My son will not marry Ciku because the Parents are Stup!d and Loves money more than their daughter

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 407

  • @hellenkathambi8694
    @hellenkathambi8694 27 дней назад +58

    Mama naona ako na siri fiche, why seduce his husband to buy a land from father in law? Again she hosted wachira for three weeks 😢😢 and pretended everything was okay.

    • @colletambula8984
      @colletambula8984 26 дней назад +1

      Hapo kuna Siri fiche

    • @ANNEMAKA-j4r
      @ANNEMAKA-j4r 26 дней назад +4

      We are past this now,tuongee yenye iko sasa

    • @ZN21-y9y
      @ZN21-y9y 26 дней назад +2

      ​@@ANNEMAKA-j4rI Support you we keep on repeting things tuongee vile SHIKO ni kasichana kajinga, I think ako tu na ujinga fulani yakuzaliwa..

    • @wambui123able
      @wambui123able 26 дней назад

      Shiku said she is a drunkard who comes home at 2am.

    • @GraceBeatriceWarui
      @GraceBeatriceWarui 19 дней назад

      Ni nyoka

  • @Anviy620
    @Anviy620 27 дней назад +36

    Kudos father inlaw good move....shiku has been brainwashed by wachira didnt know wachira is after money

    • @elizabethmutua1665
      @elizabethmutua1665 27 дней назад

      😂😂😂soma headlines vizuri

    • @Anviy620
      @Anviy620 27 дней назад +1

      @elizabethmutua1665 aje nisome ama wee unaelewa aje

    • @elizabethmutua1665
      @elizabethmutua1665 27 дней назад

      @Anviy620 parents are greedy and stupid

    • @elizabethmutua1665
      @elizabethmutua1665 27 дней назад

      @Anviy620 parents are greedy and stupid

    • @hellenkathambi8694
      @hellenkathambi8694 27 дней назад

      I don't believe headlines za content creators😂😂​@@elizabethmutua1665

  • @hopekosgei7408
    @hopekosgei7408 27 дней назад +33

    Wachira akisikia hakuna mahari tena,shiku ujue utageukwa hata na huyo Cucu.

    • @rebeccahkithi4875
      @rebeccahkithi4875 27 дней назад

      Kabisaaaaa

    • @elizanyaga3502
      @elizanyaga3502 27 дней назад

      Exactly

    • @leahchristamakori6992
      @leahchristamakori6992 27 дней назад

      Umeongea kama wazee kumi

    • @faithkanana7634
      @faithkanana7634 27 дней назад

      Exactly 😂 kitamuramba

    • @ZN21-y9y
      @ZN21-y9y 26 дней назад +2

      Na wakipeleka mahari huko wajue wahatawai maliza deni coz shosho, guka na Wachira they will keep on saying wajalipwa😂😂😂

  • @henrynuthu3244
    @henrynuthu3244 27 дней назад +20

    Waoh kudos baba in laws for good advice

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 27 дней назад

      Kudos kabisa to father in law wa chiku. The world needs more people like mzee with a positive perspective to matters. Kuunganisha watu si kuchochea na kubomoa

    • @irinewachira6589
      @irinewachira6589 26 дней назад

      He is very wise and he has really tried to cool off baba chiku mlezi cz his tempers had started rising

  • @hesbornotwori8365
    @hesbornotwori8365 26 дней назад +49

    Ile maturity iko kwa huyu baba mlezi.iko juu sana

    • @agnesmutindi3094
      @agnesmutindi3094 26 дней назад

      Kabisaaaa

    • @ANNEMAKA-j4r
      @ANNEMAKA-j4r 26 дней назад

      Sana sana

    • @ZN21-y9y
      @ZN21-y9y 26 дней назад +5

      Afadhali huyu mama angezaa na baba mlezi angepata mtoto mwerevu. Thinking capacity ya shiko ni mtoto wa pp2

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 26 дней назад

      When you are conned by a foolish woman, just know you are more foolish than her.

