Safari hii ukileta mchezo unakufa | Atoa tahadhari kwa wanajidai wanachanja

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 624

  • @sundayseverini9065
    @sundayseverini9065 3 года назад +447

    Majitu ya mbiguni yote like hapa

  • @georgembilinyi2824
    @georgembilinyi2824 3 года назад +28

    Kam umemwelew zaid mchungaj au mh..mbunge kam nilivyo mwelew mimi 2Juan kwa like....👍

  • @sudaisperfect5990
    @sudaisperfect5990 3 года назад +51

    ✍️HuyU ndie mtU anaefata nyaO za hayati John pombe💯 magufuli huyU ndie 💪jembe alieachwA na magufuli respect 💅Sana brother 👏👏👏

  • @christinenduwayo953
    @christinenduwayo953 3 года назад +14

    Nakupenda sanaaaaaaass Gwajima,,Mungu akurinde mileleee❤️😍👍

  • @mossesjovenari9457
    @mossesjovenari9457 3 года назад +25

    MUNGU Wetu muweza
    tunakuomba umpe Askof Gwajima uweza wa kupambana na Hadui wanaotaka kuliangamiza taifa letu tunakuomba ktk jinaa la YESU Amen

  • @fredkyara3278
    @fredkyara3278 3 года назад +9

    Nakupenda bureee gwajma wangu. Umechkuwa upendo ule wa Magufuli chkua fom ya Urais Mungu atakupitisha kwenda ikulu ubarikiwe sana askofu

  • @nickvonmusic
    @nickvonmusic 3 года назад +38

    Kama unakataa kuchanjwa like hapaaa😊😊😊😂😂😂😂🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇🏇

  • @happymtundu8023
    @happymtundu8023 3 года назад +86

    Mimi na nyumba yangu hatuchanjwi Kwa jina la Yesu

    • @hasanipoy3976
      @hasanipoy3976 3 года назад +1

      Hauta Safiri nitatowa passport ya corona kama huna husafiri

    • @saidjumasaid3924
      @saidjumasaid3924 3 года назад

      @@hasanipoy3976 sio lazima

    • @mrossoonlineclinic9029
      @mrossoonlineclinic9029 3 года назад

      Rest In Peace in advance

    • @beatricefilbert1171
      @beatricefilbert1171 2 года назад

      Mungu wa mbinguni akulinde na taifa letu. Yesu wa mbinguni atulinde sisi na taifa letu

    • @victorianchimbi8640
      @victorianchimbi8640 Месяц назад

      Nina shuhda rafiki yangu wa Nairobi alichanjwa anachokipitia ktk ulimwengu wa kiroho, aisee mpaka huruma, asiye wa kiroho hataelewa

  • @bernardsamizi7289
    @bernardsamizi7289 3 года назад +38

    Hongera sana mtumishi wa Mungu aliye HAI. Simama imara wenzako tayari wamesha gogwa ile namba .UFUNUO WA YOHANA.

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 года назад

      Ujue nashtuka

    • @mussalameck2166
      @mussalameck2166 3 года назад

      Corona siyo ile namba na wala sio ndo mpinga kristo kama wengi mnavyozani soma biblia vizuri kaka

  • @hbdina
    @hbdina 3 года назад +18

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Viongozi weusi hasa wa Tanzania ni Wafisadi, Ubinafsi, akili finyu ni rahisi kurubuniwa na Wanatesa wananchi wao kodi juu ya kodi wakati tuna madini n.k Viva Dr.John Pombe Magufuli ❤️❤️❤️

  • @estherpascal3143
    @estherpascal3143 3 года назад +1

    Hongera sana na Bwana akutie nguvu na maono zaidi

  • @NuruyaYesuDuniani
    @NuruyaYesuDuniani 4 месяца назад +1

    Gwajima ni mtuu muhimu Tanzania na kwa Dunia nzima nampenda sanaaaa

  • @nangukidasu8040
    @nangukidasu8040 3 года назад +69

    Kweli waliochanjwa wafe ili dunia ijue yupo Mungu Tanzania.

