Wachezaji wanalindwa na mungu Ila viongozi wanatakiwa kuwa karibu na wachezaji na timu kwa ujumla nadhani ilo ndo muhimu,Kila la kheri timu yangu na ushindi uendelee kwetu inashallah
Viongozi wetu mjitahidi kuwalinda hawa wachezaji viwango vinazidikushuka jamani mpaka mashabiki hatuelewi Debora mukwala na mutale fanyieni kazi maneno ya miraji
Na huyu angalieni asije rogwa mana niliwambia viongozi angalieni njia ya kuwalinda wachezaji watalogwa na utopolo mkabisa sasa angalieni wakina MUTALE ,,MAVAMBO NA WENGINE VIWANGO VYAO VINAVYO SHUKA
Mimi wakwanza nataka like zangu Wana simba wenzangu djbizo17 from dsm
Simba nguvu Moja wanamume kazini
Mungu aitangulie simba yangu irudi na point 👉👉 3 amen ❤❤❤❤
Wachezaji wanalindwa na mungu Ila viongozi wanatakiwa kuwa karibu na wachezaji na timu kwa ujumla nadhani ilo ndo muhimu,Kila la kheri timu yangu na ushindi uendelee kwetu inashallah
Karibu bukoba ♥️♥️
Best wishes my lovely team SSC
Nguvu moja
Kila la kheri Simba Sports Club kikubwa kumheshim mpinzani na kumtanguliza Mungu 🙏🙏🙏
Viongozi wetu mjitahidi kuwalinda hawa wachezaji viwango vinazidikushuka jamani mpaka mashabiki hatuelewi Debora mukwala na mutale fanyieni kazi maneno ya miraji
Kweli siwaamini yanga
Waende kwenye maombi jamani wakaombewe mungu ndo suruhisho.
Walindwe kwani ni watoto wadogo
One power
❤❤
Tunamtaka Mpanzu kwenye game ijayo
Hindio simba nawatakia kila laheli timu yangu pendwa
Balua toka asifiwe na engeniar hatumuelewi kabisa anachokifanya uwanjani
Safari njema chama langu
Viwango vya wachezaji vinashuka shida nini?
Nguvu moja 🦁♥️💪🙏
Na huyu angalieni asije rogwa mana niliwambia viongozi angalieni njia ya kuwalinda wachezaji watalogwa na utopolo mkabisa sasa angalieni wakina MUTALE ,,MAVAMBO NA WENGINE VIWANGO VYAO VINAVYO SHUKA
Simba timu ya wana chama la maana ubaya ubwera jaman nn shida mpanzu apigi kaz
👏👏👏👏👏👏👏👏🦁♥️♥️♥️♥️♥️♥️💪💪💪💪💪💪🙏🙏
nguvu moja