Zoravo Ft Rehema Simfukwe - Anarejesha ( Official live Video ) sms : Skiza 6983364

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии • 889

  • @nancyakinyi4206
    @nancyakinyi4206 8 месяцев назад +11

    Na safari hii napigana kwa ujasiri, adui yangu jiandae mapigo ya bwana, yesu anarejesha... Glory to God 🙌🙌🙌

  • @Lindaobiero254
    @Lindaobiero254 Год назад +8

    Yote yaliyo liwa na nzige bwana ana rejesha.safari hii tunainuka kwa ujasiri adui jiandae mapigo ya bwana

  • @rehemasimfukwe
    @rehemasimfukwe Год назад +557

    My brother and friend, ni neema kubwa sana kutumika na Wewe kwenye ibada hii kubwa! Mungu akubariki kwa kuniamini kaka yangu! wimbo huu ni baraka kubwa sana sana kwa kizazi hiki

    • @neemajohnson7508
      @neemajohnson7508 Год назад +4

      Ubarikiwe zaidi

    • @sophiamsuliche9487
      @sophiamsuliche9487 Год назад +9

      Dada rehema ni mnyenyekevu sana,hii koment yake ni🙌 yesu akutunze sana dada

    • @briankabogo3210
      @briankabogo3210 Год назад +21

      The first time i heard your Voice Rehema, I heard the Sounds from the Inner Chambers of Heaven radiating and Flowing through your Voice.. The Angelic backing you have is mighty...
      You turn a song into Worship,
      You turn Music into Spiritual Deep Matters
      You turn words into Tongues
      You turn droplets into Rivers of living water
      You turn smoke into Fire
      Only a Worshipper will know what i am saying.
      I would really Love to hear a Worship Overflow of you and Dr. Sarah K from Kenya.
      Much Love from Kenya
      @rehemasimfukwe

    • @msukicompanyltd1761
      @msukicompanyltd1761 Год назад +2

      ​@@sophiamsuliche9487 0⁰0n0z😊😊😊 men n

    • @CalvinNestory
      @CalvinNestory Год назад +3

      AMEN

  • @nancyakinyi4206
    @nancyakinyi4206 8 месяцев назад +8

    This song has ministered to me personally, i can really relate to it, God bless you Rehema and Zoravo.

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 Год назад +752

    Yule mmoja anaamini kuwa Yesu analejesha aweke like zake hapa Kisha heshima na utukufu zimludie Mungu

  • @neemawangare8429
    @neemawangare8429 9 месяцев назад +9

    Nilikuwa wapi mm kuujua huu wimbo Aww safari hii nina simama kwa ujasiri adui YANGU jiandae mapigo ya Bwana my God💪💪💪

  • @AnithaKilumile-nf8nk
    @AnithaKilumile-nf8nk Год назад +9

    God surely "Anarejesha" I was working and i didnt see any profit coz nlkua napata hasara tu ila Mungu alinishangaza sku nlpta faida mfufulizo tn kwa wakati wa kushangaza ninainuka tena kwa ujasiri kwa kua Bwana Amerejesha kla ktu nlchopoteza na tena zaidi,, Am grateful oooh Lord😊🙏

  • @naominyokabi8345
    @naominyokabi8345 Год назад +12

    Anyone has undergone the pain of losing or pain , rejection, suffering and waiting upon God without getting answer l we understand the song very well this round God is going to restore everything that we lost in tears and pain😢😢😢 at He's appointed time he has made everything beautiful at his own time🙏🙏

  • @beatricechepkoech1437
    @beatricechepkoech1437 Год назад +7

    On this date 18.9.2023 i declare this song in my family,i will come back with a testimony so Help Me GOD

  • @mercykendi4723
    @mercykendi4723 Год назад +5

    No more strangling again God as restored my marriage in Jesus name 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @SaintpaulFavourofficial
    @SaintpaulFavourofficial Год назад +4

    Anarejesha kile kilichoibiwa na adui Amina Zorovo and Rehema Mungu azidi kuinua huduma zenu katika jina la Yesu Kenya tunawapenda sana❤❤❤❤

