Dada samahani ,kuna watu huko kwenye ma group ya whatssap wanasema et repc mnazo toa huku you tube sio sahihi, kuna vitu mnaficha mna tupa vipimo vya uongo..
@@neemashaabancakes si kwa ubaya dada angu m nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako,sema nilijiskia vibaya nilipo ona mnaongelewa vibaya wapishi wa youtube wakati wengine tumejua kupitia nyinyi.
Asante da neema naendelea kujifunza
Karibu sana
Nzuri sana
Dada ney hy keki niya vipimo kias gan
Fuatilia video sinimeelza
Ayo mayai ni mangap
Huwa kweny flazor unatumia Radha ngn mom??
Naweka yoyote tu nitakayoihitaka mida huo, Kuna flavor nyingi sana
Uko vizuri mamy.
Asante
Oi mamako anajua upishi wak
Samahani madam cocoa powder ni ile yenye sukali au ya bila sukari
Unga wa cocoa nanunuaga maduka ya vifaa vya keki Sasa kujua kama Ina sukari au haaina sijui
@@neemashaabancakes sawa asante
Umetumia ladha gan?
Tumia yoyote ty
Ulivyoweka mayai speed ya mashine uliweka namba ngap
Please naomba nsaidie🙏🙏🙏
Na ulipoweka unga pia speed n ngap?
Maana naona km sijulii vzr mixser
Ikonkama hio yako
❤️❤️
Asanteh
Sawa
Ladha unaweka yoyote au Kuna ladha ya redvalvet?
Mimi huweka yoyote
Mayai umeweka mangapi dia
Asante da Neema nimekuelewa vema ulivoelekeza.sorry nlikua nauliza mashine yako ni ya litre ngap?? Na wapi naweza pata?
Lita kumi, maduka ya keki unapata au maduka yavyombo
Dada samahani ,kuna watu huko kwenye ma group ya whatssap wanasema et repc mnazo toa huku you tube sio sahihi, kuna vitu mnaficha mna tupa vipimo vya uongo..
Kama Kuna ambazo wanatoa wengine za ukweli jaribu kuzifangia kazi itakayokupa matokeo mazuri ndio utumue
@@neemashaabancakes si kwa ubaya dada angu m nimejifunza vitu vingi sana kutoka kwako,sema nilijiskia vibaya nilipo ona mnaongelewa vibaya wapishi wa youtube wakati wengine tumejua kupitia nyinyi.
Yan sanaaa... Uyu dada abarikiwe sanaa nimekua natoa cake nzur sana Kwa recipe zake... Na Sina wa kumuamini umu ila yey tu
Rangi nyekundu ya unga haifai?
Tumia ya yami ndio nzuri zaidi
Mimi hii rangi nawekaga halafu cake inatoka km ya pink
Unaweka wakat gani
@@neemashaabancakes naweka wakati nakoroga unga, nikishaweka unga ndo naweka rangi pia
Uketumia tin inchi ngapi? Na mkorogo umeweka kiasi gani kwa kila tin?
Angalia video nimeeleza kila kitu
Izo tin inchi ngaoi na mkorogo gram ngapi kika tin
N nzr tam kabla cjala,nlkuwa naomba jnsi
YA kuandaa bater cream meteft vdeo zak cjapat
Ipo angalia tu buttercream
Barikiwa
Amina
❤❤❤
❤️
mm na mashine kma yako ila nikikoroga mchanganyiko au changanyiki vzur
Kuna sehemu unakosea
Dear neema shabani naomba kujua jina la baking powder yako unayotumia
Zesta
dada mayai gram 500 ni mangap
10 au 11
Nimefurai kujifunza lakini naomba vipimo useme na kwa gram pia dada
Mbona nimesema
Mbona nimesema
U a tcha...big up
❤️
sorry dada hivi naweza nkachanganya mchanganiko wangu kwa kutumia blenda?
Nunua mixer
Mfano mayai ukipiga kwa muda mrefu Nini kinatokea
Jaribu
Ni vizuri kuweka vipo kwenye distribution box yako inasaidia kuongeza viwers
Sawa
Machine hizo ntapata WAP natokea dar
Maduka ya vifaa vya keki
❤❤
❤️❤️
❤❤
❤️❤️