Lyrics Asante Mungu wangu asante, moyo wangu wakusifu Aleluya. 1. Natamani rukaruka kama ndege, kwa furaha nifike huko mbinguni Natamani kuwika kama jogoo, Kuonyesha furaha niliyonayo 2. Mungu wangu ni mkuu namtukuza, hansinzii na halali sikieni Ukilala yeye halali ni mlinzi wangu, Na mchana sambasamba twatembea 3. Hunilisha huninywesha siku zote, Mungu wangu wa ajabu asifiwe Posho langu sitaona njaa kamwe, Maji yangu sitaona kiu kamwe 4. Malaika juu mbinguni wanaimba, wakisema hosanna atukuzwe Wateule juu mbinguni wanaruka, Wateule duniani tufanyeje
Love voices
Nice one 👍 nikijana mpole
Uimbaji mzuri Mungu awabariki
Just wooooow 🎉🥳🥳
Mungu awabariki kwa sauti na uimbaji mzuri 🎉
Beautiful
Lyrics
Asante Mungu wangu asante,
moyo wangu wakusifu Aleluya.
1. Natamani rukaruka kama ndege,
kwa furaha nifike huko mbinguni
Natamani kuwika kama jogoo,
Kuonyesha furaha niliyonayo
2. Mungu wangu ni mkuu namtukuza,
hansinzii na halali sikieni
Ukilala yeye halali ni mlinzi wangu,
Na mchana sambasamba twatembea
3. Hunilisha huninywesha siku zote,
Mungu wangu wa ajabu asifiwe
Posho langu sitaona njaa kamwe,
Maji yangu sitaona kiu kamwe
4. Malaika juu mbinguni wanaimba,
wakisema hosanna atukuzwe
Wateule juu mbinguni wanaruka,
Wateule duniani tufanyeje
Naomba the original song tafadhali
Whose the composer
Tuma score hapa pia
Original song plz anyone