FAMILIA YA MZEE KICHECHE (Ep 10)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @NdovuluAmisiErikiane-ks4nx
    @NdovuluAmisiErikiane-ks4nx 10 месяцев назад +82

    Jet‘aime beaucoup kicheche uko na roho nzuri auna ubaguzi kabisa sisi wa Congo tunakupenda snaa 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤

  • @JacobUFOYURU-kn9de
    @JacobUFOYURU-kn9de 10 месяцев назад +105

    Félicitations à tous les membres du groupe kicheche family. Love from🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @allyboka4264
      @allyboka4264 10 месяцев назад +2

      Big up kicheche mbwa wewe

    • @SIZONIZABONGO
      @SIZONIZABONGO 10 месяцев назад

      ruclips.net/video/VD3Tx8f-5Sg/видео.htmlsi=c2_zisWUKYm4Oadi

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 9 месяцев назад +12

    Huyu Msomi ni Mwigizaji mkubwa sana ana Talent kubwa mno ya uigizaji.. Huyu Jamaa atafika mbali mno yaani kacheza kama Super Star flani wa bongo Movie..🎉🎉🎉

  • @RizikiSikitu
    @RizikiSikitu 10 месяцев назад +9

    Nampenda sana kicheche kifaransa 😂😂😂 natokeya Burundi ❤❤❤ na itwa G sam KAPUTA 😢😢 nampenda sana ila na mimi nimuigizaji mkubwa sana ila Naomba support yenyu na sisi ni kicheche Burundi 😢😢 bigno lt tv 😮😮😮

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 10 месяцев назад +239

    Nmechelewa lkn cio sana😂😂😂 nipe ivo ivo like za kuchelewa 😢😢😢 nawatakia Ramadhan qareem 💫 vipenzi wote na team kicheche wote nawapenda kwa ajili ya Allah🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Seifbrown
    @Seifbrown 10 месяцев назад +26

    Nakubali 😂mtoto wa kalemie 🎉😂❤❤❤ 🫴🏾kazi nzuri sana 🎉😂 wanao kubali kazi iyi nipe like kazi iyendeleye zaidi 😂big up family @seifbrown ku toka Congo 🇨🇩 and buja😂🎉

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 10 месяцев назад +20

    Duuh kumbe chief malangalila mshenzi sana et😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SamsonMwalugali
    @SamsonMwalugali 10 месяцев назад +10

    Sema umu ndai vai katisha kinoma .in short kacheza ualisia wa x wanguu zuu vai nnamaua yakoooo❤❤❤❤❤❤❤❤😊

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws 10 месяцев назад +2

      😅😅😅😅😅😅heeeè munguuu usinipe mwishoo kama huuu maaan mapenziii konyooooo😅

  • @AgnesMwafungo-jb5uf
    @AgnesMwafungo-jb5uf 10 месяцев назад +141

    Sasa nimegundua wewe sio tom boy nyumbani unajishaua mimi beach boy tena unatukazia kumbe huku huchomoi naomba sharti langu nifunike mazulia 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @anithiajohn9209
    @anithiajohn9209 10 месяцев назад +5

    Lkn najifunza vingi sana juu ya hii moves asa upande wa wake wenza wadada tuache kutamni wanaume wa wenyew kwa 7b ya pesa Big up sana kicheche

