Hapa wanao comment negative wala msishangae, sheikh amezungumza ukweli mwanzo mpaka mwisho Sahihi... Msg imewaingia wanacomment negativity waliowekewa vichwani mwao. Kazi kuwatukana masheikh na kuona wao wanaelim kuliko hao masheikh, Nani asoyemjua Muhammad bin ayoub kwenye elimu East Africa, si Tanzania si Kenya si Uganda na hata nchi nyenginezo Congo n.k elimu ameipeleka, wao wakija kusema masheikh Tu, wanajizima data kuwa usalafi kikundi kilichoundwa kiwe kinawarad watu na kuwa kinyume na wengine ili Tu wafikie dhamira ya waislam kutokua na maelewano. Fikirini. Sio mnatoa watu akili Tu. Allah NI mjuzi WA kila Jambo.
Ninyi wenyewe mnapigana vijembe katika madhehebu yenu ya kiislamu, patateni kwanza Ninyi wenyewe ndipo muwashawishi wengine kuona uzuri wa dini yenu ya kiislamu.
@@taurehassan7399 wewe ushahukumu hvyo me siengezi langu mm nimekuuliza swali kwan kuna hadith au aya inasema kusanyikeni mshindane mashindano ya Qur ani!?
Kutajwa kwa jina katika raddi ni jambo lipo katika sunnah ya mtume, Na wema walio tangulia , wala si bid’aa ewe sufiy soma riyaadhu swaalihiyna sehemu ifaayo kumsengenya mtu alizo zitaja imaamu Al nnawawiy , Na upate kujua, pia tabbat yadaa, imeenda kinyume na sheriyah nayo eti, maana ametahwa mtu hapo kwa jina pamoja na mkewe tena vibaya sana , yaani shubuya zenu ni هازل جدًا nazibu tu hapa nikiwa nime jilaza kwenye tandiko langu bila hata ya kuifanyia bahthi
Hya ww ulojilaza bila ya bahdhi hya tupe elimu ya hiyo tabbatiyadaa ni wapi wanachuoni wameikhtlafiana km alotajwa hpo c abilahabi,hya tuambie ikhtilafu ya hyo surah
Tena mgonjwa sanaa et ndio anatoa dalili tabat iada hii sura specil abuu lahabb ww ndio unaitolea mfano subhana Leah ushabik mwingine bwana! Sasa sh samir ndio wakutolewa mfano huo? Tena sura imehifadhi jina lake Khali's imekuja kwa jina la lakab yn abuu lahabb wakat Ana jina lake lingine ushabik t na hasad zimewjaa
Ila kwa upande wangu naona katika uandishi wa jina la shekh Samir umeandika Samir kwa mimi mtazamo wangu naona si sahihi ivo ulivo Annika kichwa cha habari chako ni hayo yu inshaalla
Dini isomwe kwani huenda watu wakapata adhabu ya muumba kwa ajili ya kudharau watu mtu hajui chochote halafu anatukana watu hivi hii dini Nani kaileta hapa kwetu ni masalafi au masufi sasa nyinyi mmekuja Jana tu halafu mnatukana watu sasa nyinyi mngeipata hii dini kuweni na insaf mawahabi hebu someni vizur
Yaan walichokiweza masalafi ni kuwashawishi watu wasiosoma dini wende upande wao maana wao hawajui na wanachokilingania hawakijui wanapotea na wanawapoteza watu😢 kazi yao kuraddi
Maskini Masalafi wanahadharisha kundi kubwa ktk Waislam ambao hawajasoma na hawataki kusoma bali wamewachia dini yao masheikh zao ndio wawasomee SHEIKH KASOME UTABAINIKIWA NA HAQ MBONA AKUNA SHIDA KTK UISLAM KM UMESOMA
