Naaam Ila ilewa mchungaji huyo hakua kama wachungaji hawa wakujiita kimajina tu kama wasasa hawa wala nguruwe na walave Bali mchungaji huyo alikua niyule wa ukweli ambae ni راعي
@@bakaribakari6444 bakari kweli hujasoma pole! Hiçho ni kısa cha abunuwas wala sio müslim na bukari kwani muslim na bukhari wamenukuu hadithi za mtume sahihi zote! Kısa hiçho hakipo ndio nikauliza kitabu kipi hiçho? Ukitaka nikufundishe njoo kwa darsa upate elimu
Ujue kuto kukijua kisa ickufany ukakion hakpo ...chengin mziwand ni aalim sasa sithan kama kwa utambuz wake hwez jua hki nikisa au huong kma unvo sema na pia othuman maalim aliwahi kusmlia kisa hiki
Amen nimeipenda mawaidha
Maashaallah shukraan sheikh wetu Allah akulipe kher
Shukrani shekh kwa mawaidha
MashaAllah
Shukran Jazakallahu kheir
😍😍
MashaAllah
Mashallah
jazzakaALLAH
Maasha allah
Mashaa Allah kisa nzurii
Allahu Akbar.
Allahu akbar
MASHAALLAH
Mashaallah!
Naaam sheikh nimekuelewa MaashaaAllah
Manshaallah Allah akulipe kila la kher
Mashallah allahu akbar ☝️
Lahawla wala quwwata illabillah
Subhanallah
MAASHALLAH
Manshallah Allah akbar
Ndugu katika uslubu wa kielimu na uislamu na itikadi yetu waislamu ilo neno mchungaji si sahihi lekebisha haraka umeingiza kitu kibaya ktk nyoyo zao
Masha Allah ❤
Mashaallah
Mashalla
Amin mashaaalah
Ni kweli na mm nilishakiona hichi kisa
Maaaashala darasa
Mashaallah tabarak allah
Mchungaji mara bismiilah acha kudanganya
Rogo aligusa vizur pia
Kwahiyo sisi AMBAO hatukumsikia rogo?
Mr alhadi be clear n
positive pls
Kisa kweli kina mafunzo
I'm from indonesian apa kabar ..
Assalamualaikum
Wa aleykumsalam
Walaikum salam
Waalaykum ssalaam warahmatullahi wabarakaatuh
Walykmmsalam.warahamatullahmwabarakatu
Wewe angslia makusudio
Sheikh nakuliza hivi kweli kumbuombea duwa mtu afe hukuma yk nn wakat alikuwa kukudhuru ,inajuz hii maana nauona mtume hakufanya mambo hayo
SAMAHANI lakini umejuaje Kama huyo mtu amekudhuru!?
Amekutamkia mwenyewe, umepewa taarifa na mganga au umemhisi tuu!?
Jibu ilo swali la chini ili rukujibu
Samahan mimi sio sheikh ila naomba nikujibu kua haifai kumuombea mtu kufa vyovyote itakavyokua
Hilo neno mchungaji umelipata wap wakati hadidhi ilieleza jina kwanini usiite jina mtume alilo litumia?
Shekh soma usikurupuke acha mbengoka, kwan dhambi kusema hilo jina?
Andaa kikao chako usimulie watu halafu uwatajie Hilo jina
Wachawi wote wakifa bila Toba ni Fiil Nari Jahanama
Sheikh wa mchongo njaa zitawaua
Astaghfirulllah,Ile elimu Ako nayo ya dini muheshimu Kwa Hilo tu
Hapa mbona sielewi inamaana mchungaji ndio aliekua sahihi.
Kwasababu tunaiamini injili nikatika vitabu vile vinne Acha injili ya sasa ilio jaa mikono ya watu
Naaam
Ila ilewa mchungaji huyo hakua kama wachungaji hawa wakujiita kimajina tu kama wasasa hawa wala nguruwe na walave
Bali mchungaji huyo alikua niyule wa ukweli ambae ni راعي
Mmhh hichi kiswa hata mm naona ni cha kutungwa ngano za kale za mfalme na abunuwasi kwanza hata hakieleweki
We akiliyako iko mbali san
Icho kisa mashuhuli san we unasem kisa cha kutungwa...
Ndio maana mnasisitizwa kusoma dini Kisa hiki ni maarufu.
Jamani tusomeni hii ni hatari sana sasa. Hadithi hii hata kwenye riadhu ipo ila inathibisha kua hatusomi.
Upo vizuri mahalimu
Mmhh shekhe hadithi hii mfalme yupi huyo?
Kisa icho kipo kwenye riyadhul swalihin
Soma kabla ya kuanza kubisha
Kisa sahihi kbs kipo ktk sahih Muslim
Anabisha alaf Ni mjinga
@@bakaribakari6444 bakari kweli hujasoma pole! Hiçho ni kısa cha abunuwas wala sio müslim na bukari kwani muslim na bukhari wamenukuu hadithi za mtume sahihi zote! Kısa hiçho hakipo ndio nikauliza kitabu kipi hiçho? Ukitaka nikufundishe njoo kwa darsa upate elimu
Tuambie mfalme yupi huyo
Ni kweli hata mm nilishakiona hicho kisa
Hivo ni visa vya banuu israa ili na kwao kulikua n wafalme weng sasa sio kila mmoja utamjua jin
@@jumaramadhan7545 tatizo wanachanganya visa vya abunuwas na hadithi za bukharii hili ni tatizo na kuna mijuha haina elimu wanadakia na kukubali
Ujue kuto kukijua kisa ickufany ukakion hakpo ...chengin mziwand ni aalim sasa sithan kama kwa utambuz wake hwez jua hki nikisa au huong kma unvo sema na pia othuman maalim aliwahi kusmlia kisa hiki
Mmmhh! Ukiambiwa jambo fatilia ukweli uhakikishe sio flani kasema au flani amehadithia
Ma sha Allah
Mashaallah
Mashaalaah
Mchungaji mara bismiilah acha kudanganya
Mashaallah