Shalom! This is the day the Lord has made. Let us rejoice and be glad in it. My prayer is that as you’re listening to this song Ikawe ukumbusho wa ku kukumbusha ujio wa kuja kwake bwana Yesu una karibia na atakuja kama mwizi. Ni maombi yangu mim na wewe tusije kubaki ambayo Yesu atakapo wa chukua walio wake ni maombi yangu mim na wewe tukaurithi ufalme wa mbinguni maana ndio nyumbani kwetu. Ufunua waeleza zaidi kuja kwa mwana wa Mungu. Na kusihi ndugu yangu mtafute Yesu angali apatikana, mtafute Yesu wakati ni huuu Neema bado ni bure. Kuna nyakati zaja utalitafuta neno hauto liona, kuna nyakati zaja utatafuta kuokoka haitawezekana. UFUNUO 1:3 2 WATHESALONIKE 2:1-12 Blessings!! Karibu tuhudumiwe sote.
Shalom! This is the day the Lord has made. Let us rejoice and be glad in it. My prayer is that as you’re listening to this song
Ikawe ukumbusho wa ku kukumbusha ujio wa kuja kwake bwana Yesu una karibia na atakuja kama mwizi. Ni maombi yangu mim na wewe tusije kubaki ambayo Yesu atakapo wa chukua walio wake ni maombi yangu mim na wewe tukaurithi ufalme wa mbinguni maana ndio nyumbani kwetu. Ufunua waeleza zaidi kuja kwa mwana wa Mungu.
Na kusihi ndugu yangu mtafute Yesu angali apatikana, mtafute Yesu wakati ni huuu Neema bado ni bure. Kuna nyakati zaja utalitafuta neno hauto liona, kuna nyakati zaja utatafuta kuokoka haitawezekana.
UFUNUO 1:3
2 WATHESALONIKE 2:1-12
Blessings!!
Karibu tuhudumiwe sote.
🎉
🙏🙏🙏🙏
😊
Amen ubarikiwe my Dada Mungu akupe neema na kibali
Ubarikiwe dear
Brother anakipaji nakwambia
Muambie Bonnide kapagawa kabisa
Nukuri mugire umugisha mwishi muri Yesu christ
Mubarikwe sana ❤❤
Muhexagirwe can indirimbo kabisa . Nikweri Yesu anapatika uki mtafuta
Mbarikiwe zaidi
Baraka tele, mbarikiwe sana watumishi
Hakika anapatikana🙏
Mbarikiwe sana😍🙏
Video kali na wimbo mzr pia❤
Congrats my young sister
Mubarikiwe sn kwa kazi nzuri.
Amin sana
Be blessed
Wow 🍾
❤🙌nah nah nahhh naaaahh❤️🔥🎶
Mwotooo💥
Amen 🙏
Ndani ya Yesu 😌😍😍
Congrats good song, asante kwa uinjilishaji wa neno la Mungu
Amen amen
Mungu awabariki sana watu wa Mungu
Amen
The joy of having Christ🥹🔥🔥❤️
Amen to this 🫶🏽
Bwana anapatikana Ukimutafuta!!!!! Amina🙏🏽🙌🏾
Yess indeed. Amen.
Nyimbo hii imenifanya nilie 🎉🎉Dada nyimbo nzuri sana Mungu akubaliki
Glory to God.
❤❤❤❤❤😊
Fav song ❤
❤️🎼
Indeed this song is for me oooh ,, been listening to it all day while driving God bless you all for sure
Wow! Glory to God.
Great song 🎉
❤
Ubarikiwe sana Dada, wimbo huu umenibariki mno
Amen amen
RICK CHOSEN GET IT 🎉
🔥🔥🙌🏾
And you both got Angelic voices , I thank God that I know and believe in Jesus at a young age , it’s a blessing and Glory be to him
Amen.
God bless you guys ❤️❤️
Amen 🙌🏽
Mbarikiwe Sana watumishi wà Mungu🙏
Amen Asante
Alice killed it wow 🔥🔥🔥🔥🔥 10/10
Glory to God 🙌🏽
Amen
Amen dada ubarikiwe sana 🙌🥰
Amen
brother hyo voco umeuwa Sana 💕💕
Amin
Upeni shorter ongera kwa madari zuri
Amena❤❤❤❤
Amen
Hallelujah 🙌🙌
❤❤ 1:10
🎉🎉🎉🎉
Good job 🎉🎉🎉
Seen by Amisi Mudimbe
sana
Explicitly amazing music 🎶 🎵 🎉
Baraka tele.
Amen
Yes yes yes mpaka mw
It’s nice song very sweety
❤❤
🎉
Huyo kaka anajuwa saana dada kaharibu sana angemuachia huyo kaka tu
Yesu gani huyo na mabega yako wazi hivyo? Uhuni tu
Who are you to judge others. Acheni unafki , wewe dhambi unazozifanya sirini nani anaku judge ?
Subiria wimbo utoke uenjoy
Acha wivu kijana imba yako lol 😂
This one 🤣🤣utazani yesu wa vallege yao alimtuma kuwambia watu mabaya yao
Kwahiyo tusisemezane ukweli?
@@eliachalamila2259we na Nani munao sema
Be blessed