@@MkindiJujan Me nmesoma sipati tabu kwanza mas'ala yanayogombewa leo sijui madufu Mala maulidi na mengineyo ni Khilafiyya tena haya kauanza kwetu afu nakukumbusha Mtumi S. A. W amesema Al ikhtilafu Ummat Rahma hizi ikhtilaf tulizokua nazo ni Rahma sasa wwe ukiamini hivi kwa dalili ya imamu flani kutoka kwa swahaba fulani ambae mwalimu wake ni Mtumi basi amini hvyo usibishane Afu sisi watu wa TWARIQA elimu zimejaa mpka zinamwagika unaona hta shekhe anavyoongea hatumii nguvu ana re lax. Kamsikiize sasa Abdala humeid sijui Mafuta ya Nazi yani ni mtihani mtupu jazba tupu
HAMNA hoja nyie Matwariqa mbona nyie sehemu za kutoa da'awa na ELIMU mmeigeuza kuwa mijadala ya MAULID Kila SIKU....somesheni Matwariqa msiwapotoshe na MAULID Kilanapokutana
Nyinyi mawahabi kweli akili ndogo Sana kwn hyo sio elimu?lazima watu wapewe elimu ili nyinyi mawahabi mujulikane Ila zenu ktk dini na ili waumini wajue ubaya ulioje mlokuwa nao
Ni km vile wanafunz wa shamsul maarif wanavyoparamia watu na wanamtaja shekh Kaasim Mafuta...na hata ktk kipindi cha shekh Muhammad Bakari alikuwa akitajwa salim barahiyan na hata ktk Qaswiidah wanataja majina ya watu..kama alivyotajwa kalaso Muhammad idd anawataja watu...nk Kiufupi hakuna hoja ya kielimu
@@AllyAhmad-zg2yp hio ni aya ya Qur-an NA sio kasema MTUME SAW. JEE umeifahamu au UMEKARIRISHWA? . MTUME SAW NAE NI MWANAADAMU (KWAHIO ANAKOSEA). JEE KWA MAANA YAKO MTUME SAW TUSIMFUATE YAANI ANAKOSEA?!. NAREJEA SHEKH HAKOSEI KAMA ALIVYO MTUME SAW. ULAMAA WARITHI WA MITUME. NAKUSUDIA KUWA, KOSA LA MFANO IMAMU SHAFY UKAONA HAKUKOSOLEWA NA WATU WA ZAMA ZAKE ZILIOJAA ELIMU. UNASEMA IMAMU SHAFY HAKUKOSEA ILI KUWANYIMA WAPUMBAVU WA LEO WASIJE KUMSINGIZIA ATI NA WAO WAMEONA KOSA. KILIVHOMLINDA IMAM HUYO TOKEA ENZI ZAKE BASI HANA KOSA, NA KOSA AMBALO UTAONA WEWE NA KASIMU MAFUTA LEO BASI ITAKUWA WEWE NDIO HUJAFAHAMU NA KASIMU NA BACHU WAKO NA FAUZANI WAKO NA UTHAIMIIN WAKO. WANACHUONI WA KARNE BORA WASHAPASISHA UTABAKIA KWETU KUWA HANA KOSA. NA SHEKH NDIO HUWA HIVYO HAKURUPUKI KUTOA FATWA, ANAEKURUPUKA UJUE SIO SHEKH NI MPUUZI ANAEJITAHIDI KULINGANIA UPUUZI WAKE
Kawrekebishini huko makaburin waliko kama nyinyi n wajuzi kweli w dini kama mnaweza raddi zilizokuwepo zlikuwa za kutunga vitabu unaraddiwa kw kitabu sasa nyinyi mnalifanya hili hamufanyi wala hamuwzi
nilichogundua zama zetu elimu imekuwa ndogo, busara imepotea kabisa na jazba zimeonekana kuwa ni sehemu ya imani kumbe ni upungufu wa akili. badala ya watu kusoma dini wanasoma itikadi tena kwa kukaririshwa juu juu tu.
@@abubakarymaulidy5681 We ndio tahira kabisa, acha kukaririshwa. Tenga muda usome. Dini sio ya kupelekwa kishabiki kama mpira. Ndio yalee ya mwenzenu kumwita mtoto punda naye kujiita baba wa punda bila hata kujua maana ya jina husika.
Ugonjwa ulioshinda kansa tena ya hatari ni ujahili wako! Mtu yeyote mwenye kuwa na shida na ilm ya tasawwuf na kuita wenzake makhurafi ni katika kundi la 'makhawarij alsalafiyatul wahabbiya'!