  • @lameckngungulu7119
    @lameckngungulu7119 3 года назад +22

    Respect for you Bishop gwajima mungu akubariki

    • @hancymsofe9617
      @hancymsofe9617 3 года назад

      Gospo

    • @saramss7262
      @saramss7262 3 года назад

      Huuu ni Wakati wa Mungu wa Mbinguni Elishadai Ambae Niko Ataye kuwepo Mungu Eliya MUNGU wa Ibrahim Mungu Wa Isaka Mungu Wa Mababu Zetu Mungu Danieli

  • @niranikichaka3027
    @niranikichaka3027 3 года назад +1

    Mungu akucmamie kwa kila hatua mchungaji tumekuelewa Na tunafanyia kazi maneno yako mm c chanjwi ng'ooo

  • @robyhumphrey7933
    @robyhumphrey7933 3 года назад +45

    Jasusi la mbingunii🔥🔥🔥🙌

  • @desderymakoiblessmakoi9537
    @desderymakoiblessmakoi9537 3 года назад +117

    Tumuombee huyu baba anaongea ya UKWELI,Let Blood Of Jesus Christ Saround You my Father

  • @aishamwanja9492
    @aishamwanja9492 3 года назад +48

    Mungu akubariki babaangu

  • @mtumishi1904
    @mtumishi1904 3 года назад +1

    Mungu akutangulie na watakufa woote walihusika na kifo cha magufuri me naamini ivo mahana wangempenda wasingekataa utawala wake hata mwaka haujaisha Yoote aliyoyazuia yameruhusiwa Dah hii Dunia kah

  • @mussaungaunga9489
    @mussaungaunga9489 3 года назад +1

    kama mmemsikia dada ake akisema( tusiharibiane kazi ) gonga like yako

  • @kazizaidi1695
    @kazizaidi1695 3 года назад +2

    Jasusi lambinguni...ubalikiwe sana mtu wangu...🙏🙏

  • @benplanner7884
    @benplanner7884 3 года назад +1

    Mungu akutunze na akupiganie sana unayosem mtanzania yyte mwenye akili timamu lazim akuelewe ni asilimia kubwa San ya watanzania tupo naww tunakuombea xn tunazd kukuomba ucmame imara xn ucteteleke ata kam watakushambulia namn gani naamin IPO siku watakuja kumbuka maneno yk wanadam huwa hatuamin mpk itokee kam vile our hero magufuli alvyokuw akisem tutamkumbum tukachukulia easy lakn Leo tunamkumbk naamin IPO cku serikali itakukumbuk lkn muda utakuwa tayari si sahihi,watakufukuz CCM but don't care maisha ya watu ni bora sana kuliko chama, Nakupenda mno Gwajima tunamuona magufuli ndani yako💪

  • @kennedymboma8268
    @kennedymboma8268 3 года назад +18

    Safarihii mchungajiwakweli tutamtambua na askofu wakweli tunamuona nashehe wakweli tunamuona padri wakweli tunamuona! Kilasilaha iliyoandaliwa kwamchungaji gwajima imzuruyeye kwaharakasana kwajina la YESU

  • @abdibilali4186
    @abdibilali4186 3 года назад +3

    Gwajima umetumwa na mungu kutusemea tunak amini Gwajima ame jitoa kwa ajiri ya wa Tanzania tujuane kwa like

  • @alphonceelias8486
    @alphonceelias8486 3 года назад +58

    Jasusi la mbingu,2025 kura kwakooooo,baba na kura kwako,anzisha chama chako,hii ccm ishapoteza mvuto kwa watanzania,Magu RIP.

  • @josephezekielmasolwa8283
    @josephezekielmasolwa8283 3 года назад +38

    Jamani WATANZANIA MIMI NIKIMSIKILIZA GWAJIMA KWA MAKINI KABISA NAONA " ANASEMA UKWELI"

  • @andinanraolencio5837
    @andinanraolencio5837 3 года назад +15

    Upo vizuri magufuli na 2

  • @lovenessambali1990
    @lovenessambali1990 3 года назад

    Baba unacho sema upo sawa mungu atakupigania adui zako wote wafe

  • @aishamwanja9492
    @aishamwanja9492 3 года назад +46

    Hafii mtuu watakufawao gwajima oyee

  • @gracensimama3067
    @gracensimama3067 3 года назад +2

    Mungu akulinde baba na akupe miaka mingi sisi tunaenda na Yesu wetu

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 3 года назад +12

    Allah azidi kukupa Afya njema na maisha marefu Mzalendo wa kweli HAKIKA Baba ametuachia Mtetezi wa Taifa letu 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @rosemarypeter9232
    @rosemarypeter9232 3 года назад

    Mungu baba uliyetuumba maisha yetu yako mikononi mwako tunaomba utuokoe

  • @winnrichard3576
    @winnrichard3576 3 года назад

    Ameni kaza mwendo Baba Mungu mwenyenguvu yupoupandewako songa mbale

  • @lizzyngoi5054
    @lizzyngoi5054 3 года назад

    Mwenyezi mungu akupe maisha marefu baba utupe ukweliiii

  • @judiajudia2067
    @judiajudia2067 3 года назад +1

    Asant sana baba Mungu azid kukupa maisha marefu yenye mafanikio

  • @meekpaul7388
    @meekpaul7388 3 года назад +49

    Yafe kabisa lisibaki ata moja yanakela sana wanafikiri atuna akili tunaelewa sana

