kiasi gani,mchanganua wa vyumba n.k
Huyu Hafek maisha hapa anaonekana kweli anajenga sio wale anaingia Leo jukwaani kesho anaonekana yupo kwenue mjengo mkali na kujidai kajenga au kanunua kumbe ni fek life
Wakati wa Mungu ni wakati sahihi sana 🙏🏻😍
Watu tusio na Roho za Kukunja tunaopendezwa na Jitihada za Mwamba huyu Mpambanaji kutoka 🇹🇿 , Tujuane Kwa Likes💪💪
👌👌👌👌🥰🥰
Mm nampenda kupita kiac Ana mfano mzur wa kuigwa
sio kina wengine wanaishi nyumba za kukodi na wanasema Wana mijengo mjini,,but watanzania onyesheni love Kwa huyu kijana naona CIO wengi mnampa support
Mungu amujarie kabisa kaxi nzuri
Maisha ni kuchagua ,mtu kama kakodi analipa makaratasi kukodi? Tuheshimu maisha ya kila mtu...unafkri kukodi rahisi?😂
Kwan we hujui watu wa nchi hii na viongozi wetu.subir azid kufika juu kila mtu atajileta na kujifanya ndo anamsaidia ila saiv kama hawamuoni
Wanawivu tu ila wengine tumiombee
Kabisaa sisi watanzania tulio weng tunaroho mbaya sana
Huyuu hapa kaaka najua wanampotezea hawa MA ster wetu but siku ikifika mbona wanampa HESHIMA ZAKE big up bro kwa kuthamini kwenu
Umeona Eeeh wabongo walimzarau sana wahindi mungu awabariki sana kwa huyu kijana na dadake ni mayatima
kwa sasa master wabongo wamesha chelewa hawana uwezo wakumlipa
Wow Mungu apewe sifa Oo Lord who is like you?? Congratulations Killy Paul
Simulizi na satu are amazing team..walimfatilia hadi tukamjua..hongera sana hiyo team ya sns
Sana maana media zingine wala hawalioni hilo wanachokiona wao ni umbea tu wa Mwijaku na Juma lokole😂
Wow congrats mate you and your sister are an example for youths of the world.
Continue with your project.
Love from london
Ongera sana kili unaakili sana mungu azidi kukutangulia
hongera sana kili haya ndio mambo ya muhimu ukipata pesa kwanza jenga villa lako halafu mambo mengine ndio yafatie 😊👏🏽👏🏽 vijana tunaweza tukiamua..maisha ni mazuri pale unakwako na biashara zako 🥳
Kbs. Mjengo kwanza 🤝
Kabisa pakulala muhimu
Gar kwanza
@@sangavilley2792 kwaiyo cha muhimu umeona gari kwanza ?we ni mzima kweli?
private transport yako inakuja baada yakumaliza kwanza kujenga nyumba then biashara.. hiyo gari ukinunua kwanza halafu garama za service ya gari utazitoa wapi kama una kipato kinachoingiza pesa kwanza?
MASHALLAH
Nadhani hela ya Bongo ilikata, hongera sana Kili, hii ndio maana ya humble beginnings.
Akili kubwa Mashaa Allah
Kila familia kuna yule mtu lazima atamaliza umaskini mungu azidishie
Nimeipenda hio comment katika family yetu najiona mim ira kwasasa wazazi wananiona kama siko sawa ira badae watakuja kula matundayangu mungu aki bless
Nimeamini Walahi Tena 🤲🤲🤲💪
@@thisboyisgreat Hata mmi pia namuombaga muntu kika kukicha abariki Kazi ya mikono yangu ili na mimi niinuw familia yetu,na Nina imani
Comment yako nzuri Sana nimeipenda
Point
Mwenyezi mungu akulinde ww na uzao wako akuepushe na macho ya shali na husda Za walimwengu
unyao wako ubalikiwe zaidi na zaidi na usimsahau mungu siku zote za maisha yako mungu akulinde kill Paul ww ni moja kati ya wengi ambao wanakuangalia how inspiring you are to young generations Hongera sna🙏🌟❤️ wish you endlessly successful life dear to you and your family...🔥📌
Mungu azidi kukufungulia njia kili
Kili mungu awabariki na ndugu yako, umefanya kitu cha maana sana, sasa uoe upate kizazi chema kwa uwezo wa mungu, Amin
Amin amin ila kuowa bado san 🥰🙏
Ili mke ampangie nini cha kufanya
@@kwisa4899 ha 🤣
Mawazo yenu kina Fatma bhana mtu akianza ujenzi tu mnakimbilia aoe kuna mengine yakufanya kabla ya ndoa ndo maana Africa sisi tunashindwa kuinuka kiuchumi kwa mawazo madogo ya kufanikisha Jambo moja bila kufikilia kwamba kuna mengine yakuboresha Ili kujiimarisha zaidi.
