Ukiwa na kiongzi mwenye muona wambali lahaaa sanaaaaaaa, mungu amlinde kijana wetu Rais wetu wetu, mungu akupe umli mlefu sanaaaa ilituzidi kuupata memaa wana young Africans 👍👍💚💚
maneno.nimengi sana wakiwemo wana yanga pia lini tutaanza ujenzi lini itakua lini lini lini zimekua nyingi ssaiv nafikir wanaelewa kwamba tuliitaji nini ili kufanikisha swala hili kwanza sisi wenyewe wanachama tujitoe bila kusita pili kuwa na mipango mbalimbali yakupata wazamini kujenga huo uwanja mana inaitajika hela yakutosha so sisi wenyewe tutimeze majukum yetu kma wanachama na mashabiki na ndio.tutajivunia haswaa ata ukikalia kilekit ukiwa unaangalia mech unajisikia raha na ukimuona mwehu anajaribu kutaka kuharibu miundo mbinu unasimama kwa uchungu kumkemea yees tutoe hele za ada ya uanachama alaf tuwaache viongoz wafanye mambo kwa utaratibu na weredi mudawakua tunawaamini tusijenge hofu wala maswali ya ajabu ajabu
Nadhani hii clip,ni majibu mazuri kwa ile kamati ya roho mbaya ya Efm,inayo ongozwa na mwenyekiti wao Jimy Said,waliokuwa wanajadili kuhusu ujenzi huo wa uwamja,kwamba wameongezewa eneo,kana kwamba Yanga ilikuwa inatehemea eneo hilo tu la ziada ili kujenga uwanja huo " aibu "
Moja ya CV yake kocha mpya wa yanga nikuwa ashawai kupiga picha na maradona🤣🤣Ila hii nchii hii jamanii aya m nko muhimbili apa naomba kazi yakufanya fanya kazi ya usafii kwa madarasa ya wasudani.
The big brain leader hersi🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Ukiwa na kiongzi mwenye muona wambali lahaaa sanaaaaaaa, mungu amlinde kijana wetu Rais wetu wetu, mungu akupe umli mlefu sanaaaa ilituzidi kuupata memaa wana young Africans 👍👍💚💚
Uzuri zaidi huyu jamaa yeye mwenyewe ni engineer
Good job Hersi
Oh
Yanga should built their stadium like Amahoro stadium 😅😅😅
Hers 😘😘 rais wa mpila
Rais Mtarajiwa wa TFF Next level. Yanga hoyeeee!!!
Be 💚💚💛💚💛💚
Nataman yakamilike mwakan
maneno.nimengi sana wakiwemo wana yanga pia lini tutaanza ujenzi lini itakua lini lini lini zimekua nyingi ssaiv nafikir wanaelewa kwamba tuliitaji nini ili kufanikisha swala hili kwanza sisi wenyewe wanachama tujitoe bila kusita pili kuwa na mipango mbalimbali yakupata wazamini kujenga huo uwanja mana inaitajika hela yakutosha so sisi wenyewe tutimeze majukum yetu kma wanachama na mashabiki na ndio.tutajivunia haswaa ata ukikalia kilekit ukiwa unaangalia mech unajisikia raha na ukimuona mwehu anajaribu kutaka kuharibu miundo mbinu unasimama kwa uchungu kumkemea yees tutoe hele za ada ya uanachama alaf tuwaache viongoz wafanye mambo kwa utaratibu na weredi mudawakua tunawaamini tusijenge hofu wala maswali ya ajabu ajabu
Yanga❤
Kula nyama nyamaza
Safi sanaaa
Picha za uwanja ni nzuri sana. Imeshapita miezi mitano hadi sasa je uwanja umeshaanza kujengwa?
Blmuhmu ujenz unaanz lini😇😇
Seriously why can't we Kenyans have something similar. Aaahhh
Sure
Love you Kenyans 👍
Nadhani hii clip,ni majibu mazuri kwa ile kamati ya roho mbaya ya Efm,inayo ongozwa na mwenyekiti wao Jimy Said,waliokuwa wanajadili kuhusu ujenzi huo wa uwamja,kwamba wameongezewa eneo,kana kwamba Yanga ilikuwa inatehemea eneo hilo tu la ziada ili kujenga uwanja huo " aibu "
Mungu aktie nguv
Jamani yanga
Mi Ni Yanga lakin inshu ya ujenzi wa uwanja hiyo Ni ndoto
❤❤❤
Natamani ukamilike msim ujao itakuwa vizuli sana
Sasa mjengage uo uwanja bas jaman mnataka mpaka tufe tusishuhudie jambo zuli kama ilo
Injinia viwanja vingi
Mungu ni mkubwa tutajenga tu
Hauna baya Eng hers
Uwanze mapema
unaza kujengwa lini?
Uwanja ukowapi sasajamani
Wakuu Bora mkajenge kigamboni hapo nemc hawatakubaliana na hili labda siasa ingilie utendaji
Nemc waliruhusu vp ujenzi wa kituo kikuu Cha mwendo kasi (brt)?
@@mhandomhina5503❤❤
🐸🐸🐸😂😂
Moja ya CV yake kocha mpya wa yanga nikuwa ashawai kupiga picha na maradona🤣🤣Ila hii nchii hii jamanii aya m nko muhimbili apa naomba kazi yakufanya fanya kazi ya usafii kwa madarasa ya wasudani.
Ndo maana akili yako inawza usafi
Kweli huna akili kwa hiyo wasudani ndo umeona wa maana na wewe kumbe ovyo tu
Uuuuuu
U
uu
U
Uuuuuu
Tusha wazoeya na maprojekta yenu bn
fanyen kweli msiwe watu waongeaji tuu
Mtu muongo muongo huyu
❤❤❤❤❤