  • @foundationclemence2024
    @foundationclemence2024 Год назад +2

    AMEN SAFARI HII NINAINUKA KWA UJASIRI, ADUI YANGU JIANDAE KUPIGWA NA BWANA AMEN

  • @ChobaaB4
    @ChobaaB4 10 месяцев назад +3

    Mwaka 2024 narejeshewa vyote nilivyo ibiwa na adui yangu jiandae mapigo ya bwanaa Barikiwa sana dada kwa kunipa tumaini jipyaaa

  • @samwelkamau5039
    @samwelkamau5039 11 месяцев назад +4

    Yess He is faithful, Anarejesha vyote that is where my faith is in Him, He is my Father

  • @speciozaromona1095
    @speciozaromona1095 10 месяцев назад +3

    Safari hii napigana kwa ujasiri adui yangu jiandae mapigo ya Bwana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
    Yesu anarejesha🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Dorine111
    @Dorine111 Год назад +23

    Ni kweli Bwana Anarejesha 🙏🏻 . Amenirejeshea vitu vyangu vilivyopotea, vilivyoibiwa na kunyang’anywa . Mungu wetu ni mkuu sana 🙏🏻

  • @julithahayuma6277
    @julithahayuma6277 Год назад +8

    I lost my seven months baby last Saturday 😢😢 bad enough Kwa operation 😢😢the pain is unbearable 😭 but I still believe Bwana atarejesha

  • @esthermdoe7317
    @esthermdoe7317 6 месяцев назад +16

    Ni kweli Mungu wetu anarejesh, majira kama haya mwaka jana huu ndio ulikuwa wimbo wangu sikuwa na ajira baada ya ajira yangu ya mkataba kusitishwa bila sababu, niliamini Mungu atanirejeshea kazi yangu niliyo nyang'anywa nikweli nilisha fanya interview lakini niliendelea na maombi huku nikisikiliza wimbo huu mwishoni Zaravo anasema hata sasa hujatamka neno hiyo ilini gusa sana na yale maandiko ya kitabu cha mwanzo tarehe 21 Julay 2023 mkeka wa sekretariet ya ajira ulitoka nami jina langu lilikuwepo miongoni mwa waliopata kazi, namshukuru Mungu sana ,nasasa ni mwajiriwa wakudumu serikalini. nikutie moyo wewe ulienyang'anywa kilicho haki yako endelea kuamini utarejeshewa maradufu.

    • @sweeleone958
      @sweeleone958 6 месяцев назад

      Ulipata kazi bila kuomba???

    • @eveoloo5344
      @eveoloo5344 2 месяца назад

      Amen namuaminia dadangu hio kazi aliopoteza kwa kuwekelewa itarejeshwa na mungu wetu🙏

  • @blandinasilas
    @blandinasilas Год назад +8

    Nawapenda mno
    mdogo wangu Rehema toka nimekufahamu KKKT kigogo for the first time nimekuona kwenye praise Mungu alikutumia uponyaji ukatokea kwa ndugu yangu kwenye ibada kwa kusifu tu Mungu akupe kutunza alichoweka NDANI yako
    Kaka Zoravo pia nyimbo unazoimba ni impact kubwa kwenye maisha yangu napenda kuimba mno kumsifu MUNGU aliye hai.
    Mbarikiwe mno.

  • @danfordswai4483
    @danfordswai4483 11 месяцев назад +16

    What I remeber, when this song wasa being released, I was in a seriously sick and even my parents and my relatives were not sure that I will survive again , I remeber when I was at hospital I always listened to this song and I became strong again, God did it to me , am alive again." Anarejesha vilivyopotoea, wakati ule wa dhoruba" 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @violetsande9071
    @violetsande9071 Год назад +1

    Asante Yesu Tanzania tumebarikiwa waimbaji Mungu awainue zaidi katika Jina ya Yesu Kristo nyimbo ina mafutaaa haleluyah

  • @sophiekagwiria
    @sophiekagwiria Год назад +34

    This is my 2024 anthem, because brothers and sisters, God is restoring everything that the enemy took from me in 2023 and all the past years. In place of shame, He is restoring grace in 10 folds and in place of pain, He is restoring laugh in 10 folds. He is opening every closed door and fighting every battle seen and unseen. Mark this comment because this is a testimony loading. Mungu wangu anarejesha. Amina Amina

    • @thebougeefarmer
      @thebougeefarmer 11 месяцев назад

      Amen,I am standing with you in this,I can't wait for your testimony as I wait for mine,I declare this is the year of restoration,let the enemy prepare for the blow of the Lord

