TUSIHUKUMU KWA NJE {YOHANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 83

  • @doricelema2591
    @doricelema2591 4 года назад +3

    Eeeh Mungu Naomba uniponye Nia yangu, nisamehe kwa upumbavu na uchafu wa nia yangu. Asante Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri na adimu. I am delivered today!

  • @gracekwila5674
    @gracekwila5674 4 года назад +3

    Amen mtumishi wa Mungu nimejifunza jambo kubwa sana natamani watumishi wote wangekuwa na ufunuo kama wako kungekuwa na upendo sanaa ee Mungu ni rehemu pale nilipokosea kwa kujua au kwa kutokujua..nilipojiona ninahekima kumbe Mungu ananiona mpumbavu...nahitaji neema yako bwana yesu

  • @mariammjonde2505
    @mariammjonde2505 4 года назад

    Apostle Mtalemwa ubarikiwe sana umerikiwa kujua kutufundisha neno la Mungu jina la Bwana lihimidiwe Ameen

  • @kusainsmall2199
    @kusainsmall2199 4 года назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu

  • @neyhmrs7704
    @neyhmrs7704 3 года назад

    AMEEN

  • @jackimmwadime4124
    @jackimmwadime4124 Год назад

    How i wish you can visit our church in Kenya an sprend this Gospel..mchungaji ....tangia nimeanza kusikiza mafundisho yako yamenijenga Kwa kweli mtumishi ubarikiwe sana

  • @angelkanoga2175
    @angelkanoga2175 3 года назад

    Mungu uturehemu 🙌

  • @neemagewe717
    @neemagewe717 4 года назад +6

    Hakika jamani anaongea point huyu Apostle mtalemwa Dions' thanks you.

  • @godianmande4920
    @godianmande4920 4 года назад +4

    This is what it takes to be a Man of God,May God bless more and more. Am blessed for your teachings Chief Apostle.

  • @johnnashauri6156
    @johnnashauri6156 4 года назад

    Mungu ni Mungu, azidi kukutumia sana Mtumishi wa Mungu

  • @neemasaidisaid1791
    @neemasaidisaid1791 4 года назад

    Mtumishi umenena kweli.asante kwakunikomboa frikraa yangu.nimepataa kitu nimejifuzaa bwana yesu akutuzee undelee kutunzaa kondooo walio tawanyikaa uwawekee ktk zizi lake.kwa sasa niko saudiaa rabia mungu anisaindie nikirudii tz natamani nitembelee kanisa lenu ila sijajuwaaa mkoo dar eneoo gan

  • @jacquelineelly6684
    @jacquelineelly6684 4 года назад +5

    Kweli mbinguni sio mbagala 🤣🤣🤣... Asante Apostle kwa somo hili.... Mungu atusamehe kwa kujudge na kutusaidia kukumbuka kufanya toba kila wakati.

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 4 года назад

    Ndio maana nakupenda sana mtumishi wa mungu

  • @elizabethchales2663
    @elizabethchales2663 4 года назад

    Mungu azidi kukuona2mia apostle akika nimepona kupitia neno ili

  • @deboranjogoya8721
    @deboranjogoya8721 4 года назад +1

    Amen baba

  • @ngusamalegi4577
    @ngusamalegi4577 4 года назад +1

    mungu akulehemu na akuengezee mariafa na roho mtakatifu dan yako.

  • @eunicejoseph1080
    @eunicejoseph1080 4 года назад

    This guy is too good sooo good...Yani a Man or God n then add that is funny n has a great sense of humor. He is sooo realistic yaani anibariki sanaaa sana. Mungu tunaomba rehema na Neema yako katika Haya maisha. God bless you Apostle Mtalemwa, I’m greatful to God for coming across to ur videos. Yani uko vizuriiii n unatarget watanzania vibaya mnooo watu wana tabia mbayaaa sanaa.

  • @twidikagejoel1892
    @twidikagejoel1892 4 года назад

    Mungu akubariki mtumishi wa Bwana,nabarikiwa na mafundisho yako

  • @doscarmassaba9693
    @doscarmassaba9693 4 года назад +1

    Asante Apostle. Hakika nimejifunza kitu kikubwa sana. Mungu anisaidie kutengeneza zaidi kuliko kuhukumu

  • @barakamutashobya8358
    @barakamutashobya8358 4 года назад +1

    Mungu azidi kukubariki sana apostle na azidi kukuongoza katika kuitenda kazi yake be blessed more and more than anything

  • @patricksemu533
    @patricksemu533 4 года назад +1

    Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu, Mimi nimepona kwa haya mahubiri

  • @michelleunderwood6261
    @michelleunderwood6261 4 года назад +1

    Apostle u barikiwa sana.Nakuskiza siku kwa siku na maisha yangu yamebadilika kabisa. Nakufwatilia Nikiwa qatar

  • @vailethywalter5674
    @vailethywalter5674 4 года назад +2

    chief Shikamo! Kwa somo hili atajirekebisha na mungu anisaidie.

