Allah akuongozen munamasikio lakini hamusikii hemu munapo sikiliza kueni na lengo la kujua haki au mutoe hoja za msingi kwani yeye hajatia lake yote anatoa vitabuni kama munamuona anapotea bainisheni huo upotovu wake mcheni Allah musiwe na utashi katika dini
@@aliyomar9140 Watu sahihi ni wale wanaotufunza elimu ya Dini hii tukufu, sharti la kwanza ni kutoka kwenye vyanzo vikuu 2, ambavyo ni Qur'aan na Hadith sahihi za Mtume rehma na salaam zimfikie. Sharti la pili ni lazima UFAHAMU WETU WA HIYO QUR'AAN NA SUNNAH UWE NDIO UFAHAMU WA MASWAHABA Allah awaridhie. Na Alhamdulillah watu wanaofunza Dini yetu tukufu kwa masharti hayo 2 hapo juu wametangaa ktk miji yetu. Suala lililobaki ni sisi tu kuikusudia haki na kishikamana nayo.
Vikundi ni lazima. Haviepukiki kaka muda wa kuwa watu wanapindisha mafunzo ya mtume Muhammad sala na salamu ziwe juu yake . Mpaka watakapoa amua kuja katika amstari mmoja n akukubali kuwacha maatamanio y anafsi na kuindiza vitu katika dini
Allha amlipe mwalimu
Hafidhahullah usiogope sheikh kasimu mafuta endelea kufundisha umma ipo siku wataelewa
جزاكم الله خيرا و احسن الجزء
Maa shaa Allah wa jazakamullah khair
Masha Allah, Hafidhahu llah
Mashallah barakallah shekhe ibin mafuta
allah akuhifadh sheykhunaa
Mashallah
Jazzakallah khairaa
Allah akuongozen munamasikio lakini hamusikii hemu munapo sikiliza kueni na lengo la kujua haki au mutoe hoja za msingi kwani yeye hajatia lake yote anatoa vitabuni kama munamuona anapotea bainisheni huo upotovu wake mcheni Allah musiwe na utashi katika dini
Skeikh kassim mafuta siku zote azungumza ukweli bali hamutaki kusikiza ukweli mwataka kushindana tu.
Sahih kweli
Nam nam
Teteeni uislamu acheni vikundi vikundi
Sasa kikundi kikuwapi hapo
Akhy usome uislam wako kwa watu sahihi, vinginevyo naogopea kupotea kupo karibu zaidi kuliko kuongoka. Allah atuongoze na kututhibitisha katika HAKI
Abdulrahman Mbweni naomba utusaidie ili tujue ni wepi watu sahihi maana mashallah mwenzetu umejua watu sahihi........tuambie na sisi
@@aliyomar9140 Watu sahihi ni wale wanaotufunza elimu ya Dini hii tukufu, sharti la kwanza ni kutoka kwenye vyanzo vikuu 2, ambavyo ni Qur'aan na Hadith sahihi za Mtume rehma na salaam zimfikie. Sharti la pili ni lazima UFAHAMU WETU WA HIYO QUR'AAN NA SUNNAH UWE NDIO UFAHAMU WA MASWAHABA Allah awaridhie. Na Alhamdulillah watu wanaofunza Dini yetu tukufu kwa masharti hayo 2 hapo juu wametangaa ktk miji yetu. Suala lililobaki ni sisi tu kuikusudia haki na kishikamana nayo.
Vikundi ni lazima. Haviepukiki kaka muda wa kuwa watu wanapindisha mafunzo ya mtume Muhammad sala na salamu ziwe juu yake . Mpaka watakapoa amua kuja katika amstari mmoja n akukubali kuwacha maatamanio y anafsi na kuindiza vitu katika dini
ACHA kufuru wewe
kma ana kufuru si na ww toa darsa tukusklz
Jazzakallah khairaa