    • @sophiekagwiria
      @sophiekagwiria 11 месяцев назад

      @@thebougeefarmer Amen. May God hear us

    • @dorcaslyimo4126
      @dorcaslyimo4126 7 месяцев назад

      Tapping into the Grace of God doing restoration in your life to do the same to mine

  • @irenejohn9704
    @irenejohn9704 Год назад +2

    Nasafari hii ninainuka Kwa ujasiri sitaanguka tena🙌🙏 Adui yangu jiandae mapigo ya baba yangu 🥰

  • @yusufujohn7791
    @yusufujohn7791 6 месяцев назад +1

    ❤ anarejesha , amenirejeshea vingi Sana ooh God thank you 😢

  • @PraiseGodall
    @PraiseGodall Год назад +31

    My prayer to any random person reading this the Lord will turn your weeping into dancing. He will give you a reason to not just smile but laugh again. The Lord will see you through this difficult situation and comfort you on all sides..

    • @dorcaslyimo4126
      @dorcaslyimo4126 7 месяцев назад

      Amen

    • @PraiseGodall
      @PraiseGodall 7 месяцев назад

      @@dorcaslyimo4126 Amen 🙏
      Thank you JESUS 🛐
      May God bless you all the days of your life. 🎉

  • @Harrybella6
    @Harrybella6 Год назад +2

    Na safari hii Nina inuka kwa ujasiri eeh bwana, unisaidie na kizazi changu,Kila mipango ya adui na mitego,isitupate milele,nijalie Imani na Amani maishani mwangu.

  • @wandiafaith778
    @wandiafaith778 Год назад

    😢😢😢 Ooh,Yesu anarejesha vyote vilivyopotoa maishani mwangu

  • @winjoykmwongela2253
    @winjoykmwongela2253 Год назад +413

    I worshipped with this song last night. When Zoravo said " Let me speak to someone, I felt this very strong presence of the holy spirit and I thought it's just a normal thing. I went to sleep only to have a very symbolic dream" I saw myself in the village. There was this huge tree that stood in my grandfather's land. It fell coming off with the roots and nothing else in the sorrounding was destroyed"....To those who understand, this has a deep spiritual meaning. A stronghold GOT defeated 💯🙏. God has restored my family!! "Na safari hii nainuka kwa ujasiri, adui yangu jiandae mapigo ya bwana". “Niliangusha elfu safari hii makumi, nilivuna wachache safari hii nakunyang’anya wote. Much love from Kenya.

    • @evemutindi9653
      @evemutindi9653 Год назад +7

      heey there is an altar in your family and you are the one supposed to fight it by prayeeers

    • @estherkarisa6190
      @estherkarisa6190 Год назад +14

      ​@@evemutindi9653 if u understand the dream the stronghold that reigned in their family is already broken.its finished

    • @brendermugomi6473
      @brendermugomi6473 Год назад +5

      Winjoy, this shall be my testimony too In Jesus Name

    • @samkomba680
      @samkomba680 Год назад +2

      This is a God's message

    • @janejachumbs
      @janejachumbs Год назад +2

      Powerful 🎉

  • @gracekijazi3463
    @gracekijazi3463 9 месяцев назад +1

    Blessings 😢❤
    Thanks almighty lord for your grace and mercy

  • @rosemndolwa6622
    @rosemndolwa6622 Год назад +17

    Huu wimbo uliniinua siku moja niliamka nimepondeka sana moyo ulikuwa unaugua, nikafungua clouds chomoza nikakutana na wimbo huu ulinigeuza na kuwa mpya, nilipokea nguvu na tumaini, nilijisikia mzigo nimeutua, barikiweni sana watumishi kwa prophetic song hii nawaombea muinuliwe zaidi ili mfae siku zote kwa ajili ya wengi 🙏🙏

  • @IreneKapungu
    @IreneKapungu Год назад +4

    Bwana anaenda kuwapiga adui zangu wote na anakwenda kurejesha kila kilicho changu ambacho adui ameiba ama alichoninyanganya . Bwana anaenda kuvirejesha vyote katika jina la Yesu kristo. Kupitia mafuta yanayo mwagika kwenye Wimbo huu , kwa ujasiri navipokea vyangu vyote kwa jina la Yesu kristo 🇨🇩