    • @FatumaJeneby
      @FatumaJeneby 26 дней назад +1

      FOR 10 YRS IN- S.A. PESA APELEKEYA MAMAKE🎉 AMERUDI MKONO MTUPU- NA A- EXPECT😮"RURASHIO" NGAI !!!!!

  • @EverlyneOmungala
    @EverlyneOmungala 26 дней назад +5

    Congratulations 🎉baba in-law good advice.Mungu kwanza and patience pays 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @anthonymile4422
    @anthonymile4422 26 дней назад +17

    Shiku messed her own marriage. Akiolewa na hii akili dogo hivi she will not last. Inaonekana convinsing kidogo ashaingia box. No wonder ata alizaa mapema.
    Father in law ni mzuri sana. He looks a good dad

  • @victormaina9343
    @victormaina9343 26 дней назад +2

    Two wise men father in law and baba mlezi may God bless you with more wisdom..

  • @fancytulula9537
    @fancytulula9537 26 дней назад +6

    Very mature man, I wish he came earlier. Anyway, their i time for everything. He's a great man of wisdom. God bless him.. He believes in God & i know God will be withcrhis family.

  • @CatherineMumbua-ue5pn
    @CatherineMumbua-ue5pn 25 дней назад +1

    Father-in-law is a brave and smart man.

  • @patiencewatarethepoetmoifo907
    @patiencewatarethepoetmoifo907 27 дней назад +5

    A v mature and candid father in law...with v sober mind...shida kubwa ni msichana anaye olewa kwake na mamake ni shida tupu...

  • @JaneWanjiku-x5x
    @JaneWanjiku-x5x 27 дней назад +12

    When history repeats itself chiku you will regret you want your mum to go back to street 😢

  • @SalomeJoan-t3y
    @SalomeJoan-t3y 26 дней назад +9

    Mama shiko ulikosa sanaa hata vile wachira alitoka south Africa hungekubali aingie kwako

    • @ANNEMAKA-j4r
      @ANNEMAKA-j4r 26 дней назад +1

      Tumeshindia hii point si tu move on sasa

    • @marygachau272
      @marygachau272 26 дней назад

      Tamaa ilimuua fisi

  • @deekiki1924
    @deekiki1924 26 дней назад +2

    Samaritan contribution zako is only for more content creation. Keep out of it and let this family sort their issues. You're a major catalyst

    • @Forexpreneur21
      @Forexpreneur21 26 дней назад

      You have spoken like an elder.Look at the title of this episode,isn't that an abuse to this family and character assassinations of a church elder?It reflects Samaritan's wishes,despite being the key witness to everything .Proverbs 14:5: "An honest witness does not deceive, but a false witness pours out lies"

  • @sammylikono6783
    @sammylikono6783 26 дней назад +4

    Samaa you don't help much a times,that mzee in-law is so wise n anajua maisha bravoo to him, you don't come out of ahole by digging deeper, wachira s mission is destroy the whole relationship ya hii familia cozhe knows he has lost everything, he wants wapoteze wote

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 26 дней назад +3

      On this case Samaritan did not help at all. Good mama shiku in the end did not want him to sit in

  • @sophiegatwiri822
    @sophiegatwiri822 27 дней назад +60

    Shiku you have ruined your destiny. You may not realize it now but later you will look back and regret

    • @emeldernyamwaya2573
      @emeldernyamwaya2573 27 дней назад +5

      She will regret big time ni kajinga sana

    • @ANNEMAKA-j4r
      @ANNEMAKA-j4r 27 дней назад

      ​@@emeldernyamwaya2573na kaongo kama kasongo

    • @QuinNaututu
      @QuinNaututu 27 дней назад

      If this man was seducing her it's in order

    • @augustinosanga5789
      @augustinosanga5789 27 дней назад +4

      Sio kweli ana haki ya kujua,,,,, huyo mama ndo anajutia, mtoto kaelewa ukweli so ana haki ya kutambua
      Baba mzazi yupo na amekuwa akihudumia miaka yote

