KAMWE ATANGAZA KUMSAMEHE FEISAL/"ANAWEZA KURUDI YANGA/UKAGUZI WA MAGETI YA AMANI/SITI YA FEI IPO".

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 138

  • @BeatriceCharles-f8t
    @BeatriceCharles-f8t Месяц назад

    Kila saa adi siamini kama kweli fei ndo anasema au ni waandishi tu kaka fei popote ulipo nakuombea makubwa ndani ya clabu yetu mngu akujalie maisha marefu na yenye upendo inshallah 💚💚💚

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu Месяц назад +12

    Ally Ally kazi yawusemaji inagustahiri kabisaaaaaaa kunawakera kabisa Dube unanifurahisha💐💐💐💐hatumutaki acauyobwege Fei hatumutaki yende simba

  • @AlgahOngillah
    @AlgahOngillah Месяц назад

    Unajuwa kuwakera kaka penda sana wewe❤❤❤

  • @LucasLugwae
    @LucasLugwae Месяц назад +1

    Big up sana mwananch mwenzangu

  • @SospeterNdaga
    @SospeterNdaga Месяц назад +7

    Mwambie dube akipiga shuty akahakikishe siku Ile angewapiga kolo ukala nguzo angemalizia

  • @sigifridimushi6727
    @sigifridimushi6727 Месяц назад +10

    Kaka unajuwa kuwakera sana😂😂😂

  • @emanuelsamwel999
    @emanuelsamwel999 Месяц назад +1

    Feisal ❤

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku Месяц назад

    Duuu Leo umechachamaaa alooo😂😂😂😂
    Eti amukamingihomu amukamingihome

  • @BarikiMangula
    @BarikiMangula 28 дней назад

    Feisal arud tuu young afrcans

  • @ClaudLugome
    @ClaudLugome Месяц назад

    Saw

  • @aloycemaarifa8603
    @aloycemaarifa8603 Месяц назад +5

    ALLY ANAJUA KUKERA MPAKA MWISHO AISEE

  • @mohamedikisinga9714
    @mohamedikisinga9714 Месяц назад

    Nakubali sana kaka kamwe

  • @damio_2679
    @damio_2679 Месяц назад

    Uyo mtu asiye na ndoto ya kuchza yanga ni KAGOMA😹

  • @SiSi_The_Mc_From_LD
    @SiSi_The_Mc_From_LD Месяц назад

    ....Ally kamwe unajua sanaaaah....❤😅❤

  • @Sumaiyafisoo
    @Sumaiyafisoo Месяц назад

    Hiiiiiiiiiiiii ndo yanga 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉semaji Ali kamwe 🎉😂😂

  • @EsterMavika
    @EsterMavika Месяц назад

    Maneno ya mkosaji hayo baada ya kumkosa amekuwa mdogo 😂😂😂😂😂na mliangaika Sana jamani ila Mliangaika adi kulilia kuombwa msamaha😢akawaonyesha amekuwa hatishiwi nyauu😅😅😅

  • @MussaOmary-h5n
    @MussaOmary-h5n Месяц назад

    Siyorazima kucheza Kwa mkapa sisi yanga tunajari Sana mashabiki wetyu sehemu yoyote Ile kwhy ssa Zanzibar nisehemu ya watanzania wengi yanga ndy maana mchezo

  • @mosokaisack12
    @mosokaisack12 Месяц назад +1

    All the best champions

  • @MaulidMaulid-i2p
    @MaulidMaulid-i2p Месяц назад +4

    Ahmed mboga sana kwa ali kamwe

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад

      Kwakuwa akili zenu zinafanana ni upo sawa kabisa

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 Месяц назад

      ​@@IbniAbbas-yz3ktKwani uongo?

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад

      @@frankhoffa8356 kwakuwa akili zenu zinafanana ni ukweli!!