@@RobbyDejan1234 Mbona si wazo baya sikusema akafanye uhuni, kulewa.....kama alivyopata nyumba na mengine yatafuata tu
Na anaaakili pia sio nimepata pesa basi nijionyeshe kuja kukaa dar najenga kwetu na nitakaa kwetu ndo kuliponitoa dar nitakuja kutembea asante broo kili
Wengi Wetu Tunaona Ndio Sehemu sahihi pia Ndio Tunaona tukijenga dar tunajiona Tupo Tanzania Atupo Mikoan
Wakat kumbe Dar Ni mkoa kma mikoa mingine tu
Kwani eti naombeni kuuliza kwani kwao ni Wapi yn ni kigambon au
@@ayshamisanya9228 chalize
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 mwaaaaaa kipenzi umenipa nguvu umeongea pointi mno nimependa
@@ameenaameena1224 Wengi Wetu Tunamiin ivyo ukiishi dar Ama ukijenga dar Ndio Upo Tanzania Yni Watu Wengi wanaamiin Kuwa dar Sio mkoa kumbe Ni mkoa kma vile mingine Ila Mtu Ajioni Yupo Tanzania et Mpka ambie na yye Ypo dar Ama anakaa dar Tna Mtu Anaringa Anakuona wewe Mshamba Utasema Anaishi Paris ufaransa kumbe upumbavu mtupu Sbbu anaishi Dar shuwaiin Sna hawa. Yni Watu wamekaririshwa Ujinga na Ulimbuken Mtu akienda Tu miez 3 Akirudi Kwao Kijijin et Kasahau kilugha Cha Nyumban kwaoo Yni yananikeraga sna
Furahia mafanikio y mwenzio ili nawe ubarikiwe,hongera kilipo unakili sana MwenyeziMungu akutangulie raha baadaye baada y kuweka mambo sawa nyumbani mashaAllah
Kabisa
TabarakaAllah ✌️ ubarikiwe na ziyada unastahili kilakheriii kwa kujituma ufurahike na wazazi wako Aameen 🤲
I real appreciate you man may almighty God direct your path 🤗🤗
Happy Birthday Killi , May God blessing cover you n protect you. May you stay humble and be very successful .
Kijana mwerevu sana. Sijuwi alienda tena india ama vipi wenzangu mnijibu. Kiswahili chake kisafi huthani masai kigereza kisafi. Mola akubariki
Kaenda na hapo ndo kasharudi uko wapi ww angali post za nyuma sns utaona
Shukran kunifahamisha
Sina habari zake siku nyingi
Big up sana #Killi.....way to go champ!! It's always great to see positives impact to what you love!!
