A very dramatic scene on the road!! "Alitravel from far kuja kutaabishwa Kanairo na mapenzi" 💔💔

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 дек 2024

Комментарии • 713

  • @bephine655
    @bephine655 Год назад +117

    Team strong wenye hudate online na kukosana before wameet pita na like😀😀

    • @tomkyalo1107
      @tomkyalo1107 Год назад

      Iyo nayo ni kali

    • @bephine655
      @bephine655 Год назад +1

      @@tomkyalo1107 and that's the theme of our love🤣🤣

    • @tomkyalo1107
      @tomkyalo1107 Год назад +1

      @@bephine655 aii ukweli?

    • @tomkyalo1107
      @tomkyalo1107 Год назад +1

      Kudate online na contract ikiisha pia iyo pezi imeisha ooh my God

    • @philipmogere4984
      @philipmogere4984 Год назад

      Unaniongelelea

  • @artv7630
    @artv7630 Год назад +168

    I dated a girl from Mombasa, bro, nilipigwa heartbreak Hadi nikanyoa dreads😢😢

  • @shazshazzie
    @shazshazzie Год назад +45

    the laughter is what makes this show interesting 😂😂😂

  • @kaylor_0004
    @kaylor_0004 Год назад +47

    Team Hamam weka like tukisonga 😹😹 kidogo nipatwe na waiguru 😂🤣🤣 wweuh ebu nisugue Hamam 🤣🤣🤣🤣

  • @estherMwololo-wv6sf
    @estherMwololo-wv6sf Год назад +14

    After long day Kwa mwarabu only thing unifurahisha is this show mpaka nasahau kaa nimechoka big up pluto

  • @davidwahome6127
    @davidwahome6127 Год назад +8

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 huku leo..."Nyi watu wa Nairobi mli peleka mapenzi wapi" 😂😂😂its getting crazy

  • @dorothyshee777
    @dorothyshee777 Год назад +162

    Wenye tunapenda drama piga like tukisonga 😹 meanwhile nifikisheni 2k subscribers

    • @highlife882
      @highlife882 Год назад +2

      Mm nifikishieni 100 pekee nitashukuru sana

    • @mercynekesa1481
      @mercynekesa1481 Год назад

      😂😂😂😂mtoi c wake n wa kuwekelewa

  • @cool_kid5911
    @cool_kid5911 Год назад +25

    "Hao madem wengine ni wa kuosha bundee" left me crawling on floor

  • @trevarene1566
    @trevarene1566 Год назад +18

    😂😂😂😂😂Dickson Munene ama Kanini kega was just chilling, alaf boom kuvunjika😅💔

    • @Kalenjinlady
      @Kalenjinlady Год назад

      Unataka kanini avunje Dickson😂😂😂

  • @carolmontanah8526
    @carolmontanah8526 Год назад +21

    I just love the way i wakes up moodless and finds new hits walai nabambika t c mnipee likes za kunikaribisha walai😂❤❤

  • @rickopats4950
    @rickopats4950 Год назад +43

    This lady is a real vibe..... Her handling of mapenzi issues is on another level...😂😂😂

  • @sherryshariff1742
    @sherryshariff1742 Год назад +11

    Mapema ndio best mnipe like zangu🥰

  • @willymwas935
    @willymwas935 Год назад +20

    This one here have made my day😂😂😂 weeuwee cheating finnest🤦💔

  • @LoiseMike-m8p
    @LoiseMike-m8p Год назад +4

    Weeeeh ni kumoto 🤟🔥🔥🔥....,this show hunijengea siku...., amazing plutoo

  • @neemawanyaga9865
    @neemawanyaga9865 Год назад +26

    I love this intro the song and plutos laughter is on onother level😂🔥🔥🔥

  • @reginaphilip2644
    @reginaphilip2644 Год назад +8

    Mapenzi ya mtandaoni ,,lazima nopende dramaaaaa,,🔥🔥🔥🔥🔥

  • @losiekupeter3951
    @losiekupeter3951 Год назад +5

    Great work pluto may God shower you blessings and power to do that work 💖💖🙏🙏🙏

  • @Smiley-us4rs
    @Smiley-us4rs Год назад +5

    Kibe said 😂😂Do not trust a woman involved in online dating apps ...kibe oyeeeee❤😂

  • @liliandavid7163
    @liliandavid7163 Год назад +2

    My Morning Breakfast,,,,,, Great Job Thee Pluto

  • @kaylor_0004
    @kaylor_0004 Год назад +13

    For once I thought ni mulamwa wweuh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 who else