    • @CatherineGathukumi
      @CatherineGathukumi 27 дней назад

      Very true she is reasoning like wachira with no brains

  • @Wairimubeth-m5z
    @Wairimubeth-m5z 26 дней назад +6

    🎉 wewe Samaritan Una peda kuchochea maneno sana hakuna kitu unachaidia auone huyo mama amaumia

    • @sammylikono6783
      @sammylikono6783 26 дней назад

      @@Wairimubeth-m5z have observed the same , nikaa he delights in separations, hapo he reevaluate his objectives as eastern tv

    • @rhodamatalanga4556
      @rhodamatalanga4556 26 дней назад

      Mama Shiku ndiye chanzo cha kila kitu. Even if it wasn’t for Samaritan to sanitise Baba Shiko and Mama Shiko, this would have eventually still blown out.

    • @njerinyambura2691
      @njerinyambura2691 26 дней назад +1

      Imgn badala aseme ukweli

    • @jamesmarley5981
      @jamesmarley5981 26 дней назад +1

      Samaritan ajawai tengeneza yy uwa tu anajua kuaribu sijawai ona amereunite yy uwa tu kubomoa nugu ya mtu

  • @ANNEMAKA-j4r
    @ANNEMAKA-j4r 27 дней назад +11

    Hata wacha kupenda pesa,shiko ni moto she has zero respect for her parents ,huwezi ukarushia wazazi maneno mazito mazito then you convince me that ilikuwa ni hasira,no way

  • @Briana_B-t9j
    @Briana_B-t9j 27 дней назад +27

    I saw it from the beiginning, Shiku would loose everything

    • @christine4072
      @christine4072 26 дней назад

      Pia mimi kalikataa mama yake hakamuamini

  • @CharityWachira-zw9cf
    @CharityWachira-zw9cf 26 дней назад +7

    Mama shiku amefisha mambo nyingi sana

  • @edithandunguru3405
    @edithandunguru3405 26 дней назад +2

    Asante saba mzee kwa busara zako. Barikiwa sana

  • @lavinmuswa3832
    @lavinmuswa3832 24 дня назад

    I love father in law's Wisdom 🤝👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼👏🏼

  • @janethjelagat1647
    @janethjelagat1647 27 дней назад +10

    Very nice,how comes unatetea mtu mwenye hakuwahi kukulea ,shiku karamia uchinga yako

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 26 дней назад

      13 na 10 gani mingi

    • @evakioko7492
      @evakioko7492 26 дней назад

      Hiyo alikuwa mdogo..kumsomesha highschool mpaka campus si mchezoo@@RoroRoserororo

  • @Monicah-v5m
    @Monicah-v5m 27 дней назад +14

    Baba ciku mlezi usijali huyu msichana amekorogewa aone wewe ni mbaya . Acha apeleke ruracio mahali anataka. Na unyamazie hayo .

    • @leahchristamakori6992
      @leahchristamakori6992 27 дней назад

      Hakuna ruracio at this time

    • @MargaretMwapia
      @MargaretMwapia 27 дней назад +3

      Hajakorogewa dada akili kwanzia day 1 ilikuwa zero

    • @ZN21-y9y
      @ZN21-y9y 26 дней назад

      ​@@MargaretMwapiai Support you her thinking capacity is very low..

  • @mamaboizpure842
    @mamaboizpure842 27 дней назад +8

    Shiku you've ruined your life fully n you will regreat this bittery gal

  • @paulinenkirote1975
    @paulinenkirote1975 26 дней назад +3

    God bless you father in law

  • @hawababy120
    @hawababy120 26 дней назад +8

    SAMARITAN USISHAU KU SANITIZE BABA CIKU NA CIKU.ILA MANENO YOOTE YAMEANGUKA KWAKO.HIO CHAKULA PELEKEA MAMA ABIGAEL

  • @mutukunzisa7621
    @mutukunzisa7621 27 дней назад +5

    Weee Mama shiku, Mama shiku see where greed has landed you. Up to now bad mnaendelea kuonyesha uchi wenyu hapa hakuna moral bringing weee uchafu uchafu who would want to marry on such????????