  • @ChristinaCharles-ef8qv
    @ChristinaCharles-ef8qv 10 месяцев назад +27

    Kicheche hana akili huyu ety maungo kibuyu 😂😂😂😂🙌🏻

    • @babynahya8038
      @babynahya8038 8 месяцев назад

      Yan mpaka nimecheka kwanguvu UYO kicheche anatufanya tuonekane wenda azimu😂😂

  • @Misheckkazilist-cv2hb
    @Misheckkazilist-cv2hb 10 месяцев назад +54

    Kicheche mpaka kifarasa duu mbali sana😂😂😂😂😂😂

  • @UrbanusMuendo
    @UrbanusMuendo 10 месяцев назад +46

    ❤ zuri sana msalimie mkenya mwenzangu 🇰🇪🇰🇪🐕‍🦺

  • @Lili-z6s3v
    @Lili-z6s3v 10 месяцев назад +23

    Kicheche noma na kifaransa anaweka good job

  • @agnesmasoud950
    @agnesmasoud950 10 месяцев назад +32

    Huyo mzungu tomboy na kapombe wamenogesha hii series sana mashallah

  • @MaoKamango-f4d
    @MaoKamango-f4d 10 месяцев назад +17

    Big Félicitations à toi mon petit ki cheche n'a furai sana kwa kuchukua mdada wa kwetu kalemie nafata filamu iii toka Kinshasa

  • @theblessedone7526
    @theblessedone7526 10 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂 lakini kicheche Mbwa nyie😂😂😂ati nmekusanya kolodani zangu kazifunga pamoja zimekua kibuyu😂😂😂😂

  • @emmanuelchelulei3438
    @emmanuelchelulei3438 10 месяцев назад +3

    Naumia ila najikaza, siku izi wananiita maungo kibuyu😅😅, mbwa mimi na upumbavu wangu😂😂😂

  • @ntungwanayoodette752
    @ntungwanayoodette752 10 месяцев назад +30

    Waooo kicheche Ana prononse vizuri français❤🇧🇮🇸🇦😂😂

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 10 месяцев назад +3

    Naomba producer mkenya umuludishe alikuwa ananifurahisha sana

  • @pastatz7531
    @pastatz7531 10 месяцев назад +53

    Nimependa kifaransa😂

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 10 месяцев назад +3

      Yan 😂😂

  • @MalipoFatu-y2t
    @MalipoFatu-y2t 10 месяцев назад +35

    Kicheche anajuwa sana nakufata nikiwa South Africa 🇿🇦 wewe nimwamba ila home ni 🇨🇩 uvira

  • @JOHAREHfilms2023
    @JOHAREHfilms2023 10 месяцев назад +5

    Ila chapombee anajua,🎉🎉🎉 hongera director nikupe tu 💐💐💐 Yako kila muigizaji amecheza vzur character yake🎉.....,
    Sema meumiaaa Vai umemuumizaa manyanya wetu A.K.A msomi wetu😢... Niwaambie kabisaaa manyanya Akifa 🎉mtaniuzi sanaa jmn kwann jmn🙌

  • @ARONPaul-bz3ws
    @ARONPaul-bz3ws 10 месяцев назад +3

    Kichecheee kaingiza na pumbuu kabisaaaqa loooo😅😅😅😅

  • @Ahishakiyerehema-ex8vw
    @Ahishakiyerehema-ex8vw 10 месяцев назад +3

    J'adore vraiment cette film même en français on y va c'est très cool, les meilleurs joueurs que j'aime ,
    Kutoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 nawafuata sana.

  • @LovelyCorgiPuppy-sp4cz
    @LovelyCorgiPuppy-sp4cz 10 месяцев назад +18

    Msomi yamemkuta duh ❤so mchezo 😭😭

  • @vallesndayishimiye2396
    @vallesndayishimiye2396 10 месяцев назад +13

    Kichechhe weeee😂😂😂😂😂😂unajuwa kifaransa nakupenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @EdimaraPius
    @EdimaraPius 9 месяцев назад +2

    Kama kibuyu duuuh huyu kicheche 😂😂😂😂😂😂

  • @dullaSolaga
    @dullaSolaga 10 месяцев назад +14

    Kicheche kuwa makini na maneno yako movie kali ila unahalibu kizembe sm tm.

