Maiti imekaa muda mrefu duuh mmemtesa sana baba wa watu na adhabu Daah kullu man a'layhaa faan aende akatukane na Mfalme wa wafalme Allah(sw) Na adhabu zake ni kabwa na kalii kuliko Ya rabb tuongoze waja wako ktk njia nyoofu na tusameheane makosa yetu na utujaalie pepo yako Allahumma aamin
GOD IS GOOD ALL THE TIME, ALL THE TIME GOD IS GOOD. THESE WERE THE WORDS TB JOSHUA SAID BEFORE LEAVING US. INDEED GOD NEVER FAIILS, HE REMAINS THE CONQUEROR OF THE UNIVERSE. SATAN MUST be SORRY FOR HIS TREACHEROUS DEEDS. Forever we cling to God, we are still moaning the death, yet satan brings fire to the church before putting him to his eternal GRAVE!!!! WHAT A SHAME!!!
Acheni comment ujinga wenu huku. Hamumjui Mungu wa kweli mnamjua Freemason. Ninyi ni watoto wa shetani kwa kuwa mnamjua baba yenu kuliko Mungu aliye hai, mwenye nguvu, uweza na mamlaka.
Bwana apendezwi na mfumo huo, watu waliokufa katika Bwana hawaagwi kwa mfumo huo,ni dalili mbaya tubuni kwa Bwana YESU naye atawasamehe,mtu akifa msifanye Ibadan kwa ajili yake Bali kwaajili ya Bwana, maana ibilisi huibua mambo take msipokuwa makini ,ndio maana Mungu BABA alilificha kaburi la Musa mpk Leo maana wangeenda kuabudu pale
Leo Mungu akimpa uhai hapa duniani, naamini ataacha utapeli wake na kudanganya watu na ataamini Mungu mmoja tu mwenye nguvu na asiyeshindwa kumuua yeyote. Hao wafufuaji na dua za uongo zote za kufufua wangemfufua bc huyu ili tujue Mungu wetu mmoja tunae mwamini hana nguvu. Leo Mungu wetu atamtesa Sana huyu, na atamsubr tena aingizwe kaburini ili aiweke tena roho yake na kumtesa zaidi hadi abanwe mbavu zikutane huku akilia na kutubu lkn hatosikilizwa mpk siku ya kufufuliwa. Kumbuka Mungu hashindwi kukufanya lolote na popote.. Ukiwa usingizi unaweza teswa na ndoto hadi mwili ukafa ganz au maumivu makali yaani usingz ukakata na ukawa moyo unaenda mbio. Leo watu wanadanganywa wana m chezea Mungu huku wakisahau kwamba watakutana nae km huyu bwn. Tujifunze kwani wote tutakufa na huku jeuri yetu ni afya zetu lkn tukifa jeur inaisha yote
kila din na utaratibu wake usitake mambo ya kiislam yafanywe na wakristo na mambo ya kikrsto yafanywe na waislam kila watu na desturi na mila zao kuna din iliyoanzishwa na waarab na kunailiyoanzishwa na wazungu kwaiyo hapo new vitu viwili tofauti
@@ramadhanimahongole8764 hakuna dini iliyoanzishwa na mtu ,na desturi zamani wakristo walifata maadili meme,hawakuvaa vimin,viskin mbele ya jamii na walijaa aibu hata kuzika angalia kweny biblia mazishi ya kain na kabil so huko kuhifadh maiti mkizani atafufuka na kumchosha mnaiga upuuzi
@@prettyh7509 Kwanza wewe unakereka na nini? Mbona Osama bin laden mlimzika baharini uliona wenzako upande wa pili wanalalamika? Kila watu wapambane na Mungu wao na imani yao.