Maskini km hujui kasome PALESTINA IMEINGIZWA MIKONONI MWA WAYAHUDI NA MASUFI KM HUJUI KASOME WAHABI NDO WAKAJA KUPAMBANA NA MYAHUDI JUA EWE SUFI KM SIO WAHABI HIJAZ YOTE INGECHUKULIWA NA MAYAHUDI SIJUI LEO UNGETEKELEZA IBADA YA HIJJA WAPI NAJUA HUJUI SOMA SOMA SOMA SOMA SOMA UTAJUA
Halafu tuchukulie kua haifai kumtaja mtu jina katika raddiy , je nyie masufiy hamuataji waislamu katika mimbari zenu kwa ubaya ? Bali hata muwakufurisha kabisaa , لا تنهى عن خلق وتأتي مثله عار عليك إذا فعلت عظيم Au kwenu kuwataja majina wengine ni sunnah ila kwetu masalafiy kukutajeni ni bad’aa , تلك إذًا قسمة ضيزى shida yenu mpo katika baatwil hamuafikishwi kuongea yalio sawa
Maulidi haya kuanzishwa Na masheykh, bali Na mashia acha uongo weye, tena mashia ambao wewe mlikua mkishambuliana k ipindi cha nyuma, Na ni mashekh wapi walio anzisha wataje ikiwa wewe ni mkweli kadhaaab
Nikuuliz kwni kuanzishwa Jambo htakama ni kafiri Jambo Hilo km ni zuri ktk dini alifai kufuatwa?Kuna mpaka fadhila za Qur'an amezielekeza ibilisi Tena kumuelekeza swahaba na Hali ya kuwa mtume ypo ktk zama hzi na mtume akaswadikisha elimu hyo, Leo ww unashangaa shia kuanzisha maulid!!acha ushamba twalii vzr na soma vzr
Acha uongo weye sufi kutaja majina watu ktk Ruduud kukiwa kuna budi hili ni ktk Sheria yetu tukufu ya kiislam, weye Angalia kina Abuu lahab, kina Firaun, Qaaruun, Haaman wote walikuwa watu wapotofu na Allah kawataja kawataja ktk kitabu chake kwa ubaya, haya majina hamuyaoni au mnasoma Qur'an kinyumenyume, hebu muogopen Allah km hamna Elmu nyamazeni acheni kuwadanganya watu
Nikkuulize hv kunamwachuoni yyte aliyeleta ikhtlaafu kw fir'aun au abi lahab!kuwa muelewa na mada inayozungumza uclete mada ambyao ni muttafaqu acha ujinga,sheikh Sameer aelezea ikhtilafu za wanazuoni na c ijimai za wanawazuoni
@@taurehassan7399 sio hvyo tu pia hakuna mwanachuon yeyote anaesema kuwa kutaja majina ktk ruduud si jambo la kisheria na huo ni mfano nimeleta na km wanachuon wameafikiana kuwa hilo jambo lafaa yeye ni nani aje kudanganya watu kuwa hilo jambo si la kisheriah au sheria aizungumzia yeye ni ya kisufi
Ssa hv unaweza kumfundisha kichaa akaona au akazingatia ulichomfundisha?ssa utamuelewa hpo sheikh kasema Nini wakt akili ya imeganda sehemu moja haifnyi kz km kichaa?kuelewa ni rizq baba na ni fat'hi kutoka kw mwnyewe
Yaani ukiwa sufi tu tayari huwezi tena kuyangaza mambo ktk uhalisia wake Dunia ya leo unajiringishia kusoma kwa Shekh Muhammad Bin Ayoub nyinyi mmefanya nn ktk dini hii zaidi ya kuwapotosha nakuwajaza waislam ujinga
Hao Akina sheikh bin Sumeit Mohammed Ayoub na wengine Mungu awarehemu ni binadamu sifa ya kukosea ipo na wakirekebishwa je ndo Ushekhe wao unakwisha????? Sheikh Samir masheikh ni binadamu wanakosea na wanatakiwa kurekebishwa na sema kweli
Hahaha Sahihi kbsa Akhy, hawa Masufi nisba yao ni hyo wala hawawez kuikwepa, yaan huyu ndio Sheikh wao mkubwa hali yake ni hiyo akwambia kwenye sheria hakuna kutaja majina ktk ruduud sasa hao wengine sjui itakuaje hali zao
Asante shekhe wangu umenifundisha alhamdu lilah nimepata Baraka NA radhi za elimu ya sanadi mpaka kwa allah
MashaAllah Allah kareem akuhifadh sheikh Sameer
