Hakuna kitu kinakera katika comment section kama Hawa watu wanaoomba like. Yaani kwanini watu wa like comment ya kuomba like, si u comment kitu ambacho kitagusa watu ili watu automatically wa like. Yaani kama ujinga flani hivi kuomba mi like kisa unasema wewe sijui wa kwanza mara sijui wangapi. Heeee mnakera mno kwakweli
Asante sana kukumponya feti.zena yamemukuta
Haijawahi tokea nimekuwa wa nne naomba hata like tano tu
Umewahi nini aasa hapo wakati hata video hakuna 😂😂😂😂 watu jamani kwa uongo loo
😂😂😂😂
tina unapendeza ukivaa nguo ndefu na napenda unavyo ongea 🎉🎉🎉
Jmn tunaomba mturudishiye ben wetu❤❤
Mbona haraka siku izii,yaani hamcheleweshi Mambo, ongera sana tuko pamoja 🎉🎉
Haya nyie mlio coment mmewai na kuomba like,na wengine mnaandika kabisa nice,,mmefunguaje? Mbn wengine haifunguki?
Wow❤I was waiting for this
Me simpend fett ni mbaya na ana roho mbaya wangapi hammpendi fett kama mie zena mzuri bwana na ana roho nzuri
Hii leo inapostiwa saa saba ya tz huku nilipo saa nane mchana watu washa comment nimewahi naombeni like zangu 😂😂😂😂😂😂 sina mimi
Jaman wanaomba turudishie Ben original gonga like na comment
Tume mu miss kevin sana,please iyi movie isi ishe bila kevin ku rudi
Mm naona hata tina hayuko comfortable kwa huyo ben mpyaa ashamzoea kev tu
Nice movie ❤❤❤🎉🎉
Wangapi wanaanglia mapenzi ulumbukeni kuna Aly chiko fthm ameigiza kama mwanaume yaan ni nzuri
Nawapenda sana ❤❤❤❤❤
ila jamn ally ana moyo mzur ingekua mtu mwengine angesha muharibia ben❤❤
Huyu ben wasasa wala hanogeshi😂😂😂
Wa hovyo😂😂😂😂😂
Zenaaa kimekwishaaaa shaaaa😆😆😆Ally bakiana nahiyo roho yakoo faty ringa ss ' ally
KELVIN AKOWAPI .I LOVE THIS MOVIE
Zena jamani una roho mbaya,,, pia tamaa mwenzetu
Tina weee zunamambo mengi cn ujatulia
Hawana baya,penda sanaaa❤❤❤❤❤
Mashallah
Mie nashukulu kwangu imefunguka saiz❤❤❤
Hakuna kitu kinakera katika comment section kama Hawa watu wanaoomba like. Yaani kwanini watu wa like comment ya kuomba like, si u comment kitu ambacho kitagusa watu ili watu automatically wa like. Yaani kama ujinga flani hivi kuomba mi like kisa unasema wewe sijui wa kwanza mara sijui wangapi. Heeee mnakera mno kwakweli
Labda wanaenda kuuza na kupata pesa😂😂😂😂😂
Kabisa😢
Waambie mumy maan wanakera kweli
@@zahraali5113 labda mwaya sijui wakoje
@@RozPeter-s5z kupita maelezo wanakera Sana.
Ongera Sana mumacheza vizukisana
Kwel wamearibu move ludishe beni
Kweli wanaboa sanah❤
Kazi nzuri ila nasubiri Tina akiujua ukweli wa Ben itakuaje
Nmewai 👌🏿👌🏿👌🏿😅😅
Zena mchawi kabisa ati kwani hajafa😮😂
Ila jamani uyo Tina..akijuwa ukweri wabeni. Itakuwa viba dugu pore Tina.
Asante🎉
Huyuuu nae n ben yupi mbli n kelvin atuelewiiii
Kwenye hii movie hakuna mmbea 😂😂 akamwambia tina ukweli wote😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉
Ila sijawahi kuona sebure ao jiko la fatma 😂😂kila siku tunamuina chumbani tu 😂😂😂
Mimi nikahisi kapanga lodge
Kiloba cha mkaa naye n mumbea😅
❤❤❤❤❤❤
Zena ww mchawi htr
Tina Wangu Hana Furaha sijafurahia poleni
🎉🎉❤❤❤
❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Hapa mlizingua I say mnatoa character aje sasa
Beni wasasahv sijamuelewa 😂😂
Huu msukule mbadala wa Kelvin mmeupata wapi
Wpi Kevin??? Mbn mwatuchanganya
Faty usikubali kumsameha zena mfunge akafie chela huko
KaZi tamu
Bora akamatwe Zena arudiane na Allah
❤❤jamani mbona Ben wamwanzo siyo huyu
Kumewaka moto nani atakayo husima
🎉🎉🎉🎉
Zenaa kazi unayo
Zena umekokota makubwa utayatimba😢
Jaman na mimi nimewah
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
NAMI nmewahi like😂😂😂
@@IgnasiaNathanel 😁😁😁😁😁 mnawahi like tu jamani au wenzetu mnauza na kupata pesa tuambizane
@zahraali5113 ndy😅😅😅😅😂
Waty wanasbri kwa hamu dah tumuone kiroba cha mkaa 😅
Wewe Tina kwa nn umekataa kuvaa iyo pete why
Watatu kutoka kwetu tz
Kwani wanakula? jamani!!!!
Nafungua inakataa nini kimetokea kwani😢
Jaman mbona kwangu inagoma kuplay?
Me pia😢
𝐌𝐦 𝐩𝐢𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐧𝐦𝐛𝐢𝐚 10 𝐡𝐫𝐬😂😂@@SalmaMtava
Inapostiwa saa 6 kamili ndo mana haifunguki angalia dk zilizobak
Jmn .mie kwangu haifunguki cjui kwanini 😢😢😢😢
😂😂😂😢😢
Zena kaz unayo saiv
jaman haifunguki
Mh haifunguki ban nifanyaje lakn
Mbona gaifunguki
Kunawatu wanalohonbay
jmn mbona haitaki kuprey
Mda ndo huu
Mbon haifunguk
𝐇𝐢𝐲𝐨𝐨𝐨𝐨𝐨😂😂😂😂😂
❤❤❤❤❤
❤❤❤❤🎉🎉🎉