Yaani hawa wapopo kwa kuweka maiti muda bila kuzika ni kitu cha kawaida sana kwao, maiti inaweza hifadhiwa hata mwaka ili mradi watu wote hata waliopo mbali wafike na siku ya kuzika ni kama harusi. Watu na mila zao mmmm
@@rosenaadolfu99 mimi nilifikiria anaaga chumba na kitanda chake kizuri kumbe mali zote alizonazo kaishiya kulala monchuwari jamani kweli dunia si kitu tujiandaye na maisha ya akhera
Walijuwa atafufuka? hapa hatuna mji udumuo, usishituke mtu ajapopata utaji, fahari ya nyumba yake ijapozi, ajapokufa hata chukuwa kitu wala fahari yake haimfuata. HATUKUJA NA KITU DUNIANI WALA HATUTOKI NA KITU, ILA ROHO ILIYOPONDEKA TUTAKWENDA NAYO. KUOKOKA NI DUNIANI
@@sweetbertrwiza5982 kama ni msomaji wa biblia mzuri utajua tu hivyo imani za chumvu mafuta sabuni nk hakuna tofauti mashalti ya waganga wa kihenyeji pia utatumia hivyo vitu utavitukuza venyewe na ya kumutukuza Mungu marko 16: 17-18
*_😢😢Eti chanzo shot??? Mali za kishetani huwa Ziko hivyo hivyo, Mwenyewe akifa na Zenyewe zinaondoka, Hata Yule tajiri wa Zambia, GARI zake ziliwaka Moto baada ya kufa_*
Ongeeni machine ndugu zangu, padnali rugambwa alimqliza miaka mingapi bira kuzikwa rasmi, tusiingilie imani za kila mtu, tuangalie maisha yetu tunamalizaje.
Nikweri si wanawaongopea watu na wanajua kwamba wanavyo I fanya sio dini ya haki pesa inawadanganya ss kazi kwake motoni milele kwa raha ya Dunia kidogo tu na yote hivyo kasha sahau kwa Azabu anayoipata
@@catherinejakob8408 yani binadamu bhana! Amuumbue kwa sababu zipi au ndio nyie mnaohukumu msilolijua.tujifunze kimshukuru MUNGU kwa kila jambo kuukumu tumwachie yy.
Moto unaonekana mbona au na ww..... Kuwa makini, g Hawa mashetani hawakosi wafuasi wao. Atachomwa Sana Sana huyu kwa kupotosha watu huku akijiwekea maisha duniani. Anakutana na Mungu huku akila mateso ya milele mpk kiama kifike
@@mbwanarajab4756 mimi.nimeona moto kweli lakini mara nyengine hawa siwaamini maana ningefurahi kuliona hadi jeneza linawaka . na hapa watwambie kuwa maziko yakiajabu maana huyu tumeambiwa tangu mimba yake ya maajabu hadi kufa kwake .
Mmmmmmmmh jamani mbona mambo no mengi sana,Mungu awatie nguvu. ..kumbe alikuwa hajazikwa bado??jamani!!!!hebu wampumzishe baba wa watu.
Hawa wapopo kuweka maiti muda mrefu sana sometimes mpaka miezi 6 had mwaka kwao ni kawaida sana
@@zuriathkajwangya1724 Labda walijua angefufuka
Mm nilikuwa sifatilii j s Ila nikawa najuwa nabii ashazikwa kitambo an kumbe bado hadi July 9
Si bora wengesuburi na sherehe za mwaka mpya kabisa ndio wakamzika
@@Da-cr6ow haha 😆
Maiti imekaa muda mrefu duuh mmemtesa sana baba wa watu na adhabu
Daah kullu man a'layhaa faan aende akatukane na Mfalme wa wafalme Allah(sw)
Na adhabu zake ni kabwa na kalii kuliko
Ya rabb tuongoze waja wako ktk njia nyoofu na tusameheane makosa yetu na utujaalie pepo yako Allahumma aamin
Kwan anekwa muda woote huo masubir afufuke au?
Watumishi wote wanaojificha kwa jina la Mungu Huku wakiwa na mikataba ki kishetani waumbuliwe wote
Kabisaaa
Kabisaaaaa💯ongeza sauti
Hii ishara sio njema.......
Mafreemason
Kweli
Ana kaha wapi uyo
GOD IS GOOD ALL THE TIME, ALL THE TIME GOD IS GOOD. THESE WERE THE WORDS TB JOSHUA SAID BEFORE LEAVING US. INDEED GOD NEVER FAIILS, HE REMAINS THE CONQUEROR OF THE UNIVERSE. SATAN MUST be SORRY FOR HIS TREACHEROUS DEEDS. Forever we cling to God, we are still moaning the death, yet satan brings fire to the church before putting him to his eternal GRAVE!!!! WHAT A SHAME!!!
