Verse 1 Aah kama bahati kukupata wewe malkia// Ni kama Ice kwenye freezer najihifadhia// na yangu dream hakika leo imetimia// Wanifunge jela kama kukupenda ni hatia// Na uzuri wako kila siku kwangu unavutia// Nitakuw wako milele huwez jutia// kwenye tabia wewe ni mfano// Unakuw bingwa kwenye kila mashindano// Yan kwangu we ni kama UA lililochanua// Na utamu wako sio asali wala mua// Ka manukato
Karibu🤗 🌀Unaweza Kujiunga Na Group Langu La WhatsApp Kuna Faida Humo Kama Wewe Ni Msanii 👇Bonyeza chini Kujiunga chat.whatsapp.com/KXImnN7Gkfk1iP9tKbNy5w
Ka manukato ya shumukh pale Qatar// Tufike serengeti serena hotel ya asili// Na kila ugonjwa wa kwangu wew ni daktari/ Nishagradu penzi lako we ni mahafali// Na hii tabia mamaa Nikikuwaza yan napata raha//
Noma sana ❤❤❤❤❤❤❤
Amour cna swal hpa❤
Coool bit
❤❤❤❤❤❤❤ karb shy bit kal saaaaan
Asante
❤❤❤❤❤❤ nzur kinoma
Asante 👌
Nice beat kaka big up
🙏👍
❤❤❤❤🇧🇮
Kakaaaa hii kitu n fireeeee nmekubar uwezo wako ✅
Shukran
Verse 1
Aah kama bahati kukupata wewe malkia//
Ni kama Ice kwenye freezer najihifadhia//
na yangu dream hakika leo imetimia//
Wanifunge jela kama kukupenda ni hatia//
Na uzuri wako kila siku kwangu unavutia//
Nitakuw wako milele huwez jutia//
kwenye tabia wewe ni mfano//
Unakuw bingwa kwenye kila mashindano//
Yan kwangu we ni kama UA lililochanua//
Na utamu wako sio asali wala mua//
Ka manukato
Umetisha 🔥🔥🔥
🎉🎉🎉
Amazing 👏 🤩
Noma
Karibu🤗
🌀Unaweza Kujiunga Na Group Langu La WhatsApp Kuna Faida Humo Kama Wewe Ni Msanii
👇Bonyeza chini Kujiunga
chat.whatsapp.com/KXImnN7Gkfk1iP9tKbNy5w
i really like your tune of beat
Thanks 🙏
Heeee nilijua namtumia Assumani Atanga sorry my dear
Ka manukato ya shumukh pale Qatar//
Tufike serengeti serena hotel ya asili//
Na kila ugonjwa wa kwangu wew ni daktari/
Nishagradu penzi lako we ni mahafali//
Na hii tabia mamaa
Nikikuwaza yan napata raha//
Kwenye dunia ya peke yako umenifunza ukubwa
Naahd nitakuw wako milele kwa huba
Nimilk bby pekeyako usije nipunja
Na huu mwili wa kwako nijaze maruba//
Umeua kaka mistali imekaa kwenye beat
Mmh the way you feel me I feel twice mahabuba
Nikabidh kitabu ni some kila muda
You ma calcium, ma fruits ma chocolate
Hey
Coool bit