Familia zilizonusurika na mafuriko yaliyosababisha vifo Mai Mahiu wasimulia walioshuhudia

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 май 2024
  • Mafuriko yanaendelea kusababisha vifo na kuathiri kaunti mbalimbali nchini .familia zilizonusurika na mafuriko yaliyosababishwa na kujaa kwa bwawa la old kijabe na kuvunja kingo zake huko mai mahiu kaunti ya nakuru wanasimulia tukio hilo. Mwanahabari wetu aisha seif anasimulia na habari zaidi.

Комментарии • 17