JIKE DUME MTATA APATA MSALA KWA MTOTO WA KISHUA | PART 3 | FINAL

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 39

  • @CatherineKayanda
    @CatherineKayanda 3 месяца назад +1

    Daaaah imebamba xan an❤❤

  • @WitnessOchora-dd1gm
    @WitnessOchora-dd1gm 3 месяца назад +1

    Nakubal
    My blood 🩸 ❤❤

  • @عائشهعبدالله-ي7ب
    @عائشهعبدالله-ي7ب 3 месяца назад

    Movie tamu sana 😂😂❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @MohanWsk
    @MohanWsk 3 месяца назад +2

    Wakwanza 😂😂😂😂😂

  • @RichardDaudi-ly5cb
    @RichardDaudi-ly5cb 3 месяца назад

    Nimeikubali san isitoshe unatangaz vizur san 😊😊😊

  • @RuqEnjal
    @RuqEnjal 3 месяца назад +4

    Chapa tuletee movie nyingne ya maurice sam ww na yeye mnapendeza

    • @Chapamedia_tz
      @Chapamedia_tz  3 месяца назад +1

      Limeisha hilo shabiki yangu

    • @mirfatyomary9932
      @mirfatyomary9932 3 месяца назад

      @@Chapamedia_tzkabisa yaaan umenifanya niwe naingia youtube kila mda kwa ajili ya hyoo maurice na wewe chapa Big up sana unajua

  • @AcramAcramThabiti
    @AcramAcramThabiti 3 месяца назад

    noma sana aiseeeh🎉

  • @husseinmboje1449
    @husseinmboje1449 3 месяца назад

    movie Kali sana

  • @hidayignas
    @hidayignas 3 месяца назад

    bonge la movie daaa

  • @hassanSobo-yf3ik
    @hassanSobo-yf3ik 3 месяца назад

    Kaka chapa umeuwaaaa🎉

  • @MillardyLeonardy-e2r
    @MillardyLeonardy-e2r 3 месяца назад

    CHAPA UNAFANYAA KAZII NZURIIII SANA MKUUU AISEE HAKUNA KAZII ISIYOKUWA NA CHANGAMOTOO ILA WW UNAPAMBANA SNAA

  • @RamadhanNiyonkuru
    @RamadhanNiyonkuru 3 месяца назад +1

    waooooh

  • @FatumaJumanne-p4d
    @FatumaJumanne-p4d 3 месяца назад +1

    ❤❤❤

  • @MohdKidabe-e9q
    @MohdKidabe-e9q 3 месяца назад

    Nzur sana lakin na mwan dada yuko poa kabis

  • @PaskaliEmilian
    @PaskaliEmilian 2 месяца назад

    Oy kk fany uachie unyam mpy bwan

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 3 месяца назад

    Bro ulipoteaa

  • @ZAINABUZAI-v3o
    @ZAINABUZAI-v3o 3 месяца назад

    Kwakweli ni nzuli

  • @sparkdsanga1612
    @sparkdsanga1612 3 месяца назад

    oyaa unyamaa t umuu ndan

  • @JdhfBdbc
    @JdhfBdbc 3 месяца назад +1

    Nimekuw wa pili

  • @OfficialtugA-l2v
    @OfficialtugA-l2v 3 месяца назад

    Haya nipeni na mm like zangu

  • @asilahassan9965
    @asilahassan9965 3 месяца назад

    Thank

  • @GodwinMgongo-xi2bm
    @GodwinMgongo-xi2bm 3 месяца назад

    Post move Ile ya TikTok

  • @khurlainashly5686
    @khurlainashly5686 3 месяца назад

    😂😂😂

  • @nyamwirilamanumbu3535
    @nyamwirilamanumbu3535 3 месяца назад

    Yani huyo kaka William jmn anasauti flani ivi jmn me hoii

  • @officialdon1922
    @officialdon1922 3 месяца назад

    Kuna movie unapost TikTok but uku mjini RUclips amna why mzee

  • @LomoniLomoni-i9u
    @LomoniLomoni-i9u 3 месяца назад +2

    CHAPA TAARIFA ZAKO TUNAZO UMEWAPIGA CHINI MADOGO WALE WALIKUWA WANAKUSAIDIA.. HUU UNYONYAJI ULIO UFANYA MASHABIKI ZAKO HATUJA PENDA JUSTICE FOR HUSTLERS

    • @Chapamedia_tz
      @Chapamedia_tz  3 месяца назад +8

      JAPO UNATUMIA ACCOUNT FAKE ILA NAKUSHAURI ACHA WIZI SIWEZI KUKAA NA MTU MWIZI...WA ACCOUNT ZA OFISI.
      NA UNAZOEA KAZI KAMA ZA BABA YAKO MZAZ...
      YANI UNAOMBA PESA OFISINI USAFIR KWENDA ZANZIBAR TU KUTAZAMA WANAWAKE UNAACHA KU EDIT KAZI WATU WANGU WA RUclips WAPATE MOVIE.
      WEWE UNADHANI MIE PESA ZANGU HAZINA KAZI
      KWANZA ELEWANA NA MAMA YAKO MZAZ
      NDUGU ZAKO HALAFU NJO NITAKUSAIDIA KAMA NILIVYOKUWA NA KUSAIDIA.
      -NILIKULISHA
      -NILILIPA UMEME ULIPOKUWA UNAKAA
      NILILIPA KILA KITU CHAKO
      HADI HELA YA POCKET MONEY YA SHIDA ZAKO ULIKUWA UNAOMBA
      YANI ULIKUWA KAMA NDUGU YANGU
      _
      JIFUNZE KUSHUKURU KIDOGO ILI MUNGU AKUPE KINGINE KIKUBWA ZAIDI.
      HAUNA SHUKRANI
      JIFUNZE KUSHUKURU
      .
      USITUMIE ACCOUNT FAKE NJO FACE TO FACE USIWE KAMA DEMU 😂😂😂

    • @TunuMbega-g2y
      @TunuMbega-g2y 3 месяца назад +1

      Ww yanakuhusu nn? Fanya yako. Waliofukuzwa walikwambia vituko vyao?

    • @Chapamedia_tz
      @Chapamedia_tz  3 месяца назад +1

      @@LomoniLomoni-i9u KWANINI UNADANGANYA MFANYAKAZI WANGU ULIKUWA WEWE TU MMOJA SIJAWAHI KUWA NA MFANYAKAZI MWENGINE KWENYE MOVIE....

    • @MamasasherRukungu
      @MamasasherRukungu 3 месяца назад

      ​@@Chapamedia_tzalafu asisem mashabiki zako na ajisemee mwenyew asitujumlishe bana 🤣😂

    • @firstborntz5150
      @firstborntz5150 3 месяца назад

      Baba usimjibu tena sisi notification zipo on kukuskiliza wew ​@@Chapamedia_tz