Pole mama,receive condolences from Kenya,when we see you we see your son,may God grant you peace. You birthed a great son...I didn't know him personally but he was a peer in the critical and creative thinking crusade
Nyie mnaowasema clouds ...u neva knw meib hyo familia yao ndo imeomba kufanya interview ili watoe shukran zao ...na pili uckute mama kaona yupo stable kujielezea...msiba ndio unauma ila lazma maisha mengine yaendelee ...Mungu aibariki familia ya Ruge na awatie nguvu
God bless Tanzania! I admire your unity as a country especially during this sad moment!!! I wish other neighbouring countries would follow your example. God bless and R.I.P RUGE MUTAHABA. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😔😔😔
Mama na familia yote ..M.mungu awazidishie Subra Inshallah..M.mungu ni mwema...na kila mja atayaonja Mauti.Ampumzishe Shujaa Ruge anapostahili. Yaraby bihusil khattima...Amern
Mm binafsi nimeelewa dhamira yako Hassan Ngoma ya kumuhoji mama mapema kiasi hiki.Hongera bro kwa akili ya ziada Mungu akupe maisha marefu achana na wanaotoa maneno makali watu tunatofautiana ki mtazamo
Mungu akutie nguvu mama n ur family, wewe ni kichwa kwa jinsi unavyojibu maswali, hongera mwandishu kwa ustadi mkubwa, I know it wasn't easy. Tunawaombea Utulivu wa Mungu na amani mioyoni mwenu.
Pole mama kazi ya mungu iyo,mungu awape nguvu zaid,ila aya yamepita maisha lzm yaendelee,ila tu mm nataka kunukuu siku ile wanaaga dar mtoto wake alisema family yake imewasehe wote walio mkosea Ruge,pia Ruge alio wakosea wamsamehe ,ntafyai kuona maombelezo yakiisha nyimbo za wcb ninapigwa clouds FM na clouds TV,ndo watu watakiwa wamesamehana kweli. Mungu tangulia hili,
FIRST OF ALL, EXCELLENT CONTENT, MAMA POURED THE TEA VERY WELL. Yes, pua, sura macho... Huyu mama ana damu kali wanafanana kweli. Anyone noticed her aggressiveness, MSIMAMO... She issa strong woman! YOU CAN HEAR and sense HER NATURAL EMPATHY/huruma tho it shows it can come in a harsh way it really works. #finewine
IMAGINE WEWE NDIO HASSAN AF KUSAGA ANAKUPIGIA SIMU, WAHOJI FAMILIA! Maji ya mvua ya juzi hayajakauka... This dude was put in a hard position. Above all, zile questioning technique, mmeona hakuna even her mom alietoa chozi inbetween but the telling the story has been upfront. EXCELLENT EXCLUSIVE CONTENT
Unfortunately, sivyo ilivyo. Hata dunia nzima ikikuombea but kuna vitu Mungu hawezi kukusamehe ikiwa hukutubia mpaka umauti ukakufika. Me simuongelei Ruge but ni kwa mtu yoyote yule.
Pole sana mama mungu akupe nguvu na subra.wazazi siku zote wanaomba wazikwe na watoto wao.sio mzazi amzike mtoto.sasa hivi hatatukikupa pole ngapi haitoshi😪😪
nawaombea mwenyezi MUNGU azidi kuwatia nguvu Kwa gumu mlilonalo ktk kipindi hiki , bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amina, mwachi nakuombea kwa MUNGU uzidi kumuenzi baba ktk maisha yako watunze wadogo zako wapatie misingi Bora ya maisha alokuachia baba ili kizazi chenu kiwe bora na darasa Kwa kila mtanzania
Hassan Tanzanite Ngoma. Tunakushukuru umahili wako katika utangazaji tumeuona hongera sana. U have done a good job, God bless U. Umetupa kile tulichokuwa tunahitaji na kwa muda sahihi, umemtendea haki mpendwa wetu Ruge. Rest in peace Rugemalila.