  • @agathasalema1455
    @agathasalema1455 4 года назад

    Mungu atusaidie jaman

  • @susanodeya8524
    @susanodeya8524 4 года назад +1

    Mungu nirehemu kweli, sikujua hilo nimefunguka macho aki.

  • @josephhenry3398
    @josephhenry3398 4 года назад +3

    Aonavyo nafsini mwake ndivyo alivyo... perfectly

  • @jmusic7132
    @jmusic7132 4 года назад +1

    Kweli kabisa Apostle,, ahsante kwa somo.

  • @joyprisy9114
    @joyprisy9114 4 года назад

    Yaani ni kwa neema tu wanadamu tunajisahau sana kwakweli mungu aturehemu.

  • @doreennkya5524
    @doreennkya5524 4 года назад +3

    duu hiyo umegusa penyewe chief thats why i love you my mentor

  • @genevivermambo4000
    @genevivermambo4000 4 года назад

    Mtumishi anafundisha sana

  • @juliethandrew3292
    @juliethandrew3292 4 года назад

    Amina mtumishi kwa mafundisho mazuri

  • @barakankubile2329
    @barakankubile2329 4 года назад +7

    Mmmm natamani watumishi wote wawe kama wewe

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 2 года назад

    Amen.amen

  • @zabronzabron679
    @zabronzabron679 4 года назад +1

    Yesu zuia kinywa changu nisinene kwa haraka

  • @emilywanje9256
    @emilywanje9256 4 года назад

    Kwl mtumishi

  • @merryloya4893
    @merryloya4893 4 года назад

    Safi sana chief ujumbe nzuri

  • @bernadetachaula5738
    @bernadetachaula5738 4 года назад

    AMINA

  • @chrismwesiga2334
    @chrismwesiga2334 4 года назад

    Kijana weee,mtumishi wa Mungu,wakainuke mia kenda wanakuelewa.Barikiwa saana.

  • @suzanakalonge8711
    @suzanakalonge8711 4 года назад

    Amen Sana ubarikiwe

  • @whitesolwa5133
    @whitesolwa5133 4 года назад +1

    Chifu nimekuelewa mtumishi wa mungu nakufatilia Kila siku itwapo Leo nabalikiwa Sana na huduma yako natamani nifundishe Kama wewe niombee mtumishi ili nami nimtumikie mungu

    • @gracemshani619
      @gracemshani619 4 года назад

      Mungu akubariki mtumishi Wa mungu nimekukubali na nimekuelewa Sana ubarikiwe na bwana naitwa grace mshani kutoka tunduma mungu aendelee kukutumia nami nimekusikia niliko Huku asante sana

  • @nginamugwe8093
    @nginamugwe8093 4 года назад

    Mungu atusamehe kweli...kwani ya kesho hatuijui

  • @sweetsilas1299
    @sweetsilas1299 4 года назад

    Barikiwa sana,ili tuendelee kuonyonya mema

  • @hurumawonders475
    @hurumawonders475 4 года назад

    Barikiwa mtumishi

  • @bettyoluoch9774
    @bettyoluoch9774 4 года назад

    Umenikumbusha majirani wangu

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 4 года назад +1

    Jesus bless your people

  • @pauloropian8116
    @pauloropian8116 4 года назад

    Yes

  • @godwinmakomba2714
    @godwinmakomba2714 4 года назад +3

    SAFI SANA MZEE WANGU APOSTLE MTALEMWA 10G+

    • @pastorginojennings3125
      @pastorginojennings3125 4 года назад

      Beloved, I don't know you
      in person but God knows
      you. God minister to me a
      revelation when I was on
      your profile to see things
      around you,I saw
      blessings but spiritual
      attacks holding on to
      them,in prayers,i saw a
      woman in the realm of
      the spirit monitoring and
      plotting delay be in your
      life, with an evil mirror,
      and a motive to destroy.
      But as I speak to you now
      her time is up, Render
      hand of favour with
      Anything you can afford
      to these motherless
      foundation (OSOMOIGHO ENDURANC
      MOTHERLESS
      FOUNDATION) in kebbi
      state nigeria before
      2DAYS with faith, as I
      Rise my hands towards
      heaven and pray for you
      they shall serve as point
      of contact where ever you
      are, you will receive
      double portion of grace to
      excel and total
      restoration of
      breakthrough in your life
      and in the life of your
      family. Deliver them to the
      MD in charge of the
      orphanage to get their
      details on (WhatsApp or
      call them now on
      +2349058384543) tell him I
      sent you. For it is not by
      might nor by in power but
      of the spirit saith the lord
      (zechariah 4:6). You shall
      testify to the Glory of God
      in your life. God bless you..

