HOUSE GIRL EP 31 | S4 | LOVE STORY 💞💕

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #bongomovie #mymother #housegirl

Комментарии • 388

  • @SamwelChristopher-p9e
    @SamwelChristopher-p9e 7 дней назад +44

    Mama Tasha jamn pokea maua yako❤❤❤❤

  • @WistoniSiliveri
    @WistoniSiliveri 6 дней назад +21

    Dah walda nilikwa nimekumiss sana walda maua yako pokea🎉🎉pia walio kuwaa wamemumiss walda gonga like🎉

  • @SaidahNanzayi-m8g
    @SaidahNanzayi-m8g 7 дней назад +50

    Baba bob male ulikua waenda kutupwa😂😂😂nafuatilia nkiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪 Kenyans kiss my coment plz

    • @rizikisam6481
      @rizikisam6481 7 дней назад

      😂😂😂😂😂 yaani yeye ndo amenichekesha alafu alivocheka mm ningemtupa ningekimbia

    • @MustyNgongo
      @MustyNgongo 7 дней назад

      Yan we acha2

    • @carolsuzycarol7741
      @carolsuzycarol7741 6 дней назад

      😂😂😂😂😂😂😂

    • @shamyalley2091
      @shamyalley2091 4 дня назад

      😂😂😂baba bob marley 🙌 nimecheka kwa sauti

  • @RaelYeko
    @RaelYeko 7 дней назад +56

    Waliofurahi kumwona masozi na chisa gonga like tafadhali 🤣🎉🎉

  • @CafelinLawrence
    @CafelinLawrence 7 дней назад +73

    Tunaompenda mungu like hap❤❤❤🎉🎉

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 7 дней назад +114

    Kama unaamini mpango wa chiko utafel gonga likes tukisonga

    • @Nijimbere-b2b
      @Nijimbere-b2b 4 дня назад

      Chiko sikupendi unaharibu sinema bana wacha shobo zako

  • @EstaKajula
    @EstaKajula 7 дней назад +26

    Masoziii wow jmn mekumith... Wanaoungana na mm wapi likes 😅😅😅😅

  • @HalimaMchuma
    @HalimaMchuma 6 дней назад +5

    Mama tasha nimekupenda bulee chukua maua yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @RoseNjoka_23
    @RoseNjoka_23 7 дней назад +15

    Ila dada ake zatiti ni mzuri mashallah ❤

  • @MaryMichael-w1l
    @MaryMichael-w1l 7 дней назад +21

    Ifike mahal zatiti na candy wajifungue tumuone huyo bob male🤣🤣🤣

    • @TabuBaya-mr4lx
      @TabuBaya-mr4lx 6 дней назад +1

      @@MaryMichael-w1l m hata zatiti sina haraka Naye ila huyo Bob male ndonamsubiri sana

    • @MaryMichael-w1l
      @MaryMichael-w1l 6 дней назад

      @@TabuBaya-mr4lx 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @gracemakuja9876
      @gracemakuja9876 4 дня назад

      Kabisa

    • @shamyalley2091
      @shamyalley2091 4 дня назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @anithamkoma5930
    @anithamkoma5930 7 дней назад +17

    laaah mama tasha anajua kukeraa, ila chiko anaharibu movie wangemtoa kabisa

  • @mwanamisichuma5280
    @mwanamisichuma5280 7 дней назад +15

    Mama Tasha Leo umenifurahisha

  • @GraceWairimu-i7y
    @GraceWairimu-i7y 7 дней назад +13

    Wow nilikua nimemisi masozi sana maua yake dada masozi🌹🥀

  • @ZainabuKakozi
    @ZainabuKakozi 7 дней назад +12

    Mama tasha umejua kunikosha kwa icho kichambo cha chiko😂😂😂

  • @MasauShida
    @MasauShida 2 дня назад +1

    Kazi nzuri sana team Busati tv🇹🇿

  • @TabuBaya-mr4lx
    @TabuBaya-mr4lx 7 дней назад +26

    Kamaunamkubali mama Tasha mwaga mauwa tukienda. Choko achaupumbavi basi siutulie uunde uongo wako uko

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r 7 дней назад +8

    Mama Tasha uko vizuri sana mana Chiko anajishauwa sasa hapo kafata Nini kama mke wake mzuri co abaki nae kwao kama tahira vile

