BREAKING NEWS MBOWE HALI NI MBAYA APEWA SUMU ? | DOKTA WASEMA APELEKWE AFRIKA KUSINI HARAKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 71

  • @samwelnevele7796
    @samwelnevele7796 Месяц назад +2

    Hii nchi inalindwa na mungu juueni yoyote anae andaa mabaya kwa ajili ya kuangamiza watanzania mungu hata waacha salama

  • @SagandaSaganda-t6f
    @SagandaSaganda-t6f Месяц назад +2

    Kama anaumwa ama haumwi mwenyezi MUNGU amponye, ampe afya njema , maisha mazur na marefu Amin amin 🙏 InshaAllah

  • @Asajilemwanjala
    @Asajilemwanjala Месяц назад +1

    Mwamba ataishi mpaka mungu aamue

  • @KelvinChunusha
    @KelvinChunusha Месяц назад +1

    Achakudanganya watu au wew umepewa cm

  • @ndeshilema4788
    @ndeshilema4788 Месяц назад +1

    damu ya yesu imfunike

  • @FatumaOmary-ek4ux
    @FatumaOmary-ek4ux Месяц назад

    Afe kabisa mimi ananikera sana

  • @MasumbukoCharles-w5m
    @MasumbukoCharles-w5m Месяц назад

    Pole sana

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 Месяц назад +15

    Ninaachilia Damu ya Yesu kwa Kiongozi wa CHADEMA mwenye busara kuliko kiongozi yeyote hapa nchini

    • @Ibrahim-ne3in
      @Ibrahim-ne3in Месяц назад

      Panya kweli wewe

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад

      C panya kwsbb atetea wt katekw na kuwaw ogopa at MUNGU au huendagi ata mskiti,nn,

  • @GraceKazi-z8d
    @GraceKazi-z8d Месяц назад +2

    Mungu baba wa mbinguni mponye kiumbe wako

  • @RahimRashid-u9j
    @RahimRashid-u9j Месяц назад +1

    Mnakosaga kazi nyinyi kuma kuzushia watu habari za kisenge

    • @madoratv
      @madoratv  Месяц назад

      Kwanini unatukana

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u Месяц назад +2

    Mzee mbowe polen sana.

  • @mosesmacha1080
    @mosesmacha1080 Месяц назад +1

    Kama aliibuka kwenye Maandamano bila kumkamata, mtamwekeaje sumu?

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад +1

    FREEMAN MBOWE HUTAKUFA BALI UTAISHI UYASIMULIE MATENDO MAKUU YA BWANA!!!
    MBOWE HUTAKUFA BALI UTAISHI UWATETEE WANANCHI!!!
    WANAOTAKA KUKUANGUSHA NA WAANGUKE WAO KWA JINA LA YESU CHRISTO .
    ZAB 35; 1-6

  • @faidamuhamed3011
    @faidamuhamed3011 Месяц назад +2

    Mmeanza

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад

    Hii tabia ya kuwakamata na kuwaweka ndani naona kuna njama za kuwadhuru hawa viongozi
    Kuna njama kuna njama kuna njama

  • @JmotorsAutogarage
    @JmotorsAutogarage Месяц назад

    Nikweli au mambo ya kumchuria mwenyekiti wetu

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад +1

    Waovu wamemfanyizia
    EE MUNGU UMNUSURU
    CCM NA SERIKALI YAKE NI WAOVU SANA!!!
    PSALM 91

  • @jerome3143
    @jerome3143 Месяц назад

    ya kwenu hayo mambo

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Месяц назад

    Alikufa JPm mkasherehekea kama ni kweli huyo Mbowe anaumwa basi na akifa msherehekee maana mapenzi ya Mungu yatakuwa yametimizwa.

  • @talibsaid8096
    @talibsaid8096 Месяц назад +2

    Presha juu kusikia lisu anachunguza kesi yake ya kupigwa risasi 😜

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад

    Rabby nsataraa mbowe,

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu Месяц назад +1

    Huyu ana presha maana amekula pesa za wazungu na maandamano hayajafanyika

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x Месяц назад

      Ook but nivyema kuacha muhemko pesa za wazungu hata Samia anapewa mbona
      Vitu vingine tuache mihemko

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x Месяц назад +1

    Halbadiri iliosomea na kumshitakia mungu

  • @EmmanuelSeleman
    @EmmanuelSeleman Месяц назад

    Kama Magufuli alikufa na likaisha sembuse huyo nyambore

  • @xaokwao1141
    @xaokwao1141 Месяц назад +1

    Mhuuuuuuuu Yale Yale ya anko Maguirefuri jazamwenyewe sijakosea kuandika hapo

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165 Месяц назад +1

    Mmmm mambo gani tena ?

