Mungu aendelee kumtunza brother yetu, Tunashukuru Mungu mpaka sasa alipofika ni Neema za Mungu.. na Mungu anamakusudi zaid kwa Ruge zaidi ya yote alowahi kufanya.. Maombi yetu makubwa Mungu amuinue tena ruge toka Kitandani. Amen
Get well soon our beloved brother and inspire of development, Mr Ruge Mutahaba, Mungu akuponye kwa rehema zake urejee katika majukumu yako, #Tuendelee kumwombea apone
Mungu alopasua bahari mussa akapata njia ya kuvuka upande wa pili alomfanya Ibrahim Moto kwake uwe salama alomficha Muhammad kwa uzi wa buibui na maadui hawakumuona basi aweke njia kwa mja wako we ni mungu usieshindwa na kitu rudisha afya ya mja wako ya Allah
wallah maisha na pumzi zetu ni siri iliyopo kwa alietuumba lait tungekuwa tunaijua kesho yetu mengi tungeweka kinga yasitukute ila ndo Allah ni muweza wa yote basi na tuseme Alhamdulillah kwa kila kitu. Innalillahi wainnailayhi rajuun 😭😭😭 R.I.P baba Ruge naumia km nakujua vile dah
@@mzalendomzalendo2567 si lazma na si mbaya pia ni namna tu ya kuelezea kuwa watanzania from all over the world tupo pamoja katika kila kinachotokea back home #nohardfeelings
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wewe ni kila kitu, huna unaloshindwa, hata hii afya ya Ruge utairejesha tena. Mungu usimame wewe kama wewe. Bado tunamhitaji kijana wetu sana,sana, sana.
Mungu haponyeshe na pia hawape upesi kweli ni ruge ni mtu muhimu sana kwa vijana ambao wametoka pls kila mmoja wetu atowe chochote hatapona maombi kwa wengi sana asikate tamaa
GOD still with you BROTHER. Hakika utapona maana kusudi la MUNGU Lazima litimie bado tuna thamini thamani yako na tunahitaji thamani yako . GET WELL SOON.
Eeeeeh Mungu sikia maombi ya viumbe wako mponye Ruge kwa uwezo,upendo,huruma yako. Wengi tunajifunza mengi kupitia huyu kiumbe wako. Nina Imani kubwa Ruge wetu atarudi kusimama. Get well soon Bro Ruge.
Lkn kwa Mimi ninavyojua watu huishi bila figo kwa dialysis tu na huwa vzr wakifuatilia matibabu ...sasa kama yeye ameambiwa haihitaji kidney transplant inamaana hali itakuwa sio mbaya sana,,,,Nahisi pia atakuwa na shida nyingine jamani eeMungu tunamuomba ampe wepesi!
karibuni kwenye chaneli kucheki Ubuyuwa insta, mapishi ,mapovu na habari zote Zinazotrend na urembo nk. bonyeza picha yangu itakuleta kwenye chaneli yangu .msisahau kusubscribe
Haya karibuni kwenye chaneli kucheki Schoraship mpya , maisha ya ughaibuni nk. bonyeza picha yangu itakuleta kwenye chaneli yangu .msisahau kusubscribe
mama fulanjo, Ujerumani mnatunyima nini huko? tupe madili ya kuzamia huko, dili za kupata muzungu na nakadhalika, hayo mascholarship yenyewe hatatukipata na elimu yetu ya kayumba tutashindwa kumudu mategemeo na matarajio ya wanaotuangalia huku nyumbani tupe michongo ya box
Basi kwanza kabla ya kuwapa pole niwalaum.Nashangaa Mgonjwa kima huyu anayeangaika na shughuli za kijamii na kiuchumi eti aliugua figo watu wanafichwa. Sawa.Ugonjwa ni siri ya mtu wenyewe mnasema. Figo zinamuangaisha mtu mnaficha?Niliwahi tu kuona hivi vyombo vikihojiwahojiwa vinaficha tu wakati kiongozi wa watu hapa anaumwa. Ebwana haipendezi. Lakini poleni kwa kuuguza pengine wakaribu saaaaana waliambiwa.Poleni
Get well soon,Ruge you are the champion. You will make it.
Mungu aendelee kumtunza brother yetu, Tunashukuru Mungu mpaka sasa alipofika ni Neema za Mungu.. na Mungu anamakusudi zaid kwa Ruge zaidi ya yote alowahi kufanya.. Maombi yetu makubwa Mungu amuinue tena ruge toka Kitandani. Amen
Get well soon our beloved brother and inspire of development, Mr Ruge Mutahaba, Mungu akuponye kwa rehema zake urejee katika majukumu yako, #Tuendelee kumwombea apone
Daah Ruge, Mungu akuponye brother, pole sana na changamoto hii ya kuugua kwa muda mrefu sasa. Our prayers are with you, have faith - GOD IS ABLE.
