BREAKING: NCHI ZA ULAYA TAABANI ZAIOMBA URUSI IMALIZE VITA UKRAINE, UJERUMAN YAOMBA MAZUNGUMZO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 30

  • @DodomaTanzania-r5z
    @DodomaTanzania-r5z 2 месяца назад +8

    Hakuna cha mazungumzo tuendelee na vita 😂😂😂

    • @ZaidHamasiZaid
      @ZaidHamasiZaid Месяц назад

      Kila mara michango mikubwa, fedha na silaha nzito nzito wagabafresh kulikoni...ubaya ubela tu.aluta kontinua.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 2 месяца назад +5

    Anayefaidika na hii vita ni Urusi.

  • @emmanuelsegeche7197
    @emmanuelsegeche7197 Месяц назад +3

    Zelenski ameisha ilamba hela ya magharibi alafu anaomba wamalize mzozo,ila ajichunge sana maana wamagharibi sio watu wazuri watamfyeka😢😢

  • @charlesmaswi4173
    @charlesmaswi4173 2 месяца назад +4

    Malizaneni kwanza

  • @WadySaidi
    @WadySaidi Месяц назад +1

    Urusi piga mbwaa hao

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj Месяц назад

    Km urusi mmeshindwa nendeni kule iziraili mkawasaidie maana wanachapa simchezo

  • @RajaaRajaa-id5wx
    @RajaaRajaa-id5wx Месяц назад +1

    Urus nilijibwana likubwa

  • @muhengamakunga
    @muhengamakunga Месяц назад +1

    hakuna kusitisha vita mpaka tujue wao na rasia nan zaidi tayari wawekezaji wa ujeruman wameanza kusepa na kuelekea malekan huku marekan akiendelea kuchochea moto

  • @lucasbatano333
    @lucasbatano333 Месяц назад

    Mpaka tujue mshindi

  • @charleslangat6334
    @charleslangat6334 Месяц назад +1

    Tunataka Amani Ukraine..vita inaleta hasara

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 Месяц назад +1

    Hapa mpaka tuone mshindi. Vivan urusi

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 Месяц назад

      Uone mshindi mara ngapi.? Huoni mikoa yote muhimu yenye rasilimali muhimu imechukuliwa na Urusi! 😂

  • @ramadhanikalungwana8377
    @ramadhanikalungwana8377 Месяц назад

    Damu ya Muamar Gadaf inawalilia NATO!!!!!! Hawataelewa kwani anapigana nao huku hawajijui!!!

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya 25 дней назад

    Kiyongozi.huo.ameonambali.kuona.ulaya.inafilixika.akaye.mezani

  • @liberatusjackson5045
    @liberatusjackson5045 Месяц назад +1

    UG...ndoo inaongoza uchumiii uraya nzima URUS imo mala 5..kwa uchumiii 😂😂😂😂😂😂

    • @DodomaTanzania-r5z
      @DodomaTanzania-r5z Месяц назад

      China ni nchi ya pili kwa uchumi duniani lkn jeshi dhaifu

    • @issalyanali4119
      @issalyanali4119 Месяц назад

      Sie wzrusi hatumalizi vita,,tumepata kupugana mpaka tuone mwisho,,maumbwaaa Hawa nato

    • @nizarrama225
      @nizarrama225 Месяц назад

      umeze na dawa kupunguza maumivu kila siku nakufundisha punguza kuangalia Hollywood movies maana umedangangwa sana tangu ukiwa mtoto mpaka sasahivi bongo limeoza kwakudanganywa 😂! Mikoa yote muhimu yenye rasilimali muhimu imechukuliwa na Urusi, kama huelewi jifunze kuangalia ramani utaiona mikoa yote yenye madini ipo chini ya Urusi

    • @liberatusjackson5045
      @liberatusjackson5045 Месяц назад

      @@nizarrama225 kumbe wewe unaiwaza UKR...wakatiii ulee niuwanja wakumuangamiza gaidiii...Mongolia..alifuata nn..nakwa Kim..majinii shingoniiiii mangalibii wanajua lijaro kabula afuu ustengemee Et.mangalibiii wampe ushindiii putiniiii bali wameshaaanza kuhamishia vita kwake porepore mwambie na yeye akomboe maeneo kama mwanaume mlisema kauwa wote Kikowap...sasahiv mipango inapangiwa Russia..🤣🤣🤣😂😂🤣🤣🤣...mwenyewe katela ...inaendakuwa kama Vietnam.....chezea mzungu

  • @RizikiMlela
    @RizikiMlela Месяц назад

    Nyinyi NATO na marekani ndio munayo ivuruga amani ya Dunia marekani ndio wauwaji nambamoja duniani

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 Месяц назад

    Aca mvua inyeshe tuone panapo vuja

  • @MtotoKanya
    @MtotoKanya 25 дней назад

    Ulaya.ipohatalini.kufilixika.haiyoni

  • @WadySaidi
    @WadySaidi Месяц назад

    Safari tunataka mataifa ya ushoga ya Israel na ukrain yapigwe Hadi waseme urusi ni baba ama mkuu

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 Месяц назад +1

    Chukueni tu . Mnadhani russia ni libya

  • @mlelwatv5831
    @mlelwatv5831 Месяц назад

    Hatutaki tuendelee kizichapa😂😂

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад

    😂😂😂 waendelee kutoa silaa tu

  • @ibrahimfarha3853
    @ibrahimfarha3853 3 дня назад

    Ukraine inajuta kuzaliwa😂😂😂😂

  • @DaudFataki
    @DaudFataki Месяц назад

    Kumanyoko kilammtu mkiona anammvi mnazania kichwachake cheupe mwamba vradmir puting wajipangeupya