Sheikh Samiir SadiQ Kwa hakika umebarikiwa sana
Allah akuhifadhi tuzid kustafd
ماشاء الله بارك الله لك في الدنيا والآخرة وبعد الخير جناة
Hapa wanao comment negative wala msishangae, sheikh amezungumza ukweli mwanzo mpaka mwisho Sahihi... Msg imewaingia wanacomment negativity waliowekewa vichwani mwao. Kazi kuwatukana masheikh na kuona wao wanaelim kuliko hao masheikh, Nani asoyemjua Muhammad bin ayoub kwenye elimu East Africa, si Tanzania si Kenya si Uganda na hata nchi nyenginezo Congo n.k elimu ameipeleka, wao wakija kusema masheikh Tu, wanajizima data kuwa usalafi kikundi kilichoundwa kiwe kinawarad watu na kuwa kinyume na wengine ili Tu wafikie dhamira ya waislam kutokua na maelewano. Fikirini. Sio mnatoa watu akili Tu. Allah NI mjuzi WA kila Jambo.
Maneno mazuri mashaallwah
Ninyi wenyewe mnapigana vijembe katika madhehebu yenu ya kiislamu, patateni kwanza Ninyi wenyewe ndipo muwashawishi wengine kuona uzuri wa dini yenu ya kiislamu.
Inahuzunisha sana watu wajikusanya katika batil
Na inasikitisha sana kusoma quran kwa mashindano bila ya dalili
Watu kukusanyika kw ajili ya kuwaelimisha watu kuhusu mawahabi wenyee niambay n uislaam ni batili?
@@taurehassan7399 wewe ushahukumu hvyo me siengezi langu mm nimekuuliza swali kwan kuna hadith au aya inasema kusanyikeni mshindane mashindano ya Qur ani!?
Utahuzunika sanaaa kwa ufahamu wko m,bovu
Una ushetani ndani yako
Washikilieni akili hao hao wafuasi wenu wasio hoji elimu yao ya dini wameicha kwa masheikh masufi
Kutajwa kwa jina katika raddi ni jambo lipo katika sunnah ya mtume, Na wema walio tangulia , wala si bid’aa ewe sufiy soma riyaadhu swaalihiyna sehemu ifaayo kumsengenya mtu alizo zitaja imaamu Al nnawawiy , Na upate kujua, pia tabbat yadaa, imeenda kinyume na sheriyah nayo eti, maana ametahwa mtu hapo kwa jina pamoja na mkewe tena vibaya sana , yaani shubuya zenu ni هازل جدًا nazibu tu hapa nikiwa nime jilaza kwenye tandiko langu bila hata ya kuifanyia bahthi
Hya ww ulojilaza bila ya bahdhi hya tupe elimu ya hiyo tabbatiyadaa ni wapi wanachuoni wameikhtlafiana km alotajwa hpo c abilahabi,hya tuambie ikhtilafu ya hyo surah
Unataka kunambia ww unaijua riyadhu swaalihiina kumshinda sheikh samir ww n mgonjwa
Tena mgonjwa sanaa et ndio anatoa dalili tabat iada hii sura specil abuu lahabb ww ndio unaitolea mfano subhana Leah ushabik mwingine bwana! Sasa sh samir ndio wakutolewa mfano huo? Tena sura imehifadhi jina lake Khali's imekuja kwa jina la lakab yn abuu lahabb wakat Ana jina lake lingine ushabik t na hasad zimewjaa
Shukran
Wakati wa mtume muhammad makka alipokua akiwambia makuraishi waachane namila walizozizowea wakamwambia hayamambo tumerisi kwamababu zetu wewe watuletea mapya
Ila kwa upande wangu naona katika uandishi wa jina la shekh Samir umeandika Samir kwa mimi mtazamo wangu naona si sahihi ivo ulivo Annika kichwa cha habari chako ni hayo yu inshaalla
Umesema kweli huwezi kumuandika shekhe hivyo nikukosa nizwamu au niwahabi huyo ndio tunao wajua kwao hawana mkubwa wala hishma
Raad zilikua zikitolewa kwa kuandika vitabu wao hawawezi kuandika kwahiyo ndo wameanzisha hiyo bidaa ya raadi ya kuwakusanya watu na kumraadi Shekhe.
