Jiunganishe na Nguvu ya Mungu | Tenda Haki | Morning Philosophy | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 38

  • @upendobundala3913
    @upendobundala3913 6 месяцев назад +5

    Ee Mwenyezi Mungu naomba nisaidie niishi katika njia ya kweli inayokupendeza.Asante Sana mtumishi wa Mungu.

  • @NaomyMichael-c9v
    @NaomyMichael-c9v Месяц назад

    Linanibariki sana neno lako Asante mtumishi

  • @DenisErasto-qe9vg
    @DenisErasto-qe9vg 6 месяцев назад

    Mungu akubariki kwa mafunzo mazuri

  • @EdinaChepkemboi
    @EdinaChepkemboi 6 месяцев назад

    Eehh MUNGU niongoze katika njia zako

  • @oswardisrael2880
    @oswardisrael2880 6 месяцев назад

    Mungu akubariki sana Mchg,umetukomboa wengi kutoka ktk dhambi.

  • @housekeepingtarangiresopal9883
    @housekeepingtarangiresopal9883 6 месяцев назад

    Eeeh Mungu nisaidie niweze kutenda haki

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 6 месяцев назад

    Eee mungu wa mbinguni naomba nisaidie nitende haki niongezeke daima

  • @godlivingnnko8185
    @godlivingnnko8185 6 месяцев назад

    MUNGU tupe kuishi kwa kutenda haki. AMEN Amen amen🙏🙏🙏

  • @venancemassawe-c7h
    @venancemassawe-c7h 6 месяцев назад

    Asante kwa somo zuri tunataka haki nasi tutende haki

  • @JosephatCosmas-x4h
    @JosephatCosmas-x4h 6 месяцев назад

    Ahsante Baba Kwa ujumbe Mzuri.

  • @housekeepingtarangiresopal9883
    @housekeepingtarangiresopal9883 6 месяцев назад

    Eeeeh Mungu uzidi kunipa shauku na nguvu ya kukutafuta siku zote.

  • @AmoniMgeni
    @AmoniMgeni 6 месяцев назад

    Barikiwa Sana

  • @GodyMeela
    @GodyMeela 6 месяцев назад

    Asante sana Mtumishi wa Mungu nimebarikiwa mno Mungu aendelee kukutunza uwe na Afya njema siku zote ili taifa la Mungu lipone na kukuwa na kuongezeka

  • @forminaformina7694
    @forminaformina7694 6 месяцев назад

    Ee..MUNGU.nitendee.na.mimi

  • @doreentemba7833
    @doreentemba7833 6 месяцев назад

    😇✝️💟🙏🏿

  • @ErickSanga-we3ql
    @ErickSanga-we3ql 6 месяцев назад

    Mungu akubariki Mtumishi Mungu atusaidie tutende haki

  • @flavianameena6326
    @flavianameena6326 6 месяцев назад

    Mungu naomba unisaidie nisitengwe na uso wa Mungu ili niweze kuzidi na kuongezeka kwa kiwango cha juu.

  • @deogratiustimoth4070
    @deogratiustimoth4070 6 месяцев назад

    Ahsante Kwa kutupatia Maarifa ya kuanza kutufungua Akili njema na kuendelea kufanikiwa kimaisha na kiroho

  • @yasintakifyasi-kp9hh
    @yasintakifyasi-kp9hh 6 месяцев назад

    namshukur mungu kwa ajili yako maana mungu ana kutumia sana na binafs na fundishika sanaa

  • @dianaalex8645
    @dianaalex8645 6 месяцев назад +1

    Ahsante sana kwa hii Falsafa ya Asubuhi. Nazidi kujifunza

  • @matildah2080
    @matildah2080 6 месяцев назад +1

    Amen 🙏

  • @jacklinemacha2018
    @jacklinemacha2018 6 месяцев назад

    Amen

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 6 месяцев назад

    Yesu tusaidie😭
    Tukue tukiongezeka

  • @elizatete1452
    @elizatete1452 6 месяцев назад

    Ameeen 🙏

  • @happiness_713
    @happiness_713 6 месяцев назад

    Yeah, usichoke kutenda wema😊

  • @rhodanangoma7386
    @rhodanangoma7386 6 месяцев назад

    Ameen Mchg! Mungu atusaidie👏

  • @rwamaphajoaness8820
    @rwamaphajoaness8820 6 месяцев назад

    Asante kwa somo zuri

  • @cherotichlilian1473
    @cherotichlilian1473 6 месяцев назад +1

    Kutoka hii mafunzo nimejifunza kitu kimmoja muhimu mungu aweze kubariki neno lake

    • @dianaalex8645
      @dianaalex8645 6 месяцев назад

      Jizoeshe kuanza na herufi kubwa kwenye neno Mungu, Yesu na Bwana

  • @GOZBERTMTASINGWA
    @GOZBERTMTASINGWA 6 месяцев назад

    ❤Haki

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath 6 месяцев назад

    Amina Amina

  • @MeshackMunuo-yc5ji
    @MeshackMunuo-yc5ji 6 месяцев назад

    AMEN 🙌🙏🙏

  • @frolenceamos2193
    @frolenceamos2193 6 месяцев назад

    Amen

  • @beatricemwakalinga4140
    @beatricemwakalinga4140 6 месяцев назад

    Amen

  • @DenisErasto-qe9vg
    @DenisErasto-qe9vg 6 месяцев назад

    Amen

  • @ernestnoely848
    @ernestnoely848 6 месяцев назад

    Amen

  • @kumbukaobeth7103
    @kumbukaobeth7103 6 месяцев назад

    Amen

  • @ValenceLugeiyamu
    @ValenceLugeiyamu 2 месяца назад

    Amen