  • @VitalisAsundaShinyeka
    @VitalisAsundaShinyeka Год назад +2

    This is hot air mapenzi ya mwezi mmoja boom na hivyo ndio mambo imechemkaaaaa team 2024 we are never later renew hiyo kitu🤣🤣🤣🤣🤣

  • @bonfacengari-v2f
    @bonfacengari-v2f Год назад +1

    thi is good kalibuniwache kuview hi show but tukaludia old ways nice one bro

  • @Glorygaichiumia
    @Glorygaichiumia Год назад +1

    Ahk pluto usijali iyo mbio unakimbia hadi unashindwa kupumua God will pay you bro. Keep up

  • @MERCYMURIUKI-ot7eh
    @MERCYMURIUKI-ot7eh Год назад +4

    Wenye hatujawahi shikwa na thee pluto thumbs up to us👍👍👍

  • @kartelokeiz7347
    @kartelokeiz7347 Год назад +5

    Madem wa pwani wajua mapenzi kweli 😂🥰

  • @Johntez02
    @Johntez02 Год назад +10

    Yani Pluto umeamua kumaliz relationship time wmepatana huna huruma kweli🤣🤣🤣🤣

  • @peternjathy3546
    @peternjathy3546 Год назад +5

    Saluti kwa madem wa Mombasa na Tanzania, hawa madem hukua Romantic 💏

  • @mwauramartha4223
    @mwauramartha4223 Год назад +6

    1st viewer hizo likes

  • @samuelmakumi9238
    @samuelmakumi9238 Год назад +5

    Sasa tutafute sura unique😂😂,,,,,hawa warembo watamaliza wanaume na stress😂😂😂😂

  • @patrickgitau9912
    @patrickgitau9912 Год назад +2

    Ndevu zinandunga kcc unaskia wueeh unaskia waah💞💞💞

  • @royamani
    @royamani Год назад +2

    Watu wa Nairobi mapenzi mliyapeleka wapi😅😅😅😅😅hawaa hata c couple wallah 😅😅😅😅😅😅sina ubaya broo Pluto show bado iko on 🔥🔥🔥🔥

  • @gladyskamanda9756
    @gladyskamanda9756 Год назад +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂 I like the way pluto anawaangalia

  • @Daphne362
    @Daphne362 Год назад +7

    Nani anataka chai na chapo? Hii ndiyo ina Bamba😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣so huyu alikuja kudai pesa yake na sio mapenzi😢jamani dunia simama nishuke🤣🤣🤣🤣😂🤣

  • @lizzkamande7835
    @lizzkamande7835 Год назад +2

    wueeeh kunachemka😂......lit 🔥plutoo u really mek my day

  • @johntez25mc-supercop
    @johntez25mc-supercop Год назад +5

    Mapema ndo best,,, boychild wanateswaaa😂😂😂😂,, we want problems

  • @vls2627
    @vls2627 Год назад +2

    Kwany huyu ni Munga wa wakadinali🔥🔥

  • @yahayakiboko8733
    @yahayakiboko8733 Год назад +8

    😂🖐️one love from 🇹🇿 , gonga like 🏌🏻‍♂️

  • @spunk.254
    @spunk.254 Год назад +5

    Njoro wa uber was chilling then boom 😂😂

  • @genemuthoni6607
    @genemuthoni6607 Год назад +2

    Pluto I miss gang yako yakucheka nayo nawatusalimie akina kabudeng alafu pia hii stingo mpya yaku approach couples wachana nayo we love how you did it before but siati pia hii mpya nimbaya

  • @silence_channel
    @silence_channel Год назад +6

    Uyu mwanamke mwizi sana 😂

  • @marymburu352
    @marymburu352 Год назад +5

    Karibu nifike mapema leo😂😂😂

  • @yvonnengatha6260
    @yvonnengatha6260 Год назад +2

    Pluto Mimi kicheko yako ndio nataka kuskia buanaaaa ,, anyway welcome back bro

  • @joycekarisa72
    @joycekarisa72 Год назад +2

    Hiki kiswahili chetu Kiko level ingine❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 Mombasa hoyeeeeeee🎉😂😂😂😂

    • @monicah8442
      @monicah8442 Год назад

      ​@PETER FLEXX hoyeee

    • @ramearfe9509
      @ramearfe9509 Год назад

      Hyu nae n mgiriama....ama nimeona vibaya

  • @jaspedsharq
    @jaspedsharq Год назад +8

    Mambo imechemka 😂😂😂💔

  • @janewanjiku3227
    @janewanjiku3227 Год назад +5

    Weuh watu wanakulana vibaya sana huko nje 😂😂😂
    Kama hunitoi soko
    Nitoe kutu 🥵🥵

