BONGO MOVIE WAMSUPRIZE MASANJA KANISANI KWAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 янв 2025

Комментарии • 76

  • @apostlelukumay1856
    @apostlelukumay1856 3 года назад +21

    Huyu ni Muhubiri mmoja mzuri Sana, Ni suala la Muda TU! SAA ikifika atahubiri na Watu wataelewa.

  • @saramuna1173
    @saramuna1173 3 года назад +11

    Kumbe Juma mdoe ameokoka karibu sana nawapenda katika BWANA 🙏

  • @davidmichael7445
    @davidmichael7445 3 года назад +3

    Masanja mungu anakutumia kwaviwango vikubwa Niko kigoma kasulu natamani useme neno moja to kwangu

  • @zakiamseka9698
    @zakiamseka9698 3 года назад +5

    Nimependa anavyomheshimu baba askofu😁

  • @mtumplole2155
    @mtumplole2155 3 года назад +5

    Hakika Bishop Masanja Umenishawishi sn kwa unavyo tumia muda wako kumtangaza Jehova.
    One dy nitakua hapo kanisani kwako,tuabudu na kumsifu Jehova na zaidi ni shibe neno la Jehova kupitia madhabahu yako.

  • @monicamajebele9165
    @monicamajebele9165 3 года назад +2

    BWANA WA MAJESHI YESU KRISTO MWANA WA MUNGU AKUBARIKI SANA MASANJA KUFUATA NYAYO ZA MJOMBA MOSES KULOLA YA KUWA NA UPAKO WA UPATANISHI HALLELUJAH HALLELUJAH

  • @rajabomary6743
    @rajabomary6743 3 года назад +3

    Mungubawabariki kabisa lenu muendelee mtabarikiwa

  • @Mr.Ndelwa
    @Mr.Ndelwa 3 года назад +9

    Huyu bwana mbona anauwezo mkubwa kwenye maombi akipewa kipande cha maombi kwenye muvie kumbe alikuwa mpagani tu!!! Unafaa San kuwa mtumishi wa Bwana

  • @furahiachengula3770
    @furahiachengula3770 3 года назад +6

    Huyu ni mchungaji naye. Ni swala la mda tu. Masanja mfungulie branch tu huyo

  • @ferdinandntembagara2949
    @ferdinandntembagara2949 3 года назад +3

    Mbona ni muhubr mzur sana

  • @pendomariki6562
    @pendomariki6562 3 года назад +6

    Huyu anafaa kuwa mtumishi

  • @shadrackzablon5983
    @shadrackzablon5983 3 года назад +3

    Nasikia mtu huko anasema rarararar yeyeyeyee 😀😀😀😀

  • @tulizosteven3193
    @tulizosteven3193 3 года назад +3

    Mbona kama Na yeye ni mtumishi mzuri MUNGU akubariki

  • @japhetnnko7398
    @japhetnnko7398 3 года назад +1

    Napenda.hapo waliposameean.ndivyo Wana wa Mungu tunatakiwa tuish

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 года назад +3

    Barikiwa sana

  • @suzanibrahim7052
    @suzanibrahim7052 3 года назад +2

    Lipo wap hili kanisa jaman mm nisali

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 3 года назад +5

    A church with a spirit of reconciliation!! Baraka sana!!

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 3 года назад

    Masera kibao hahaaaa uongeaji

  • @mercykariithi7919
    @mercykariithi7919 2 года назад

    Mungu asifiwe Mungu upi?

  • @samsonndosi4764
    @samsonndosi4764 3 года назад +6

    Masanja unafanya KAZI nzur na pakuukumiwa Amna lkn pitisha mbele Sana kuubiri UTAKATIFU ili watu wabadilike kua was KRISTO na MUNGU.

    • @mosasmwailene1626
      @mosasmwailene1626 3 года назад

      Ukiona haubili kwa habali yawatu kuacha zambi nakuwa wasafi wa moyo basi anafanya kazii mbaya paulo anasema afanyae vibaya mkosoeni afanyae vizuli msifieni kwisha 🖐️

  • @0ttiliwiliam317
    @0ttiliwiliam317 3 года назад +1

    mmmh na mm nakujaa🚶‍♀️🚶‍♀️

  • @sophiayusuph5424
    @sophiayusuph5424 3 года назад +6

    Watu wangu wanaangamia kw kukosa maarifa

    • @mosasmwailene1626
      @mosasmwailene1626 3 года назад

      Kabisa inasikitisha nakuhuzunisha saana olewangu mama yangu ukowapi baba angu moses kolola ulie nifundisha injili ya kweli nakujieshimu saana sio mavazi kunyoa nyele zaheshima mh paulo anasema kuishi kwangu bwana utatukuzwa tembea yangu vaa yangu sema yangu hata kufa kwangu bwana utatukuzwa tuu 😭😭😭

    • @jumannenyabuge83
      @jumannenyabuge83 3 года назад

      We maarifa yko yko WAP?