Assalaam alaykum ndugu zangu eeee hivi mudi bachu yupo wapi kakutana na balaa Gani simsikiii ataaaa
wee mashekh zako ni masufi mashekh wa suna utawajulia wap
Kakojozwa Mombasa, sasa hivi yupo kimya dadake... @@abuukauthar525
Masheikh wa kishia ndio waanzilishi wa maulidi
Na MAYAHUDI NDIO WALIOANZISHA FIKRA ZA GENGE LA MAWAHABI WAJIITAO SALAFI LEO.
Mashaallah
Dini isomwe kwani huenda watu wakapata adhabu ya muumba kwa ajili ya kudharau watu mtu hajui chochote halafu anatukana watu hivi hii dini Nani kaileta hapa kwetu ni masalafi au masufi sasa nyinyi mmekuja Jana tu halafu mnatukana watu sasa nyinyi mngeipata hii dini kuweni na insaf mawahabi hebu someni vizur
Mimi naomba tusome vizuri sio tusome sana na tuelewa uelewa ni jambo zito hawapati wote neema hiyo
Yaan walichokiweza masalafi ni kuwashawishi watu wasiosoma dini wende upande wao maana wao hawajui na wanachokilingania hawakijui wanapotea na wanawapoteza watu😢 kazi yao kuraddi
Maskini Masalafi wanahadharisha kundi kubwa ktk Waislam ambao hawajasoma na hawataki kusoma bali wamewachia dini yao masheikh zao ndio wawasomee
SHEIKH KASOME UTABAINIKIWA NA HAQ MBONA AKUNA SHIDA KTK UISLAM KM UMESOMA
@@MkindiJujan Me nmesoma sipati tabu kwanza mas'ala yanayogombewa leo sijui madufu Mala maulidi na mengineyo ni Khilafiyya tena haya kauanza kwetu afu nakukumbusha Mtumi S. A. W amesema Al ikhtilafu Ummat Rahma hizi ikhtilaf tulizokua nazo ni Rahma sasa wwe ukiamini hivi kwa dalili ya imamu flani kutoka kwa swahaba fulani ambae mwalimu wake ni Mtumi basi amini hvyo usibishane Afu sisi watu wa TWARIQA elimu zimejaa mpka zinamwagika unaona hta shekhe anavyoongea hatumii nguvu ana re lax. Kamsikiize sasa Abdala humeid sijui Mafuta ya Nazi yani ni mtihani mtupu jazba tupu
HAMNA hoja nyie Matwariqa mbona nyie sehemu za kutoa da'awa na ELIMU mmeigeuza kuwa mijadala ya MAULID Kila SIKU....somesheni Matwariqa msiwapotoshe na MAULID Kilanapokutana
Nyinyi mawahabi kweli akili ndogo Sana kwn hyo sio elimu?lazima watu wapewe elimu ili nyinyi mawahabi mujulikane Ila zenu ktk dini na ili waumini wajue ubaya ulioje mlokuwa nao
Nyinyi ndo mliaza. Mtu akishika tu mic basi ku haribu ma sufi. Lazima tulipize. Kwahio wee vumiliyatu.
MashaALLAH sheikh ❤
Hao Mawahabi achaneni nao watawapotezea muda wenu bureeee.........!!