Mwezi na zaid kbsaaa jamaan🤲🤲
Acheni comment ujinga wenu huku. Hamumjui Mungu wa kweli mnamjua Freemason. Ninyi ni watoto wa shetani kwa kuwa mnamjua baba yenu kuliko Mungu aliye hai, mwenye nguvu, uweza na mamlaka.
Hahahaaaa mungu wa kweli hajasema mtu awekwe miezi anachezewa tuu huyu itakuwa na yeye ana mungu wake
@@subiramohd1895 kuntu maneno yako kabisa
Mungu angekufa aliemuua Mungu ni Nani? Ww unachekesha moto alaliyake huko aliko Mungu ndiye atamuazibu Joshua
Umeongea vizuri ndugu,walimwengu Mungu wa kweli wamemkataa,na wala hawamtambui.sishangai wanavyokejeli.hakuna wanachokijua zaidi ya maisha ya dhambi.
eee heee imani Yesu iko wazi mzee haina mauchafu
Kwani hajazikwa tangu siku hizo?
Mungu anamuumbua
Muda wote huo alikuwa hajazikwa!?🤔
Ndy hapo sasa
Wanigeria wanakaaga hata miez 2
Mm nilishamsahau aisee
Jaman all nigerian wanachelewaga sana kuzikwa wengine hata 3 month ndio wanazikwa
Mpaka Miezi 6 wanakaa ndio Mila na Desturi zao.
Nikweli
Mwezi mzima ajazikwa aiseheee walikuwa hawaamini au hii ndio Africa
Chambu nimekuona
Huu ni uwongo kaakagwa Jana na kazi kwa leo pata information angalia Emmanuel Tv
Mungu awasaidie wamalze mazko salama na kuendelea kumwinua Mungu ingawa n ngumu lkn kwa nguvu za Mungu wataweza
Hii ni mbinu ya shetan tu ili wamchafue Mungu ni mwema mwendo kaumalizaa
Unamfaham Mungu
Kwa kweli lkn shetani aneshindwa
Usitamani mafanikio yamtu kunamafanikio mengine ukiambiwa nyuma yapazia utakimbia ww Kula ugali na mboga lizika usitamani mbonga saba bila mungu
Fikra fupi
Aswaaaa
NI kweli
👎😘
huo ni frimanson😷
Ukisikia mhubiri wa kimataifa jua Kuna mhubiri wa kitaifa🙌
Apumzike kwa amani.
Sisi sote Safari ni moja Duniani tu wapitaji tu
Bwana apendezwi na mfumo huo, watu waliokufa katika Bwana hawaagwi kwa mfumo huo,ni dalili mbaya tubuni kwa Bwana YESU naye atawasamehe,mtu akifa msifanye Ibadan kwa ajili yake Bali kwaajili ya Bwana, maana ibilisi huibua mambo take msipokuwa makini ,ndio maana Mungu BABA alilificha kaburi la Musa mpk Leo maana wangeenda kuabudu pale
GOD IS GOOD DEVIL IS A LAYER
The devil is a liar
Kumbe ajazikwa tu jamani daaaah
DUH bado hajazikwa tuu
Wanamchosha jmn😭pumzika k Aman baba
Kwa bado ajazikwa tu duu
Leo Mungu akimpa uhai hapa duniani, naamini ataacha utapeli wake na kudanganya watu na ataamini Mungu mmoja tu mwenye nguvu na asiyeshindwa kumuua yeyote.
Hao wafufuaji na dua za uongo zote za kufufua wangemfufua bc huyu ili tujue Mungu wetu mmoja tunae mwamini hana nguvu.
Leo Mungu wetu atamtesa Sana huyu, na atamsubr tena aingizwe kaburini ili aiweke tena roho yake na kumtesa zaidi hadi abanwe mbavu zikutane huku akilia na kutubu lkn hatosikilizwa mpk siku ya kufufuliwa.
