Miili 3 zaidi imeopolewa kutokana na mkasa wa boti Tana River

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 апр 2024
  • Idadi ya vifo vilivyotokea baada ya boti kuzama mto Tana sasa vimefikia saba baada ya maiti tatu zaidi kuopolewa kutoka mto huo hii leo. Watu wengine 13 bado wanatafutwa baada ya mkasa huo wa siku ya Jumapili. Feisal Abdulrahman anaarifu zaidi kutoka kaunti ya Tana River

Комментарии • 1

  • @nahashongichine4877
    @nahashongichine4877 Месяц назад

    It's too scary imagining the hippos n crocodiles in the water