amakweli chema hakidumu jamani kila lakhr Ruge tulikupenda lakini mungu alikupenda.zaidi .mungu akupumzishe kwaamani tutakukumbuka kwawema uliotendeaa jamii na dua kukuombea amiina
Sorry mother for the loss and the entire Tanzanians he was really a good example to Tanzanian and all pple may his soul rest in peace my condolences from Kenya 🙏
Weee presenter ubarikiwe sana. Umesaidia wafiwa kutua mzigo wa majonzi kwa kungea nao. Mama mwezetu, binti yetu Koku ahsanteni sana kumshukuru Mungu kwa ajili yetu wote tuliomlilia Ruge wetu jamani.
pole mm mungu akufanyie wepesi japo mwanzo nimgumu lkn utasau jap hayasahauliki .kikubwa nikuombea mungu amsameh makosa yk na ampumzshe kwaaman peloni amiina
Nikweli mama umewambia ukweli wanao ufanya hao watu wa media wabaya Sana, ila Mungu akutie nguvu najua uchungu ulio nao kumpoteza mzaliwa wako wakwanza, 😢
Ruge alifanana na mama yake. Pole sana Mama. Hakika kwa mzazi inaumiza ila hatuna budi kukubaliana na matakwa ys Mungu
Pole mama,receive condolences from Kenya,when we see you we see your son,may God grant you peace. You birthed a great son...I didn't know him personally but he was a peer in the critical and creative thinking crusade
Polen
Nyie mnaowasema clouds ...u neva knw meib hyo familia yao ndo imeomba kufanya interview ili watoe shukran zao ...na pili uckute mama kaona yupo stable kujielezea...msiba ndio unauma ila lazma maisha mengine yaendelee ...Mungu aibariki familia ya Ruge na awatie nguvu
Blessed Dee Brownie love ur comment dear😍😍😍
True, ngekua nikulazimiswa angekua analia, nikweli wanaonekana wao ndo wameomba interview
Baraka fredrick .....Thank You Dear
Priscilar Kahindi .....eeh wanaonekana tu maana clouds sio wajinga kukirusha
Tz inahitaji watu wenye akili positive kama yako
Familia hii ni ya kisomii had rahaaa 😍😍😍
MashaAllah familia ina watu jasiri hii sijaona.MwenyeziMungu azidi kuwatia nguvu na ailaze roho ya Ruge mahali pema peponi🙏🙏.
I m just glad kuona huyu mama anamuamini MUNGU zaidi...M glad kuona anaamini MUNGU ana makusudi ya yote.
God bless Tanzania! I admire your unity as a country especially during this sad moment!!! I wish other neighbouring countries would follow your example. God bless and R.I.P RUGE MUTAHABA. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾😔😔😔
Mama na familia yote ..M.mungu awazidishie Subra Inshallah..M.mungu ni mwema...na kila mja atayaonja Mauti.Ampumzishe Shujaa Ruge anapostahili. Yaraby bihusil khattima...Amern
Mola awazidishie subra( INSHAALLAH)
Pole Mama #Ruge Mwanao Alitaka kubaki Bukoba nakweli Sasa kabaki Bukoba Milele na Milele... Mungu Ampumzishe kwa Amani
Aminaa....
Hii family Imeshiba Elimu Mashaallah
Mashallwah hii Familia Kwa Elimu,Toka Baba na mama mpk wtt
@@sadahmzee2916 wani ni Atari wanajielewa Sanaaa Afu wanajitambuwa
Nimempenda sana mama . yaaani mungu ampe nguvu.waambie Hao wawewakweli kuugea KITU.pole sana mama.
Pole mummy. ...Mungu akupe nguvu na akuongezee miaka mingi duniani. ....REST WITH ANGELS :HERO RUGE MUTAHABA
I give her an extra 20! WAnt to bet!?
Mm binafsi nimeelewa dhamira yako Hassan Ngoma ya kumuhoji mama mapema kiasi hiki.Hongera bro kwa akili ya ziada Mungu akupe maisha marefu achana na wanaotoa maneno makali watu tunatofautiana ki mtazamo
Pole sana mama Mwenyezi Mungu akupe nguvu kwa wakati huu mgumu kuondokewa na mwanao ni kitu kigumu sana 😢😢😢😢😢😢
Mungu akutie nguvu mama n ur family, wewe ni kichwa kwa jinsi unavyojibu maswali, hongera mwandishu kwa ustadi mkubwa, I know it wasn't easy. Tunawaombea Utulivu wa Mungu na amani mioyoni mwenu.