  • @avii9971
    @avii9971 Месяц назад

    Subirinii mbogamboga Feikubwa awafanyie ubaya ubwela🤣
    Yanga timu ya waoga shobo zote kuogopa Fei kutua Simba😃

  • @ReiphanLusungu
    @ReiphanLusungu Месяц назад

    😂😂😂😂Ongeza unaaaa sillah na fei tena mnata tukombe wote😁😁😁

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu Месяц назад

    Kweli awe anahakikisha limeingia kabisaaa asiwahi kutabasam😂😂😂😂😂😂

  • @laizertajiri143
    @laizertajiri143 Месяц назад +1

    Huyu dogo max aache uchoyo wa kutoa pasi , ubinafsi aweke pas asiangalie tyu kubutua mpira

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn Месяц назад +2

    Safi sana semaji la cuf BARANI AFRICA ongeza makelooo Kwa makolo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @williamdungumaro6668
    @williamdungumaro6668 Месяц назад

    Au mm nimesikia vibaya dume

  • @jumannendayigeze2899
    @jumannendayigeze2899 Месяц назад

    Kwa maoni yangu Feisal asirudi Yanga anadharau sana wachezaji wazuri kuliko yeye wapo wengi

  • @ferdinandikubila3669
    @ferdinandikubila3669 Месяц назад +2

    Wakele sana hao

  • @EliasDaniel-mi4xs
    @EliasDaniel-mi4xs Месяц назад +3

    YANGA BINGWA 🇹🇿🔰💚💕

  • @TotapaChinhoco
    @TotapaChinhoco Месяц назад +5

    Hawo majirani watapata tsbuu Sana kalibuni yanga mupate rahaaaaaa

    • @benmbwele
      @benmbwele Месяц назад

      Yanga haina majirani

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t Месяц назад

    Hakiiisheni fei anarudi jamn kashakubalia kosa tumensamehe

  • @HusseinBundara
    @HusseinBundara Месяц назад

    Kaqoma vipi mbona kimya 😢😢😢😢😢😢

  • @ZamoyoniCharles
    @ZamoyoniCharles Месяц назад +1

    Kaka nakuomba wakere kidogo kidogo nakuomba😅😅😅😅

  • @ShegaShegalo
    @ShegaShegalo Месяц назад

    Mkalipe deni chamanzi

  • @sulehamad8700
    @sulehamad8700 Месяц назад +4

    am coming home coming home

  • @perepetuajohn
    @perepetuajohn Месяц назад +2

    💛💛💛💛💚💚💚💚. For rever

  • @ajibchinguwile6127
    @ajibchinguwile6127 Месяц назад +1

    huyo hasirudi tena yanga ni mkorofi wa tabia na maneno yake kwani tabia ya mtu haiwezi kubadilika ukubwani iko kwenye damu yake

  • @MARYCHARLES-p6m
    @MARYCHARLES-p6m Месяц назад

    Yanga Raha jamani.

  • @fazo-kl9fu
    @fazo-kl9fu Месяц назад +1

    Tumusamehe tu fei jinga

  • @SixBatani
    @SixBatani Месяц назад

    Nawewe ukuwe kimawazo ndugu FEI aliisamehe yanga kivipi wakati Mikataba ilimukata

  • @MalaikaBright-rv6yb
    @MalaikaBright-rv6yb Месяц назад

    😂,😂😂
    Alikamwe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @philemornmutta1597
    @philemornmutta1597 Месяц назад

    Vip tunalipia au tunaingia Bure na supu juu

  • @abdulswamadfakih7327
    @abdulswamadfakih7327 Месяц назад

    Fei ameniambia hawezi kuchezea yanga bora akavue samaki Kwaza mulimkejali mama yake alie mueka mienzi 9 tumboni halafu arudi yanga kweli.

  • @Elgansway-g7w
    @Elgansway-g7w Месяц назад

    Umbea tuu akuna dua apo anakuja simba uyo

  • @JacksonKiwike
    @JacksonKiwike Месяц назад +1

    Toto Silah Kamwe like hapaaa😅😅

  • @MAGEMEYOHANA
    @MAGEMEYOHANA Месяц назад +1

    Sho sho mpaka faino wananchii iiiiiiiii

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t Месяц назад

    Ahmed hana kitu wala manara mbele ya huyu jamaa

  • @MpajiBakari
    @MpajiBakari Месяц назад

    Huyo mchezaj mdog ni kagoma

  • @JonathanMgaiwa
    @JonathanMgaiwa Месяц назад

    Kumsanehe kwa kosa lipi, anarudia tena kauli za kipuuzi kama kwa kagoma?