    • @susanngugi2489
      @susanngugi2489 27 дней назад

      I disagree the wachira family is gready they have never taken care of this child abgekuwa church abgeolewa na nani sasa amesoma ako well kept so they claim their child. Mtoto kwa kikuyu ni julea si kuzaa.bona street kids no man come out to claim them afadhali ruracio ikae laking wachira asikule.let wait and see if the wachira family will now take shiku na mtoto to s afrika

    • @paulkaranja9257
      @paulkaranja9257 26 дней назад

      3 weeks after 10 years with Mlezi. Toboa.

  • @lavinmuswa3832
    @lavinmuswa3832 24 дня назад

    Well done Father in law so sober advice

  • @elshadaiuniforms1196
    @elshadaiuniforms1196 26 дней назад +2

    FATHER INLAW.......HONGERA 👌👌👌👌👌👌👌👌👌👏👏👏👏
    WISDOM......INSTALLED.

  • @janemureithi-ml2bt
    @janemureithi-ml2bt 27 дней назад +8

    Shiloh has not ruined anything her mother is not open and honest. Why would she marry her off without telling her father even if they were not together they didn’t divorce he was in South Africa. She was double dealing and was trying to make wachira think they are together when he leaves again for South Africa. He would probably have been sending her money as his”wife” and baba mlezi would not have known either. She is the cause of all the problems. Why didn’t they allow the other man to speak to shiko. Truth will always set us free. Samaritan should sanitise simu ya baba mlezi pia. Something is not right

  • @faithgitari8440
    @faithgitari8440 27 дней назад +21

    Gari iliingia huko sabambu mama ciku ni bibi ya wachira

    • @RoroRoserororo
      @RoroRoserororo 26 дней назад

      Very true

    • @FidelisWaithera
      @FidelisWaithera 26 дней назад

      True

    • @AgnesKamau-h6j
      @AgnesKamau-h6j 26 дней назад +2

      Ngari ilingia huku kwa sababu mama ciku alikua na ujaja wakupeanA KINEBE KUA WANAUME WAWILI NAYE MUNGU NI NANI?

    • @sky-nj1nq
      @sky-nj1nq 26 дней назад

      Woooii...let mind our commets

    • @janewaruai2426
      @janewaruai2426 26 дней назад

      True

  • @ruthndinda6689
    @ruthndinda6689 26 дней назад +3

    Sama wacha Kurundisha mambo nyuma be wise this is a family matter

    • @janetmagutu8158
      @janetmagutu8158 26 дней назад

      Samaritan 😂needs violence Kila time yaani Mzee wakuchochea mambo..ovyo sana

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa6702 26 дней назад +2

    Makofi makofi kwa father inlaw , shiku needs to growup and put her stupidity away, SA father has spoiled all this.baba mlezi nampenda bure respect maximum

  • @edwardodhiambo3848
    @edwardodhiambo3848 26 дней назад +1

    Father in law is very mature and understands what happens in life.Ciku to cooperate with her mother and Baba mlezi,Wachira to stay patient he might get something small that recognises him as biological father.

  • @PamelaOtieno-i5i
    @PamelaOtieno-i5i 26 дней назад +2

    Baba shiku mlezi, you need to go to court and repossess your land and property. It seems this woman tricked you into buying her father in law's land and put her name, and that is a con. Mama shiku it appears you still love Wachira.

  • @kenyamedia-t2e
    @kenyamedia-t2e 27 дней назад +4

    kaende South Africa sasa pia yeye atakam bila kitu na mtoto amelelewa Naye na mamakambo 😢😢😢

    • @RayN-uu6ix
      @RayN-uu6ix 26 дней назад

      The girl is scared of revealing what baba mlezi has done. I think everything will come to the light. We need to find out if this guy is married to another woman apart from Mama Shiko

  • @Lucy-np4vu
    @Lucy-np4vu 26 дней назад +6

    I love the wisdom with father in-law n Baba mlezi kudos.