  • @raphaelalmasi9333
    @raphaelalmasi9333 3 года назад

    mungu akubaliki sana mtumish wamung tunajifunz kwako

  • @barnabaskazugi3528
    @barnabaskazugi3528 3 года назад +42

    Mungu akulinde

  • @0ttiliwiliam317
    @0ttiliwiliam317 3 года назад +1

    Mungu Akufiche

  • @redempthatheobard6344
    @redempthatheobard6344 3 года назад

    Hiyu Mungu ndivyo alivyo analuacha unatukanwa af badae wanakusifu wanapotambua wew ni nan. Hakika nomejifunza kitu kiptia mtumish Gwajima Walokuwa wanamtukana saa hii waona ni mtu wa Mungu . Ahsantee Mungu kwa ajil ya Mtumishi wako naomba usimpungukie siku zote.

  • @eliazarinyakiema1969
    @eliazarinyakiema1969 3 года назад +19

    Saivi ndo naelewa kwa nini Mwamba mmoja alisema "Nileteeni Gwajima,nileteeeni gwajimaaa"" Nimeelewa sasa
    🤔

  • @sebastianmwita9149
    @sebastianmwita9149 3 года назад

    Mungu azidi kukuinua zaidi ya hapo, tupo nyuma yako, kwa wingi zaidi

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 3 года назад +3

    Kemea pepo hadi kuhakikisha linakufa linafukiwa kaburini na juu tunamwaga zege lisifufuke. Nakuaminia...piga kazi yako Mtumishi haki kieleweke nchini hapa

  • @robertsarikamba4395
    @robertsarikamba4395 3 года назад +1

    Mungu awapige upofu wote wanopingana na sauti ya Mungu

  • @faustinelinus4882
    @faustinelinus4882 3 года назад +41

    uko sawa wewe sio mnafiki kama wenzako man with a firm stand alone

  • @johnbow3716
    @johnbow3716 3 года назад +38

    Kwa hapa tulipofika kwakweli bora wafe tu, kwakuwa imekuwa too much tumelazimishana imetosha.
    Elisha aliamuru adui wawe vipofu, wote wafe Tena wafe kwelikweli tumechoka kudanganywa.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 3 года назад +1

      Maombi yenu yanatia aibu... Mnaudhalilisha ukristo tu ... Nayakataa maneno yenu, nayafuta maneno yenu, kwa Jina la Yesu... Hafi mtu hapa...Kwa Jina la Yesu... Amina

    • @jesusiscoming237
      @jesusiscoming237 3 года назад +1

      @@j.c.maxima816 🤣🤣🤣🤣🤣 naona ushachanjaaa

  • @kafulenimataluma4070
    @kafulenimataluma4070 3 года назад +1

    Hongera siasa isikufanye urudi back go on surely as the Lord lives no one is gonna kill you

  • @elibarikirehoboth6852
    @elibarikirehoboth6852 3 года назад

    Mungu mkubwa kuliko hizo chanjo zao piga ua galagaza tunaenda na Mungu Keep it up Gwajima man of God

  • @michaelmnyawenda2449
    @michaelmnyawenda2449 3 года назад

    Ww ni shujaa wa kwel mungu akuongoze na upendo wako wa pekee upo kwaajil ya watu siyo kwa maisha yako tuu, unafaa kuongoz taifa tunaamini hilo🙏🙏

  • @sallysalamakenga6329
    @sallysalamakenga6329 3 года назад +1

    Niliota mafuriko makubwa wametoka. Gwajima akihubiri nasi . Watu waliokataa walikufa wote kwa maji halafu waliobakia na wale waliokubali kuhubiri nae. Go go good baba Mungu atakusaidia tunakuombea saba

  • @elibaricksadock9562
    @elibaricksadock9562 3 года назад +1

    Bishop Gwajima nmekuelwa sanaaa sanaaa

  • @mbegaJrtuition1
    @mbegaJrtuition1 3 года назад +1

    Nakuombea kwa mungu maneno yako yananena ndan yetu... Umekua kisemeo cha wengi.
    Respect

  • @benegowilliam9710
    @benegowilliam9710 3 года назад +1

    Naona maono wewe ni waawamu7🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @ignasiissaya1718
    @ignasiissaya1718 3 года назад +1

    Mungu akuweke sana BishopGwajima tupo nyuma yako ...Million ya waTanzania tupo nyuma yako!!