    • @SophiaJoseph-t4y
      @SophiaJoseph-t4y 10 месяцев назад

      Mimi hadi mama angu amepiga marufuku watoto kufatilia hii movie

    • @rachelmchuzi827
      @rachelmchuzi827 9 месяцев назад

      Hata mm nimekataza with wasiangalie tena

  • @modynhozmk14
    @modynhozmk14 10 месяцев назад +8

    Nime furayi sana kuona dada wa kwetu kalemie ndani ya filamu ya kicheche 🙏🙏🙏

  • @audifaxkabura1360
    @audifaxkabura1360 10 месяцев назад +45

    Sasa huyu Kenge kifaransa kajifunzia wapi😂😂😂

    • @lilianalmas5911
      @lilianalmas5911 10 месяцев назад +4

      Kicheche ni mbembe wa Congo😂😂

  • @BebecheriLadyswinengiama
    @BebecheriLadyswinengiama 10 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂kiche che hata français ajua kuongea, ata amezaa Congo 😂😂poa sana shemegi

  • @OFFICIAL_YUSO
    @OFFICIAL_YUSO 10 месяцев назад +12

    Wakwanz ndy huyo mm sas 🎉🎉🎉🎉🎉 team msomi tujuane kwenye like 🎉🎉🎉🎉🎉 kama unaikubar move yote gonga like yako mshua😅😅😅😅😅😅

  • @MichaelDr-rc6ir
    @MichaelDr-rc6ir 10 месяцев назад +75

    Aujourd'hui kicheche vient de s'exprimer en français vraiment c'est une bonne chose notre langue est devenue totalement un peu bien compréhensible, nakupe kicheche

    • @SIZONIZABONGO
      @SIZONIZABONGO 10 месяцев назад

      ruclips.net/video/VD3Tx8f-5Sg/видео.htmlsi=c2_zisWUKYm4Oadi

    • @glorianvusha9249
      @glorianvusha9249 10 месяцев назад +1

      j'adore la francais am.from 🇰🇪

    • @irtshisekedikhamis5648
      @irtshisekedikhamis5648 10 месяцев назад +1

      Votre langue c'est français donc vous avez la nationalité française 😂😂😂 les africains

  • @azizamohamed1767
    @azizamohamed1767 10 месяцев назад +8

    Hahahah akome kuolewa kwenye mali hajui zinavyo tafutwa hahahahah ila huruma

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv 10 месяцев назад +8

    Aujourd'hui je suis fière de toi kicheche ça c'est une exquise pour nous les enfants de Kalemie 🥰🥰🥰 nime furai saaana nipo Congo 🇨🇩 kalemie kwa kweli nime furai saaana ❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊

  • @JacquesKashindi-h4c
    @JacquesKashindi-h4c 10 месяцев назад +19

    jamani nipe liké kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @FionaMjata
    @FionaMjata 10 месяцев назад +13

    Mlevi anayaweza😂😂

  • @eddynfundiko
    @eddynfundiko 10 месяцев назад +7

    Je suis à goma drc 🇨🇩 je t'aime kicheche, à très bientôt j'espère bien que je serais là à dar

  • @RahelKalume-j3l
    @RahelKalume-j3l 10 месяцев назад +5

    Jamani hivi huyo mtoto wa kicheche mlevi si (Kalomo cha Pombe) kweli huyu, naona nikama wanafanana sana tabia🎉🎉🎉😂😂😂😂 kama wewe ni mwana felix mwenda simulizi hope unamjua huyo kalomo

  • @EntretenimentoEmAlta-u8y
    @EntretenimentoEmAlta-u8y 10 месяцев назад +17

    I'm watching From🇲🇿🇲🇿🇲🇿,Naipenda sana Movie hii🔥

  • @SuzyBalton
    @SuzyBalton 10 месяцев назад +2

    Chapombe na mazulia 😅😅😅 nampenda bulle

  • @Officialevaltisq
    @Officialevaltisq 10 месяцев назад +3

    Dahh! Ila kwa msomi nmeumia sana ila si wanaume sometimes tunaumizwaga sana aisee😢😢😢