Ni km vile wanafunz wa shamsul maarif wanavyoparamia watu na wanamtaja shekh Kaasim Mafuta...na hata ktk kipindi cha shekh Muhammad Bakari alikuwa akitajwa salim barahiyan na hata ktk Qaswiidah wanataja majina ya watu..kama alivyotajwa kalaso
Muhammad idd anawataja watu...nk
Kiufupi hakuna hoja ya kielimu
Masha allah, mashekh sio hoja kwani nawao wanapatia nakukosea, hoja ni kuran na sunna kwa ifahamu wa wema waliopita
Mashekhe hawakosei. Anaekosea ni kama wewe au shehe wa bandia
@@hilalalhabsi2047 hawakosei? Mh! Allah akuongoze ndugu
@@AllyAhmad-zg2yp anae kosea ni hao WAPUUZI wa kukurupuka. Sheikh hakosei
@@hilalalhabsi2047 mtume anasema kila mwanadam ni mwenye kukosea na wabora ktk wenyekukosea ni wenye kutubia,
@@AllyAhmad-zg2yp hio ni aya ya Qur-an NA sio kasema MTUME SAW. JEE umeifahamu au UMEKARIRISHWA? . MTUME SAW NAE NI MWANAADAMU (KWAHIO ANAKOSEA). JEE KWA MAANA YAKO MTUME SAW TUSIMFUATE YAANI ANAKOSEA?!. NAREJEA SHEKH HAKOSEI KAMA ALIVYO MTUME SAW. ULAMAA WARITHI WA MITUME. NAKUSUDIA KUWA, KOSA LA MFANO IMAMU SHAFY UKAONA HAKUKOSOLEWA NA WATU WA ZAMA ZAKE ZILIOJAA ELIMU. UNASEMA IMAMU SHAFY HAKUKOSEA ILI KUWANYIMA WAPUMBAVU WA LEO WASIJE KUMSINGIZIA ATI NA WAO WAMEONA KOSA. KILIVHOMLINDA IMAM HUYO TOKEA ENZI ZAKE BASI HANA KOSA, NA KOSA AMBALO UTAONA WEWE NA KASIMU MAFUTA LEO BASI ITAKUWA WEWE NDIO HUJAFAHAMU NA KASIMU NA BACHU WAKO NA FAUZANI WAKO NA UTHAIMIIN WAKO. WANACHUONI WA KARNE BORA WASHAPASISHA UTABAKIA KWETU KUWA HANA KOSA. NA SHEKH NDIO HUWA HIVYO HAKURUPUKI KUTOA FATWA, ANAEKURUPUKA UJUE SIO SHEKH NI MPUUZI ANAEJITAHIDI KULINGANIA UPUUZI WAKE
Kawrekebishini huko makaburin waliko kama nyinyi n wajuzi kweli w dini kama mnaweza raddi zilizokuwepo zlikuwa za kutunga vitabu unaraddiwa kw kitabu sasa nyinyi mnalifanya hili hamufanyi wala hamuwzi
Mawahabi angalieni huko mnakotupereka sio
Mbona hamjibu hoja munatafuta Huruma kwa wasikikizaji ??
nilichogundua zama zetu elimu imekuwa ndogo, busara imepotea kabisa na jazba zimeonekana kuwa ni sehemu ya imani kumbe ni upungufu wa akili. badala ya watu kusoma dini wanasoma itikadi tena kwa kukaririshwa juu juu tu.
Huna akili fatilia kitabu kinachambuliwa kule albarzanji
@@abubakarymaulidy5681 We ndio tahira kabisa, acha kukaririshwa. Tenga muda usome. Dini sio ya kupelekwa kishabiki kama mpira. Ndio yalee ya mwenzenu kumwita mtoto punda naye kujiita baba wa punda bila hata kujua maana ya jina husika.
كل محدثة بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار ،والغياذ بالله من هآئلاء شيوخ البدعة
HUKU NDIO KUJIGONGA
SASA MBONA NYINYI MUNAWAPARAMIA WATU WA SUNNAH
Masheikh wa kishia
Usufi,ukhurafi,BID'A ni ugojwa wa kansa ktk dini ya uislam!!