  • @franccoz94
    @franccoz94 Месяц назад +2

    SIO KWAMBA FEITOTO NDOO ALIANZA KUWASAMEHEE

    • @deven.oauditx7547
      @deven.oauditx7547 Месяц назад +2

      Fei Toto alipishana na gari la mshahara.

    • @othmantv2654
      @othmantv2654 Месяц назад +2

      Vyovyote tu ni sawa kwan hujapenda😂😂😂

  • @AliAli-h3d
    @AliAli-h3d Месяц назад

    Chawa wa dube uyo asiwashuhulishe

  • @Veni584
    @Veni584 Месяц назад

    Feisali ana gundu msimpokee

  • @witnesskagirigiri3763
    @witnesskagirigiri3763 Месяц назад

    Kukaribisha adui ni njia mojawapo ya kukaribisha kifo .yanga kumkaribisha Feisal ni sawa na kuleta sumu ndani ya nyumba.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan Месяц назад

    KAMA ALIVYOWASHONA MIKIA FC

  • @SiSi_The_Mc_From_LD
    @SiSi_The_Mc_From_LD Месяц назад

    Kagoma ni mtoto wa nuhuui 😂😂😂

  • @Haruni-e4d
    @Haruni-e4d Месяц назад

    Yaan aka kajamaa kanamuiga semaji la caf ..et tutashangilia zikifik tatu

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e Месяц назад

    Fei arudi nyumbaniiii

  • @FrancisTissian
    @FrancisTissian Месяц назад

    Hawaelew maana ya over

  • @mtumpole8446
    @mtumpole8446 Месяц назад

    Duh eti cheka 2 msemaji wa simba

  • @pillyjuma3435
    @pillyjuma3435 Месяц назад

    Acha shobo kwa mali za watu,umeleta shobo na kagoma umeaibika,kiki azitafutwi kwa shobo na wachezaji wa timu nyingine bro.

  • @aloycemaarifa8603
    @aloycemaarifa8603 Месяц назад +1

    Endelea kuwakera mpaka waseeemw

  • @NelsonMatambo-m3i
    @NelsonMatambo-m3i Месяц назад +1

    Flei toto hana namba yanga naona makolo mnaumia

  • @salehhassan87
    @salehhassan87 Месяц назад

    Kibu uyooo

  • @EmmanuelMrimi-v1r
    @EmmanuelMrimi-v1r Месяц назад

    Hakikishaa broo kuw fei anarud jangwani

  • @Allymohamediniuka
    @Allymohamediniuka Месяц назад

    Sisi semaji wetu Ana ukatuni nimsemaji alienyooka kwenyekazi yake ukatuni uko kwa panyalodi

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw Месяц назад

    Duu mtoto wa nuh waty wanamaneno😂

  • @LeahWilliam-i3z
    @LeahWilliam-i3z Месяц назад

    Wape hao

  • @RamadhaniChamuange
    @RamadhaniChamuange Месяц назад

    Yaan fei wakumkimbilia hivyo??? Ali tuombe msamaha Wana yanga omba msahama na wazee wa yanga

  • @rasheedseleman9779
    @rasheedseleman9779 Месяц назад

    Akili ndogo

  • @YusufuMwamlengaMwamlenga
    @YusufuMwamlengaMwamlenga Месяц назад

    Huo ni uongo,nyie utopolo hamna uwezo wakujaza uwanja klabu bingwa afrika,ndio maana mmekimbilia zanzibar,huyo dube anakosa magoli kumi anafunga moja,hamna lolote😅😮😅😅

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Месяц назад

      Mbn nyie mnafurahia kujaza uwanja wa kmc sabu ni mdogo unajaa mashabiki 10 ,kwann msijaze kwa mkapa