  • @EstherMulindwa-fp3ml
    @EstherMulindwa-fp3ml 5 месяцев назад +1

    Kalemie kwetu❤❤❤❤

  • @MiriamSanga-gm1hb
    @MiriamSanga-gm1hb 10 месяцев назад +54

    Wakwanza. Nipewe maua yangu kama unamkubali kicheche usisahau kumlike ❤❤

    • @SIZONIZABONGO
      @SIZONIZABONGO 10 месяцев назад

      ruclips.net/video/VD3Tx8f-5Sg/видео.htmlsi=c2_zisWUKYm4Oadi

    • @EradiusMshoboz
      @EradiusMshoboz 10 месяцев назад

      Ongera

  • @FatmaNoor-11
    @FatmaNoor-11 10 месяцев назад +28

    Bora Mkenya alivyoondok mana ingekuw anafanyiw yy 😢 mmh mali hizi zna mamb 😅😅😅

    • @Zeinabmea
      @Zeinabmea 10 месяцев назад +3

      Ndo tujifunzeni kupitia hii movie

    • @kibibimlaula2526
      @kibibimlaula2526 10 месяцев назад +1

      Heri alipata fare akakimbia kenya😂😂😂

    • @Zeinabmea
      @Zeinabmea 10 месяцев назад +1

      @@kibibimlaula2526 🤣🤣🤣🤣

    • @mwanajumakomar3831
      @mwanajumakomar3831 10 месяцев назад +2

      Hii ni kwa Wenye tamaa jmn tutafute hela😂

    • @KelvinSilas-fv3ek
      @KelvinSilas-fv3ek 10 месяцев назад

      Kbsa

  • @azaliasigirukwishaka4540
    @azaliasigirukwishaka4540 10 месяцев назад +11

    haaaaaaaa kifration like moja ndugu yangu nimesikia ki french🇦🇮🚷😁😂😂🤣

  • @RichardMuteke
    @RichardMuteke 10 месяцев назад +5

    Umekuwa ngufu sana kicheche hadi kifarasa😂😂 karibu kwetu RDC congo🇨🇩🇨🇩

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 10 месяцев назад +6

    Wow 🇹🇿tunawapenda sana ❤❤❤❤🇹🇿

  • @godfreysway1732
    @godfreysway1732 10 месяцев назад +3

    mke mkubwa wa chifu yupo serius kinoma😮

  • @fatumajuma9388
    @fatumajuma9388 10 месяцев назад +4

    Jmn jmn msomi wetu😢😢😢 Kwel kupnda kubaya anyway acha tuone mbel itakuwaje😢Much love frm 🇰🇪🇰🇪🥰

  • @LilOmmyCrazyOfficial
    @LilOmmyCrazyOfficial 10 месяцев назад +125

    WA KWANZA MIMI LEO 😅😅😅 GUYS PLEASE HEBU NIPENI LIKE ZANGU ❤❤❤❤

    • @SIZONIZABONGO
      @SIZONIZABONGO 10 месяцев назад

      ruclips.net/video/VD3Tx8f-5Sg/видео.htmlsi=c2_zisWUKYm4Oadi

    • @JastiniThadeo
      @JastiniThadeo 8 месяцев назад

      ❤❤❤❤

  • @ElieNzanzu-g3c
    @ElieNzanzu-g3c 10 месяцев назад +1

    Kkkkk kicheche kaongeya kifarsa kkkk 😅😅. Tu sais bien parler français vraiment 😂😂😂

  • @wasomitv8487
    @wasomitv8487 10 месяцев назад +13

    Kicheche umeshagusa mtoto ya kalemi 😂😂😂😂 chezea wakongo sasa umeyabananga

  • @YoungblackPeople-qf7vx
    @YoungblackPeople-qf7vx 7 месяцев назад +1

    Kumbe komasava diamond kanasa hapaa😂😂😂

  • @Blackjiniofficiel
    @Blackjiniofficiel 10 месяцев назад +17

    Wa kwanza From 🇨🇩 nipeni likes zangu rafiki 🎉❤

  • @charlesnyamizi9707
    @charlesnyamizi9707 10 месяцев назад +2

    Wadada tamaaa zinatuponzaa 😢😂😂

  • @markmillan5015
    @markmillan5015 10 месяцев назад +16

    Mimi hapa batoto ba Congo wa kwanza hapa nipeni like basi❤

  • @dcwamilazo3072
    @dcwamilazo3072 10 месяцев назад +1

    Mzee wa mathematical love yamemkuta makubwa leo😂😂😂

  • @marycephas7302
    @marycephas7302 10 месяцев назад +17

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kicheche 😂😂😂😂😂😂 the language 🎉😂😂😂😂😂

