Asalam Aleikum Ustadh Salim Ustadh Ali pamoja na wanafunzi ndugu zetu na Salam nyingi zimfikie Ustadh Hassan ALLAH awape Afya njema na Jannatul Firdaus na kwa kila Muh min ❤❤❤
Maashallah Barakallahu feekum Quran 18:29 Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae. Ujumbe umefika tena Kwa Ufasaha mchana peupee.... Maashallah Ust. Salim
waa aleykum salam daawa kama kawaida mungu awape pepo siku ya kiyama Mashallah naam salim ume wapa ukweli kua hawamuabudu mungu ila wame potea wana muabudu kiumbe badala ya mwenyezi mungu,ndiyo Allah amesema atakaye kuacha kuniabudu atakua katika maisha ya thiki, ndiyo unaona thiki imezidi na alah aki kasirika ndiyo una ona mafuriko na visanga vina zidi. mashaalah musichoke, nabii nuh alisimama miaka 950 kuwaita watu kumuabudu Allah, alafu uma wake waliringa allah akawa angamiza , ebu pia kido muwape kisa cha nabii nuh vile alikua ana tharauliwa na qowm yake wakifunga masikio, hawa ni wazuri wana sikiza daawa ya Allah, na Allah awaongoze awfunguliye moyo wao. amiin
Wa kwanza leo alhamdulillah, watching from Riyadh Saudi Arabia
Tumewai wote wa kwanza
Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh
Masha Allah tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Leo nikawai wa kwanza alhamdulilla 😊🥰
Hongera😊
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Masha Allah sheikh salim mafundisho mazuri alhamdulillah Allah akupe umri uzidi kuwaelimisha
Aameen ameen ameen sote
Wambie Fingerprints zetu haziko sawa. Miracle of the quran
Kweli kabisa
Asalam Aleikum Ustadh Salim Ustadh Ali pamoja na wanafunzi ndugu zetu na Salam nyingi zimfikie Ustadh Hassan ALLAH awape Afya njema na Jannatul Firdaus na kwa kila Muh min ❤❤❤
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
Kuanzia Dakika ya 25 hapo .. Mambo yamekuwa matamu sana.. ❤🎉 .. wallaahi Sheikh Salim Allah akulipe
Aameen ameen ameen sote
Wamwisho leo😂😅 Assalamu Alaykum ayyuhal ikhwanil qiram. Allahumma Barik
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
Asalam alaikum wazee MashaAllah Leo sheikh Salim umeteremuka nayo vinice mbaya yaani imeeleweka vilivyo khutbah safi Sana.
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ujumbe unafika pole pole tu
Maashallah Barakallahu feekum
Quran 18:29 Na sema: Hii ni kweli itokayo kwa Mola wako Mlezi. Basi atakaye, aamini. Na atakaye, akatae.
Ujumbe umefika tena Kwa Ufasaha mchana peupee.... Maashallah Ust. Salim
Kabisa kazi yetu ni kufikisha ujumbe tu
Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Allah awabariki na kuwaongoza popote muendapo
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh ameen ameen ameen sote
waa aleykum salam daawa kama kawaida mungu awape pepo siku ya kiyama Mashallah naam salim ume wapa ukweli kua hawamuabudu mungu ila wame potea wana muabudu kiumbe badala ya mwenyezi mungu,ndiyo Allah amesema atakaye kuacha kuniabudu atakua katika maisha ya thiki, ndiyo unaona thiki imezidi na alah aki kasirika ndiyo una ona mafuriko na visanga vina zidi. mashaalah musichoke, nabii nuh alisimama miaka 950 kuwaita watu kumuabudu Allah, alafu uma wake waliringa allah akawa angamiza , ebu pia kido muwape kisa cha nabii nuh vile alikua ana tharauliwa na qowm yake wakifunga masikio, hawa ni wazuri wana sikiza daawa ya Allah, na Allah awaongoze awfunguliye moyo wao. amiin
Ni kweli wengi wao hata hawajui Mwenyezi Mungu
Masha Allah
Assalam Alaykum
Sheikh nakufuatilia sana na nasoma mengi kutoka kwako Alhamdulillah
Jazaakallahu kheri
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh masha Allah
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabatakatuhu,,carrier bila kiuta
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh mpaka kieleweke inn shaa Allah
Mash Allah fundisho vizuri
Masha Allah ujumbe unafika pole pole tu inn shaa Allah
Wa alaikum salaam warahmatullahi wabarakatuhu
Masha Allah
Salim na Ali allah..hawatie nguvu na afya nzuri ili mzidi kulingani watu Kwa uslamu.
Aameen ameen ameen
Allah asema katika sura ya 36 ayah ya 68 tunaye mzeesha tunamrudisha nyuma katika umbo Basi je hawazingatii
Kabisa Allah atupe mwisho mwema
Amin
Mashaallah
Sjachelewa 😅😅😅😅nashukuru
Masha Allah tunakupenda kwa ajili ya Allah
Ustadh Ali @ 7:36 "Hio ni njaa" 😂😂😂
Mm nachelewa siku hizi
Ili mradtumefika nyumban kwetu kwa Mwl salim❤❤❤
Bora umefka karb
Tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
Kabisa @@JamilaJumanne-u7q
Tupo pamoja Kama kawaida inshallah
Masha Allah
Mkate bila siyagi 😂😂😂😂😂
🤣😂🤣🤣🤣 kitaeleweka tu
Assalam aleykum warahmatullah wabarakatuh
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Allahamdhulla