The way his young brother express what’s going on with Ruge you can feel it kuwa Ruge is still sick. Mungu akambariki kwa kumpa Nguvu tena
Stephen Bendera You are very right Steve , you can see Mbaki is trying to show he is recovering .
Let us pray for Ruge .
This touched me alot
Get well soon #Ruge Mutahaba
Fingers crossed for him.What a gift to our Country!Mungu ni mwema sana.
Mungu alopasua bahari mussa akapata njia ya kuvuka upande wa pili alomfanya Ibrahim Moto kwake uwe salama alomficha Muhammad kwa uzi wa buibui na maadui hawakumuona basi aweke njia kwa mja wako we ni mungu usieshindwa na kitu rudisha afya ya mja wako ya Allah
Ewe M/Mungu mponye mja wako huyu ambae amekuwa kiongozi wa mafanikio kwa vijana wa kitanzania tulio wengi. In shaa allah amiin. Pole sana bro Ruge.
Pole sana Ruge kwa changamoto unayo pitia ya kiafya mungu atakusaidia utapona
Mwenyezi Mungu akufanyie uponyaji,Ruge Mutahaba.
wallah maisha na pumzi zetu ni siri iliyopo kwa alietuumba lait tungekuwa tunaijua kesho yetu mengi tungeweka kinga yasitukute ila ndo Allah ni muweza wa yote basi na tuseme Alhamdulillah kwa kila kitu. Innalillahi wainnailayhi rajuun 😭😭😭 R.I.P baba Ruge naumia km nakujua vile dah
Pole sana Ruge... Kama akili tribe tunakukumbuka tangu wakati ule wa smooth vibe project... mungu akupe afya njema na akurudishe katika mapambano
Allah Kareem atakupa shifaa
Omukama akushoboze waitu, Wene niwe mutambi mukulu niwe alikushobora byona. Waitu ninkushabila ali Mukama Katonda.
Get well soon our beloved and encouraging brother Ruge Mtahaba.
I have always admired Ruge. May you rise again to good health in Jesus name
Duuuu! Pole sana kka ruge !! Mungu ni mwema naimani utapona kwa jila lake!!
Mungu amsaidie sana pia maon yangu ndg jaribun kwenda kiroho zaid kupitia watumish wa Mungu km wakina Tb Joshua kibinadam pekee haotosh wapendwa
From UAE
Get well soon bro Ruge, I believe god you'll be fine bro
Amen.
Kwani lazima useme from UAE
@@mzalendomzalendo2567
I'm so sorry if I've wrote badly
But very thank you for telling me
You are wellcome my brother, and i am sorry if i offended you
@@mzalendomzalendo2567 si lazma na si mbaya pia ni namna tu ya kuelezea kuwa watanzania from all over the world tupo pamoja katika kila kinachotokea back home #nohardfeelings
Duh haya basi na sisi wa uk tuko pamoja
Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo wewe ni kila kitu, huna unaloshindwa, hata hii afya ya Ruge utairejesha tena. Mungu usimame wewe kama wewe. Bado tunamhitaji kijana wetu sana,sana, sana.
Amen
Mungu amponye katika jina la Yesu
Huruma ya Mungu imponye🙏🙏🙏 mpe uzima ee bwana🙏
Mungu haponyeshe na pia hawape upesi kweli ni ruge ni mtu muhimu sana kwa vijana ambao wametoka pls kila mmoja wetu atowe chochote hatapona maombi kwa wengi sana asikate tamaa
maombi yetu yako kwako ruge Mungu atamponya amina
Mungu wetu hashindwi na jambo, kwa imani na maombi atapona..
Get well soon Mr.Ruge, Mungu ni mwema utapona.Watanzania tunazidi kukuombea
Get well soon brother Ruge
Mungu ni mwema atapona tuu kwa nguvu za allah
Poleni sana familia.Mungu atampomya Ruge soom
Pole sanaa RUGE mungu atakuponya kiongozi
Namwomba mungu amponye haraka kakaetu mpendwa bado tunampenda sana
Quick recovery.dear brother love from Kenya
Ruge atapona kwa uwezo wa mungu naamin mungu atatenda juu yake
Mtangazaji unaongea saana go straight kwenye point buuanaaa....all in all get well soon Ruge jamii inakuhitaji
GOD still with you BROTHER. Hakika utapona maana kusudi la MUNGU Lazima litimie bado tuna thamini thamani yako na tunahitaji thamani yako . GET WELL SOON.
Pole sasa kaka yetu utapota🙏🙏
Lord protect Him for US🙏
It is well bro God will heal you 🙏🙏🙏
Pole sana bro ruge
Get well soon Ruge. 🤲🏼🤲🏼 🙏🏽
Get well soon my Brother! We love you so much....
Jama anafanana na #LUGE utahc mapacha aise mungu amsaidie apaone aje aendelee na shughuli zake.