Pole mama kazi ya mungu iyo,mungu awape nguvu zaid,ila aya yamepita maisha lzm yaendelee,ila tu mm nataka kunukuu siku ile wanaaga dar mtoto wake alisema family yake imewasehe wote walio mkosea Ruge,pia Ruge alio wakosea wamsamehe ,ntafyai kuona maombelezo yakiisha nyimbo za wcb ninapigwa clouds FM na clouds TV,ndo watu watakiwa wamesamehana kweli. Mungu tangulia hili,
Yes mama ruge watu wa media ni waongo km alisaidia ni wengi hayo mengine ni wivuu waooo
FIRST OF ALL, EXCELLENT CONTENT, MAMA POURED THE TEA VERY WELL.
Yes, pua, sura macho... Huyu mama ana damu kali wanafanana kweli.
Anyone noticed her aggressiveness, MSIMAMO... She issa strong woman! YOU CAN HEAR and sense HER NATURAL EMPATHY/huruma tho it shows it can come in a harsh way it really works. #finewine
Mama ni mama tuu barikiwa MamaRuge❤️
IMAGINE WEWE NDIO HASSAN AF KUSAGA ANAKUPIGIA SIMU, WAHOJI FAMILIA! Maji ya mvua ya juzi hayajakauka... This dude was put in a hard position. Above all, zile questioning technique, mmeona hakuna even her mom alietoa chozi inbetween but the telling the story has been upfront. EXCELLENT EXCLUSIVE CONTENT
A true definition of a wise woman
Pole sana mama nimekupenda ni mwelewa sana
Kama mtu anaiyona pepo kwa dua za watu basi ruge ameiyona pepo.... Mungu mpe pepo ruge
Kazi ya Mungu hy huwezi jua.
Unfortunately, sivyo ilivyo. Hata dunia nzima ikikuombea but kuna vitu Mungu hawezi kukusamehe ikiwa hukutubia mpaka umauti ukakufika. Me simuongelei Ruge but ni kwa mtu yoyote yule.
Kabisa
Kuiona pepo tu atasubili sana
@@wemadoktarmichael6448 wewe siyo mungu
Amen Mama mwenyezi mungu azidi awatie nguvu wafiwa.R.I.P RUGE.❤
Mama anajua Mungu ndio kila kitu...Kristo akutunze...acha mapenzi ya Mungu yatimie...Mungu akutie nguvu
Polen sana eanafamilia mungu awape nguvu ktk kipindi hiki kigum Rlp ruge pumnzika kwa aman
Pole sana mama mungu akupe nguvu na subra.wazazi siku zote wanaomba wazikwe na watoto wao.sio mzazi amzike mtoto.sasa hivi hatatukikupa pole ngapi haitoshi😪😪
Hakika tumaini letu i Kristo Yesu. Mama Maria mama wa msaada utuombee
Maria amekufa. Nyie wakatoliki acheni uhuni someni biblia
Utuombee.
@@cmsa1r nipe mstari kwenye biblia unasema alikufa hapo haitakiwi kumwomba
ongea na ww kwaimaniyako yy ni imanyake
Pole sana mamaangu mungu akutie nguvu.wote tu wasafiri hapa duniani.mpola kazilo mama ruge
nawaombea mwenyezi MUNGU azidi kuwatia nguvu Kwa gumu mlilonalo ktk kipindi hiki , bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana lihimidiwe amina, mwachi nakuombea kwa MUNGU uzidi kumuenzi baba ktk maisha yako watunze wadogo zako wapatie misingi Bora ya maisha alokuachia baba ili kizazi chenu kiwe bora na darasa Kwa kila mtanzania
clever head mama mwenye akili zake nyingi asante 🙏🏽mungu akutie nguvu
Uwezo wa huyu Mama ni Mkubwa sana sana, pamoja na yote aliyopitia bado anafanyika faraja kwa wafiwa wote. Jambo zuri sana hili......