  • @RoseMylove-m2m
    @RoseMylove-m2m 7 дней назад +6

    Mungu amuazibu chiko mpango yake isifanyikiwe ata mara moja🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 jamani tafazali chiko asifanyikiwe

  • @JULIETHGORWA
    @JULIETHGORWA 7 дней назад +7

    Mama tasha nakupenda sana Mungu akulinde daima

  • @FatumaMgonda-d9k
    @FatumaMgonda-d9k 7 дней назад +17

    Jamani tunaomba zatiti awe na ulizi wa kutosha maana kama mtoto atachukuliwa bas wengi hatutaangalia tena move maana Amelia sana hebu apewe furaha jamani 😭😭😭😭

    • @GeorgettekajoKajo-p5t
      @GeorgettekajoKajo-p5t 7 дней назад +1

      Nikwel

    • @RahimaAa-g2v
      @RahimaAa-g2v 7 дней назад +1

      Kbc wana busat mfatilie coment ze2 na kipoch manyoya mumtoe bhn anaboa

    • @MalkaNinik
      @MalkaNinik 7 дней назад +1

      Tena mimi nitahama kabsa maana sitaki kumuona zatt alie maana alilia sana

  • @MornicaMwita
    @MornicaMwita 7 дней назад +3

    wao🎉mama tasha mwambie chiko ajièlewe mpe mpasho mama angu 😂😂😂😂❤

  • @saidamwavuo9926
    @saidamwavuo9926 7 дней назад +16

    Yaan huyu Belinda mkosefu wa haya anajikuta nani sipendi wanaweka kama hawa unalazimisha penzi hayawani tuuuu😂😂😂😂😂😂😂

    • @mwanakombopopo5117
      @mwanakombopopo5117 7 дней назад

      Benina hana mako kai ndie yuwampa nafasi kujisongeza kwani amfate nyumbani kwake

    • @twalibfaqih9385
      @twalibfaqih9385 7 дней назад

      Msisahau kama haya ni maigizo msiwatukane watu

  • @MwanamisiMuna
    @MwanamisiMuna 7 дней назад +8

    Hongera mama Tasha si kwa michambo hio chikooo kula chuma hicho 😂😂😂😂sku zte ww Kwan we nani mmm kaa kwa mtuo, Belinda kisichan kivuruge😂

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v 7 дней назад +5

    Nimewahi kutoka Kenya 🇰🇪 team strong 💪 mko aje vip baridi inawapelekaje😂mkumbuke Ramadhani Iko karibu mungu atupe subra Kwa hiki kipindi

  • @ImamXheikh
    @ImamXheikh 7 дней назад +7

    Zuu atapoteza heshima yake kwa bibiye na hatawahi kumwamini tena,, kama unakubaliana na mm gonga like tafadhali

  • @riziki8406
    @riziki8406 7 дней назад +4

    Mungu tulindie zatiti wake ma toto ajifungue salama salimin na asikutate na masahibu yoyote shetani chiko aliyo ya panga inshallah na tasha wetu aone mapema kabla zatiti kujifungua shetani chiko afell🤲🤲🤲kwa idhini yake allah

  • @MaryKamage
    @MaryKamage 7 дней назад +4

    Huyo kaka jamani hv hana akili mtu hana uwezo wa kumwaga kakazana namimba feki

  • @EsterErastoMwiru
    @EsterErastoMwiru 7 дней назад +4

    Mm nimempenda Bure mama Tasha kamuweza chiko

  • @JaneJane-h2i
    @JaneJane-h2i 7 дней назад +2

    😂😂😂😂😂😂kumbe baba bobumale mzima😂😂😂😂 mme wake kendy mtatajiwa

  • @Marthaosimba
    @Marthaosimba 7 дней назад +1

    Daa masozi karibu kwenye mjengo,,tulikuwa tumekumiss kweli❤❤❤❤

  • @AdelaideWanyonyi
    @AdelaideWanyonyi 7 дней назад +2

    Mama tasha mungu akupe miaka mingi aki ningekuwa na mama kama wewe sijui ningekuwa aje 🎉🎉

