Mungu mbele ,akuna mkate mgumu mbele ya chai

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 43

  • @lexxwambua5233
    @lexxwambua5233 Месяц назад +8

    Mwanoo wi munaa akiangai,ile kazi umefanya hapo si kazi ya kufanywa na mtu hivi hivi ama mtu hajielewi. What I like about you is the fact that ukisema kitu unaifanya exactly how you said it, we si wale watu ushindia nitafanya nitafanya. We ni mnoma. You know exactly what you're doing.

  • @doriseliasen8277
    @doriseliasen8277 Месяц назад +3

    I love sila job mgotee sana sila am one of the malindi cliant all the way from Danmark Good job bro nothing impossible kwa mungu

  • @doriseliasen8277
    @doriseliasen8277 Месяц назад +1

    I love your job mwazo hio garden kweli ni Rundaukambani i love houses and home investment wengine wakipenda magari i love building

  • @marymbithi3564
    @marymbithi3564 Месяц назад

    Indeed you are one unique fundi.You talk by example At least tunaona kwako kunapendeza zaidi. God bless and lift you up! Amen!

  • @johnkanene9031
    @johnkanene9031 Месяц назад

    You are much blessed, wow!

  • @jamesmasesi9042
    @jamesmasesi9042 Месяц назад

    Good work man prezzo

  • @markkemboi5301
    @markkemboi5301 Месяц назад

    I like your work young bro.God bless

  • @Wendani11
    @Wendani11 Месяц назад

    Mali safi sanaaaaaa Prezzo

  • @عليحسين-خ8و4و
    @عليحسين-خ8و4و Месяц назад

    ❤❤❤❤❤❤❤i love what you are doing

  • @ngumamutua1307
    @ngumamutua1307 Месяц назад

    You are blessed bro, kazi Safi brother 🙏

  • @ruthmaks8718
    @ruthmaks8718 Месяц назад +1

    I love your work❤

  • @Heart-of-Worship
    @Heart-of-Worship Месяц назад +2

    Nipe kazi solar bro, tutakuwekea kitu haitawai hitaji stima

  • @Spicy248
    @Spicy248 Месяц назад

    Aki napenda kazi Yako waah the best we have in Kenya

  • @Vyctormarkh1
    @Vyctormarkh1 Месяц назад +1

    Mi nauliza hapo kwa garden utaeka gril hapo kwa perimeter wall?

  • @kennedymusyoka8408
    @kennedymusyoka8408 Месяц назад

    Nice work bro 🙏

  • @Kenyanmama
    @Kenyanmama Месяц назад +1

    Hii ndio faida ya kijana anajiunganisha na Mungu mbila kufuata raha za dunia. Kijijini kwetu kuna mzee fundi wa mawe anajenganga manyumba lakini imagine kwake hakuna nyumba 😢😢mkewe ndio anajenga kanyumba ka matope ka room moja na watoto ni 5, mzee kazi yake akilipwa zote zinaishia kwa pombe na anaishi kwa hako kanyumba.

  • @alicemumbi7585
    @alicemumbi7585 Месяц назад

    NICE JOB🎉🎉🎉🎉

  • @abelsimiyu7390
    @abelsimiyu7390 Месяц назад +1

    Nilikuwa nangoja hapo kwa Mjaluo, 😅

  • @catewahu6860
    @catewahu6860 Месяц назад +1

    Wee ata kumeshinda huku kwa warabu 😂😂ukiwaambia huko ni kenya ukambani hawataamini

  • @steverudy1954
    @steverudy1954 Месяц назад

    woow`hats off

  • @richardgitau36
    @richardgitau36 Месяц назад

    Kwa prezzo ni kudiambo..😂😂🎉

  • @ivumburahaofficial
    @ivumburahaofficial Месяц назад +1

    Good work

  • @عليحسين-خ8و4و
    @عليحسين-خ8و4و Месяц назад

    Mm naomba nikuje nipigiwe kapichaa kwa ruda ukampani

  • @wanjiruciru6237
    @wanjiruciru6237 Месяц назад

    Have you invested in solar

  • @mablealeyo9679
    @mablealeyo9679 Месяц назад

    Great 👍

  • @MwasKariuki
    @MwasKariuki Месяц назад

    Kazi safi sana

  • @heisyangii
    @heisyangii Месяц назад

    Kazi safiiiii

  • @mosesmulandi9880
    @mosesmulandi9880 Месяц назад

    Prezzo hii KAZI yote ni how much

  • @panchofranky6302
    @panchofranky6302 Месяц назад

    Big up brother....God bless the work of your hands

  • @kengajunior
    @kengajunior Месяц назад

    USA ya ukambani 😅😅😅

  • @kimongis
    @kimongis Месяц назад

    Great

  • @muchaidavy7106
    @muchaidavy7106 Месяц назад

    Prezzo sinikuje uni interview kwa biz yangu

  • @ruthmaks8718
    @ruthmaks8718 Месяц назад

    Tuonyeshe ndani sasa

  • @patrickmuthama3074
    @patrickmuthama3074 Месяц назад

    Good Work.. Mûndûûme ekaa ou

  • @Bogitaheric
    @Bogitaheric Месяц назад +1

    Na uchukue Simba kwetu kisii Tabaka

  • @MargaretKamande-jg7uj
    @MargaretKamande-jg7uj Месяц назад

    Mataa umenunua wapi?

  • @sly274
    @sly274 Месяц назад

    Hello, Why don't you invest in solar panels? You will solve the power problem permanently. How will someone who is disabled visit you and move around your compound?

  • @patrickndichu3905
    @patrickndichu3905 Месяц назад

    Weka solar.

  • @doriseliasen8277
    @doriseliasen8277 Месяц назад

    Hakuna kama sila i surport that ashanijengea roof kali malindi

  • @peternderi5836
    @peternderi5836 Месяц назад

    Prezzo una overdo sasa!