  • @RobertSalumu-kl3db
    @RobertSalumu-kl3db 3 месяца назад +1

    Tunamtukuza Bwana kwa wimbo huu,Mungu awabariki sana 🙏🙏

  • @Kelvin_Wesonga
    @Kelvin_Wesonga Год назад +8

    "Safari hii nainuka kwa ujasiri, adui yangu jiandae mapigo ya Bwana" AMINA

  • @LydiaNelson-y4s
    @LydiaNelson-y4s Год назад +17

    For the two minutes,, Please God restore my health, i need a testimony through this song 🙏🙏 Nimechoka na ulcers and am pregnant the pain is too much to bare,, Jesus restore my health,, PLEASE🙏🙏

  • @IsaackMabulla
    @IsaackMabulla 8 месяцев назад

    Ubarikiwe sana sister na barikiwa sana na nyimbo zako ni me suryana dada nataman siku moja niwe kama wewe❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @diana23gzo
    @diana23gzo 10 месяцев назад +2

    Safari hii nitatembea kwenye Biashara zangu upya na kwa ujarisi mana YESU amenirejeshea.

  • @ndayizeyefredina-ni8uf
    @ndayizeyefredina-ni8uf Год назад +1

    Imetoka vizurisana Niko burundi badonawafuatiliasana🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @nellynafuna7511
    @nellynafuna7511 Год назад

    Rejesha mungu yote iyochukuliwa na adui,rejesha yesu🙏

  • @talkingfingers7798
    @talkingfingers7798 Год назад

    Kwa Imani ananrejesha vyote nimepoteza kwa jina la yesu ❤

  • @bettynzyoki1215
    @bettynzyoki1215 10 месяцев назад +4

    I was worried after I was summoned by KRA but after listening to this song my mindset changed bcoz God will restore everything 🙏

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no Год назад

    huu wimbo umekua baraka kwangu na wimbo wa imani ya kurejeshewa vile nlivyovipoteza,nashkuru Mungu kwaajili yenu zoravo na neeema mmekua faraja kwangu,,mmenijenga kiimani sana,,much blesses from arusha

  • @maryanyaa6446
    @maryanyaa6446 6 месяцев назад +1

    Adui yangu jiandaye mapigo ya bwana....maana ntarudisha maisha yangu tena

  • @mercykainyu378
    @mercykainyu378 9 месяцев назад +1

    Huu wimbo umenitia nguvu sana 😢❤

  • @adrianasamaitan2405
    @adrianasamaitan2405 8 месяцев назад +3

    Kila kitu changu kilichochukuliwa Na adui vinarejeshwa Kwa Jina la YESU....Na Safari hii nitapigana Kwa ujasiri...adui yangu ujiandae...

  • @PhiniasMtenya
    @PhiniasMtenya Год назад

    Nabarikiwa sana na nyimbo zako Dada rehema nami natamani sana kumtumikia Mungu kupitia kuimba ubarikiwe sana dada

  • @aliciaalfred9486
    @aliciaalfred9486 Год назад +24

    Am blessed.. naamini nimevuka na vimerejeshwa vilivyo vyangu vyote.... Maana huu wimbo umenikuta kwenye siku ambayo nilikuwa nauchungu sana moyoni .. but huu wimbo umeondoa uchungu moyoni mwangu.. nina imani na huyu Mungu aliondoa uchungu anaenda kurejesha kila kilichopotea ,kilichoibiwa au kunyanganywa na adui... Mbarikiwe sana watumishi wa Mungu

  • @monicahjames7308
    @monicahjames7308 Год назад +1

    HALLELUYA....NI BWANA WA UREJESHO 🙌🙌🙌🙌

  • @successfulsue
    @successfulsue 8 месяцев назад +6

    So much love from Kenya 🇰🇪 this song is really ministering to my spirit.anaresha vilivyo nyanganywa wakati nimetingikika

  • @MiracleSolomon-fc7wk
    @MiracleSolomon-fc7wk Год назад +17

    My line, " Nilianguasha elfu, safari hii Makumi elfu; Nilivuna wachache, safari hii inakunyang'anya wote;" // strong faith line.

