KHADIJA KOPA APEWA TUZO YA HESHIMA KWENYE MUZIKI -
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Malkia Wa Mipasho Africa Mashariki na Kati @officialkhadijakopa Amepatiwa Tuzo ya Heshima ... Kama Mwanamke Jasiri Aliyepambana Katika Muziki Na Kusimama Imara Mpaka Leo na Amekabidhiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii @hamisi_kigwangalla
Oyooo malikiya wamipasho achaweee bi khadja kopa
Monalisa umefanya kitu cha maana kadja anasitahili hujakosea hata kwa riyama God bless you sister
hongera sana mummy
Hongera sana khadija mama la nama kama unamkubali gonga lak tuwe sawa
C'est bien organisé
Anastahili ni mzoefu, wa siku nyingi na ni mwenye kipaji
Halafu kppa hazeeki
Anasema nimchambe??
Bofya link hapo chini kujifunza mambo mbali mbali kuhusu programming.
ruclips.net/p/PLmSD7ruZf_5Ym3WyTEFYO2f4Wvp3N8TRW