MUNGU KWANZA FILM

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 янв 2025

Комментарии • 23

  • @Bisayaraphael
    @Bisayaraphael 3 месяца назад +2

    Hii movie naingalia tena na tena.. ujumbe makin.. Uinjilist tosha 🙏

  • @LeahJulius-f8j
    @LeahJulius-f8j 3 месяца назад +2

    Nime penda sana devid alivyo play hakika Ana kipajia mungu akubaliki devd

  • @AthanasLeonard
    @AthanasLeonard 3 месяца назад

    Mungu Abariki kazi hii

  • @MakobaMussa
    @MakobaMussa 3 месяца назад +1

    SABATO,MUNGU KWANZA MENGINE BADAE ,Kazi Nzuri Mungu Abariki Kazi Hii Na Wahusika Wote
    ,,Mafanikio Mema ,Mungu awabarki Sanaaa,,

  • @LeahJulius-f8j
    @LeahJulius-f8j 3 месяца назад +1

    Nmependa devid alivyo sema hawezi fanya kazi siku ya sabato .yani nmependa sana alivyo play

  • @oscarjoseph9770
    @oscarjoseph9770 3 месяца назад

    🔥Umetisha kijana 🙌🙌

  • @EuniceJapheth
    @EuniceJapheth 3 месяца назад

    Wow hongera kazi nzuriii

  • @JohnKija-u9e
    @JohnKija-u9e 3 месяца назад

    Kazi nzuri sana,Mungu abariki Kazi ya mikono yenu

  • @fredrickngwalolela3889
    @fredrickngwalolela3889 2 месяца назад

    Mungu kwanza nimeipenda sana sana film hii inamafundisho ya moja kwa moja hakika Mungu awabariki sana kwa kuandaa kazi nzuri kama hii🙌🏽🙌🏽🥰🥰,

  • @geofreyRevocatus
    @geofreyRevocatus 3 месяца назад

    💖lakini boss

  • @SamweliNnko-u5i
    @SamweliNnko-u5i 3 месяца назад

    Kazi nzuri sana Ya viwango kabisa ,Mungu kwanza Mengine badae,Mbarikiwe kwa Ujumbe nzuri.

  • @MacKitati
    @MacKitati 3 месяца назад

    Iko moto😂😂😂 mwendelezo

  • @HojaShija-u9g
    @HojaShija-u9g 3 месяца назад

    Kazi nzuri

  • @p.tvburudan5410
    @p.tvburudan5410 3 месяца назад +1

    Kazi nzuri pambana mkuu

  • @johnnyKawemba
    @johnnyKawemba 3 месяца назад

    Wamoto nyinyi ❤

  • @Bisayaraphael
    @Bisayaraphael 3 месяца назад

    Wow 👌 👏🏿

  • @LeahJulius-f8j
    @LeahJulius-f8j 3 месяца назад

    Nime penda sana devid alivyo play hakika Ana kipajia mungu akubaliki devd❤❤❤ 7:21

  • @SelemaniAthuman-t5x
    @SelemaniAthuman-t5x 3 месяца назад

    Cinematic Film ,Good Quality

  • @SuzyFashion
    @SuzyFashion 3 месяца назад

    Devid hogera sana

  • @horizon_hope_pro
    @horizon_hope_pro 3 месяца назад

    I like it, an impressive story 👏🏽

  • @RaymondMadomado
    @RaymondMadomado 3 месяца назад

    🔥🔥

  • @BarakaWambali
    @BarakaWambali 3 месяца назад

    Nmependa devd alivyo cheza ni msanii mkubwa baadae

  • @EFRAZIAMGOYE
    @EFRAZIAMGOYE 3 месяца назад

    ❤❤❤