Sheikh mie kama mwanaume nakubaliana na wewe 100/100 wanaume wengi sasa tumejisahau sana kupita maelezo Alafu tumekuwa wachoyo kunuka. We wamtaka binti ya watu unataka akupe uzuri wake na akupe zake na pia udhulumu haki zake. Vijana sasa wanaishi nyumbani hadi wanifikisha mia 35 na bado ni tegemezi kwa wazazi wao Subhanallah.
Mume wangu hanihudumii kwa chochote mimi wala watoto miaka sasa na nina mtoto anatatizo la moyo nimelazwa hospital hajawahi kutoa bili yoyote kuna ndoa kweli hapo?
Sheikh mie kama mwanaume nakubaliana na wewe 100/100 wanaume wengi sasa tumejisahau sana kupita maelezo Alafu tumekuwa wachoyo kunuka. We wamtaka binti ya watu unataka akupe uzuri wake na akupe zake na pia udhulumu haki zake.
Vijana sasa wanaishi nyumbani hadi wanifikisha mia 35 na bado ni tegemezi kwa wazazi wao Subhanallah.
Swadakta shekhe wetu Allah akulipe kila la kheir
Ewaaaa nilikua naisubiri saana hii
Jazaka Allah khayran
Safiiii sana nimeipenda hukumu hiyo
Mume wangu hanihudumii kwa chochote mimi wala watoto miaka sasa na nina mtoto anatatizo la moyo nimelazwa hospital hajawahi kutoa bili yoyote kuna ndoa kweli hapo?
❤❤❤
Je?shekhe,,kahumume,,,kanikutanawatotoyatima napia hawahudumii,,hukumuyakenn