Kwanza wewe ulieileta simulizi hii Allah akulipe kheir nyingi na mafanikio katika safari yako ya kimaisha mwisho akulipe pepo firdous. Pili Allah ampe khauli thabiti mwanachuoni mkubwa binafsi nilimshuhudilia kheir nyingi alizokuwa akizifanya. Allah amuingize peponi yeye na mashekhe wote pamoja na waumini wote. Ameen.
Maashallah yaabbi msamehe shekhe wetu kipenzi hakika tumempenda pia mtume amesema nyinyi nimashahidi wa allah katika ardhi tunaamini shekhe wetu nimiongoni mwawatu wapeponi amiiini
Allah amlipe Kila lakheri kwa kazi zake njema
Shukran mwalim rama allah akulipe nilikua naisubiria sana hii kwani nafahamu unatujuzamengi sana kuhusu mashekhe zetu
Ahsanteh sana
Yarabi mrehemu she wetu
Mashallah Allah amraham shekhe Wetu
Allah Amhifadhi Sheikh!
Shekh Rama , upo Tanga sehem gan sikuiz ndug yang nikird nikutafute
Kwa sasa nipo Daresalam Ndugu yangu Imamu.
Kwanza wewe ulieileta simulizi hii Allah akulipe kheir nyingi na mafanikio katika safari yako ya kimaisha mwisho akulipe pepo firdous. Pili Allah ampe khauli thabiti mwanachuoni mkubwa binafsi nilimshuhudilia kheir nyingi alizokuwa akizifanya. Allah amuingize peponi yeye na mashekhe wote pamoja na waumini wote.
Ameen.
Aamiin shukran kwa Dua njema
Tuendelee kunufaika na Elimu yake