  • @allymwakibinga442
    @allymwakibinga442 3 года назад

    Mwenyezi Mungu akujaalie maisha mazuri yenye furaha tele kwenye Utumishi wako

  • @apostlefredricksyengo2002
    @apostlefredricksyengo2002 3 года назад

    Kamilisha alilokuitia Jehovah Mungu usitishike balozi,Mungu akiwa upande yetu tumuhofu nani?, nakupenda na nakuombea from 🇰🇪

  • @salmasaid6862
    @salmasaid6862 3 года назад

    Gwajima upo sawa kwani wakati wako wakuishi duniani ukifika hauna chanjo wala nn.Wazungu wachenzi Mungu akulinde Gwajima

  • @naomimutubo575
    @naomimutubo575 3 года назад

    Viatu vya Magufuli vimekutosha sawia baba, ashukuriwe Mungu kwa kutuletea wewe badala yake ili uweze kututetea sisi.kaza buti baba kazi ya Mungu isonge mbele

  • @jenipherbwanga2448
    @jenipherbwanga2448 3 года назад

    Mwenyezi mungu akubariki Sana Baba mchungaji u talk real

  • @deongonyani4115
    @deongonyani4115 3 года назад +1

    Ndio washa moto mzee

  • @dieudonnekayobera933
    @dieudonnekayobera933 3 года назад +4

    From Burundi! Tanzania munatukogotea, leo leo na Serekari yetu Tayari nayo Imekubali CANJO. Hatari sana

    • @haseanatnsanya2079
      @haseanatnsanya2079 3 года назад

      Mungu atawalinda tatizo rais wetu wanatamaa polen mtegemeen mungu

  • @amosjacksoni9620
    @amosjacksoni9620 3 года назад +22

    Anaye mkumbuka yule jamaaa aliye sema nileteeni gwajima agonge rike apa aisee. Wakubwa washachanja fek wahuni awa.

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 года назад

      Cyo fake kidogo fake org 😅😅😅😅😅😅😅

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 3 года назад +1

      Hata Samia ukimwangalia wakati anachanjwa Ni km ako na huzuni km Kuna kitu anacho moyoni sio bure

  • @josephmoyo5617
    @josephmoyo5617 3 года назад +1

    Mwenyeakili timamu lazima amuunge mkono Baba Gwajima

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 3 года назад +19

    Huu Ni mpango wa wazungu kuuwa waafrika wote ili waje watawale afrika Tena.

    • @vanessarobyn4584
      @vanessarobyn4584 3 года назад +1

      Yes walisha ongea mda sana maan billget alisema baada ya miaka 20 africa itakuwa nchi tajiri baadae 2019 wakasema watu lazma wafe ili dunia isiwe maskini

    • @ladislausmorisi3057
      @ladislausmorisi3057 3 года назад +1

      Niko na ww boss gwajima mungu tu pamoja na we

  • @alikhamis6326
    @alikhamis6326 3 года назад

    Nimekuelewa brother

  • @jmalifedha479
    @jmalifedha479 3 года назад +2

    I appreciate u since day one

  • @godfreynolasco1311
    @godfreynolasco1311 3 года назад

    Amin wew ni mtuu ulie agizwa na munguu hakuna kuchanjwa hapa hatutakiii chanjo za ajabuuu

  • @marumbamgeni4796
    @marumbamgeni4796 3 года назад

    Good speech, umepandisha sana haghi yako

  • @jossyngumbi1916
    @jossyngumbi1916 3 года назад +3

    Baba Mtu wa Mbinguni songa mbele Rais wa Tanzania Anayekuja asante Baba Barikiwa Sana

  • @jescadeogratias5292
    @jescadeogratias5292 3 года назад +1

    Mungu aturehemu Tz, tupo tunaokuangalia wewe Mungu wa mbinguni utuokoe. Wahifadhi na wakinge wanaosimama kututetea ambao hatujiwez

  • @andrewmsalali4395
    @andrewmsalali4395 3 года назад +1

    Hana neno huyu tunaishi naye tu...👍👍👍👍

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 3 года назад +28

    Huyu si binadamu....huyu ni mtu aliyesemwa na Mungu " NA TUFANYE MTU"
    Mtu kutoka mbinguni...