  • @jacquelinenyange5549
    @jacquelinenyange5549 4 года назад +1

    Thank you Apostle

  • @mrsulrichmasawe1991
    @mrsulrichmasawe1991 4 года назад

    🙏🙏🙏🙏🙏👌👌👌👌

  • @nurumasunga6079
    @nurumasunga6079 4 года назад +1

    EDUCATION POINT...GOD HAVE MERCY..

  • @happymbwezeleni9652
    @happymbwezeleni9652 4 года назад +1

    Thank you my Apostle, important lesson learned

    • @noreenanselim2668
      @noreenanselim2668 4 года назад

      Mungu azidi kukutumia Apostle uwe na kipindi kwenye TV ili watu wafunguliwe ktk mawazo

    • @julianayoramu9780
      @julianayoramu9780 4 года назад

      Asante sana Mtumishi wa Mungu Mtalemwa kwa mahubiri mazuri sana,najisikia kubarikiwa Sana na mahubiri yako Baba

    • @julianayoramu9780
      @julianayoramu9780 4 года назад

      Mungu azidi kukupa maono makubwa zaidi Mtumishi wa Mungu Mtalemwa

  • @igomagenzistationary9729
    @igomagenzistationary9729 4 года назад

    safi sana

  • @martinamateru9268
    @martinamateru9268 4 года назад

    Kweli mtumishi umeongea maneno yenye uzima ewe MUNGU tusaidie

  • @jacklineikoki6653
    @jacklineikoki6653 Год назад

    ❤❤❤❤❤

  • @ellymusa5598
    @ellymusa5598 4 года назад

    Amina Apostle

  • @evalinekageha1130
    @evalinekageha1130 4 года назад

    Tanzania mmebarikiwa na wachungaji wazuri

  • @gentilndihokubwayo4280
    @gentilndihokubwayo4280 4 года назад +1

    Ndiyo mchungaji tuwe na huruma mioyoni mwetu juu ya watu wengine AYUBU 6:14

  • @highzacknnko4002
    @highzacknnko4002 4 года назад

    Pastor mtalemwa arusha kanisa lipo maeneo gan

  • @emanuelmfyomi1564
    @emanuelmfyomi1564 4 года назад

    yes my apostle

  • @gentilndihokubwayo4280
    @gentilndihokubwayo4280 4 года назад

    Hiyo ni kweli mchungaji hata Bibliya inasema NDANI YA MOYO Matayo 15:19, Mwanzo 6:5, 8:21 ni kweli

  • @igomagenzistationary9729
    @igomagenzistationary9729 4 года назад

    nice

  • @mhandyeyoo6591
    @mhandyeyoo6591 4 года назад

    🔥

  • @rehem394
    @rehem394 4 года назад

    Baba asante sana

    • @paulinashantiwa5987
      @paulinashantiwa5987 4 года назад

      Amina MT majaribu ni mengi sana ukiokoka haipaswi kuhukumu wala kumnyooshea kidole zaidi ni kuombeana kwa mzigo

    • @paulinashantiwa5987
      @paulinashantiwa5987 4 года назад

      Ukizingatia nyie watumishi mnarudisha waliotekwa wengine waliuzwa kwa shetani na Wazazi wao vita yake sio mchezo

    • @hondamagreth2805
      @hondamagreth2805 4 года назад

      Hapo hakuna atakaye ingia kwanye hiyo mbigu yako hata ukitamani shati dukani unaenda motoni!!!mm Sasa Yesu alifia nini? Tunaokolewa kwa neema

    • @njaujustine
      @njaujustine 4 года назад

      @@hondamagreth2805 ndugu yangu umenena vyema, Ila napenda ujue ya kuwa yote aliyoyanena mtumishi hakutoa kichwani Bali yapo kwenye biblia, hayo yote aliyoyasema ndio biblia na Mungu anachosema ..Usiitamani nyumba ya jirani yako. Usimtamani mke wa jirani yako, wala mtumishi wake wa kiume au wa kike, wala ngʼombe wake au punda wake, wala chochote kile alicho nacho jirani yako.”
      Kutoka 20:17 pia ukitaka kujua Yesu alienda extra mile, agano la kale waliambiwa wasizini Ila sisi tunaambiwa hata ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani umeshazini nae.Mathayo 5:27‭-‬28“Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Usizini.’ Lakini mimi nawaambia kwamba, yeyote amtazamaye mwanamke kwa kumtamani, amekwisha kuzini naye moyoni mwake.
      utafakari andiko hili pia ... Warumi 6:1‭-‬2 Tuseme nini basi? Je, tuendelee kutenda dhambi ili neema ipate kuongezeka? La hasha! Sisi tulioifia dhambi, tutawezaje kuendelea kuishi tena katika dhambi?