Hard & smart work pays of
Woow! Hongera sana kwa hatua hii. Mungu azidi kukuinua.
alipangalo Mungu mwanadamu hawezi pangua,daaa! mama yake angekuw hai ale matunda ya mwanae,baba nae ndo mgonjwa ,mgonjwa ,ila sifa na utukufu ni kwa Mungu ,safi sana kijana ,Mungu aendelee kukusimamia
Masha allah congratulations bro 👏👏🔥
Ila Kili unaakili sana mashallah, wengine wangekusanya mashost walewe mwisho wa mwez hana ata ya kulipa kodi
Hello killing and neema wishing you both best luck in the future .keep lips singing dancing 🎶 you'll be successful happiness in your life. I'm from Greece 🇬🇷 creta
Kheee🤔kili kapiga hatua jmn mashaallah kweli bana Allah ananjiazake zakumpa mtu rizki mashaallah hongera kili umepiga hatua kubwa mno🌷🌷👌👌👌👌
Uyu anaakili adi raha jamani
Congratulations to both of you u to are Amazing 👏 ❤️ 💖
Love from India . Jai Hind ✌️
Congratulations bro mwenyezi Mungu azidi kusimamia kazi yao am happy for you 👏👏👏👏👏
Hongera sana kili .... One love. 🇰🇪
Maa Shaa Allah... Hongera sana Kijana Mungu Akubariki zaidi na zaidi
Congratulations killi.god bless you dream 😘🤲🤲🤲
Heshima nyumban kili hongera sana kijana Allah Akusmamie kila hatua 🙏
This is a diffferent trend i appreciate the talent of u both and do as u did first traditional type and ur facial appearence surround and dresses made u famous this much keep all same never make up everybody like it keep doing similar way good luck young guys this is how should happen
Hapo umeweza sasa..hongera sana.
Ongera sana kaka yetu kwakazi mzuri unayofanya mungu hakutangulie kwakila hatuwa na kwakila jambo tupo pamoja nawe na tunazidi kukuombea Mungu hakulinde na hakupe Afya njema Amii🙏🙏🙏👌👌❤️❤️
Ni kweli Leo tunaona haya kesho atazuka star ⭐ ataleta kiki zake na kumfanya asionekane roho mbaya haijengi lakini Bora hivihivi asivume maana ivumayo haidumu
Media za bongo ziko kimya kama hamna kinachoendelea yani bongo tuna roho mbaya sana😏hongera kaka mungu akuzidishie zaidi ya hapo🙏🏻🥰
Hongera Mungu atakupa zaidi ya hivyo.
God bless you Kili. Tunangojea update nyumba ikiwa tayari. Story yako ina tufurahisha sana. 😍😍
Mashallah tabarak alrahmaan. Sasa imebaki kuoa njo unipose mimi 😊
Ma shàa Allah nakupa hongera sana kiil poo Kwa jitihada zako kaka
MashaAllah hongera sana na M.Mungu atazidi kukuinua ktk mambo yako🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Hongera sana ss watanzania tuko na wewe 👍
Mashaa Allah...huyu kijana ana akili...M.Mungu amzidishie
Masha Allah killy mungu azidi kukusimamia🙏🙏
Haya mlodai ananunua magari tu habadilishi kwao mpangieno tena nn chakufanya baada yahii nyumba
Ubarikiwe sana Killy
Mungu azidi kukufungulia mibaraka zaidi
Excellent 👌👌 mam may almighty God be with you 🤝
Big up sana SNS for your updates
Dah najisikia Amani sana napo muona kijana wa kike au kiume anapambana kwajili ya heshima ya nyumbani kwao ...Mungu akufanikishe zaidi kill unazidi kutuinspaire wengine kwa vitendo
Wow bro beautiful house God bless you and wishing you have a happy family 💕 from India
Dahh mchizi simu tu , hongera yake kwakwel..
So far mitandao inalipa kuliko biashara yoyote watu wametengeneza mabilioni ya pesa kwa mitandao aisee
@@fahadfaraj6474 bwanaweeee yaani acha tu
Wewe simu unapigia udaku na umbea halafu unakaa nyumba ya kukodi choo cha kushare na bafu la kupanga foleni mamae 🤮🤮
@@kabwelasutiviraka4765 aah ndo ivyo kumbe
Mashaallah bro mungu akuzidishie hapo na penginepo🙏
Akili kama hizi zinahitaji pongezi, Hongera sana kijana
Сынок пуст Аллах блогославит вас, дай Бог чтобы скором будешим отмечали с родным НОВОСЕЛЬЕ.❤ с любовью узбечка из России.