Mama ana Mungu ndani yake,shule pia
Smart mama angekuwa mama wa mond angekuwa ashaende na dharau na hata hawezi same neno moja kwa kingereza
Hahaaaa😀😀
Mama.. very calm 🙏❤️
MAMA, pole,,,mie Ni mkenya but Bado yauma,jipe moyo Ruge alikua shujaa RIP,God is in control
Mama poleni sana. Ila familia nshomile hadi raha. Big up Mr and Mrs Mutahabas family
pole dada Roho mtk. yupo kwa ajili ya faraja Mungu akuinue.
Pole sana mama Mungu akupe nguvu machungu ya kuondokewa na mtt ni makubwa mno
Sisi wahaya uwaga tunasoma hadi tunamuomba mungu atuongoze kwa kila jambo hee mola wetu
Jasiriiiiii muongoza njia mungu mpokee kwa furaha ruge msamehe madhambi yake
pole mama yangu mwenyez mungu akupe nguvu naimani mama unaumia kumpoteza mwanao
Sweetmum...Mama wa taifa Mungu azidi kukutia nguvu mama angu
Pole sana mama yangu mungu akupe nguvu wewe ndo unaumiya zaidi kushinda ote
My prayers goes to your family and may God peace that surpasses human understanding be with you.
Mungu akutie nguvu mama sote njia moja
R I p ruge
Pole sana mamngu jamani.pole familia yote!hongereni familia kwa kumweka Mungu mbele,hilo ni LA maana kuliko yote pumzika kwa amani Ruge
Pole sana kazi ya Mungu haina makosa mama.
Mungu awape nguvu katka kipindi hiki kigumu sana kwenu,, Bwana alitoa na bwana ametwaa jina lake libarikiwe Amina
pole sana mama iyo njia yetu sisi tuombe mungu uzima sis tuliyobaki mungu akutie nguvu
pole sana Mama, mungu akupe nguvu. Harafu mama uko vizuri sana kwa lugha ,congratulations mama
You are welcome mama ruge Mungu akutie nguvu zaidi u enjoy wajukuu kweli amekuachieni copy zake warithi mazuri ya baba yao ishaallah
Poleni sana familia ya ruge jamani mamaake Ana hekima sana mungu awatie nguvu
Pole sana Dada mwenyezi Mungu akupe nguvu
Condolences to the family. God give you strength and comfort. Praying for you.
Poleni Sana mama mungu awadiye nguvu kweli maana yeye ndiye mwesa kila kitu kweli
Pole sanaa mama mungu akutie nguvu sanaa
Mama mungu Wa mbinguni akutie nguvu katika hili
Beatrice Kamenge kamenge Habari yako
Beatrice Kamenge kamenge 😀😁😂
@@rutashobyanovath1116 nzur kaka
pole momy mungu akutie nguvu momy wangu kikubwa ni kumuombea duwa
Polesana mama mungu akutie nguvu ktk kipindi hiki kigum
Masha Allah mwenyewe alikuwa afanana na mama yake pole sana mama Allah akupe subra InshaAllah
Hassan Tanzanite Ngoma. Tunakushukuru umahili wako katika utangazaji tumeuona hongera sana. U have done a good job, God bless U.
Umetupa kile tulichokuwa tunahitaji na kwa muda sahihi, umemtendea haki mpendwa wetu Ruge.
Rest in peace Rugemalila.
well love you so much mom💕💕💕💕❤❤❤❤💕💕💕
Poleni sana mama mwenyezi Mungu akutie nguvu
Pole sana mama ya ngu mungu awape nguvu kwa wakat huumgum R.l.P. ruge
Polemama mungu atakupa nguvu amina
Pole sana mama, mungu akutie nguvu na faraja ktk kpnd hichi kigumu.
Mungu ailaze pema peponi roho yake amen
Pole mom yaan mtoto akiumwa haijalishi ni mkubwa au mtoto pain ni ile ile najaribu kuvaa viatu vyako Yaan siwez pole mama rip shujaa
Mungu akubariki mama ,na umefanana na mwanao
Pole mama pamoja na familial ya Ruge mungu aweke faraja mioyoni mwenu na kuwatia nguvu
Mtangazaji yupo vizuri sana yani mama unamchanganyia maswali mpaka anajisahau machungu hongera sana
Pole sana mama jmn kwakuondokea n mtoto wako mpendwa
Pole sana mama, tumeumia kumpoteza sana mpendwa wetu.