  • @doricemsumari5725
    @doricemsumari5725 Год назад +2

    Hakika Bwana anarejesha vilivyoibiwa ,mapigo ya Bwana ni hatari,adui atapigwa kipigo kikali na utukufu umrudie Bwana wa vita.

  • @sallysabala4724
    @sallysabala4724 Год назад +15

    Ndoa yangu anarejesha...... mapato iliyoliwa na nzige bwana anatejesha in Jesus name.....nainuka kwa ujasiri adui ajiandae. thanks for this song

    • @alicemuia6200
      @alicemuia6200 Год назад

      Yangu pia anarejesha

    • @Amashe
      @Amashe Год назад

      Yangu pia anarejesha

    • @kaddymngumi5674
      @kaddymngumi5674 Год назад

      Waiting for the testimonies in Jesus name for jer 29:11 Amen

  • @swahiliandculture6599
    @swahiliandculture6599 Год назад +1

    Hallelujah hakika Mungu amenirejeshea vyote... alivyonipangia... Adui yangu kaaa kisawa kisawa mana Mapigo ya Mungu wangu sio Mchezo... kamuulize Farao alichokipata.. yako itakuwa mara kumi...
    ASANTE YESU KWA KUNIREJESHEA VYOTE. NIMEVIPOKEA KWA JINA LA YESU.

  • @absalomoketch2950
    @absalomoketch2950 9 месяцев назад +2

    Am taking back my worship in Jesus name...am restored fully

  • @rukiasasya9204
    @rukiasasya9204 Год назад +7

    Nasafari hii nainuka kwa ujasiri adui yangu jiandae mapigo ya bwana

  • @njericlaire8229
    @njericlaire8229 Год назад +36

    For that matter this song will be my anthem until something happens 😭Adui wa maisha yangu na wa familia yangu jiandae mapigo ya Bwana 🙌😭

  • @dianamokinu2301
    @dianamokinu2301 Год назад +28

    Can we all agree Zoravo is a blessing to this generation

  • @susanogumbo9545
    @susanogumbo9545 Год назад +1

    Adui yangu jiandae mapigo ya Bwana ...Anarejesha

  • @sylviaatieno4239
    @sylviaatieno4239 9 месяцев назад +3

    i love this song i need so desperately for God to restore all the world has taken away from me and everything my disobedience has made me do May God restore and give me speed to help me catch up with the blessings he had intended for me

  • @alicekamala858
    @alicekamala858 Год назад +1

    Yesu anarejesha vilivyo potea

  • @juliahwakio2905
    @juliahwakio2905 Год назад

    Asante Yesu kwa ajili ni wewe tuu unaweza,asante kwa kurejesha kilicho ibiwa

  • @raelkeynan2373
    @raelkeynan2373 Год назад +11

    When the enemy came like a flood, the Lord raised a standard.
    Adui yangu jiandae mapigo ya BWANA

  • @valentineenyi5225
    @valentineenyi5225 Месяц назад +1

    nice one. though i don't understand the language. Glory to God Almighty.

  • @briankabogo3210
    @briankabogo3210 Год назад +82

    The first time i heard your Voice Rehema, I heard the Sounds from the Inner Chambers of Heaven radiating and Flowing through your Voice.. The Angelic backing you have is mighty...
    You turn a song into Worship,
    You turn Music into Spiritual Deep Matters
    You turn words into Tongues
    You turn droplets into Rivers of living water
    You turn smoke into Fire
    Only a Worshipper will know what i am saying.
    Much Love from Kenya
    @rehemasimfukwe

  • @TheMunenes
    @TheMunenes Год назад +67

    What a Prophetic song love it from 🇰🇪

  • @gracesereyah7479
    @gracesereyah7479 Год назад +8

    Adui yangu,jitayarishe mapigo ya bwana!!!This time around,im coming out swinging by God's mighty hand🙌🙌 restoration is my portion in Jesus name!🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @FrankZakaria-w2v
    @FrankZakaria-w2v 4 месяца назад +1

    Bwana nilejee na mimi eee bwanaaa

  • @MarthaChuwa-o6b
    @MarthaChuwa-o6b 9 месяцев назад +1

    Halleluyah nimebarikiwa sana na wimbo adui yangu jiandae mapigo ya bwana nawapenda waimbaji Yesu azidi kuwatumia zaidi na zaidi

  • @nsengiyumvadancilla8503
    @nsengiyumvadancilla8503 9 месяцев назад

    Adui yangu jiandaye jiandaye mapigo yabwana.Amena🙏

  • @KibibiMtuhi-xg8ju
    @KibibiMtuhi-xg8ju Год назад +1

    Tanzania tumebarikiwa nasikia kulia tu Asante Yesu Asante

  • @annastaciamuli4550
    @annastaciamuli4550 Год назад +94

    Amina, this song is meant for me, lord restore my health, I'm recovering from a surgery and I believe I will be back in my feet, I trust in my living Lord. Hallelujah, healing is my portion.