Mashallah Mungu hamtupi mja wake
Keep it up bro, Wabongo sio kwamba hatupend kusaport ni wivu tuu ndio unatusumbua
Aloha Hau'oli la hanau (happy birthday 🎂 much love from Hawai'i
Blessings always
Cacike Anacaona
Honger sana mungu hajawahi kukuacha.
Hongera sana mungu akubariki ,lakin Fundi mshaurini aweke madirisha msifuate anavyotaka yeye tu, unaweza kumpa Ushauri akikataa basi.🙏🙏🙏🙏
VERY GOOD YOUR HOUSE KILI . GOD BLESS U. BHASWATY FROM INDIA IN KOLKATA
Kujenga kijijini sio mchezo big up to u bro MUNGU akuzidishie
kwani Kuna utofaut wa nini mpaka useme kujenga kjijin ni kazi
Wakwanza leo🥰
Asanteni kwa kutuwekea interview ya sound track 😅😅😅
Wamejisahau 🤣
@@lakasid3860 editor kachemsha
@@lakasid3860 huu ni uzembe sns ni kubwa haitakiwi kuwa hivi
@@kiatu yeah
Unajua why labda kaulizwa maswari ambayo hapo watu wasikie labda mpaka hapo ushatumia gharama kiasi gani,au ihi nyumba mpaka inaisha itatumia kiasi gani,mchanganua wa vyumba n.k
MashaAllah Allah akakufanyie wepesi kwa kila jambo lako🤲
Ongera san kili wetu mungu akutangulie na upate mke mwema
Wanaojua kutumia mtandao vzr.... ❤️❤️❤️❤️🔥
Big up Kili. Daah nimependa saaaaaaana kazi yako
Wow Kili ur Home..🏘️🏝️👌🌟
Mungu akubariki mtani🎉🎉🎉🎉
Mashaa Allah..Allah hamtupi mja wake.
Yes. കൊള്ളാം. Good. Job. Bro,,,,,,,
Upo vzr kaka pambana mungu yupo nawe
Hadi raha ongera sana Kaka tunakutakia kila la khei katika shughuli zako.
Sasa nyumba aina msingi kili Paul but so nice and beautiful
Hii blog imemtangaza San killy big up
Kweli nimeamini mitandao ukiitumia vizuri inakupa faida hongera sana kill
Mashallah ❤️❤️❤️👌👌
Mungu akutangulie kwa kila hatua, Congratulations 🤝
Mashaa Allah
The guy is talented Hadi akili ya maisha🙌🙌🙌🙌🙌💵💵💵💵🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏
👍god bless you and your family
Shukran Kwa kutuwakiliaha Bombey mmasai wetu sio mtu unavaa kimasai unaimba kwaya🤣🤣⭐🤣⭐
Haya wenye wivu wajinyonge jamani😝congrats bro👌
Mungu azidi kukulinda ili ukawe nuru angavu na fundisho kwa wengine,ukaishi maisha ya kumpendeza Mungu kill
God's time is the best time! Hongera sana bro kili, big 👆
Yes amazing good job
Kumbe na mimi naweza nikaanza kununua gari kabla ya kujenga nyumba. InshaAllAh!
Hahahaha
Hongera sana bro una akili tunakupenda sana
Hapo sawa mwanangu 🤣🤣 nimekubali
Good job... May God be with you all the way.
Mungu akusimamia kabisa ishaallah hadi laha kabisa 🤗🤗🤗🤗😚☺🤝🤝🤝🤩😍🤲🤲🤲🤲🤲🙏
Mashaallah safi sana yaan adi raha
Huyu Hafek maisha hapa anaonekana kweli anajenga sio wale anaingia Leo jukwaani kesho anaonekana yupo kwenue mjengo mkali na kujidai kajenga au kanunua kumbe ni fek life
Congratulations 💯 Kwanza starehe baadae 🤛🤛