Ugonjwa ulioshinda kansa tena ya hatari ni ujahili wako! Mtu yeyote mwenye kuwa na shida na ilm ya tasawwuf na kuita wenzake makhurafi ni katika kundi la 'makhawarij alsalafiyatul wahabbiya'!
Na uhaabi ni Nini ktk uislamu?ni ukimwi au korona?
EWE BWANA samir
Radd ni ktk dini,bila ya radd uislam dini isingelibakia!!
Ukeleta BID'A zako,utapigwa na radd nzito!
Radi ndio bidaa mbaya mno hakufanya mtume wala swahaba wala wale wema wa karne za mwanzo bora
VIPI KUHUSU ABDULLAAHI BN MUBAARAK ALIVYOKUWA AKIWATAJA WATU WA BID'AH KWA MAJINA BORA USEME HUJUI KULIKO USEME HAMNA
Mbona hata hiyo hatimy wa lamu..muhama iddy.na masufy wanataja watu..kama nakshibendi alietumbuliwa usheikh wa mkoa..
Huyu anakiili kweli kwahyo kama sufi anajua mambo yoote hovyoo
Mawahabi ni mayahudi
Basi mayahudi hawa wazur maana waamrisha watu tawhiid na kukataza watu shirki na bidaa
Maskini km hujui kasome PALESTINA IMEINGIZWA MIKONONI MWA WAYAHUDI NA MASUFI KM HUJUI KASOME WAHABI NDO WAKAJA KUPAMBANA NA MYAHUDI JUA EWE SUFI KM SIO WAHABI HIJAZ YOTE INGECHUKULIWA NA MAYAHUDI SIJUI LEO UNGETEKELEZA IBADA YA HIJJA WAPI
NAJUA HUJUI SOMA SOMA SOMA SOMA SOMA UTAJUA
Masufi nao ni mashia. Sababu ndiyo wameanzisha bidaa ya maulidi
Alafu hapohapo na yy anawapiga raddi watu
لا ينكر المجمع عليه و ينكر المختلف فيه. طيب، Je ni hivyo tu?
Halafu tuchukulie kua haifai kumtaja mtu jina katika raddiy , je nyie masufiy hamuataji waislamu katika mimbari zenu kwa ubaya ? Bali hata muwakufurisha kabisaa , لا تنهى عن خلق وتأتي مثله عار عليك إذا فعلت عظيم Au kwenu kuwataja majina wengine ni sunnah ila kwetu masalafiy kukutajeni ni bad’aa , تلك إذًا قسمة ضيزى shida yenu mpo katika baatwil hamuafikishwi kuongea yalio sawa
Ingieni katika darsa zake ndo mtajua ni nani
Maulidi haya kuanzishwa Na masheykh, bali Na mashia acha uongo weye, tena mashia ambao wewe mlikua mkishambuliana k ipindi cha nyuma, Na ni mashekh wapi walio anzisha wataje ikiwa wewe ni mkweli kadhaaab
Nikuuliz kwni kuanzishwa Jambo htakama ni kafiri Jambo Hilo km ni zuri ktk dini alifai kufuatwa?Kuna mpaka fadhila za Qur'an amezielekeza ibilisi Tena kumuelekeza swahaba na Hali ya kuwa mtume ypo ktk zama hzi na mtume akaswadikisha elimu hyo, Leo ww unashangaa shia kuanzisha maulid!!acha ushamba twalii vzr na soma vzr
Si kweli sh alietunga barzanji aliwahi kuwa mufti wa madina na hakuwahi kuwa Shia kasome vizuri
Samiri sifa za bure lkn hamna kitu,,,kichwa kimejaa bidaa nyingi tu ,,, masufi wamuita al allama.