  • @ZuhuraShekoloa
    @ZuhuraShekoloa 7 дней назад +19

    Nlchogundua umu ndan ni kwamba watu hawaangalii move mpaka mwisho wanakmbilia kuomba like haya walogundua wengne kama mm nipen like😂😂

  • @leahfanuel254
    @leahfanuel254 7 дней назад +3

    MAMA TASHA 😂😂😂❤❤❤

  • @ASHANDEGWA
    @ASHANDEGWA 7 дней назад +25

    Jamani Busati Tv hii season ya Housegirl iwe ya mwisho ikiisha hii ni bac tafuteni ubunifu mwengine ,leteni kazi mpya🙌🙌🙌

    • @AnsaB-j2m
      @AnsaB-j2m 7 дней назад

      Aki eeee juuu Kai na Belina na chiko wana nimbuu Asa chiko sana

    • @MwajumaMkomi
      @MwajumaMkomi 7 дней назад

      Yan imepoteza ladha kabisaaaa

    • @GladysMoraa-fj5nm
      @GladysMoraa-fj5nm 7 дней назад

      Kama umechokana nayo siuache kuangalia

    • @ASHANDEGWA
      @ASHANDEGWA 7 дней назад

      @GladysMoraa-fj5nm sim na bando sio y kwako kwahio kaa kwa kutulia mwanamke ,tuliza kishundu🤨

    • @FereshfestogmailFereshfestogma
      @FereshfestogmailFereshfestogma 5 дней назад

      Sasa nyie mnataka chiko aigizeje na kama yeye ndo bosi

  • @BinwaTiba
    @BinwaTiba 7 дней назад +2

    Nafurahi sana kuhona tasha nawapenda sana🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @MaziamJororo
    @MaziamJororo 7 дней назад +4

    Yaan hapa kila mtu wa kwanza 😂😂😂😂haya na nn wa 120🎉🎉🎉naomben like zang 😢😢

  • @rizikisam6481
    @rizikisam6481 7 дней назад +3

    😂😂😂😂😂 ila pweza 😂😂😂 mm ningekimbia ningesikia anaongea

  • @EsterLuoga-m9i
    @EsterLuoga-m9i 7 дней назад +2

    Mama tashaa nakupenda Bure chiko toka

  • @moonGirl-t1i
    @moonGirl-t1i 7 дней назад +2

    Woooooh maua ya🎉🎉🎉🎉🎉🎉masosi kukuona lkn Ile mimba yenye ilimfanya rahama kujinyonga mtoto aliendanga wapi 🤸

  • @mathacharles
    @mathacharles 7 дней назад +2

    Namkubali sana mama tasha🎉

  • @Hadija23-b1y
    @Hadija23-b1y 7 дней назад +2

    Mama tasha umenifurahisha ukivyo mjibu chiko 💕💕💕🎉🎉

  • @JoyceMbaixi
    @JoyceMbaixi 7 дней назад +3

    Mungu baba, mungu mwana nibariki na mama mkwe kama uyo wa zatiti ❤,nimechoka kuwa singo😂nimechoka kupatana na mama mkwe kama candy 😂😂, Hakika nikipata ma mkwe kama mama Tasha naamini nitakua kwa ndoa na sio ndoano😂😂,God I promise nipee nitapokea na mikona yangu miwili,nitaitunza adi utake kuniongezea ingine 😂😂😂. Amen 🙏

  • @Najmahnyangasi
    @Najmahnyangasi 7 дней назад +4

    Warda anepotea maana yuko kwenye penzi jipya kwa mume wa boss huko na yuko na mimba ya Daniel mdimu ☓ Raymond 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chiko naimani mpango wako utafelly tu siku zote mwenye na ubaya hua yuafelly tu 😂😂

  • @NipherRubia
    @NipherRubia 6 дней назад +1

    But chiko kinakuuma sana unapo ambiwa ukweli na mama tasha, lkn unajikaza tu😂😂😂😂😂