Tanzania inakuhitaji Ruge mutahaba,very smart person never seen
Get well soon ruge mtaaba bdo hunaitajika ruge mungu akusaidie
Allah atamuafu Insha Allah
Poleeee sana Boss Ruge
Niko Johannesburg yuko hospital gani tukamjulie hari ndugu yetu jamani
Huo ujumbe mtumie kwenye no aliyotaja atakujulisha.
Allah nimuweza tunakuombea kwake upate kupona Ila na wewe zidisha maombi zaidi
Mungu umpe wepes hili arud kwnye afya yake njem bado tunaitaji msaada wake
God is able utapona. Get well soon Ruge.
Mwenyezi Mungu amsaidie huyu ndugu yetu ameugua kwa muda mrefu sasa.
Get well soon boss's Ruge Mutahaba
Quick recovery 🙏🏾
Mungu amponye kwakweli kaka yetu Ruge
Mungu ampe nafuu our big bro Ruge
Mungu akuokoe Ruge
Eeeeeh Mungu sikia maombi ya viumbe wako mponye Ruge kwa uwezo,upendo,huruma yako. Wengi tunajifunza mengi kupitia huyu kiumbe wako. Nina Imani kubwa Ruge wetu atarudi kusimama. Get well soon Bro Ruge.
Kifo cha ruge alivyatuliwa toka ametoka dodoma, hivyo waliamua kumpoteza kijanja tu , ni wivu
Jesus you love me too much ooh FYI the music in the background! Ruge pona kama alivyopona Tundu Lisu!
Mungu atamsaidia.
Mungu amponye ndg yetu
Get well soon Our Brother RUGE.
Get Well Soon🙏
Mungu akutangulie katika matibabu yako
Hayupo nasi hapa studio ". Jifunze kiswahili vizuri kijana.
Wamefanana sana..#RipRuge
get well soon our belove Mr. Ruge
get well soon ruge!!!!!
Mungu atakuponya bos ruge
Ugua upone brother
Mungu atamponya Ruge
Mungu yuko upande wake.... hakika atapona...
Dah...ndio changamoto za maisha hizo.Cha msingi ni kumuombea apone haraka tu.
Get well ruge
Mungu amponye jamani
Lkn kwa Mimi ninavyojua watu huishi bila figo kwa dialysis tu na huwa vzr wakifuatilia matibabu ...sasa kama yeye ameambiwa haihitaji kidney transplant inamaana hali itakuwa sio mbaya sana,,,,Nahisi pia atakuwa na shida nyingine jamani eeMungu tunamuomba ampe wepesi!
Get well soon #Ruge
Mungu ni mkuu hakun asiloweza
Get well soon
get well soon mutahaba
msiba wa ruge mutahaba
utapona kwa uwezo wa mwenyezi mungu
Get well soon Ruge
Get well soon, #Rugemutahaba
Mbaki anaongea vizuri sana
Jamani, alishakuwa anafanyiwa rehab jamani!
OGOPA MUNGU na teknolojia hayo ni maneno yake ndg MUTAHABA pata nafuu HARAKA Brother
karibuni kwenye chaneli kucheki Ubuyuwa insta, mapishi ,mapovu na habari
zote Zinazotrend na urembo nk. bonyeza picha yangu itakuleta kwenye
chaneli yangu .msisahau kusubscribe
Get well soon brother
Mungu akauweke mkono wa uponyaji kwako kaka rugs🙏
Utapoa baba mungu yupamoja nawe
pumzika kwa amani baba yetu, njia hyo ni yetu sote.
Katka jina la Yesu ruge amka
Get well soon broh.
🙏🏻
Haya karibuni kwenye chaneli kucheki Schoraship mpya , maisha ya ughaibuni nk. bonyeza picha yangu itakuleta kwenye chaneli yangu .msisahau kusubscribe
mama fulanjo, Ujerumani mnatunyima nini huko? tupe madili ya kuzamia huko, dili za kupata muzungu na nakadhalika, hayo mascholarship yenyewe hatatukipata na elimu yetu ya kayumba tutashindwa kumudu mategemeo na matarajio ya wanaotuangalia huku nyumbani tupe michongo ya box
Utasimamia vipi Scholarship wakati hata kuandika huwezi
Mungu mkubwa atamsaidiatu
Basi kwanza kabla ya kuwapa pole niwalaum.Nashangaa Mgonjwa kima huyu anayeangaika na shughuli za kijamii na kiuchumi eti aliugua figo watu wanafichwa. Sawa.Ugonjwa ni siri ya mtu wenyewe mnasema. Figo zinamuangaisha mtu mnaficha?Niliwahi tu kuona hivi vyombo vikihojiwahojiwa vinaficha tu wakati kiongozi wa watu hapa anaumwa. Ebwana haipendezi. Lakini poleni kwa kuuguza pengine wakaribu saaaaana waliambiwa.Poleni
kama mapacha aisee
Mungu wa haki mponye huyu ndg iwe furaha mpya Kwa familia yake na watz Kwa ujumla. .Ameen
Ok wapo walilko muhimbili wanahitaji msaada
Rip bro ruge