Safi sana sister, ubarikiwe sana kwa kazi njema, kama utaweza kupokea maoni na kufanyia marekebisho kidogo kwenye beat, huo wimbo asili yake sio wa kukimbiza sana lakini kwa sababu ya aina ya beat mnalazimika kukimbia, pia beat imekaa kilokole zaidi, otherwise sauti na maneno zote ziko nzuri sana

Asante wimbo nimzuri, mmeuimba vizuri
Mwakondya bhana bhasu