    • @Mummyr_j
      @Mummyr_j 10 месяцев назад +4

      The language is languaging😂😂

  • @UkhtyFatmah-he8vg
    @UkhtyFatmah-he8vg 10 месяцев назад +1

    Yani Kicheche wew Noma sana eti,yani huchagui Kabila wala nin,Ila Nawapendeni sana Team Kicheche 🌹💐🌹💐🌹

  • @LovenessNgonela
    @LovenessNgonela 10 месяцев назад +9

    Msomi Leo ameongea vingeleza vyote vya mapenzi

  • @LeonSerjio
    @LeonSerjio 10 месяцев назад +1

    Braza eeeeh unamfanyaje uyo uko ndani

  • @Brother-moses2vs7bi1v
    @Brother-moses2vs7bi1v 10 месяцев назад +24

    Kidogo Leo NAMI nimerauka all the way from Kenya 🇰🇪 wapy likes zangu na mm 🙏🙏🙏🙏

    • @dennissisi2770
      @dennissisi2770 10 месяцев назад +2

      Stay Mimi ndio nafika,,,, 🇰🇪

  • @josephkambale-n5c
    @josephkambale-n5c 28 дней назад

    Wa kwanza APA Congo Goma🇨🇩🇨🇩🇨🇩naomba piya like zanguu

  • @MustafaSaid-l8c
    @MustafaSaid-l8c 10 месяцев назад +14

    Nilijua tu inatoka tu sai ndio mana nika nunua bando langu la buku, wapi likes zangu 😎😎😻

  • @silencekiller9651
    @silencekiller9651 10 месяцев назад +8

    Namm like zng, big up kicheche🤣🤣

  • @wardahcharles1951
    @wardahcharles1951 10 месяцев назад +10

    Kuna kitu NIMEJIFUNZA sana Leo kupitia episode hii YALEO hasa kwenye upande wa malangalila

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 10 месяцев назад +1

    Lakini maua na kicheche balaa 😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @AgostinhocosmeNambanga
    @AgostinhocosmeNambanga 10 месяцев назад +12

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ like zangu jamani from in Mozambique 🇲🇿

  • @TumuMohammed-k9d
    @TumuMohammed-k9d 10 месяцев назад +2

    Dah mzee wa mathematics

  • @gloirekasemengomumbere3211
    @gloirekasemengomumbere3211 10 месяцев назад +6

    Kicheche congolais 😂waouh nimefurai sana

  • @ZuhuraIbrahim-f7t
    @ZuhuraIbrahim-f7t 10 месяцев назад +2

    Kicheche punguza ukali wa maneno movie ni nzuri ila inakoelekea utaiharibu kwa kushindwa kwako kutumia tafsida inapotedha ladha na kufanya hadhira tuone kama mwandishi amekua ni mvivu wa kufikili ni hayo tu but all in all good job 🙏

  • @kaybarakadoenoce
    @kaybarakadoenoce 10 месяцев назад +8

    Basi wote wakanza nami pia hata tatu basi

  • @vincentnkobongo4787
    @vincentnkobongo4787 10 месяцев назад +1

    Kicheche me fait du bien vraiment 😂😂😂 mes sincères félicitations au membre du groupe kicheche

  • @Reenkingu
    @Reenkingu 10 месяцев назад +7

    Leo nimmejitaidi jmn like ata moja

  • @Lucy-t7n
    @Lucy-t7n 10 месяцев назад +1

    😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤❤❤hk kicheche wewe utaniua siku moja eti umefunga korodani na mupira

  • @Jaydanny..
    @Jaydanny.. 10 месяцев назад +33

    Mimi hapa kama mnavyonijua maneno kidogo likes nyingi basi nipeni hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤❤ 😢 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢❤❤❤❤