    • @sebastianfabian-mt5wh
      @sebastianfabian-mt5wh Месяц назад

      Nyie shirikisho mukwala si alishinda hat-trick 😂😂

  • @emmanuelmahuyemba8947
    @emmanuelmahuyemba8947 Месяц назад +2

    Uchawa kwa wingi Al kamwe

  • @rapermpole5871
    @rapermpole5871 Месяц назад

    Ashura ma U. T. I akijaribu kuwapelekesha wajinga wenzake😂😂😂

    • @sirurithomas3126
      @sirurithomas3126 Месяц назад

      Ulichokiropoka hata hakina uhalisia ila umeonyesha ujinga wako ni kiasi gani na Hilo likichwa lako ubongo umechanyika na mavi hamna akili humo kweli Hilo likichwa ng'ombe wewe

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 Месяц назад

    Psychology ya Dube haiko sawasawa, asidiwe!

  • @lotimwansule5017
    @lotimwansule5017 Месяц назад

    Vipi kagoma

  • @alinahoda443
    @alinahoda443 Месяц назад

    Kagoma uyo tu

  • @salmagodfrey4043
    @salmagodfrey4043 Месяц назад +1

    Wape wasikie

  • @JoashWilliam
    @JoashWilliam Месяц назад +1

    😂😂😂😂

  • @tonytruth125
    @tonytruth125 Месяц назад

    Hawa mapimbi wanatafuta kiki wapuuzi sana hawa
    😂😂😂 Juzi kati hapa walikua wanapita na mkataba wa Kagoma sasa hivi wameanza tena na Feilasufi kweli hawa fungu la kukosa aka mgongo wazi ni mabwabwa

    • @tonytruth125
      @tonytruth125 Месяц назад

      Wakati wanapita na mkataba wa kagoma kagoma anaendelea kucheza simba na sasa hivi mechi ya jumapili vs Visukari FC kutoka Libya kagoma ni mgeni rasmi

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Месяц назад

      Sasa kagoma ni mchezaji wakuwaza? 😂 yule ni sawa na mzee magoma tu

  • @godfreymakau3932
    @godfreymakau3932 Месяц назад

    Hahahaaaa

  • @IssaBushir-y9z
    @IssaBushir-y9z Месяц назад

    Halafu wanawo mlaumu dube wewe na adabu mana dube kaka nje ya uwanja miezi6 halafu unamlaumu

  • @mbarakasijaona7638
    @mbarakasijaona7638 Месяц назад

    😂😂😂😂 katafute jina.

  • @christopherkazumba1952
    @christopherkazumba1952 Месяц назад

    Sana

  • @isayafelisiani
    @isayafelisiani Месяц назад +1

    yani wewe na mwana shelia wako mna akili ya vbudu tu by ubaya ubwera😂😂😂😂

  • @aishafranco1055
    @aishafranco1055 Месяц назад

    KAMA UNA MKUBALI ALLY KAMWE GONGA LIKE TUJUANE

  • @athumanmsuya2688
    @athumanmsuya2688 Месяц назад

    Uchumi mdogo nyie,pigeni mdomo tu timu ndogo.simba nguvu moja

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Месяц назад

      Tunasubir mtolewe kwa mkapa mtie aibu ndo mtajua timu kubwa ni ipi😂

  • @ElishaOisso
    @ElishaOisso Месяц назад

    Kagoma ndo hana ndoto hiyo ya kitopolo

    • @UmmyHamisi-ru2rw
      @UmmyHamisi-ru2rw Месяц назад +1

      Uyo kagoma ana jipya gan?chefuuu

    • @benjaminkundy128
      @benjaminkundy128 Месяц назад

      Hana namba yanga​@@UmmyHamisi-ru2rw

    • @greysonkisinda7390
      @greysonkisinda7390 Месяц назад

      Kagoma juzi mnacheza na tripol hajui hata afanye nn yupo yupo ametepeta kama nini ndo huyo wakumuongelea kuwa mchezaji pale yanga? Apeleke ushuzi huko