Kumbuka Mungu hashindwi kukufanya lolote na popote..
Ukiwa usingizi unaweza teswa na ndoto hadi mwili ukafa ganz au maumivu makali yaani usingz ukakata na ukawa moyo unaenda mbio.
Leo watu wanadanganywa wana m chezea Mungu huku wakisahau kwamba watakutana nae km huyu bwn.
Tujifunze kwani wote tutakufa na huku jeuri yetu ni afya zetu lkn tukifa jeur inaisha yote
Ata akifufuka leo hautakaa uamini
@@sweetbertrwiza5982
Hawez kufufuka huyo anapata adhabu ya Mungu kwa sasa
@@mbwanarajab4756 Adhabu unapewa mwili au roho?
@@sweetbertrwiza5982
Adhabu ni mwili unarudishiwa roho ndipo upewe.. soma tu utaelewa vzr
@@mbwanarajab4756 pole sanaaa!!!! wewe ndio wale watu wanaoamini mtu akisha kufa unaweza kumwombea akasamehewa dhambi zake!!!
Alhandu liLLAAAH waislam hizi mambo hamna .mtu karibia mwezi hajazikwa
kila din na utaratibu wake usitake mambo ya kiislam yafanywe na wakristo na mambo ya kikrsto yafanywe na waislam kila watu na desturi na mila zao kuna din iliyoanzishwa na waarab na kunailiyoanzishwa na wazungu kwaiyo hapo new vitu viwili tofauti
@@ramadhanimahongole8764 hakuna dini iliyoanzishwa na mtu ,na desturi zamani wakristo walifata maadili meme,hawakuvaa vimin,viskin mbele ya jamii na walijaa aibu hata kuzika angalia kweny biblia mazishi ya kain na kabil so huko kuhifadh maiti mkizani atafufuka na kumchosha mnaiga upuuzi
@@prettyh7509 Kwanza wewe unakereka na nini? Mbona Osama bin laden mlimzika baharini uliona wenzako upande wa pili wanalalamika? Kila watu wapambane na Mungu wao na imani yao.
@@christinamsigwa151 uliona hayo maziko?? Au ndio brain washed?, wanadanganyana mnatia akilini hata upuuzi
Mishumaa yote hiyo inawaka kwa ushirikiano hivo halafu moto usizuke mna wazimu nyinyi
🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂
Jamani. Mbona mahajabu. Kuna siri sisis hatuwezi juwa apo
kwani bado hakuwa amezikwa
Hii hatar kumbe alikuwa bado hajazikwa duu pole yao kwa kweli
Jamaniii maiti unakaa mwezi jamani nini tatizo tangu tarehe tano mwezi wa 6 mpaka tahere 9 mwezi wa 7 daaaaa inatia huruma sana poleni jamani
Wanageria maiti inaweza kuwekwa hadi mwaka bila kuzikwa wakitafuta pesa ya sherehe ya mazishi. Kwao mazishi ni sherehe kubwa kuliko zote
Tumfufue
Subhannallah, ajazikwa tu 🙄
Qur’ann huwa haidanganyi,Muislam akifa anazikwa haraka ila kwa hawa makafiri ni shida
ivi alikuwa hajazikwa tu, wanazingua pakubwa
Yaani hawa wapopo kwa kuweka maiti muda bila kuzika ni kitu cha kawaida sana kwao, maiti inaweza hifadhiwa hata mwaka ili mradi watu wote hata waliopo mbali wafike na siku ya kuzika ni kama harusi. Watu na mila zao mmmm
Jaman bado hajazikwa 😳
Sasa hajazikwa alikuwa wapi siku zote hizoo naona kimyaaa
Si alikuwa mochwari we unafikiri aliwekwa wapi
@@rosenaadolfu99 mimi nilifikiria anaaga chumba na kitanda chake kizuri kumbe mali zote alizonazo kaishiya kulala monchuwari jamani kweli dunia si kitu tujiandaye na maisha ya akhera
imani za mafuta maji sabuni kacha sticka n:k sio Mungu
Aswaa
Kwani yeye anasemaje?