  • @marysherry1874
    @marysherry1874 Год назад +3

    Competition stiff Mombasa wazungushiana Nairobi twaelekea hapo😂😂😂😂😂

  • @ShawnLexon
    @ShawnLexon Год назад +8

    Keep them coming 🔥🔥🔥

  • @Samwelimagaba
    @Samwelimagaba Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂 uyu demu atali saana 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @janetmutua1822
    @janetmutua1822 Год назад +5

    We need more dra😢

  • @kabudaspride5809
    @kabudaspride5809 Год назад +1

    Wanipenda joined 😂😂😂 bro welcome soko bana izah joh

  • @munehjd9118
    @munehjd9118 Год назад +7

    Without apology they dont rhyme at all

  • @monalyiza
    @monalyiza Год назад +1

    Nipeeni subscription manze🥰🥰 thee Pluto amepatana na wale wasee🤣🤣🤣

  • @fastnetcyber1675
    @fastnetcyber1675 Год назад +8

    A very dramatic scene on the road!! "Nitakuzungushia kiuno hadi dïk ikiwa ndani ivunjike" 💔💔

  • @damariskimeu4930
    @damariskimeu4930 Год назад +6

    Mapenzi ikifika kwa hii stage hakunaga tena feelings tena

  • @alexmwenze1920
    @alexmwenze1920 Год назад +1

    Mapema ndio best tweeenda mombasa

  • @warrensantana1570
    @warrensantana1570 Год назад +2

    Huyu ni mbaluhya alifika Mombasa,akajidai mswahili uswahili hauwezi,msheenzi sana

    • @bossmama01
      @bossmama01 Год назад

      Kumbe umeona,,Awinja ni mluhya 😂wakifika coast wanajiona waswahili

    • @portiavalencia
      @portiavalencia Год назад

      Mmmh naona Asante warren

    • @portiavalencia
      @portiavalencia Год назад

      Warren and boss mama do you know the meaning of acting so watch and feel sheenzi ni we

  • @lucywanjiru9234
    @lucywanjiru9234 Год назад +12

    Tune in like lack of important 😂 weeeh wadau it's been long but finally am back ,mean while when I was away I miss Baba Zoey laughter 😂😂😂 plus show some love

  • @mirabel427
    @mirabel427 Год назад +2

    Kazi n kupeana rosecoco 😂😂😂😂😂😂😂

  • @baibe...rino..
    @baibe...rino.. Год назад +2

    Kitawaramba wenyewe😂😂😂😂😂

  • @Kalenjinlady
    @Kalenjinlady Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂the audacity of the girl kushika mzae kuja hapa wanipenda ama hunipendi😂😂😂aki case solved 😂😂😂huyu dem nikama ako na ugonjwa msipochunga ako kusambaza hiyo Nairobi 😂😂😂😂😂😂

  • @kiddybrown7154
    @kiddybrown7154 Год назад +1

    Afu Pluto wewe😂😂😂😂hakuna vyenye utajitetea mbele ya Plutoo😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @EnedGacheri-sc7ny
    @EnedGacheri-sc7ny Год назад

    The Pluto naona uko
    nitafutia mahali pa kuishi juu nimeuza shamba yangu ninue mbs😂🙈🙈🙈😂

  • @CateAbedy
    @CateAbedy Год назад +1

    Wah! Hii nayo ni kali😂😂🤣🤣🤣 I just enjoy the drama🤣🤣

  • @theefinestshow9962
    @theefinestshow9962 Год назад

    Wuuuh pluto apo sasa me upeda sana iii format yenu ya vipi vipi kitu kaaa io adi unafeel vibe inaigia fty manze ......athaways pluto big up man u always made my day aky na team yote ikuje man

  • @marykay2829
    @marykay2829 Год назад +2

    These two are not serious..ety wanaume wa Nairobi mlipeleka wapi mapenzi😅😂hapo Kuna kaukweli

  • @Haustine3507
    @Haustine3507 Год назад

    Mzee wa jabaa, for Dickson munene 😮😮😮

  • @stephieyruwanj2981
    @stephieyruwanj2981 Год назад +2

    Its the Kuna wale wa kusafisha bunde😂😂😂😂😂😂

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Год назад +2

    Mungu anisamehe huyu baba anaonekana anaugonjwa

  • @JoyceWanjiajoy
    @JoyceWanjiajoy Год назад +2

    Wazimu wawili... 😂😂😂😂 Pluto how do you put up with all this..

