2024November nasikiliza, Tunaosikiliza naomba like. Nakumbuka wakati huo baba yangu mzee Njigale ana hela si mchezo. Tuna duka la ushirika,enzi za kaya, Temeke Mikoroshini.
You cant imagine how maneno maneno ya watu can break up great relationship....Salamule and the like you better take a leaf from this..Good work Mzee Sugu Mpango Mwema
One of the my best song from Orchestra King Kiki - Double O, the keyboard well touched by sweet mama - Asia Daruweshi, and leading solo guitar from Mohamed Idd. It was Fantastic - those days well never revert!!, it will remains history
King Kikii alikuwa ni mwanamziki mwenye aina ya miziki na mtindo wa kipekee
Ukisikiliza nyimbo hii unasahau Kama dunia itaisha
2024November nasikiliza,
Tunaosikiliza naomba like.
Nakumbuka wakati huo baba yangu mzee Njigale ana hela si mchezo.
Tuna duka la ushirika,enzi za kaya,
Temeke Mikoroshini.
RIP KING KIKI, Tutakukumbuka, wewe ni Maestro wa kweli wa huu mziki
Dah! Kweli wakati ni ukuta. Haitapata kutokea nyimbo kama hizi.
Oooo Lovely Song Mola akupe maisha marefu Mfalme Kiki.
Enzi zetu,music unapigwa unasikia nywele zinasisika duh
NAKUMBUKA wakati ulituacha na SAFARI SOUND; natukabaki na KASHEBA alakini ulikua natoa nyimbo safi sana, HONGERA!!! wako KABABA NKOMBA na SUEDE!
You cant imagine how maneno maneno ya watu can break up great relationship....Salamule and the like you better take a leaf from this..Good work Mzee Sugu Mpango Mwema
Piliswa Bantu kiblko
Piliswa Bantu kiblko
One among the best...old music preseves the memories......
I do remember I went to watch them performing at wapiwapis bar , chang"ombe maduka mawili! good memory!
Kassim Mtambo
they still play? the same guys or he changed the crew. I worked with him and would like to get in touch with him
One of the my best song from Orchestra King Kiki - Double O, the keyboard well touched by sweet mama - Asia Daruweshi, and leading solo guitar from Mohamed Idd. It was Fantastic - those days well never revert!!, it will remains history
Anthony Kisondella solo was Monga Stan
What was the meaning of Double-O?
Great old music, post some more old hits. It reminds me 30 years. woooh the bits and the message were both fantastic!!!
Wimbo bora wa karne
Mzee sauti yake aipotei, juzi alikuja kivule garden، kwa kweli tuliburudika sana
Kiukeli hii imeenda Hii inanikumbusha tukilima majaruba bara mwaka 1985 nikiwa ndo naaza dalasa la kwanza😅 da!
One of the best I've heard. Was checking to see if this is up or to upload it.
Thank you for putting it up.
lovely music of our time
Dhahabu 2pu nyimbo zake kikii nkikii huyujamaa apewe2 mauwayake kwani hakuna mba mbaa mbaaa
Mzee Kiki wafundishe vijana uwape ujuzi wako waendeleze.
Hili nakuunga mkono hata mimi anifundishe kwani Sauti tam mziki mtamu nyakati zotetam ukisikiliza nyimbo hii
Sweet sweet music
Thank you
GOOD OLD DAYS
Never forever can't be back at that time
Hiyo haiwezi rudi tena
one of the best
VERY GOOD SONG
mwanagu tandika sokono hiyo
Sokoni? au sokono
Mziki mzuri sana.
good song
Wakati ni ukuta
Safi Sana
Raaaa!!!
I am in desperate song, Isa isa mwalimu, i dont the artist, somebody help please
This kind of voice should be patented!
Never come again