Mmmmmh
Walijuwa atafufuka? hapa hatuna mji udumuo, usishituke mtu ajapopata utaji, fahari ya nyumba yake ijapozi, ajapokufa hata chukuwa kitu wala fahari yake haimfuata. HATUKUJA NA KITU DUNIANI WALA HATUTOKI NA KITU, ILA ROHO ILIYOPONDEKA TUTAKWENDA NAYO. KUOKOKA NI DUNIANI
Hii c normal kutumia mishumaa🙆♀️🙆♀️
Mbona mishumaa inayotumiwa K.K.K.T NA RC. HAMUIONGRLEI?
Especially kwa mtumishi mkubwa hivyo
Kawaida tu sis kwenye misiba pia tunatumia
@@lizmass4253 oooh skujua ju kwetu hatutumii
Si vema kumsaidia kazi shetani, haimsaidii mwanadamu yeyote, zaidi mwanadamu unapata hasara na uharibifu
Duu mpaka leo hajazikwa tuu
Mnamchelewesha kumzika mpaka moto unamfata huku huku Duniani em mpelekeni jamani
Hahahahaha umenifanya nicheke
😂😂😂😂umewaza nini wewe nimecheka kifala
Laiti mngejuwa adhabu anayoipata huyo maiti mngemzika haraka sana
Kweli kabisa seems ndio ivo baazi yawatu hawajui azabu anyoipata maiti wangejua wangemzika mapema akapumzike kwenye nyumba yake yamilele
Mufu hana maumivu yoyote kabsa .kwani maiti hana roho kilichobaki ni kuoza tu na kuwa udongo tu
Akuna kitu kama icho uwo nimwili tu unasubili uoze uliwe nafunza ubaki mifupa tu
@@mohammedsalum6376 sababu ww ulienda ukaonja Arafu ukarud acha kudanganywaa!!
Wewe unajua?
Wangekua wengine wange silimu tu
Ndugu mtu akishakufa, umzike saa hiyohiyo au umzike baada ya mwezi kitu ni hichohicho kinachokwenda mbinguni ni Roho yake sio mwili
Sasa kwann wasilim!
Kwan alikua ajazikwa tu
Mimi siamini kama bado hajazikwa na zile clip zilizokuwa zikionyesha mazishi ni nani🙆♂️🙆♂️🙆♂️😢😪🤔🤔
Watu ni waongo kazi yao kuchafua watu
Duuuuh mpk nilisha sahaukama kulikua namusivlba 😟😒
Laana hiyo. Asizikwe wanahisi ata ghairi kufa.
Hiyo laana ulimwachia ww au!
Mmh
Madhambi mengi mpaka linawaka moto kanisa duuuu
Mhmm unaoneshwa kabisa kama jitu la motoni
The candles
Astaghafirullah,, kumbe hakuwa amezkwa mmh
ndio iman za uwongo
Unauakika
Uongo ni upi? utaje tuujue
@@immya7251 ndio
@@sweetbertrwiza5982 kama ni msomaji wa biblia mzuri utajua tu hivyo imani za chumvu mafuta sabuni nk hakuna tofauti mashalti ya waganga wa kihenyeji pia utatumia hivyo vitu utavitukuza venyewe na ya kumutukuza Mungu marko 16: 17-18
@@rebeccasefyuko7621 Acha kuukumu kwa ushabiki, unajua YESU alitumia tope kumponya kipofu?
Yaani ajazikwa2
Mbona taarifa zinatofautiana? wengine wanasema anazikwa tar 11 wengine tar 9, nani yuko sahihi!!!
*_😢😢Eti chanzo shot??? Mali za kishetani huwa Ziko hivyo hivyo, Mwenyewe akifa na Zenyewe zinaondoka, Hata Yule tajiri wa Zambia, GARI zake ziliwaka Moto baada ya kufa_*
Una kaz kweli zako ni zipi
Ginimbi au nan🙄🙄🤔
@@najmahamisi3251 Huyo. huyo...
Wna muweka Mpk lin jmn
Hee kwani alikuwa hajazikwa bado
Ongeeni machine ndugu zangu, padnali rugambwa alimqliza miaka mingapi bira kuzikwa rasmi, tusiingilie imani za kila mtu, tuangalie maisha yetu tunamalizaje.
