Mkuu hebu nambie neno..Tuketi ni kiswahili sanifu cha wapi? Au hilo neno lipo kwenye kamusi ipi.. kusifia inaruhusiwa ila usitudanganye wakati tuna maskio 😄😄😄
Haya Haya tulilinde huba letu kwa pisi yetu kali yenye vibe fulanii hivii walilokisa wengine 😍😍😍😍 good girl good music good vocal only from this beautiful Queen mother Phina 🔥🔥🔥🔥
#Hayaa is the song trending in +254 ,Wimbo mzuri,medoly of highly standard,Backup's,instrumental and the whole package of this song is of A level music..Congrats Phina The melanin Queen .Mrs OBz
WOW WE PHINA WEWE.....MBONA UNAWAPA PRESSURE WASANII WENZAKO.....HII NGOMA ITAKUWA KUBWA SANA NAAPA....WANAOKUBALIANA NAMI NAOMBA LIKES
wow
Pressure.. Pressure..
Phina always the best nipeni like zangu from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Phina on top 🔥🔥🔥🔥 najua wasanii wenzako bongo wameshtuka Sana hii hit n ya kufungua mwaka boom 💥 wale wanakubaliana na mm nipeni zangu likes
Queen of the Best Melody ❤️ Mi binafsi sijawahi pingana na uwezo wako kama nawewe unakubaliana na mimi Like hapa 🔥
Huyu binti kwa hii 👊, anastairi heshima kwa heshima anayotuheshimisha waheshimiwa wa Africa. Kama ww ni mzalendo gonga like za kutosha kwa phina
Wooo dad Phina penda chana weye 💋💋💋💋💋💋💋🔥🔥🔥
Tunyooshe mama sina neno kwako haya haya hayaaaaaaaaaaa🙌🙌🙌🙌🙌
The best femal singer now in Tz ni Phina
Kama unaelew mziki mzuri afu mtamu just like
Mashallah Phina dadangu.. Hii tamu.. Sauti tamu... Yaani 😘😍😍😘😘😘😘Mungu akuajalie zaidi🤗🤗💕
Wimbo pia tamu tamu kama soda💥💥💥💞💞💞🌟🌟unatesa sana
Huyu mwanadada amemeza vocals
Mimi binafsi kutoka kenya... nampenda 😛😛❤❤.. piga like mpka aione hii comment ❤😊
Love u❤
Wallai hii song Iko biet😘
Am waiting video woooooih ndio kitu nangoja kwa hamu vile umenyonga zumba mule
The melanin Queen never disappoint, kila project kali kuliko🔥🔥
Phina ni noma sana anajua kuimba aisee,,hii talent alazimishi kuimba na anaweza kinyama,,,big up sister phina...wewe ni 👍
Nyoonyoo 😅 tiiiitiiii📌🔥🔥🔥
Mistari kaingiana vizuri kama chuma kwa chuma mmmmmmh🥰🔥🔥🔥🔥
Cna mwngne wa kunipa furah zaid ako phina nakpenda na nakuamin looooading......... More hit
PHINAAA the QUEEN. Simply amazing
Unaweza weeeeeeeeee 👄👄👄👄👄👍👍
Am like umekua wapi,,,this time long am emotional I haven't seen an artist with Greta vibe like you,,,ooh yes phina rise momma🥰🥰
Daaamn! she never dissapoints....mob luv phina
Ukitaka kuskia Kiswahili sanifu ni hapa kwa huyu dada❤
Kweli kabisa
Mkuu hebu nambie neno..Tuketi ni kiswahili sanifu cha wapi? Au hilo neno lipo kwenye kamusi ipi.. kusifia inaruhusiwa ila usitudanganye wakati tuna maskio 😄😄😄
Unamjua Mpoto au Machenje wa Fataki …kawasikilize hao kwanza
Tuketi??? Si ndio sahihi
@@ms123ru sahihi ya wapi hilo neno sio kiswahili sanifu
Phina hongera sana ,wimbo mtamu sana sikomi kuusikiliza.frm ufaransa
Bila Shaka ni uwandishi wa Hamadai 👏👏👏👏👏
Phina ni MKUU so its high time Jovial should watch out for this Melanin Queen coz she gat what it takes. BIG UP hii moto 🔥🔥🔥🔥🔥 sana.
Haya Haya tulilinde huba letu kwa pisi yetu kali yenye vibe fulanii hivii walilokisa wengine 😍😍😍😍 good girl good music good vocal only from this beautiful Queen mother Phina 🔥🔥🔥🔥
Wa nyumbani, once again... Imba mama imbaaaa....
