MJUE KIONGOZI WA UPINZANI NCHINI SENEGAL ANAYEIKOSESHA USINGIZI SERIKALI YA RAIS MACKY SALL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 авг 2023
  • Ousmane Sonko, kiongozi mkuu wa upinzani nchini Senegal, ameshtakiwa kwa makosa mbalimbali, na chama chake kuvunjwa. Wafuasi wake wanaamini mashtaka yote dhidi yake yana msukumo wa kisiasa - kumzuia asigombee katika uchaguzi wa mwaka ujao, jambo ambalo mamlaka imekanusha.

Комментарии • 2