  • @paulkangucia6152
    @paulkangucia6152 27 дней назад +3

    Kama mama chiku akuna kitu anaficha iyo gari iriingia aje kwako sema tu unawapenda wote wee ni egonga

  • @wambuimwangi5123
    @wambuimwangi5123 26 дней назад +6

    Sama wacha fitina...."hii gari iliingia before mtaro ichimbwe" ....Why bring it now?

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 26 дней назад +1

      Uchokozi moto iwake kwasababu anaona kumetulia

    • @GladyKalekye
      @GladyKalekye 26 дней назад +1

      Si ni ukweli....uyu mama ni muongo sana ako na mambo miingi ameficha

    • @carolinerubeya7817
      @carolinerubeya7817 26 дней назад +1

      @wambuimwangi5123 Imagine...

    • @munyasiasamuel4701
      @munyasiasamuel4701 26 дней назад +1

      Sama hawezi solve shida anapenda kuchoma

    • @patricianjeri1403
      @patricianjeri1403 26 дней назад

      Wambu ukweli use mwenye mama shiku alikaribisha wachira kama bwanake hapa wa ciku na wachira niwakosaji,baba mlezi aliwdkwa kwaginza na madam wake.

  • @Teeruagos3300
    @Teeruagos3300 26 дней назад +3

    Chiku, your dad has destroyed your destiny. But the worst thing you did is to probably lie about your baba mlezi. If he didnt do that, its wrong.

  • @shikusteve
    @shikusteve 26 дней назад +1

    Baba mlezi very matured

  • @nyotamunyi1644
    @nyotamunyi1644 26 дней назад

    Lesson to learn wanawake ni wakora....always have a plan B as man...to be safe

  • @Wilky254
    @Wilky254 27 дней назад +4

    Samaa Headline haingiani 😂😂😂😂

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 27 дней назад +2

      Headline ya uongo mutupu

    • @sky-nj1nq
      @sky-nj1nq 26 дней назад +1

      Sama hupenda fitina sana....mpesa mabaya kama askali wa kenya

    • @sikukuudena2929
      @sikukuudena2929 26 дней назад

      😂😂😂😂

  • @robertmungathia4686
    @robertmungathia4686 26 дней назад

    Wow congratulations to wajiko she is best ❤

  • @SusansusanNjeri-j3l
    @SusansusanNjeri-j3l 26 дней назад +1

    Ui mzee wakwetu kangima mungu tu diye ata intervine

  • @RachealMwaniki-q6w
    @RachealMwaniki-q6w 27 дней назад +3

    Pia mm shiku wangu siwezi mtaka ni easy go hakana akili

  • @dorcasmanyara8650
    @dorcasmanyara8650 26 дней назад +1

    I congratulate Shiku's father in law for bringing peace between these parents and for his integrity.

  • @Teeruagos3300
    @Teeruagos3300 26 дней назад

    Good for you, Samaritan, for not taking the food. That's very professional of you no to do that.

  • @Am-promise30
    @Am-promise30 27 дней назад +5

    Ati mtoto, mtu wa 23yrs tena mwenye mtoto bado wanaitwa watoto gaiiii 😂😂😂ndo maana kana reason kitoto kweli cz what is this now?? Kanakaa na roho ya mwajina wake kweli, kamtu roho chafu. Mama wachira amegeuka wachira wake na pesa na huyu naye ciku anagruka mamake na pesa vile vile. Sooo hapa kazi ipo kwa kweli.