Can't wait for the video...this jam will be on play all day everyday.Thank you phina
Kunasehemu nmekaa Hapa Dj Anairudia Rudia Balaa....amenhamasisha....Wimbo Mzur hongera👏👏👏👏
Yaani ata sijemaliza kuskiza upo nyonyo ingine inafika 🥳🥳😍, enyewe shamba la babu nitabaki kulima huku nikiskiza Hayaa
Yaaan popote ulipo nipo dada angu NAKUPENDA wewe tu mahabuba❣️❣️❣️❣️✅ sister phina ❣️❣️
Unyama ni mwingi phina ✌
Kenya unasikika lound and clear🇰🇪
Sawa phina nimependa nyimbo,
Wakuja vizuri sana dadetu👍
U always my favorite artist,,,Much love from coast 254 twakupendaza @phina
Shez best tumpe nafas tumsiklze anajua sanaaa🔥🔥🔥🔥✌
Hayaa Hayaa weeh 🔥🔥🔥 kali sana
Hil lisukuma linaimba aysee🙌🙌
Uuui huyu wafanye collabo na Abigal Charms... Moto zaidi hawa wawili
Woouw, wimbo mtamu jaman 👌👌
Imgne phina ft jovial collabo moja🔥🔥🤗🤗
Jamani killing lovely song I say✅✅✅✅✅✅🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪we love you so much
Huyu Dada wa Tzd habahatishi utamu wa bongo...Hayaa twaisubiri video huku kwetu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🤗🤗🤗🤗
Phina 4real una uezo mkubwa mno, keep going girl i l💜ve u
Wow Phina nyimbo wa wa wa
Sema ww dada ni next level unajua kucheza na beat love from Burundi 🇧🇮
asante sana phina nakupenda coz umeweza ku cover ile sehemu ya dada vanessa mdee kwa kiasi chake naomba na wewe usije acha mziki
Jupiter Records Alonem gozaly hahaaaaaaa nakukubali sana Name pamoja sana alonem namtaka mrudishe saynaj nakumkubali pia dada yangu saynaj..
Phina Nave Disappoint 🔥🔥🔥 Hayaa Tunaomkubali Phina Ngoga Like Apa Twende Sambaba
#Hayaa is the song trending in +254 ,Wimbo mzuri,medoly of highly standard,Backup's,instrumental and the whole package of this song is of A level music..Congrats Phina The melanin Queen .Mrs OBz
Phina you are always on top,lyrics na vocals Kali sana,beat nayo IPO nyonyo
Kama zuchu vile Yani unatisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Napenda Sana sauti yako sarafina maana inang,ata hatari🔥🔥🔥🔥
FROM KENYA WE HERE TO SHOW LOVE TO OUR BROTHERS AND SISTERS FROM TZ
We love u too❤
Hongera sana phina ww nimkali sana nikisikilizaga nyimbo zako mpaka machozi yananitoka ifeel music unajua mpaka unakera dada💕💕💕
Phina wewe ni moto kuliko pasiii mungu akuzidie
Waoooo upo juu mam nimeelewa
Phina unajua xn🔥🔥🔥🔥
UMEWEZAAA dada 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nakupenda 😘
🎉❤Phina is a guru of good music and her vocals eyy
i really love your voice phina💖💖💖
mtoto mzuri kakubali Hayaa
Queen of bongofleva
Ujawah kosea ww mwanmke hongera sana kz nzuri
Love from kenya 🇰🇪 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
phinaaaaaaaaaaaaaaa
Nausikiza mziki mzuri toka Afrika kusini yaani South Africa 🇿🇦
Phinaa unaupinga mwingi Sana
Ngoma iko moto Sana 🔥 wapi likes Hadi mum ameongeza sauti ya woofer🙏💪🥰
Huyu dada anaweza kuimba jama
N
She got it.... Kudos Lady Phina
Good song phina nakupenda sanah🥰
Weh naenjoy this sanifu kiswahili
kenya has approved its 🔥 🔥 🔥
Ivo Ivo ndio nafurahika 😁😁😁😁😁Phina👍👍
You my Favorite 🥺🥺,,, Since day one ,,❣️❣️❣️
Wooow 🥰 amazing jam much love from KENYA 🇰🇪❤️
Its also a big banger,
You killed it, Instrumental, Vacals and Flow but it haven't Beat the hit (Upo Nyonyo) 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤❤ u so much
Much Love 💕 from Kenya 💟🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aisee... Phina we ni mkali...
ahsante dada ake saraphina kwa wimbo mtamu hakika huniishi hamu ya kukusikiliza kila wakati, mungu akupe mwongozo zaidi🙏🙏🙏🙏❣️❣️❣️🎂🎂🧁🧁🍨🍨💗💗💓💓💕💕🥰🥰🤩🤩🎁🎁🌹🌹
Ndio yenyeweeeeeeee hit
Hii ni zaidi ya bongo phina mamaa sauti niyakutoa nyoka pangona ,daah
From 🇰🇪 my favourite artist from Tanzania 🇹🇿
Dada Unaimba Kishenzii❤️❤️❤️😅👊
Thanks God for the Blessing of Good wife#Phina
vizur phana kazi kazi
Hayaa is a great vibe. 👍 thanks Phina
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
May Hanscana direct the video 🤩🤩🤩
Kali hiyoooo👍
Saraphina wangu haya we wajuwa sanah wewe haya😍😘😜😛
Mzuki huu nyie 😍 mtu na sauti na mistari inayoeleweka 💝🔐
Katika wadada wanao takiwa kupewa sapoti basi phina jamani huyu dada anakipaji cha ajabu sana anajua mnoo kama unakubaliana na mimi gonga like apo
Shikilia pale pale, kaza mungu wetu sote. Jaman hii kazi kali 🔥🔥🔥🔥💯
What a masterpiece from Tanzania. With love to all the beautiful souls listening this ❤️
On top phina ❤️❤️❤️❤️🔝🔝🔝🍰💞💞
🔥🔥🔥🔥🔥 I appreciate you dada