Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Wakwanza leo Naomben like zangu jaman
Kila nikisikiliza hii nyimbo huwa naskia mzuka unapanda💪💪💪💪wewe je??
NYOTA njema inaonekana asbh...Waarabu wataita maji mma.Al kisasi bin hak
Hatari pacome ZOUZOUA
I love you yanga
Woyoooooooooooooooooooo
Yanga mbere
Yanga haijaisha mpk iisheeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Allaah Akbar
Sisi ndio sisi wengine Mafisi💚💛🦾🖐🏾🤪
Mungu tusaidie
MUNGU amsaidie Pacome akafanye vizuri ck yake ilochaguliwa amlinde na husuda na kila baya🙏🙏🙏
Nimependa koment yako.. maneno ya kutia nguvu
Mola asimame nasi Tim yetu ya yanga ishinde mechi
Inshallah amin🙏 all the best my team 💛💚😢
Kila la heri 💚💛💚💛💚
Kwishaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kila la kher Team yng Yanga mungu awajalie ushind mnono Jumamos
🔪 🗡 AL-QISASU KHAQI..... watakoma waraarabu....... Uende mshale, Afe ng'ombe afe mmsai.... Lazima turudi na nyama.... ⚽️ ⚽️ 🏟 ⚽️ 🏟 tukutane kwa Mkapa....
Kabisaaaaaaaa
Nakubali sanaaa yang ushindii jumamos huakika waletee haooo
Naitakia yanga ushindi mwema insha allah
Tukutane lupaso walabu kaz wanayo
Yanga oyeeeeeeeeeeee 💚💛💚💛💚
Naimani na allalh kwa Tim yetu ya wananchiiiiii Allalh atafanya wepes wake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉insha allalh 👏👏👏
Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
In sha Allah kila lakheri 🙏💚
Yanga 💚✨💚✨💚💪🏼imejua kutupa furaha wananchi💐.Na iwe kheri mechi y3tu ya j'mos Kwa mkapa 🏟️ ⚽Naamini tutapata matokeo mazuri Kwa uwezo wa mungu 🙏🏻 Ee Mungu isaidie team ya wananchi #Daimambelenyumamwiko#Teamyawananchi
Ameeeeeen
Ameeeen amen!!
The day of football professor I can't wait
Huu ndo best song kwangu asee🔥🔥
Ooooyooo waarabu njoon zenu sasa na apa ipo
Iwe mvua iwe jua wanajeshi nendeni vitani mkajilipue kufa na kupona maana hii ndio karata yetu ya mwsho, Kila la kheri
Hatari😂💛💛💚💚💛
Amestahili kupewa heshima hii sina swali maana mpaka leo tupo kimataifa sababu ni Pacome
PACOME DAY 🙌
Acheni zenu hamjui mkitaja pacome simba wanachanganyikiwa
Qani hajui kiswahili
❤apo bwena
yanga dam dam...yanga c hami bongo c hami
Liwimbo la kinyamwezi sana yaaani fayaaaaaa
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 🔰🔰🔰🔰😊
Yanga Raha sanaaaa🎉🎉😂
YESU ATUSAIDIE HII MECHI TUSHINDE JAMANI
Nahisi hakuna sababu ya kutafuta namba 9 clabun kwetu kwasabab yupo mtu mmoja ambaye anaweza kucheza no.9 n akatuletea matokeo makubwa ambaye n PAKOME
Haswaaaaaaaaaa apewe,kazi anaiweza
God bless young African
Mungu atujalie ushindi na utulivu kwa wachezaji wote wakifika kwenye box la wapinzani 🙏
Jamani naupataje huu wimbo? Maana umegusa penyewe
Njoo nikupe nipo nayo
Hata mayele hamfikii huyu jamaa. Halafu sikuwa na mashaka nae hata kidogo. Anacheza kwa kujituma na kujiamini sana.
❤🎉🎉🎉😊
❤❤❤❤nice sana
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
Pacome
❤❤❤❤❤❤❤🎉
Polisi kasema leo tunaenda gerezani mpk j1 ndoo tunatoka
Simba wanachukia wakiona ivii
Acha kuwawaza simba wakati unamuwaza kumbuka wenzako tulimalizana na namwarabu malizana namwarabu alafu umuwaze simba!!!!