Mama Ruge pole Sana ila mungu alikupa jembe kwa kuwa kalichukua Basi mshukuru kwa Hilo huna namna R. I. P Ruge najua Kama mama unavyoteseka
amakweli chema hakidumu jamani
kila lakhr Ruge tulikupenda lakini mungu alikupenda.zaidi .mungu akupumzishe kwaamani tutakukumbuka kwawema uliotendeaa jamii na dua kukuombea amiina
May the good Lord give you strength mama as Ruge rests in peace
Lakini mama amesoma jamani ako vizuri kichwani nimemuelewa, natamani mama ake na mondi angekua na kichwa chenye knowledge kama cha huyu mama.
Amiri Ramadhan mwalimu wa chuo kikuu huyo mama
Nimecheka wallah yule bibi bookless😂😂😂😂😂
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Mmmh jaman umenichekesha
Hahaha mama mondi ajasoma na mwanae siunaona wote mbululu
@@maisarahakizimana7074 Hahahahaha mimi wananichekesha tu kila kwenye tukio au mkusanyiko wawatu wanaenda wote kama mtu na shoga ake.
pole sana mama etu mungu akupe ujasili
Sorry mother for the loss and the entire Tanzanians he was really a good example to Tanzanian and all pple may his soul rest in peace my condolences from Kenya 🙏
Pole sana mama ❤ Mungu Awatie nguvu 🙏
Weee presenter ubarikiwe sana. Umesaidia wafiwa kutua mzigo wa majonzi kwa kungea nao. Mama mwezetu, binti yetu Koku ahsanteni sana kumshukuru Mungu kwa ajili yetu wote tuliomlilia Ruge wetu jamani.
Tunashukuru piah mama kwa kumleta ruge ❤🥀🌹
Pole Sana mama ruge, yani kwa mtu aliyeingia labour, anajua maumivu unayopitia mama angu
Pole mama kwa kipind kigumu ulichonacho
I real like lafudhi ya kihaya,na mama nimependa interview yako
Pole mom Mungu akutie nguvu,mtoto ni kila kitu jmn
na kanimba je hukuona watu walivyomlilia?
Pole mama mzazi wa ruge
Mungu akupe ralaja Mama na familiya yote
Poleni sana Mungu azidi kuwafariji.
Pole Sana mama Mwenyezi Mungu akupe nguvu mama
Pole sana mama..
Pole sana Mama Mutahaba. Mungu aendelee kuwapa faraja.
pole mm mungu akufanyie wepesi japo mwanzo nimgumu lkn utasau jap hayasahauliki .kikubwa nikuombea mungu amsameh makosa yk na ampumzshe kwaaman peloni amiina
mama yetu ni bilingual... i love you mom.
Familia in zaidi ya wazazi na ndugu wa kuzaliwa,hajagusa nafasi ya watoto was ruge na maisha yao ya baadaye.
Pole mama ruge, njia yetu sote
Ruge’s mother and his sister both speak proper Kiswahili, it is easier to Understand than the complicated Tanzanian Swahili spoken by many.
Sis, chille... Tumeelewa wote!!
Pole sana mom!
Nikweli mama umewambia ukweli wanao ufanya hao watu wa media wabaya Sana, ila Mungu akutie nguvu najua uchungu ulio nao kumpoteza mzaliwa wako wakwanza, 😢
Mungu awape faraja kwakipindi ichi
Kigumu
Pole sana mama angu mie jaman mungu akupe nguvu katka kipind hik kigumu pole mamy
Mtangazaji anatabasamu kwasabu mama asiliee jaman hana maana mbaya jaman
@@najmarushda4390 kwel kabsa my lv
Mungu akuweke mama n akupe nguvu
Nmekupenda bure mamaa endelea kumpenda mungu hayo yote yanapta
Pole sana mama Mungu akupe subra.rip Ruge
Pole sana mungu akupe nguvu
Pole sana mama pamoja na familia yote mungu awape faraja
Jamani...sikuelewa...nikapiga yowee...pole mama jamani polee