Acha uongo weye sufi kutaja majina watu ktk Ruduud kukiwa kuna budi hili ni ktk Sheria yetu tukufu ya kiislam, weye Angalia kina Abuu lahab, kina Firaun, Qaaruun, Haaman wote walikuwa watu wapotofu na Allah kawataja kawataja ktk kitabu chake kwa ubaya, haya majina hamuyaoni au mnasoma Qur'an kinyumenyume, hebu muogopen Allah km hamna Elmu nyamazeni acheni kuwadanganya watu
Nikkuulize hv kunamwachuoni yyte aliyeleta ikhtlaafu kw fir'aun au abi lahab!kuwa muelewa na mada inayozungumza uclete mada ambyao ni muttafaqu acha ujinga,sheikh Sameer aelezea ikhtilafu za wanazuoni na c ijimai za wanawazuoni
@@taurehassan7399 sio hvyo tu pia hakuna mwanachuon yeyote anaesema kuwa kutaja majina ktk ruduud si jambo la kisheria na huo ni mfano nimeleta na km wanachuon wameafikiana kuwa hilo jambo lafaa yeye ni nani aje kudanganya watu kuwa hilo jambo si la kisheriah au sheria aizungumzia yeye ni ya kisufi
Hata kama ni khilafia ndo ufuate khitilafu
Masufi mnashida sana
Shida yao nn
Kutoka ujana mpaka uzee ji Bidaatu. Ebujilekebisheni. Msione haibu kutokakwenye Bidaa. Muogopeni Allah nasiyokutaka sifa za kijinga
Ujasikia kwa sababu hutaki kusoma
Nani hataki kusoma?
Yani umeanza kuongea mpaka saiv sioni hoja uliotoa
Kwasabu2 hujui
Huwez kuona wakati hutaki kuona ,
Ssa hv unaweza kumfundisha kichaa akaona au akazingatia ulichomfundisha?ssa utamuelewa hpo sheikh kasema Nini wakt akili ya imeganda sehemu moja haifnyi kz km kichaa?kuelewa ni rizq baba na ni fat'hi kutoka kw mwnyewe
Uyu nani alimpa uo mudiri wa shamsia anielewi aongea mambo ya kijinga kabisa tuna subiria ujibu oja zile za Sheikh Abuwl Fadhil
Aisee hamna kitu bonge la shekh 0
Amna wa kukujibu wewe mtu matamanio
Yanini yote ayo jamani maulid ni uzisho tu
Elimu huna mpaka kuandika unashindwa
Soma
Hata wewe mwenyewe binafsi ni uzushi
Yaani ukiwa sufi tu tayari huwezi tena kuyangaza mambo ktk uhalisia wake
Dunia ya leo unajiringishia kusoma kwa Shekh Muhammad Bin Ayoub nyinyi mmefanya nn ktk dini hii zaidi ya kuwapotosha nakuwajaza waislam ujinga
Hao Akina sheikh bin Sumeit Mohammed Ayoub na wengine Mungu awarehemu ni binadamu sifa ya kukosea ipo na wakirekebishwa je ndo Ushekhe wao unakwisha?????
Sheikh Samir masheikh ni binadamu wanakosea na wanatakiwa kurekebishwa na sema kweli
Hata nyinyi masufi na watu wa Twarka acheni uzushiii na upotevu
Sheikh acha uongo Maulid sio masaala khilafiya kwa nn unawabeza wafuasi wako????
Waeleze sasa masaala khilafiya ni yapi????
Kwani inbu taimiya kasemaje kuhusu maulidi kama sio masuala ya khilaafiya kenge mmoja usiejua kitu
Kwenye majmuua ti mukhkhallafaati
Sasa umepinda alaf usirekebishwe
KAMA ALIVYO SEMA IMAMU SHAFI UKIINGIA KATIKA USUFI MWANZO MWAMCHANA HAIFIKI JIONI UMEKUA MPUMBAVU
Hahaha Sahihi kbsa Akhy, hawa Masufi nisba yao ni hyo wala hawawez kuikwepa, yaan huyu ndio Sheikh wao mkubwa hali yake ni hiyo akwambia kwenye sheria hakuna kutaja majina ktk ruduud sasa hao wengine sjui itakuaje hali zao
😮
Kasome vizuri maneno umonukuu hayajakamilika
Hahaaa jahili murakab
Masufy 😂😂 mnahaha Sasa hv watu wanabainishiwa kisawasawa mnaogopa hadi kuzungumza ujingaujinga
Hakuna msomi hapa