  • @djshootstarke.
    @djshootstarke. Год назад

    😅😅😅 acha nicheke juu sitalia

  • @nancykariuki9354
    @nancykariuki9354 Год назад +6

    The daily dosage is here🤣🤣

  • @jaysonndungu1920
    @jaysonndungu1920 Год назад

    Ashawo the great 😆😆 there is God oooo

  • @onesskipz
    @onesskipz Год назад +1

    Mambo ya kale jamani achana nayo😅😅😅

  • @deboraanyango5584
    @deboraanyango5584 Год назад

    Eeh fire 🔥 will still continue burning 🔥

  • @miriammaina7707
    @miriammaina7707 Год назад +2

    The one who was taking,,,the last part is too shakey

  • @immaculatewambui2696
    @immaculatewambui2696 Год назад +2

    Bundee was just chilling😊

  • @lydianjoroge
    @lydianjoroge Год назад +2

    Pluto kuna kitu umesahau if you seee a girl traveling from a long distance it all abt love revenge or😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂"FHULUS" team strong how is the volume💴💴💴💴💴💰💰💰💰💰

  • @aishahahmeddy9288
    @aishahahmeddy9288 Год назад

    leo ulichukuaje hizo simu Pluto haukuenda kutafta nyumba leo🤣🤣🤣....the best thing is that Pluto huwezi danganya then kuzuia kicheko kwako ni ngumu sana🤣🤣🤣

  • @lisperkwamboka-mu3wp
    @lisperkwamboka-mu3wp Год назад

    Real movie kwa mapenzi😂😂😂😂😂😂😂batoto ba Mombasa😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @clintoneayugi5449
    @clintoneayugi5449 Год назад +1

    Show Iko lit🔥🔥

  • @pamelawanja9470
    @pamelawanja9470 Год назад +2

    Aki napenda Pluto akicheka 😂😂😂

  • @rhoda9185
    @rhoda9185 Год назад

    😂😂😂😂 Sometimes ni vizuri kunyamaza alafu uchukue Pole pole kama hajui😂😂

  • @christinenjokimweru
    @christinenjokimweru Год назад

    Wah ogopa Dem wa mombasa 😂😂😂😂.but atleast wanajuwa kuzungusha kiuni chuma ikiwa ndani 😌😌😌😌

  • @agnesmulwa3263
    @agnesmulwa3263 Год назад +1

    Huyu ni zuwena wa Kenya🤸🏃

  • @P.k-lw5xy
    @P.k-lw5xy Год назад +2

    Nimeanza kuwaogopa kumbe inaeza vunjika?

  • @natashanelvia729
    @natashanelvia729 Год назад

    😂😂😂day maker wagwan puuuulooop wapi nduruu ww

  • @fedeliskatunge3806
    @fedeliskatunge3806 Год назад

    Pluto ameamua this time maceleb hawakai na amani😂 the laughter😅

  • @juliusotieno9623
    @juliusotieno9623 Год назад +1

    Jama anasema lakini chusday chus😅😅😅day

  • @iddimahinda-lx6rq
    @iddimahinda-lx6rq Год назад +1

    Songa hapaa😂😂 watu wa nairobi mapenzi mlipeleka wapi 🤪

  • @murayalincoln8547
    @murayalincoln8547 Год назад +1

    Kumbe hadi madame hurushwa juu after kutuma pesa 😅 I thought ni boychild tu.
    But she's lucky coz alishikanisha hao maboys kaa customers wa uber akija Nairobi 😂

  • @suleimanmatege3899
    @suleimanmatege3899 Год назад

    Msee wa jaba 😂😂aki pole sana msee wa jabae

  • @masilamwangangi1844
    @masilamwangangi1844 Год назад

    Another fine day still continues fearing woman

  • @fhhfd8449
    @fhhfd8449 Год назад

    Waa wanawake hutoa nguvu wapi ya kutumia wanaume pesa, nie reke nemwo

  • @murray2542
    @murray2542 Год назад +2

    Ukiskia online dating torokaa broo😹😹bure kitakurambaa😹😹💔

  • @bajong_254
    @bajong_254 Год назад +1

    Wa kusafisha nni😂😂

  • @kennedictombayawao1540
    @kennedictombayawao1540 Год назад +4

    😂😂😂 Brother Bernard 😂😂😂😂

  • @mercywangugacheche3902
    @mercywangugacheche3902 Год назад

    that woman : respect!! anajua kuseparate mapenzi na biashara

  • @jecintamwangi4262
    @jecintamwangi4262 Год назад +5

    😂😂😂Day maker😂😂

  • @johntez25mc-supercop
    @johntez25mc-supercop Год назад +6

    Ongopa warembo wa coast na mapenzi😂😂😂😂

  • @jacykariuki
    @jacykariuki Год назад +4

    Kuna siku utapata umesanitize jinii 😂😂😂