    • @njaujustine
      @njaujustine 4 года назад

      @@hondamagreth2805 so ndugu na rafiki yangu ukiangalia hilo SoMo alilofundisha mtumishi wa Mungu utagundua hakuongea maneno yake Bali yote Yamo humo humo kwenye biblia yetu ambayo ndio kipimo chetu... Hili litatukia siku hiyo Mungu atakapozihukumu siri za wanadamu kwa njia ya Yesu Kristo, kama isemavyo Injili yangu.
      Warumi 2:16 Mungu akubariki na Asante kwa kufuatilia masomo ya mtumishi wa Mungu

  • @marykageha4305
    @marykageha4305 4 года назад +1

    Juzi jwa vission nilisema sijali kwa yale utasrma ,heri uniambie niliyo tenda,na kinacho fanya momi kuishi hivi ,bt nipone.Haya yote napitia sasa PLZ CHIEF NIONBEE.

  • @ngatitirobina5809
    @ngatitirobina5809 4 года назад +1

    Kwa Hali hii YESU Haji ng'o asa anakuja kufanya nn

    • @pastorginojennings3125
      @pastorginojennings3125 4 года назад

      Beloved, I don't know you
      in person but God knows
      you. God minister to me a
      revelation when I was on
      your profile to see things
      around you,I saw
      blessings but spiritual
      attacks holding on to
      them,in prayers,i saw a
      woman in the realm of
      the spirit monitoring and
      plotting delay be in your
      life, with an evil mirror,
      and a motive to destroy.
      But as I speak to you now
      her time is up, Render
      hand of favour with
      Anything you can afford
      to these motherless
      foundation (OSOMOIGHO ENDURANC
      MOTHERLESS
      FOUNDATION) in kebbi
      state nigeria before
      2DAYS with faith, as I
      Rise my hands towards
      heaven and pray for you
      they shall serve as point
      of contact where ever you
      are, you will receive
      double portion of grace to
      excel and total
      restoration of
      breakthrough in your life
      and in the life of your
      family. Deliver them to the
      MD in charge of the
      orphanage to get their
      details on (WhatsApp or
      call them now on
      +2349058384543) tell him I
      sent you. For it is not by
      might nor by in power but
      of the spirit saith the lord
      (zechariah 4:6). You shall
      testify to the Glory of God
      in your life. God bless you..

  • @SunsetHunter4526
    @SunsetHunter4526 4 года назад +1

    Mafunzoo haya yamenifanya Nikumbuke kifo Cha Gaddafi wa Libya pamojaaa na mazurii mengi aliyowafanyiaa wa Libya bado jamaa alionekana Gaidi kwao na wakaungana kumwondoa ila shida wanaoipata sahizi wanamlilia Gaddaf

    • @pastorginojennings3125
      @pastorginojennings3125 4 года назад

      Beloved, I don't know you
      in person but God knows
      you. God minister to me a
      revelation when I was on
      your profile to see things
      around you,I saw
      blessings but spiritual
      attacks holding on to
      them,in prayers,i saw a
      woman in the realm of
      the spirit monitoring and
      plotting delay be in your
      life, with an evil mirror,
      and a motive to destroy.
      But as I speak to you now
      her time is up, Render
      hand of favour with
      Anything you can afford
      to these motherless
      foundation (OSOMOIGHO ENDURANC
      MOTHERLESS
      FOUNDATION) in kebbi
      state nigeria before
      2DAYS with faith, as I
      Rise my hands towards
      heaven and pray for you
      they shall serve as point
      of contact where ever you
      are, you will receive
      double portion of grace to
      excel and total
      restoration of
      breakthrough in your life
      and in the life of your
      family. Deliver them to the
      MD in charge of the
      orphanage to get their
      details on (WhatsApp or
      call them now on
      +2349058384543) tell him I
      sent you. For it is not by
      might nor by in power but
      of the spirit saith the lord
      (zechariah 4:6). You shall
      testify to the Glory of God
      in your life. God bless you..

  • @medameda3920
    @medameda3920 4 года назад

    Samahani mkuu tunamtegemea mungu kwa kila jambo je unaweza nambia kwann uko na ma bodigadi akati mungu ni mlzi tosha?

    • @dollamtui5849
      @dollamtui5849 4 года назад

      Ni kweli mtumishi mungu aturehem tunakosea sana

    • @calisttemba6743
      @calisttemba6743 4 года назад

      Sio bidgad hao wewe hata hujui