  • @graceabdalla
    @graceabdalla Месяц назад +1

    Huyu dogo bado sana kwa Ahmad All

    • @JobJohnson-gp1qz
      @JobJohnson-gp1qz Месяц назад +3

      Nimtazamo wako Ata majina yao yapo tofauty

  • @najatsalum2122
    @najatsalum2122 Месяц назад

    Kagom a huyo

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t Месяц назад

    Fesal salum mtu mmbard

  • @hamadabdullah9702
    @hamadabdullah9702 Месяц назад +1

    Hamna lolote washamba nyie mlijua fei atafeli kimpira mungu kawaumbuw na wew ND uliomsema vibaya wew

    • @LeylaSaria
      @LeylaSaria Месяц назад +1

      Sas sikia zandaaaaaaan Fri anarud nyumbn amn usiamn mwez wa kwanz sy mbali nin uhakika n ninachokisema 😂

    • @HajiJuma-oy1jy
      @HajiJuma-oy1jy Месяц назад +1

      Mabwela wapuuzi sana kwani Yanga imefeli wp

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 Месяц назад +1

      Punguza makasiliko si mlijuwa ataenda simba yule mtto kasamehewa kamuomba sana raisi kurudi nyumbani

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад

      ​@@LeylaSariakwani kasahau kula ugali na sukari!?hilo sahau bibie

    • @IbniAbbas-yz3kt
      @IbniAbbas-yz3kt Месяц назад

      ​@@selemanisalum7685ndomana mnaambiwa wenye akili timamu ni wa3😊mnapenda sana kiki za kitoto,mmetoka kwa Kagoma mmeamia kwa Fei!na kwakuwa akili zenu zinafanana mnamsikiliza na kumuamini huyo njiti wenu😅hamnazo kweli nyie

  • @twalbuhaji
    @twalbuhaji Месяц назад

    Tatizo lako ally kamwe unajisahau unazani ulivyo kua ukimponda fei toto kwamba wanayanga wote tulikua tunarizika

    • @benjaminchristopher219
      @benjaminchristopher219 Месяц назад +1

      Hayo ni maneno ya Mpira mbona mnamsema chama kazeeka baada ya kuja yanga

    • @hatibbaraka3956
      @hatibbaraka3956 Месяц назад +1

      Ni kawaida kabisa hata kwa wenzetu tunaona mchezaji akitoka kwenda team nyengine na bado wanamuhitaji lazima kejeli,kutukanwa,zomeazomea na anaporudi yanasahaulika yaliyopita kazi inaendelea.

  • @mustaphasegeja1712
    @mustaphasegeja1712 Месяц назад

    Acha propaganda kuhusu dube

  • @daudkondo4069
    @daudkondo4069 Месяц назад +1

    Weka akiba ya maneno usijisahau wazee Wana hekima zao na wazee wakikukataa hutokaa hapo

    • @godlistengodlisten7552
      @godlistengodlisten7552 Месяц назад +2

      Wacha Kumtisha Msemaji Wetu Wewe Kolo Wazee Wetu Wakiombwa Msamaha Wanaelewa,Sio Nyi Makolo Kolo Mnalalamika Kila Kukicha 🤣🤣🤣

    • @selemanisalum7685
      @selemanisalum7685 Месяц назад +1

      Vijana ndio taifa lasasa wazee wetu wapumzike wao ni washauri umeonaeee sasa punguza makasiliko

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je Месяц назад +1

    God yanga ameajiriwa na yeye yanga?

    • @mohammedmohamed9969
      @mohammedmohamed9969 Месяц назад +7

      Dr mo na gb32 pia wameajiriwa Simba???

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 Месяц назад

      Umemjibu vizuri sana maana anajizima data​@@mohammedmohamed9969

    • @Mboemo
      @Mboemo Месяц назад

      Naongezea na Mzalamo je, na yule binti wenu je

  • @jacksoneliasi5566
    @jacksoneliasi5566 Месяц назад +1

    Acha shombo wewe

  • @emanuelsamwel999
    @emanuelsamwel999 Месяц назад +1

    Feisal ❤

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku Месяц назад +1

    Duuu Leo umechachamaaa alooo😂😂😂😂
    Eti amukamingihomu amukamingihome

  • @MpajiBakari
    @MpajiBakari Месяц назад

    Huyo mchezaj mdog ni kagoma

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Месяц назад

    😂😂😂