  • @irenemwende1904
    @irenemwende1904 26 дней назад +1

    Mama shiko umebarikiwa na mzee mzuri mwenye ako na ukarimu na mwenye bidii ... Shiko ndio anataka kukuaribia ndoa... Wachira amechanganya huyu mtoto kumharibia ndoa yake alafu abaki akiteseka

  • @iremwa776
    @iremwa776 26 дней назад

    Huyu inlaw is very understanding, i salute you baba😄

  • @jackmungerezah9012
    @jackmungerezah9012 27 дней назад +9

    Shiku kumbuka pia ww utakuwa mzazi. But soon kitakuramba you don't have respect 😒

  • @sammylikono6783
    @sammylikono6783 26 дней назад +2

    Embrace forgiveness,if possible if the ciku insists taking mali huko kwahuyo wachira,let her do so,en you guys jengeni boma yenu yeye aendelee na wachira wake

  • @HottensiahWaweru
    @HottensiahWaweru 26 дней назад

    Very wise words from a wise man

  • @KayinamuraoKayinamurao-e3x
    @KayinamuraoKayinamurao-e3x 27 дней назад +2

    Sasa what is the woman hiding the child? amuambie all truth mwanzo mpaka mwisho

  • @cecilianyirenda3377
    @cecilianyirenda3377 26 дней назад +1

    Mama chiku mtoto anasema kumtusi baba mlezi wewe unamsemea ajue matusi anatuka wa, huna aibu hujui unazidi kujianika? Na na unamfanya amchukie mtoto, au ulidhani atakuona wewe mzuri? Ona sasa maamuzi ya baba mlezi kwako na mtoto! Jifunze kunyamaza, yapokee lkn kaa kimya. Matatizo yote ni wewe kuto kuwa mwaminifu

  • @hesbornotwori8365
    @hesbornotwori8365 26 дней назад +1

    And samaritan kindly include me kwa ur strategy team without pay.mambo itasonga mbele

  • @NemuelOmbokaOmwenga
    @NemuelOmbokaOmwenga 26 дней назад +1

    Wanasema nyumba foundation iwe Yesu na mama Shiko anataka divorce what God hates from Malachi 2: 16 , naona shiko arudi kwa biological dad

  • @stephensonkimeu7504
    @stephensonkimeu7504 27 дней назад +7

    That SA guy Wachira was brought along by the Devil to destroy the destiny of the daughter. The devil is a schemer n can mess someone to become a single mother when she had a husband.

    • @ANNEMAKA-j4r
      @ANNEMAKA-j4r 27 дней назад

      Haki

    • @Missemmy-g2y
      @Missemmy-g2y 26 дней назад

      Mwanamke alimuweka hapo kwa hii hao 3wks akifanya nn na yeye,,,,na wakati alijua amemove on,,,,huyu madam ndiye destroyer wa everything, ,,mpaka hii gari c alikuwa amekatalia key,, ​@@ANNEMAKA-j4r

    • @ambbabu4122
      @ambbabu4122 26 дней назад +1

      Apana devi sioni kama n wachira sababu wachira kama hangepata nafasi ya kuingia tena kwa mama shiko hangefanya kitu, lkni aliyeleta devil n mama shiko kwa kumkubali wachira kurudi kwake

  • @loseeal3440
    @loseeal3440 26 дней назад

    Nimependa father inlaw sana❤❤

  • @hesbornotwori8365
    @hesbornotwori8365 26 дней назад +1

    Samaritan do this,peleka mama shiku mahali umwambie hakuna camera ndio atoe siri zote

  • @davidmohammed4942
    @davidmohammed4942 26 дней назад

    Baba mlezi amevyeka hzi mboga 😂😂

  • @BlessedMammy
    @BlessedMammy 27 дней назад +28

    23years old with reasoning capacity of a grade 3 child 😢Father in law better safe your son from a future broken marriage 🏃🏽‍➡️🏃🏽‍➡️

    • @fatumaadam4271
      @fatumaadam4271 27 дней назад +2

      Damu ya shosho iko kwake 😊

    • @DorisMuriuki
      @DorisMuriuki 27 дней назад +5

      Wacha kaende South Africa sasa😂😂 ata regret

    • @DorisMuriuki
      @DorisMuriuki 27 дней назад +9

      Eti si mliskia baba akisema alikuwa ananitaka😂😂😂Huyu Wanjiku ako na akili ingine ama ni hii tu 😢

