Usifanye ngono kama una Homa ya Ini..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 авг 2019
  • Dr Sizya ni Dactarikutoka hospitali ya Muhimbili,amezungumzia umuhimu wa chanjo ya Homa ya ini,tayari wapo wenye maambukizi na tunaishi nao bila kujua kinachowasumbua,wakubwa, watoto pia.Niungojwa usikuwa na tiba ya kupona. Insta @sizya_official @Tirarira2

Комментарии • 36

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 4 года назад +1

    TIRA you are best...tugonge likes hapa..

  • @nahodamussa6794
    @nahodamussa6794 3 года назад +1

    Kwakwel nilikua ninahofu sana
    Ila sasa umeniweka saw Ahsante sana Dkr

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan8184 3 года назад +1

    Ni kweli, ni vema kuwa makini, hasa kwenye wizara ya afya

  • @athumanikimwaga6734
    @athumanikimwaga6734 3 года назад +1

    kipindi kizuri sana...unapata wataalam wazuri sana...hongera...ila neno la mwisho ili liwe the best iwe....."kuwakinga watu wote ambao hawana maambukizi" unao wapenda na usio wapenda ...the Good word is reward

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 года назад

      🙏🙏🙏Ahsanteee

    • @athumanikimwaga6734
      @athumanikimwaga6734 3 года назад

      @@thexoshowtira Can i have a phone number of dr. Sizya ? if need a permission from him pls do it on behalf of me...

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 года назад

      0711520308 Dr Sizya

    • @athumanikimwaga6734
      @athumanikimwaga6734 3 года назад +1

      @@thexoshowtiraWow thanks v.much may Allah bless and keep u fil-Janah

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  3 года назад

      0655205458 nyingine kama hiyo hapatikani

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 2 года назад

    Safi

  • @najma3268
    @najma3268 5 лет назад +3

    Jaman tb ilinipeleka nilikua nasubiri tu muda tu wa kufa , tena nikiwa na umri wa miaka 17 nilivyougua, mungu mkubwa kwakweli

  • @saraqali3466
    @saraqali3466 2 месяца назад

    Mm naomb namb zko mn nnachng Moto hiyo naomb msaada wako

  • @marymasanyiwa3529
    @marymasanyiwa3529 4 года назад

    Mungu tuepushe na magonjwa

  • @RickChazy
    @RickChazy 5 лет назад

    ✅✅

  • @ZenaHashimu
    @ZenaHashimu 27 дней назад

    Du hatari sana

  • @saraqali3466
    @saraqali3466 2 месяца назад

    Dokt naomb namba zako mn imenitokea ivo

  • @mc_turuka
    @mc_turuka 2 года назад

    Huyu dada hafai kuwa host wa Kipindi sensitive namna hii.
    Lugha yake inakatisha tamaa sana

  • @chandechande9642
    @chandechande9642 2 года назад

    ongeza vipindi

  • @odiwanyeri13
    @odiwanyeri13 2 года назад

    Kanikweli

  • @salehalbasam41
    @salehalbasam41 4 года назад +2

    Docta dalili zaugonjwa waini zipoje

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  4 года назад

      Angalia show yote ameelezea vizuri

    • @salehalbasam41
      @salehalbasam41 4 года назад

      @@thexoshowtira ajatoa dalili

    • @mc_turuka
      @mc_turuka 2 года назад

      Kuna dalili za Awali na Dalili za Muda mrefu.
      Dalili za Awali zinaweza zisionekane kwa mtu aliye na maambukizi ya Awali kwa maana kwamba Maambukizi ya Muda Mfupi akbaho hukaa si zaidi ya siku 180 ambazo ni miezi 6.
      Na zaidi ya hapo Hutoka Katika Hatua za Awali na Badala yake Huingia katika maambukizi ya Muda mrefu (Chronic)
      Ambapo dalili zake ni Kama Ifuatavyo:
      1.Maumivu Upande wa Kulia Kwenye Mbavu.
      2.Kutokwa Jasho Jingi hasa Wakati wa Usiku.
      3.Mkojo wa Rangi ya kahawia iliyoiva ukiwa na harufu Mbaya.
      4.Muwasho Mwili mzima.
      5.Vipele Vyenye Muwasho sana visivyotoa Maji maji.
      6.Vipele Kwenye Kichwa cha Uume (Kwa Mwanaume)
      Japo wakati mwingine
      7.Macho ya (Njano)
      8.Tumbo Kuvimba
      9.Mwili kuwa Wa Njano.
      Hivyo ni vyema uonapo dalili moja wapo au zote ufike mapema Kwa Daktari kwa ushauri zaidi.
      Usichukukulie poa Afya ndiyo Mtaji.

  • @rose_Winchester86
    @rose_Winchester86 5 лет назад

    Huu ugonjwa upo sana india na china.

    • @dullahbakari4813
      @dullahbakari4813 8 месяцев назад

      China wanadawa kweli maana Tanzania nihakuna kabisaaa

  • @mwakapalamwakapala8317
    @mwakapalamwakapala8317 Год назад

    KWA NINI VIPIMO VYA HOMA YA INI VINA GHARAMA KUBWA

    • @thexoshowtira
      @thexoshowtira  Год назад

      Hapana labda ni mahali ulipofanyia wewe,lakini huduma ipo vituo vyote kwa afya,labda kama ni private ndio kidogo zipo juu

  • @habibahasan7816
    @habibahasan7816 3 года назад

    Anapatikana wapi huyo Dk

  • @najma3268
    @najma3268 5 лет назад +3

    Jaman tb ilinipeleka nilikua nasubiri tu muda tu wa kufa , tena nikiwa na umri wa miaka 17 nilivyougua, mungu mkubwa kwakweli