  • @AnithaIrankunda
    @AnithaIrankunda 10 месяцев назад

    Jamani kicheche we mwamba Sana ndo maana nazidi kukupenda kwa kazi zako KBX 🌹🌹🌹🌹🌹 Yani Wew perfect sana kweny movie zako inabidi sasa uachane na Comedy ukuje kwenye movie maaana ndo unatobowa sana

  • @GriphineJonesGriphine
    @GriphineJonesGriphine 10 месяцев назад +3

    Mm leo wa kwanza tokea Kenya wapi likes tokea Kenya kicheche family ❤❤❤❤❤❤❤

  • @omarikhussein
    @omarikhussein 10 месяцев назад

    Mh 😅😅😅rafiki yangu kafanyweje na vahiii😅😅😅ongerani sana team kicheche

  • @MarryPatrick-b4h
    @MarryPatrick-b4h 10 месяцев назад +3

    ❤❤❤ maua yako chukuwa umejuwa kutufurahisha bwana kicheche

  • @babynahya8038
    @babynahya8038 8 месяцев назад

    Ila jomon kusema kweli namkbl sn mzee kicheche haki ya Mungu anamaliza bando langu😂😂😂😂

  • @alisuleiman6198
    @alisuleiman6198 10 месяцев назад +4

    Hongereni xanaaaaaa

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 10 месяцев назад +2


    Hongera sana kwa
    Kaz nzuri

  • @yahya_juma
    @yahya_juma 10 месяцев назад +8

    Ramadhn kareem from Zanzibar 🎉🎉🎉

    • @FAHDIMALENGO
      @FAHDIMALENGO 10 месяцев назад

      Upo Zanzibar sehemu gn mwamba

  • @MariaAndrew-g1j
    @MariaAndrew-g1j 10 месяцев назад +2

    Ntaka shat lang😅😅😅

  • @JemahEvaristo-fj3dn
    @JemahEvaristo-fj3dn 10 месяцев назад +11

    WA pili 🎉🎉🎉🎉

  • @SwalehFauzan
    @SwalehFauzan 10 месяцев назад

    Nakukubali Sana unafanya vizuri Sana hujawahi kuniangusha mbwa wewe😅😅😅

  • @khamzalockymaster6008
    @khamzalockymaster6008 10 месяцев назад +4

    Tunakufatilia saaana kutoka Burundi naombeni like zenu wadau👏👏

  • @AsmaaHamis-wx3jh
    @AsmaaHamis-wx3jh 10 месяцев назад +2

    Daah kaka sijapenda jmn msomi wangu

  • @FionaMjata
    @FionaMjata 10 месяцев назад +3

    Tamaa mbaya bi mdogo yamekukuta

  • @fatoma-go2su
    @fatoma-go2su 10 месяцев назад +1

    Ni kweli tamaa mbaya kukimbilia matajili shida ndio hii🌹

  • @wizzydomtz
    @wizzydomtz 10 месяцев назад +11

    Bakuma shamba kuma shamba😂😂😂

  • @Byamung21
    @Byamung21 10 месяцев назад

    Unajuwa sana kichech utakuja lini Marekani tuna kusubiri sana Mimi Niko shabiki wako ninaishi Marekani nakupenda sana

  • @YussufCalwan-r2k
    @YussufCalwan-r2k 10 месяцев назад +7

    Wakwanza naomb like zang🎉

  • @CarmelIransumba-mr1vu
    @CarmelIransumba-mr1vu 10 месяцев назад +2

    Fire fire karibu tena Burundi ❤❤

  • @Nailaty564
    @Nailaty564 10 месяцев назад +3

    Korodani kufungwa na Mpira 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AdamSoldier1999
    @AdamSoldier1999 10 месяцев назад +2

    kaz kaz ndugu

  • @isayaleader4245
    @isayaleader4245 10 месяцев назад +7

    Kumbe na sisi wa congolais Tumo🇨🇩😂