Taasisi ya Tulia Trust Yakopesha Bajaji 16 Waendesha Bajaji wa Jiji la Mbeya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 апр 2020
  • #MbeyayetuTv

Комментарии • 17

  • @gwamakamartin7090
    @gwamakamartin7090 4 года назад +1

    Nice # TULIA TRUST

  • @babazungu9098
    @babazungu9098 20 дней назад

    Jaman na mikoa mingine

  • @enziseme4712
    @enziseme4712 4 года назад

    Matendo huongea zaidi kuliko maneno,hii taasisi hainaga blaablaa,wacha wao watunge mashairi nyie tekelezeni kwa vitendo Mungu awabariki sana

  • @posterfarjarman967
    @posterfarjarman967 2 года назад

    kwa maana iyo bajaji imekopeshwa ofisi ya bajaji,,,,ofisi ya bajaji nayo imewakopesha madeleva au sio,,,

  • @masterngao5538
    @masterngao5538 3 года назад

    Nice

  • @masterngao5538
    @masterngao5538 3 года назад

    Sawa

  • @davidletara6823
    @davidletara6823 3 года назад

    Tunaomba mtukopeshe bajaj arusha walemavu

  • @ababuumwanazanzibar4908
    @ababuumwanazanzibar4908 4 года назад

    Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae Tulia unatosha Sana'a wana Mbeya msifanye makosa Mara hii maana mlichagua wafanya vurugu sio waleta maendeleo Amkeni mama huyo anatosha Sana'a

    • @jacobnghwali4531
      @jacobnghwali4531 4 года назад +1

      We ni mpumbavu mleta vurugu ni Nani?

    • @samweljasson4029
      @samweljasson4029 4 года назад

      Mpambavu kabisa,,kunakiongozi gan kaja kufanya vurugu kwenu..Ng'ombe wewe.

    • @vumiliamwambemba2558
      @vumiliamwambemba2558 4 года назад

      @@samweljasson4029 huna akili penda sana vyakupewa

    • @samweljasson4029
      @samweljasson4029 4 года назад

      @@vumiliamwambemba2558 ,,Wala dada mi spend vya buree,,apoo juu kuna mpuz amecoment eti mbunge wetu wa Sasa anafanya vurugu,,anatuamasisha tumchague Tuliaa, kisaa msaada wa vibajaji mbwa huyuu.

  • @samuelkayalakayalasam4826
    @samuelkayalakayalasam4826 3 года назад

    Naombeni namba ya kapuni

  • @kingswebe3251
    @kingswebe3251 4 года назад

    kampeni

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 года назад

      king Swebe unatakaje mbna nyie hta vikombe hamjatoa vya kahawa

    • @hamisimussa2228
      @hamisimussa2228 4 года назад

      king Swebe unatakaje mbna nyie hta vikombe hamjatoa vya kahawa