Mungu uturehemu ss wenye mioyo ya ukaidi. Na kuirehemu nchi yako ya agano TZ ukaiponye na majanga uliyoyakusudia kuyaachilia. Mungu wangu turehemu tunatubu kwa moyo wa dhati. Amina U
Nmekumbuka Yona alivoihubiri ninawi nawote Hadi wanyama walitubu jamani,,Eeeee BABA YETU turehemu tunanyenyekea Mfalme zitazame Nia zetu BABA hakika hatuna msaada mwingine Bali wewe,hatukupambi kwa maneno yakujipendekeza Bali ndivyo ulivyo kwamba ukituacha baaasi tumeisha sisi, tusaidie BABA pamoja na mtumwa wako tengwa Amina.
MUNGU wetu YEHOVA anatupenda sana TZ. Tuendelee kuomba na kumlilia kwa bidii MUNGU atuponye na kututakasa.
Unabii unatimia. Tazama yaliyotokea Manyara. Mungu iponye Tanzania.
Mungu tukumbuke watoto wako tukuishie wewe na kukutumainia siku zote
Tusifanye mioyo migumu wa Tz,wenzangu tuwe na hofu ya Mungu
Mitume wakamwambia yesu tumewasikia wakikemea mapepo yesu akawajibu wasio kinyume chetu hao wako upande wetuu
Mungu huwapinga wenye kiburi na kuwapa neema wanyenyekevu. Asante nabii wa Bwana kwa ujumbe muhimu.
Amen
Ee Mungu tusaidie Tz,tusiwe na mioyo migumu,tusije tukapigwa na ghadhabu ya Mungu.
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu Bwana akutumie zaidi na zaidi
Nimeogopa sana naomba utuambie nyumba ya maombi ipo morogoro maeneo gani jaman
Enyi watumishi wa Mungu wa Tanzania acheni mipango ya Dini zenu jiungeni na nabii wa. Bwana
Yesu irehemu Tz,tuponywe na tusiwe na mioyo ya jiwe
Mungu uturehemu ss wenye mioyo ya ukaidi. Na kuirehemu nchi yako ya agano TZ ukaiponye na majanga uliyoyakusudia kuyaachilia. Mungu wangu turehemu tunatubu kwa moyo wa dhati. Amina
U
Amen 🙏🙏😢
Uturehemu Ee mwenyezi Mungu irehemu Tanzania na Dunia yote Amina
Nmekumbuka Yona alivoihubiri ninawi nawote Hadi wanyama walitubu jamani,,Eeeee BABA YETU turehemu tunanyenyekea Mfalme zitazame Nia zetu BABA hakika hatuna msaada mwingine Bali wewe,hatukupambi kwa maneno yakujipendekeza Bali ndivyo ulivyo kwamba ukituacha baaasi tumeisha sisi, tusaidie BABA pamoja na mtumwa wako tengwa Amina.
❤😊
Bwana YESU nisaidie Niwe na hofu ya Mungu
Amen ubarikiwe san mtumishi kwa mafundisho na mungu atuponye pia inchi yeti ya Kenya
Amen Mtumishi wa Mungu, Ee MUNGU irehemu Tanzania uiponye
Amina
Mungu naomba uturehemu
Mungu wa mbinguni tusaidie
Ameeeen
Ee mungu uturehemu 🙏
AMEN MTUMISHI WA BWANA WA MAJESHI.
Eeh BWANA uturehemu!
Baba naomba uturehemu BWANA
Ee Mungu Utuhurumie
Amina mtumishi
🙏🙏🙏.
Amen 🙏🙏🇰🇪
🙌🙌
Mung aturehem
Ee Mungu turehemu ponya nchi ya Tanzania wape viongozi wetu kukujua wewe uliye Mungu wa kweli
Hata mm nmeyaona lkn nkasema bwana inatosha ktk usingiz wang ht nkaa amka naksema bwana inatosha kwahayo nilyoyaona
Kitabu ni katiba yenye articles saba
MUNGU ATUSEIDIYE
E, MUNGU tuhurumie tupe roho ya Toba, Tanzania tupone.
Kama viongozi wakikemewa wanapopotoka na kutokutenda haki wanawakamata viongozi wa dini na kuwafunga itakuwaje mtumishi wa Mungu Tengwa?
Amina