Waziri Murkomen atathmini athari za kukatika kwa barabara kuu ya Lamu kuelekea Witu na Garsen

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 май 2024
  • Waziri wa barabara na uchukuzi kipchumba Murkomen anatathmini athari za kukatika kwa barabara kuu ya Lamu kuelekea Witu na Garsen baada ya barabara hiyo kusombwa na mafuriko katika eneo la Gamba. Hali hiyo imesababisha mbolea iliyoko kwenye meli iliyowasili katika bandari ya lamu ijumaa kukwama. mbolea hiyo ilikuwa ipakiwe kwenye malori na kusafirishwa kwa barabara hadi ethiopia.

Комментарии • 1

  • @MohammedMohammed-uo5sk
    @MohammedMohammed-uo5sk 25 дней назад

    CS MURKOMEN WHAT ARE UR PLANS AND BUDGET TO MITIGATE THIS PROBLEM NOW AND INFUTURE