    • @frankpaul662
      @frankpaul662 Год назад

      I am sorry for the healthy challenge. May you receive healing, I pray for your fast recovery in Jesus name. 🙏

    • @josephinewaruguru6638
      @josephinewaruguru6638 Год назад +1

      amen

    • @DeeCyndy
      @DeeCyndy Год назад

      He restored your life after surgery,he will surely see to it your healing❤

  • @petersonmunene7615
    @petersonmunene7615 Год назад +4

    Ninahisi huu ni wimbo wangu wa mwaka 2024

  • @Richard_14
    @Richard_14 10 месяцев назад

    Wimbo huu ni baraka sana.
    Sing with Faith and holly spirit will manifest his power..
    Nawish zoravo na rehema wangeludia chorous mara nyingi.. Anarajesha...
    Mm nimefanya edit ya cut and join ya wimbo huu kupata kolasi ya Anarejesha mara 6..
    Mungu awabariki sana

  • @EstherKivuva-nj6su
    @EstherKivuva-nj6su 8 месяцев назад +5

    Yesu anarejesha, safari hii nainuka kwa ujasiri. Amen

  • @UzyaNangao-im5wy
    @UzyaNangao-im5wy Год назад

    Nimebarikiwa na huu wimbo hakika YESU AWATUNZE

  • @wivinemuderwa1874
    @wivinemuderwa1874 Год назад

    Nyimbo nzuri 'ila mavazi ya wana wake sio nzuri sisi tuko wa injilisti sio waki dunia 'tafauti yetu ipo wapi naya kidunia? Mungu awa bariki

  • @jamesmsomba4171
    @jamesmsomba4171 3 месяца назад +1

    Tunatamkaaa urejesho wa Bwana Kama Visima vyote vya Yakobo Tunatamka Kufukuliwa tena visima
    Ikiwa n kazi,biashara,Kukua kiroho na kiuchumi Tunafukua Tunainuka kwa ujasiri Tamka urejesho mahari ulipo Urejesho wa Mungu unakujaa🧎🏼‍➡️

  • @gloriakorosso6045
    @gloriakorosso6045 7 месяцев назад +1

    Asante Yesu Kwa roho wa Marejesho ,Matengenezo,,Kupanda na Kujenga Wana wa Mungu ndani ya kizazi Cha Kanisa la siku za mwisho

  • @georgeokumu7287
    @georgeokumu7287 Год назад

    lovely song. mtu wa bass yafaa awe na heshima kwa Mungu kofia ukiwa kwa madhabau yafaa itolewe

  • @millysimi4886
    @millysimi4886 Год назад +1

    Amenirejeshea after exactly 1 year since He showed me in a vision what I was losing...#PromiseKeeper

  • @jacklinelaizer9760
    @jacklinelaizer9760 Год назад

    Waoooo safari hiii nainuka kwa ujasiri adui yangu jiandae mapigo ya bwana

  • @patriciajane
    @patriciajane Год назад

    my song😭😭😭😭freed from captivity...God bless you

  • @mercyasava9303
    @mercyasava9303 Год назад

    God restore everything that the enemy stole from me when I was asleep safari adui jiandae kwa mapigo ya bwana kwa saba u nakuja na ujasiri wa bwana

  • @SusanNjoroge-es2gn
    @SusanNjoroge-es2gn Год назад

    Ni kweli anarejesha , kwangu amerejesha...🙏🙏

  • @marykamash6041
    @marykamash6041 8 месяцев назад +4

    Nimeimba huu wimbo nikaaza kuomba

  • @averenejohn3513
    @averenejohn3513 8 месяцев назад +1

    Bwana anarejesha kila kilichoibiwa na adui kutoka kwangu katika jina la Yesu

  • @partsonbulukhu-zy8mn
    @partsonbulukhu-zy8mn Год назад +5

    Rehema uwa wanibariki kupitia nyimbo zako, ubarikiwe kwa uduma yako nzuri, following from Kenya, chanzo, Ndio yako, Neema yako and now this one 🙏🙏