    • @petersarwat3435
      @petersarwat3435 3 года назад

      Toa elimu mtumishi wa mungu gwajim baba wape neno

  • @mugishasine7778
    @mugishasine7778 3 года назад +49

    Napendaga ukweli wako

  • @henrybukanu5764
    @henrybukanu5764 3 года назад +1

    Tunataka watu kama bishop Gwajima sn katika nchi hii Mungu akupe nguvu zaidi na kuyasema hayaa

  • @komredsolomon9243
    @komredsolomon9243 3 года назад

    Very Good My Father

  • @kaburachristella2682
    @kaburachristella2682 3 года назад +1

    Nimemupenda huyu baba Mungu akubariki tena akulinde maana hiyi ni vita kati yako na antikristo watakutafuta mpaka kieleweke ila umerindwa na Mungu atakae kugusa atalaniwa

  • @sarahkamwela5802
    @sarahkamwela5802 3 года назад

    Mungu akujalie maisha mrefu.

  • @victoriamefya6287
    @victoriamefya6287 3 года назад +2

    😂😂aiseee gwajima jmn Mungu akutunze

  • @theosaimon6933
    @theosaimon6933 3 года назад +17

    Baba wabigeee wapigeeee wame msaliti magufuli tetra Wananchi

  • @roseuwambe893
    @roseuwambe893 3 года назад +1

    Sema tupone💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼

  • @NuruyaYesuDuniani
    @NuruyaYesuDuniani 4 месяца назад +1

    Natamani gwajima Aishi mpaka mwisho wa Dunia

  • @allymwakibinga442
    @allymwakibinga442 3 года назад +1

    Urais unakuhusu Sana Askofu Gwajima, tuombe Mungu askie kilio chetu

  • @i.dclassic116
    @i.dclassic116 3 года назад +4

    Mimi nimuislamu ila hapo ALLAH atakutetea inshallah

  • @modetheo5182
    @modetheo5182 3 года назад +1

    Yaaani yaani nashindwa hata kusema Mungu atulinde na kutusimamia

  • @enezaelclement3758
    @enezaelclement3758 3 года назад +2

    Wewe ndio raisi wetu Ajaye tumekusubiria sana Baba Damu ya Yesu ikuhifadhi hai🙌🙌🙌

  • @optatusduqangw1071
    @optatusduqangw1071 3 года назад +3

    MUNGU akubariki Sana ,,tunataka watu Kama Hawa kina gwajima

  • @sittasato4955
    @sittasato4955 3 года назад

    Ubarikiwe sana Mchungaji.

  • @anatolegrard9272
    @anatolegrard9272 3 года назад +15

    Nena Gwajima nakukubari jamani tuelimike

  • @JTGSHUUDA
    @JTGSHUUDA 3 года назад +18

    Amina UBARIKIWE

  • @obisanaa5705
    @obisanaa5705 3 года назад +35

    MUNGU AKUPE MAONO ZAID,ASANTE KWA KUTUAMSHA, INAMAANA HII KORONA IMESUBIR MAGUFURI AFE NDO TUANZE CHANJO,DUH!!! MZEE ALIKATAA HAYA MAMBO YA CHANJO ZAO

  • @makoye8388
    @makoye8388 3 года назад +4

    Mungu akulinde Sana.

  • @moniquebankibigwira866
    @moniquebankibigwira866 3 года назад

    Ubarikiwe kwa kuwafunulia

  • @chidodochidodo3673
    @chidodochidodo3673 3 года назад +1

    Mungu akurinde

  • @ephrahimukangalawe441
    @ephrahimukangalawe441 3 года назад +1

    Hakuna kufa Gwajima kwa jina la Yesu kristo

  • @dennisjuma6124
    @dennisjuma6124 3 года назад

    You make sense Bishop 👏

  • @liesharehema5193
    @liesharehema5193 3 года назад +1

    Ua baba ua watukomeee sisi niwayesuuu tunaamini katika munguuuu

  • @alexmzumbwe1328
    @alexmzumbwe1328 3 года назад

    Mungu akubariki nakupenda

  • @carolynekarani4285
    @carolynekarani4285 3 года назад +1

    Damu ya Yesu KRISTO inatosha zaidi ya yote ni maombi tu wacha Mungu akutangulie na kukuwezesha na akutende mema popote pale ulipo

  • @mugishasine7778
    @mugishasine7778 3 года назад +16

    Ubalikiwe

  • @janiffermueni4114
    @janiffermueni4114 3 года назад

    Mchungaji uko right mie niko saudia familia yangu wote wamejanjwa na sahii wote wanacorona nilikataa kuchanjwa na sina corona..wakitoka wanavalia barakoa na bado wamechanjwa....swali langu chanjo niya maana gani????