Mungu asaidie Tim yang ipat ushind ameen
Wachezaji wetu nendeni mkapambane. Akili, nguvu roho ziwekeni katika mchezo. Yesu akawe kila kitu leo ndani ya uwanja.
Mungu ibariki yanga ushindi mnono lnshallah
Mungu amsaidie leo pacome ashinde
Asanteee mungu kwa ushind ❤❤❤kwa timu yangu yanga rahaa san
Ngoma kali sana tena imekutana na kiwango bora amecho onesha pacome
🔥🔥🔥🔥🔥hili goma hatari
Wimbo mzuri saana.
Kila la kheri chama la matokeo na makombe☝️🙏💚💛
Hivi kwa nini asipewe namba 9 huyu mwamba
Kabisaaaaaaaa aaaaaa apewe.No.Daut
Apewe
❤
Inshallah Kwa uwezo wa Allah gem tunashinda
Namuombaa mungu awape nguvu wachezaji wetu was yanga na afya Tere tukashinde leo
Anabalaa
Ushindi lazimaaaa🎉🎉
Nyimbo nzur❤❤❤❤
Saf sana
Me nataka niidanlod nitaitapata wapi hii ngoma kali sana asee
Nomaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka fanya Kaz
🔥🔥🔥
mamamamaeeeee
🔥🔥🔥🔥🔥💚💛💚💛💚
Pakome
🧡🤍💚🇨🇮🇨🇮🇨🇮
Na hii imekuwa hivyo..4-0 waraarabu😊
Oyaaa wee
Wataijuwa yanga
💛💚💛💚💛💚
Noma sana
Nsaidieni bei za bleach
Waooo yanga
🎉🎉
Moto
Daaa ila yanga😅😅😅😅😅😅😅😅
Shua Pacome Day
❤❤❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Tishio
💚💛💚💛💛💚
Hii nyimbo mbona fupi aisee
💛💛💛💛💛💛💚💚💚💚💚💚💚
❤❤❤❤❤😅❤😅😅❤😅❤😅❤❤❤
Fundi
💚💚💚💚💚💚💚💚🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂
❤❤❤
Wakwanza leo Naomben like zangu jaman
Kila nikisikiliza hii nyimbo huwa naskia mzuka unapanda💪💪💪💪wewe je??
NYOTA njema inaonekana asbh...Waarabu wataita maji mma.
Al kisasi bin hak
Hatari pacome ZOUZOUA
I love you yanga
Woyoooooooooooooooooooo
Yanga mbere
Yanga haijaisha mpk iisheeee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Allaah Akbar
Sisi ndio sisi wengine Mafisi💚💛🦾🖐🏾🤪
Mungu tusaidie
MUNGU amsaidie Pacome akafanye vizuri ck yake ilochaguliwa amlinde na husuda na kila baya🙏🙏🙏
Nimependa koment yako.. maneno ya kutia nguvu
Mola asimame nasi Tim yetu ya yanga ishinde mechi
Inshallah amin🙏 all the best my team 💛💚😢
Kila la heri 💚💛💚💛💚
Kwishaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kila la kher Team yng Yanga mungu awajalie ushind mnono Jumamos
🔪 🗡 AL-QISASU KHAQI..... watakoma waraarabu....... Uende mshale, Afe ng'ombe afe mmsai.... Lazima turudi na nyama.... ⚽️ ⚽️ 🏟 ⚽️ 🏟 tukutane kwa Mkapa....
Kabisaaaaaaaa
Nakubali sanaaa yang ushindii jumamos huakika waletee haooo
Naitakia yanga ushindi mwema insha allah
Tukutane lupaso walabu kaz wanayo
Yanga oyeeeeeeeeeeee 💚💛💚💛💚
Naimani na allalh kwa Tim yetu ya wananchiiiiii Allalh atafanya wepes wake 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉insha allalh 👏👏👏
Kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana Yanga
In sha Allah kila lakheri 🙏💚
Yanga 💚✨💚✨💚💪🏼imejua kutupa furaha wananchi💐.Na iwe kheri mechi y3tu ya j'mos Kwa mkapa 🏟️ ⚽Naamini tutapata matokeo mazuri Kwa uwezo wa mungu 🙏🏻 Ee Mungu isaidie team ya wananchi
#Daimambelenyumamwiko
#Teamyawananchi