Mbunge Ataka Serikali Kutoa Taarifa Mradi wa LNG Lindi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 сен 2024
  • Leo Juni 20, 2024, ni bunge la 12 mkutano wa 15 kikao cha 50 ambapo kwa sasa ni kipindi cha maswali na majibu katika wizara mbalimbali
    Ratiba za Bunge leo ni
    DUA
    MASWALI KWA WAZIRI MKUU
    MASWALI YA KAWAIDA
    MISWADA YA SHERIA YA SERIKALI
    HOJA ZA SERIKALI
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

Комментарии • 2

  • @1961nungwi
    @1961nungwi 3 месяца назад

    Mimi nadhani km 5 za lami ni za TRL wakishirikiana na Tanroads/Tarura. na Halmashauri ya Moro. Waziri ana majukumu makubwa zaidi ya Kitaifa
    Kwa Upande wa mradi wa gesi wa LNG, hapa Mh. Rais atakuwa amecheza kama Pele; yaani mradi huu utaivusha Nchi hii pakubwa sana! Mradi huu utamuingiza Mh. Rais kwenye Historia ya mafanikio makubwa mno katika Nchi hii.

  • @mohamedmbalazi748
    @mohamedmbalazi748 2 месяца назад

    Huyo jiran si ni mbunge wa singida. Mmmh basi tu