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 3 года назад

      Mnahangaika utadhani nyie ni malaika

  • @Zaikadena
    @Zaikadena 3 года назад +1

    Sawa mande mjukuu wa mwaisabilah jamaake jele hhh

  • @yopemapesayoo561
    @yopemapesayoo561 3 года назад +2

    Kweli nimeamini free ni weng san

  • @claudiaclemence5121
    @claudiaclemence5121 3 года назад +1

    Amina,,nimebarikiwa na ushuhuda wake

  • @witingela6283
    @witingela6283 3 года назад

    Uyu mungu uyu jmn mmh

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 года назад +2

    Akuna faida yoyote ktk kutusi jieshim ndiwe nawe utaeshimiwa ,

  • @josephbizzy1813
    @josephbizzy1813 3 года назад +2

    Mungu wa mchungaji wako ni nani hasa?

  • @janethsemboni9874
    @janethsemboni9874 3 года назад +2

    Kwani masanja keshakua Askofu?

  • @arafaswalehe4660
    @arafaswalehe4660 3 года назад +3

    Mungu wa bwana wetu yesu kristo

  • @shadrackzablon5983
    @shadrackzablon5983 3 года назад +2

    Umejuana na Masanja ata kabla Yesu hatajwi?? Unajua Yesu alianzwa kutajwa link acha utani

    • @agathasahani8148
      @agathasahani8148 3 года назад +2

      Hakuwa na maana hiyo ndugu nilivyomwelewa mie alimamaanisha hivi alijuana na Masanja kabla hawajakaa sawasawa na Yesu

    • @elizabethkisogole34
      @elizabethkisogole34 3 года назад

      Kamaanishwa kabla Masanja hajaokoka elewa Mambo usichanganye?

  • @elishavicentmhina3545
    @elishavicentmhina3545 3 года назад +1

    Uko sawa

  • @alfredaloyce6835
    @alfredaloyce6835 3 года назад +1

    Kijito cha utakaso nizame kuoshwa humo namsifu Bwana kwa hilo nimepata utakaso

  • @josephmaduka8939
    @josephmaduka8939 3 года назад +2

    Wewe pepo Kama mapepo mengine wasiwasi ni akili

  • @getrudewilliamtzmallya5250
    @getrudewilliamtzmallya5250 2 года назад

    Ameniiiii

  • @adolfrudovick2252
    @adolfrudovick2252 3 года назад +1

    Kipunje kama jimi mafuvu

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 3 года назад +2

    Thats the word there pastor,shetani hucopytu hana chake

  • @levinyaosi3556
    @levinyaosi3556 3 года назад +1

    Poleni sana Mungu awasamehe

  • @josedkyomo4440
    @josedkyomo4440 3 года назад +1

    Bongo movie ni zaidi ya movie

    • @shadrackzablon5983
      @shadrackzablon5983 3 года назад +1

      Aise m naangalia hapa lakini naona move kabisa yaani sielewi na huu uaskofu masanja kaupata link jaman?? mgesema mchungaji ningeelewa lakini huo uaskofu mmmmh m sijui😀😀😀

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 3 года назад

      @@shadrackzablon5983 kuwa mchungaji na askofu wewe basi

  • @wivinemwamini9110
    @wivinemwamini9110 3 года назад +3

    Amen

  • @bigbossmanbossman6946
    @bigbossmanbossman6946 3 года назад +4

    Siamini mapadre wala kanisa naona ni mahala pakelele tupu tu yani upuuzi mtupu

    • @elicanageorge1319
      @elicanageorge1319 3 года назад

      MWAMINI MUNGU MTEGEMEE MUNGU PEKE YAKE, ILA WAHESHIMU WAPAKWA MAFUTA WA MUNGU

    • @teddylameck21
      @teddylameck21 3 года назад +1

      Itakuwa ata ww tu ujiamini

  • @mchagashop1342
    @mchagashop1342 3 года назад +2

    Ok❤️

  • @winifridakokuaisa1332
    @winifridakokuaisa1332 3 года назад +1

    j.

  • @sabastianraymond.6383
    @sabastianraymond.6383 3 года назад +2

    LAZIMA UACHE UDUNIA.
    LAZIMA UKUBALI KUWATOFAUTI NA DUNIA

    • @christinachriss9231
      @christinachriss9231 3 года назад

      Usihukumu usije kuhukumiwa

    • @mosasmwailene1626
      @mosasmwailene1626 3 года назад

      @@christinachriss9231 bilia gani unayo soma wewe naneno linasema mkiwa watakatifu mutahukumu pamoja nami shida neno la mungu mume lichukua kiuwepesi saana mh inatisha kweli

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 3 года назад +2

    Ujinga tu

  • @seba_sports2553
    @seba_sports2553 3 года назад +1

    Anaongea pumbavu

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 3 года назад +1

      Qur'an 3:19.
      (Bila ya shaka dini mbele ya MwenyeziMungu ni Uislam).
      Tafakar.

    • @stanleymgani2492
      @stanleymgani2492 3 года назад

      Mh mm nisiwe mnafiki sielewi yanayo semwa na sijajua huu ujasir kaupata wp embu tuache kuweka muvi kwenye makanisa

    • @sarahmwakagugu6663
      @sarahmwakagugu6663 2 года назад

      Joseph ndunguru ( mafufu) jmn n mtumish ajaye

  • @williamnyanda1552
    @williamnyanda1552 3 года назад +5

    Amen

  • @monicaswai140
    @monicaswai140 3 года назад +2

    Amen