Bado hapo
Allah anaaza kz yake nakuonesha dunia km moto ndo makazi yake😂😂😂😂😂😂😂😂
Ishara mbaya kabisaa
Nikweri si wanawaongopea watu na wanajua kwamba wanavyo I fanya sio dini ya haki pesa inawadanganya ss kazi kwake motoni milele kwa raha ya Dunia kidogo tu na yote hivyo kasha sahau kwa Azabu anayoipata
Fiinar jahannam
Swadakta
Hitilafu ya umeme nimesikia
Mungu anamumbua duu
@@catherinejakob8408 yani binadamu bhana! Amuumbue kwa sababu zipi au ndio nyie mnaohukumu msilolijua.tujifunze kimshukuru MUNGU kwa kila jambo kuukumu tumwachie yy.
Duuh alikuwa hajazikwa 🙄🙄🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Freemason wamechukua mikoba yao
Mara that that
Wala sikushangai YESU mwenyewe walimwita mkuu wa mapepo sembuse uyu mwanadam, watu kama nyie ndio YESU alisema msamehewe hamjui mtendalo
@@sweetbertrwiza5982 😚
FREEMASON INAHUSIKA
Na ww utakuwa mmoja wapo
Kabsa wanataka na mkewe labda
Hajazikwa tu jaman kah acheni mutokewe na maajabu
YESU alipokufa nchi ilikuwa giza
Duuuu
Hajazikwa tu jmn
Haaaaa inamaana hajazikwa tu,
Mali zinarudi kwao
Fremason wanarudisha vyao
Watu maskini wote wanajua kila kitu Ni freemasoni
Makubwaaa alikuwa hajazikwa
Duuh malipo ayoooo sasa
Duuu hii noma au ndo mason zake zipo freee
🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huo moto wenyewe unasemaje
😂😂🗿
Ishara mbaya kabisa........inaonesha dhihiri mafikio yake yatakavyo kua.
Labda alikua akiombewa afufuke
Mimi pia naona hivyo
Ni mila zao tena hapo wanawahi wengine wanakaa had miezi3 fuatilia hutajua vizuri
@@hellenshonga7918 sio yeye alikua ameokoka sasa Mila inaingilia wapi yeye alikua mulokole
@@الوردالورد-ز4غ yes ni mlokole hizo ni tamaduni ya taifa lao na si Nigeria tu hata Ghana wapo hivyo
@@hellenshonga7918 ukiokoka hakuna cha mila wala tamaduni Yesu alimaliza yote msalabani
Sasa mungu kaanza kumchoma dunian uko mbele je na wale aliokuwa anawapa neno je hahahaha Aya mambo yanaitaji imani kwel kwel
Imani gani bhana ushetani tu
Masonic huyu
muongo wewe mbona hutuoneshi huo moto live na kutuonesha watu wake ?
Hujauona peke ako
@@coletashirima2193 niloenda ni edited
Moto unaonekana mbona au na ww.....
Kuwa makini, g
Hawa mashetani hawakosi wafuasi wao.
Atachomwa Sana Sana huyu kwa kupotosha watu huku akijiwekea maisha duniani.
Anakutana na Mungu huku akila mateso ya milele mpk kiama kifike
@@mbwanarajab4756 mimi.nimeona moto kweli lakini mara nyengine hawa siwaamini maana ningefurahi kuliona hadi jeneza linawaka . na hapa watwambie kuwa maziko yakiajabu maana huyu tumeambiwa tangu mimba yake ya maajabu hadi kufa kwake .
Hahaha Joshua ilukanzu vipi
Haelewek kichwa cha kuku mwili mwa mbuzi
Anaijeria ndo mavazi yao hayo
Wanaijeria ndo mavazi yao hayo
Ndio mjue hii si dini ya hakki
🤣🤣🤣🤣 yy pekeakee na kanisa lake...ila Jesus is the wayy
Allah anaaza kz yake nakuonesha dunia km moto ndo makazi yake😂😂😂😂😂😂😂😂
Bwanaee😢 tuombe mwisho mwema
😃😃😃katika comment zote wewe uweza kabisa