    • @elizanyaga3502
      @elizanyaga3502 27 дней назад

      Kwanza hio imenikasilisha sana 😢​@@DorisMuriuki

    • @MargaretMwapia
      @MargaretMwapia 27 дней назад +3

      Unazaa, unafundisha anakuwa na akili ya baby class

  • @herbertmusuli580
    @herbertmusuli580 26 дней назад

    mama shikoku you must remember afather is a father he left ciko na 13yrs this was a big person who knows his father.let the dowry go to ciao home and be relieved by baba ciko and real father.then all dowery to be given to mama ciko us she cared to her daughter.

  • @ruthwambuigichohi4138
    @ruthwambuigichohi4138 26 дней назад

    Wise father in-law ❤

  • @TheForester64
    @TheForester64 26 дней назад +6

    Why do lorry drivers roll up their trousers to the knee - baba ciku mlezi

  • @evangelinemunene
    @evangelinemunene 26 дней назад

    Tuacheni ya kale tuweze kusonga mbele cz i wish I knew haitatusaindia yakimwagika hayazoleki tumpee ma Ciku amani pls......

  • @Jk70-s8o
    @Jk70-s8o 26 дней назад

    Baba mlezi has a lot that is still unknown while mama ciku has many secrets but however much they try to hide,one day the whole truth will come out.

  • @patiencewatarethepoetmoifo907
    @patiencewatarethepoetmoifo907 26 дней назад +2

    Am sure the truth of hosting Wachira will now be known by ba mlezi

  • @nashryans7727
    @nashryans7727 26 дней назад +1

    Sama anataka kutuletea udaku kutoka kwa in-laws direct..asante Sama tuletee udaku yote

  • @brendahnkirote794
    @brendahnkirote794 26 дней назад +2

    Trust Samaritan's headlines at your own risks

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 26 дней назад

      Shows you Samaritan ni mtu wa fitina

  • @eznermomanyi814
    @eznermomanyi814 26 дней назад

    Yaani baba mlezi amekulea u disappoint him this way..regrets comes later

  • @morrismitu230
    @morrismitu230 26 дней назад

    Samaritan that's not fair,they are making u spoiling.weweeeeeee

  • @Sunshine_Amy
    @Sunshine_Amy 26 дней назад

    Life has no balance....shiku respect your mom... despite what happened,she was young and naive but she couldn't wait your mamasboy by name washira....no life in that crazy family,don't be disrupted by south Africa promises... respect your mom and the dad who raised you up...ungekua chokora

  • @LydiaKhamalishi
    @LydiaKhamalishi 25 дней назад

    Acha kusema samaritan ako n makosa juu kama hangesinitise mama shiku still baba shiku mlezi angerudi kutoka job n angepata wachira

  • @collinskiprono7543
    @collinskiprono7543 26 дней назад

    This father in law is very wise

  • @lucymacharia4134
    @lucymacharia4134 27 дней назад +2

    Mi naona warundishe shamba ya wachira ju wanasema walinunua lakin walipiga baba ya wachira kiraaka ndio maana hawataishi na amani mpaka warundishe Kila kitu

    • @NAOMIWANJIRU-ri4th
      @NAOMIWANJIRU-ri4th 27 дней назад

      Kurundisha ni ngumu coz washaa njenga kwa hio shamba ...... pengine wanunue tena 😭

    • @ANNEMAKA-j4r
      @ANNEMAKA-j4r 27 дней назад

      But si transaction ziko kama evidence, hiyo familia ya wachira is another mkora family

  • @johnorina5952
    @johnorina5952 27 дней назад +1

    Huyu mama she will loose everything

  • @MwanaMtoi
    @MwanaMtoi 26 дней назад

    2 wise men🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @henrymwangi6465
    @henrymwangi6465 26 дней назад

    Samaritan always looks to solve problems not inciting.

