@@kubojajoseph3226 nashukuru saana Huku sioni wanakofundisha vizuri kama hapo ,huku wako busy na maisha tuu,Ughaibuni ovyo hata watoto wanaharibika maana ni free mno
Kila kitu kina BARAKA yake Kila kitu kina karama . Mfano BARAKA ya mauzo. Chochote unauza. Na watoto WA Mungu hatujui , tunaombaje tunapo pata vita ya kiroho. ( Ili utendewe unatakiwa kuomba kinachotakiwa.🍃
Usijiinue . Amekupa Mali ili ujenge ufalme wako. Lakini pia ufanyike BARAKA kwa familia yako na wahitaji. MALI NA VYOTE NI VYA BWANA . VIKIPOTEA MWAMBIE BWANA , HII VITA NI VYAKO . WANECHUKUA TENA 🤣🤣😂😂😂😂
🍃Hakuna yoyote atakaye fanikiwa kiuchumi kama ni muoga . Ambaye akilima nyanya zikaungua au akafuga kuku zikafa . Ana rudia Tena anakaa anajifunza amekwama wapi , Hadi atoboe . Lakini ukifanya Kila kinachotakiwa na Bado hutoboi basi jua Kuna vita ya Kiuchumi.
Ukiwekeza popote fika eneo la uwekezaji wako. Ombea hapo , NUIA , JITAMKIE MAKUU , usijilaani wewe ni TAIFA TAKATIFU , UKUHANI WA KIFALME. Kama ulipaombea na Bado Kuna hasara . Tambua KILA IMANI KUNA LAZIMA I TESTIWE.
Ahsante MUNGU Kwaajili ya MTUMISHI wako, nimebarikiwa
Mwambie Mungu ninakushukuru Sana kwa wateja .
Amina. Nimebarikiwa sana
I'm blessed kabisa ... una angalia ukiwa wapi ? Gonga like 👍
Asante sana PR.D Mmbaga ninabarikiwa kila ninapo kusikiliza ukifundisha Bwana Yesu awe nawe,
nasikiliza nikiwa Maputo
Asanti kwa mahubiri mazuri, mungu akubariki pastor
Mungu akubariki pr uendelee kuifanya Kazi yake
Nmebarikiwa sanaaaa na somo zuri. Mungu akutunze pastor.
Barikiwa sana pastor
Ubarikiwe mtumishi
Yan hapa umegusa mule mule ile kaul ngum lakn imeze leo nmeimeza😁😁😁🙏asante mchungaj kwa kunisaidia kuwa karibu zaid na mung wangu🙏mung azid kukubariki
Aminaaaaaaa
Barikiwa
Amen nimebarikiwa
Amen ubarikiwe
Nabarikiwa sana, pastor
I'm blessed from Kenya Nairobi
Umebarikiwa Sana.
Amina sana pasta
AMINA
✍️Usiwe na wivu . OMBA msamaha WA wivu , Kisha muombee BARAKA. Kisha OMBA kibali.
Pastor nashukuru Sana kwa hiyo Sala kwa sababu nitaisema nikifungua biashara zangu giving karibuni Asanteni Sana.
Hapo Kwa Wasabato nawavulia Kofia maana Wanajifunza neno hasa
Karibu pia kanisani kwetu
@@kubojajoseph3226 nashukuru saana Huku sioni wanakofundisha vizuri kama hapo ,huku wako busy na maisha tuu,Ughaibuni ovyo hata watoto wanaharibika maana ni free mno
Unisafishe mwokoz❤❤
Amen
Nimejifunza kujinenea mema ktk jina la Yesu aliye hai.
Wow
Kila kitu kina BARAKA yake Kila kitu kina karama . Mfano BARAKA ya mauzo. Chochote unauza.
Na watoto WA Mungu hatujui , tunaombaje tunapo pata vita ya kiroho.
( Ili utendewe unatakiwa kuomba kinachotakiwa.🍃
Nabarikiwa
Amina ila iyo nyimbo inaitwaje mebarikiwa nayo sana
Unaitwa Moyo safi.namba116
Amina
Nasikiliza sana mahubiri yake yananibariki binafsi pasta harikiwe saan na Mungu.
Neno hili limenifungua barikiws
VITA YA KIROHO YA KIUCHUMI - Ni pale umefanya Kila kitu kinacho takiwa lakini hutoboi🍃
Amen 🙏🙏🙏🙏
Nabarikiwa nikiwa Belgium🙏😘
💔💔💔 your money turkey japanese there kids typing chuck wood you call tn
Mbona imejikataaa
Usijiinue . Amekupa Mali ili ujenge ufalme wako. Lakini pia ufanyike BARAKA kwa familia yako na wahitaji. MALI NA VYOTE NI VYA BWANA .
VIKIPOTEA MWAMBIE BWANA , HII VITA NI VYAKO . WANECHUKUA TENA 🤣🤣😂😂😂😂
🍃USILALAMIKE.
🍃Hakuna yoyote atakaye fanikiwa kiuchumi kama ni muoga . Ambaye akilima nyanya zikaungua au akafuga kuku zikafa . Ana rudia Tena anakaa anajifunza amekwama wapi , Hadi atoboe .
Lakini ukifanya Kila kinachotakiwa na Bado hutoboi basi jua Kuna vita ya Kiuchumi.
Ninakushukuru kwa watoto watiifu Mungu.
Mlima huo ni spiritual hill au mlima wa kiroho
Ukiwa kiroho unakuwa juu ya maono au mlima unaona popote duniani
Nabarikiwa nikiwa Kenya Refugee Camp 🙏🙏🙏
Mumenibariki kutowa usa
🙏🏾
Ujumbe wa malaika watatu uko wapi?????
Wengine wanasema Hawawezi kulogwa wakiwa wameokoka Je mtumishi ni kweli??maana pengine Shetani akazuia Hata Uchumi wetu
TUJIZOESHE KUFUNGA ... Shetani anatumia njaa kuweka majaribu katika MAISHA yetu . na siku za Mwisho atatumia jaribio la njaa
-Ibada.
JITAMKIE MEMA .
✍️UNAPO INGIA KWENYE MAOMBI LAZIMA UONGEE LUGHA YA KIMAOMBI
Je utatu ni fundisho la biblia msaada wapendwa
HILI SOMO NI MAKUSUDI YA MUNGU KWA WATU WAKE
Ukiwekeza popote fika eneo la uwekezaji wako. Ombea hapo , NUIA , JITAMKIE MAKUU , usijilaani wewe ni TAIFA TAKATIFU , UKUHANI WA KIFALME.
Kama ulipaombea na Bado Kuna hasara . Tambua KILA IMANI KUNA LAZIMA I TESTIWE.
Amina
Amen
amen 🙏🙏 🙏