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 Месяц назад +1

    Washampa kinywaji cdm dah

  • @QwakuHangu
    @QwakuHangu Месяц назад

    Kwani hata chadema wanauguaga?maan walikuwa wanasema wao ni watakatifu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 Месяц назад

    Mzalendo mwanga Mbowe mzima kabisaaaaaaa

  • @SolomoniRingia
    @SolomoniRingia Месяц назад

    Kishanukaa hiii ndo Tanza Tanzua ng'amu ng'amua...... Kimenukaaaa😂😂😂😂🙌🏾🙌🏾👈🇿🇦👈🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @fredrickbaryagati2194
    @fredrickbaryagati2194 Месяц назад +1

    Atapona

  • @masoudpandu4404
    @masoudpandu4404 Месяц назад

    Duh

  • @SaidChips-d2c
    @SaidChips-d2c Месяц назад

    Hio ndio democrasia ya tz ukiyakanyaga wayaaaaaaaa!?

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk Месяц назад

    TUNAPINGA NA KUIKATAA HIYO ROHO YA MAUTI KWA JINA LA YESU CHRISTO
    IS NOT YOUR POTION MIGHTY LEADER!!!
    WANANCHI BADO WANAKUHITAJI UWATETEEE

  • @georgemahenge
    @georgemahenge Месяц назад

    Hivi Hawa waandishi wanatimiza vigezo mpaka.akawa mwandishi.na siyo msemaji wa cdm.

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 Месяц назад +1

    Wewe ndo umsemaji wao ama vipi

  • @MichaelBahati-o8h
    @MichaelBahati-o8h Месяц назад +1

    Uzushi tu
    Mzee wetu ataishi kwa Jina la Mwenye Nguvu

  • @yasinkaunda1552
    @yasinkaunda1552 Месяц назад +1

    Afee tyu

    • @andrewkissava9184
      @andrewkissava9184 Месяц назад

      Hafi lazima ufe wewe yeye anaishi ilikumwondoa adesna paka shume

    • @FaustineKingu
      @FaustineKingu Месяц назад

      Hafi mtu hapa mapambano yanaendelea chadema safiiiii

    • @FaustineKingu
      @FaustineKingu Месяц назад

      Chadema mkombozi Tanzania

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Месяц назад

      Kwa vile wewe hautakufa!! Wapi waliompiga lisu risasi leo wako wapi?

  • @SamwelMollel-br9md
    @SamwelMollel-br9md Месяц назад +1

    Natamka uponyaji kwajina layesu lasima apone hakuna shakukusuru kamwe,

  • @majigeleonad1950
    @majigeleonad1950 Месяц назад

    😂

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q Месяц назад

    Afeee2

    • @AlumanaPilla
      @AlumanaPilla Месяц назад

      Mungu akijibu uanze wewe

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi Месяц назад

      Uanzeee ww mana shoga una faidaa

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 Месяц назад

    Asiende Afrika kusini wataenda kummalizia huko.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Месяц назад

    Anatafuta kiki

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Месяц назад

    Kavimbiwa tu huyo!!!..

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg Месяц назад +2

    Alizidi kuwa chawa wa madhalimu

  • @ahmadmasunda9892
    @ahmadmasunda9892 Месяц назад

    KURJUAN IMEANZA KUFUNYA KAZI HUKU TWENDE KAZI KUMEANZA KUCHANGAMKA HUKU MWENGINE ANATIBIWA KANISANI

  • @JOSEPHLUCHENYA
    @JOSEPHLUCHENYA Месяц назад

    Dah mungu ampe nguvu

  • @japhetlukumay2778
    @japhetlukumay2778 Месяц назад

    Atapona mungu mwema

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku Месяц назад +1

    Njie mnaocomment ujinga mbona watu wengi wanaumwa,tayari mnaanza kushuki watu kuwa kapewa sumu.muogopeni mungu.mponyaji niungu.

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 Месяц назад

      Kweli tumwogope Mungu. Ila mponyaji pekee yipo. Yule aliyemponya mponya Lisu ndiye Ataponya na wengine.

    • @alphoncewilliam4325
      @alphoncewilliam4325 Месяц назад

      ​@@monicamwita7865lisu ni mpuuz

  • @fauzseif7344
    @fauzseif7344 Месяц назад +1

    Hakuna yesu wala nini unafiki tu huo

  • @Aksa-yk1dp
    @Aksa-yk1dp Месяц назад

    Acheni maneno kwan kama anaumwa nikipi Cha ajabu.kila mtu kuumwa nilazima .kwan yeye sio binadam

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc Месяц назад

    Shogaaaaaa

  • @justicebridge
    @justicebridge Месяц назад

    Nyie wajinga sana kwani mtu hakiugua nazo ni siasa shit

  • @emajacobo128
    @emajacobo128 Месяц назад

    Pole sana

  • @salamwajeka-yo6su
    @salamwajeka-yo6su Месяц назад

    Pole sana