  • @MaryGathagu-tb9jl
    @MaryGathagu-tb9jl 26 дней назад

    Ww baba2 wachana na mahali ya shiku

  • @Emily-xk4jc
    @Emily-xk4jc 27 дней назад +1

    Shiko kitakuramba vibaya cz heshima huna

  • @MarionNyakerario-x6k
    @MarionNyakerario-x6k 26 дней назад +1

    Baba mkwe anaangalia aje shiku na nyuma bana wazee wa sikuisi hawana heshima

  • @njerinyambura2691
    @njerinyambura2691 26 дней назад +1

    Shiku ako na akili ndogo sana

  • @florencebosibori9961
    @florencebosibori9961 27 дней назад

    Hata ya mamake itavunjika aki😢😢😢

  • @JacquelyneAnbunya
    @JacquelyneAnbunya 26 дней назад

    Mum shiko seems to be hiding alot & how comes they never got their own kids, & mum shiko was in a hurry to get married, angekaa hata 2 years before remarrying...Baba mlezi, nikama amekuwa akidhulumu shiko kimapenzi

  • @EuniceMacharia-l3x
    @EuniceMacharia-l3x 26 дней назад

    Wakikuyu Wakikuyu wenzangu kutoka kwa michuki home kangema wooiii nimwarwona

  • @soniagrace3296
    @soniagrace3296 5 дней назад

    This things are not easy

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 26 дней назад

    Mzee wa kijana ako stret mama shiku ndio lawama inampats wote

  • @faithmutua2694
    @faithmutua2694 26 дней назад

    Sama your headlines 😮

  • @josephinenjoki2068
    @josephinenjoki2068 26 дней назад

    Baba mlezi open your eyes before it's too late .okiona mwanamke akikataa kukuzalia jua kuna kitu anaficha.

  • @dancanomwenga1987
    @dancanomwenga1987 26 дней назад

    Eti tunashikanisha familia nyingi sana😅😅😅😅

    • @wamzy1110
      @wamzy1110 26 дней назад

      Ni kweli depends on interpretation....yaani akipata couple moja anafwatilia na kuchimbua familia zao zote..nuclear, extended, friends etc etc. 😢 Hope una get design ya kushikanisha ie connecting the dots 😂😂😂

  • @jfmagnifico
    @jfmagnifico 26 дней назад

    Mama Shiko ni Tapeli

  • @perezaglimmuliga4539
    @perezaglimmuliga4539 26 дней назад

    Mama Ciku you are the cause of all these Problems ,if you had been truthful with Bab Mlezi it wouldn't cost you a peny
    Next time when you grow up try be honest with youself and anybody close to you .
    Like now you are holding lots of information because even now you are not being open

  • @tonnadimples4039
    @tonnadimples4039 26 дней назад

    Samaritan si ungechukua upeleke children's home.

  • @gozakoth8466
    @gozakoth8466 26 дней назад

    mama shiko amejikoroga mschana wake

  • @agitaagati1509
    @agitaagati1509 26 дней назад

    Waa roho imetulia aki

  • @mattomatto877
    @mattomatto877 26 дней назад +1

    Sanitize simu ya Huyu baba wakambo what discussion…..Between the two ….Shiku is trying to Defend her Mum…..

  • @sweetheart6813
    @sweetheart6813 27 дней назад +2

    MUITE WAZEE WATATUE HII SHINDA JUU KWA WAKIKUYU KUNA VILE CIKU ANAWEZA TOA MALI IMALIZE YEYE NA FAMILIA YAKE , ARAFU KAA BABA MLEZI HAJATOA MALI KWA MAMA CIKU HAWEZI KULA MAHALI YA CIKU ,NA MAMA CIKU HUWEZI TOLEWA MAHALI MARA MBILI

    • @gracewaweru7726
      @gracewaweru7726 26 дней назад +2

      Kuna video walisema walirudisha Mali tao na baba shiku mlezi aka toa yake.

    • @Roxana-q5j
      @Roxana-q5j 26 дней назад

      ​@@gracewaweru7726yes na wakasema walienda na baba wachira na ni yeye alipewa mahari ya kurudishiwa wachira