  • @Naomidemure254
    @Naomidemure254 8 месяцев назад +1

    Humbled and Blessed AMEN TO THE LORD AND JESUS CHRIST

  • @JudyKrish
    @JudyKrish 6 месяцев назад

    Trully for those pple ambao wameloose hope in life bcoz of the hard times they face God is gonna going to restore everything to u just believe ,,,,,,hii safari pigana Kwa ujasiri❤❤❤❤❤

  • @moseskitonyi3119
    @moseskitonyi3119 Год назад +7

    Anajeresha vilivyoibiwa wakati ule nimesinzia🇰🇪🙌

  • @roseb713
    @roseb713 Год назад +2

    Ahsante Roho Mtakatifu, Ahsante Zoravo, Ahsante Rehema, Ahsante wote kwa huduma hii ya Bwana Yesu Kristo. Baba Mungu Azidi kuwabariki

  • @brianstephen5244
    @brianstephen5244 Год назад +1

    Pokea upendo kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪, Mwenyezi Mungu awabariki sana.Mungu ni mkuu kwa yeyote aliyepoteza chochote katika safari hii ya maisha mwamini Mwenyezi Mungu atarejesha vyote.

  • @ronaldomashaka
    @ronaldomashaka 10 месяцев назад

    Mungu akubarik I love you rehema kw wimbo mzur adui Hana nafas kwetu

  • @christinenjeri9097
    @christinenjeri9097 Год назад +19

    I have a testimony of this song. God has surely restored me. He has restored my weight, my property, my job, my sanity. He is my God and I love Him to bits..

    • @maryaika9645
      @maryaika9645 Год назад

      Hold that thought sis

    • @christinenjeri9097
      @christinenjeri9097 10 месяцев назад

      @@maryaika9645 my God is and will never change. He is the greatest I'll ever have

    • @esthermbithembithi5342
      @esthermbithembithi5342 9 месяцев назад

      Yesu anarejesha,
      Na safari ninainuka kwa ujasiri ,Adui yangu jiandae mapigo ya BWANA.

  • @KadengeRisper-o8i
    @KadengeRisper-o8i 10 дней назад

    Adui yangu jiandae kwa mapigo ya bwana umenitesa ya kutosha😩🙌🇰🇪

  • @BRENDASIJEYO
    @BRENDASIJEYO Год назад

    Anarejesha yesu niliyopoteza...amina amina

  • @Nancykamau962
    @Nancykamau962 2 месяца назад

    I drop this here coz I believe I'm coming back to testify what heavenly FATHER IS doing in my life, restoring my relationship in JESUS MIGHTY NAME AMEN, restoring my visa n my job back in JESUS MIGHTY NAME AMEN.

  • @mercykavita
    @mercykavita Год назад +83

    And that lady can worship!!
    My love for her...her manner of worship is so uplifting to the soul😊

  • @misstee102
    @misstee102 Год назад +3

    Dada Rehema Sauti Yako Ina Nguvu Ndani Yake🙏🔥Zoravo🔥🙌🙌Mbarikiwe Saaaaana🙌

  • @Heavedavid
    @Heavedavid Год назад +55

    This song omg!!! You can feel the presence of Holly spirit 🙌🙌🙌🙌🙌. “Niliangusha elfu safari hii hii makumi nilivuna wachache safari hii nakunyang’anya wote” 🔥🔥🔥🔥

    • @stellarjovitas5473
      @stellarjovitas5473 Год назад +3

      I almost commented on this🙌

    • @ChaulaVeronica-sm2vk
      @ChaulaVeronica-sm2vk Год назад

      Nimepoteza wanangu pacha watatu ninawiki tatu sasa , naamini atanirejeshea wote 😭😭😭🙏🙏🙏 sitachoka kumtumia yeye aliye juu🙏🙏🙏

  • @evelynnjeri5065
    @evelynnjeri5065 6 месяцев назад

    Zoravo is just a rare gem.His songs continue blessing my soul.Particulrarry anarejesha .The song is woow