Today 17th Sunday 2023 Inside Latema ya Ngong Road Kabiria , hizo zinapandisha adjacent to archives, witnessed everything TWD amesema kwa hii video, Conductor assisting pickpocket to block passengers at the exit while pickpockets wanaingia vibeti za wamama , pretending drunkards kulalia watu kwa viti hapo upper hill while mikono ziko kwa pockets. Everyone watched and no one raised an alarm, disturbed the whole day
I left Kenya right after high school. I'm so Scared to come back after almost 20 years. I've invested a lot in Kenya, but I don't even know where I would start if I came to check things out. I hope they have good private security companies that can accompany me wherever I go.
Nilinyanganywa phone Riverside Drive 10 pm. Nikatoka kwa Uber mbio sikuona mtu. Niliona tu dame fulani. Nikamkimbilia nikamuuliza kama aliona watu walichukua phone yangu, akanishow zi. Mkono moja ilikuwa ndani ya handbag yake. Baadaye ndio nilirealize lazima ni yeye alichukua hiyo phone
I didn't experience that, but I saw at least 3 people who were once victims. You better know it exists and be prepared for the worst atleast, that is what security is all about
5 minutes into the video nd i can tell una experience mob Nairobi. Hizi vitu unajipatanga tu umelearn the hard way
Thanks for the share
Napenda content ya huyu jamaa.... i respect you man... tuchanuea kabisa
20:48 "Hata kama mi si mwizi, nitakuonyesha nilisoma UWIZI"....
That was deep 😂😂
New subscriber, truth amenichanua mbaya💪
informative and gripping pod, i enjoy listening to it
Tuned
Concerts pia watu huibiwa, you should have mentioned something about that, how to keep safe in concerts.
We’ll also have a topic on this specifically. Stay tuned.
Weeeehh mambo ni tofauti kwa ground,kenya yetu ni baya lakini si hami
Awesome
Today 17th Sunday 2023 Inside Latema ya Ngong Road Kabiria , hizo zinapandisha adjacent to archives, witnessed everything TWD amesema kwa hii video, Conductor assisting pickpocket to block passengers at the exit while pickpockets wanaingia vibeti za wamama , pretending drunkards kulalia watu kwa viti hapo upper hill while mikono ziko kwa pockets. Everyone watched and no one raised an alarm, disturbed the whole day
Heri ningenunua ufaa 😊
Quiver Lounge ni kwengine watu huwekewa mchele, some of the ladies work with waiters to drug you. I have a friend who was drugged in Quiver na waiter.
mchele zinawekwa kila pub
Weka content bana
Stick to house parties.
Mambo na kilabu ata sahi ni old fashioned.
Hii haikai real waiters blare professional
"ati mina kuwanga na constipation wacha nikae kwa dirisha"🤣🤣🤣,,,noma
😂😂😂
Safety and Security Everyday
The key aspects in our lives today✅
I left Kenya right after high school. I'm so Scared to come back after almost 20 years. I've invested a lot in Kenya, but I don't even know where I would start if I came to check things out. I hope they have good private security companies that can accompany me wherever I go.
is it really that much? i think u are just phobic
Watch dog surely😂😂😂
very informative , coming from the wicked edition
Nilinyanganywa phone Riverside Drive 10 pm. Nikatoka kwa Uber mbio sikuona mtu. Niliona tu dame fulani. Nikamkimbilia nikamuuliza kama aliona watu walichukua phone yangu, akanishow zi. Mkono moja ilikuwa ndani ya handbag yake. Baadaye ndio nilirealize lazima ni yeye alichukua hiyo phone
Alafu Ukafanyaje?
Na bado hawataskia.... Bro sabina nikiingia kuwatch ball it's either niko na dem yangu ama na boys tukunywe maji
Pia ukikoniwa luthuli usiite hao polisi wako hio area😂😂😂
Ukiwa kwa gari shika simu na mkono
Au ile mfuko umeeka simu weka mkono ndani
This guy is spreading rumours. Uwongo karibu na ukweli. Story za mtaa. Unawezaje pakwa gas?
I didn't experience that, but I saw at least 3 people who were once victims. You better know it exists and be prepared for the worst atleast, that is what security is all about
@@MohamedAli-dx2fp Yaaah true this one exist 💯😂 I have witnessed it✅
wee pale Githurai 45 chloroform iliniload my first salary phone gone behind the phone 1k transport ilikuwa yote,,,i felt like world is ending