Ninapousikia wimbo huu ninakumbuka kuwa kuna mahali ambapo bado sijafika na mahali hapo hakuna mwingine wa kunifikisha isipokuwa BWANA Yesu, So kwa namna yoyote lazima nifike kwa kuwa ninaye Yesu anayeijua njia.This song its my prayer point. Mungu awazidishie hatua... WAEFESO 4:13 Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na KUMFAHAMU SANA MWANA WA MUNGU, hata KUWA MTU MKAMILIFU, hata KUFIKA KWENYE CHEO CHA KIMO CHA UTIMILIFU WA KRISTO.
Mungu naomba nipe hatua kwenye maisha yangu❤ niongoze njian Bwana
Wimbo mzur,unanibariki sana
Kaz nzur sanaaa congrats
Ninapousikia wimbo huu ninakumbuka kuwa kuna mahali ambapo bado sijafika na mahali hapo hakuna mwingine wa kunifikisha isipokuwa BWANA Yesu, So kwa namna yoyote lazima nifike kwa kuwa ninaye Yesu anayeijua njia.This song its my prayer point. Mungu awazidishie hatua...
WAEFESO 4:13
Hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na KUMFAHAMU SANA MWANA WA MUNGU, hata KUWA MTU MKAMILIFU, hata KUFIKA KWENYE CHEO CHA KIMO CHA UTIMILIFU WA KRISTO.
Hatua nipe hatua bwana✍🏾✍🏾✍🏾amen😊
Mbarikiwe wana uscf
Mungu nipe hatua nyingine 🙏🙏
Bwana Nipe hatua nyingine
Amina sana🙏🙏🙏
Huu ni wimbo ulio na unabii ndani yake
Amina sana