  • @DanfordMvela
    @DanfordMvela 7 дней назад +2

    Chiko simpendi kabisaaaa .mnakotupeleka mnataka kutuumiza

  • @Mwanajumahassan-tg3zg
    @Mwanajumahassan-tg3zg 7 дней назад +2

    Sikupenda hii ep huyu chiko mjinga sanaa apendasifa

  • @EstherStephano-o6e
    @EstherStephano-o6e 7 дней назад +2

    🤣🤣🤣🤣wapi mchambo wa mama tasha kwa chiko weweeeee

  • @RebyMarky
    @RebyMarky 7 дней назад +2

    Having mnajisahaulisha masoz qlikua namimba imeenda wapi😂😂

  • @elizabethmahenzo7220
    @elizabethmahenzo7220 7 дней назад +3

    Nice movie 🎥🎥

  • @BraveJohn-fh4fv
    @BraveJohn-fh4fv 7 дней назад +7

    Jaman tunaomba house girl iishe

  • @NiyokwizigiraOnesime-b4e
    @NiyokwizigiraOnesime-b4e 7 дней назад +4

    Mutoto wa tasha akiibiwa mutakuwa munazinguwa kbs

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 6 дней назад +1

    😂😂oyaa Kai.. tunajua mkeo ni Zuu. sio heshima Kila mara kumuita jina lake "mke wangu Zuu"

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p 5 дней назад

    Woooow masozi nimependa sana kurudi kwako nimekumiss wapi mtoto wetu maua yako hayo🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @BeingFlip-q2j
    @BeingFlip-q2j 7 дней назад +1

    Am happy now my man is back mr chiko😂,,so our next taget is mr ganyai😅, am from kenya🇰🇪 much love busati mnafanya kazi safii🎉🎉❤

  • @AindremeShena
    @AindremeShena 7 дней назад +1

    Baba bob mungu anakuona 😂😂😂😂❤🎉🎉🎉

  • @HidayaHamisi-w5k
    @HidayaHamisi-w5k 7 дней назад +1

    Wapili Leo nimewahi bado mapema I like mukuje hapo basi nawapenda sana

  • @Officialmoyo-l1d
    @Officialmoyo-l1d 6 дней назад +1

    Zuu machozi ndio Yako mwaya next episode utalia tena kumliko Sahil😂😂😂😂

  • @ankohb
    @ankohb 7 дней назад +1

    Sania Leo nimekuona unguja kwaiy hujarud dar tu

  • @raharun5238
    @raharun5238 7 дней назад +2

    Asante mungu mume wa zatiti kuona tena

  • @PhildausKamaka
    @PhildausKamaka 7 дней назад +3

    Mama Tasha amenikosha❤

  • @FarhhFarhh
    @FarhhFarhh 7 дней назад +2

    MaUaKwamamafaaha❤❤❤❤❤❤

  • @gracemakuja9876
    @gracemakuja9876 4 дня назад

    Mama tasha nakupenda bure .umempa chiko maneno ya ukweli mtupu.❤❤❤❤❤

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 7 дней назад +4

    🎉masosi tuliwamiss na chesa

    • @SophieMogiti
      @SophieMogiti 7 дней назад

      Na mtoto ako wapi atupee jina

  • @mwanakombopopo5117
    @mwanakombopopo5117 7 дней назад +2

    Afadhali leo kidogo mumejitahidi🎉🎉yenu

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 7 дней назад +4

    Uyu babake bob Marley kwani akona roho ya paka hafi😂😂😂Yani ameenda kuzimu akakutana na somu wa mwanamwe akarudi hii ni maajabu😂😂

  • @MarryJonson-z2p
    @MarryJonson-z2p 7 дней назад +2

    Sahv mnanifulahisha mnatowa chap nawapenda sana

  • @HusseinAmour-o6v
    @HusseinAmour-o6v 7 дней назад +1

    Busati tv burudani bila kikomo ❤❤❤ chiko azid kukinukisha kwa Mr Tasha na mkewe 🎉🎉🎉

  • @SdFft-j5g
    @SdFft-j5g 7 дней назад +1

    Mama Tasha🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊🎊Chiko kaa mbali na zatiti bnaa

  • @JuddyOtieno-p8x
    @JuddyOtieno-p8x 7 дней назад +2

    Busati ❤❤ mwendelee na penzi ya ya nyoka pia

  • @ReyClassic-p2i
    @ReyClassic-p2i 3 дня назад

    Hhahaahah mama tasha umejua kunipa raha leo 😂 🤣😂😂

  • @KhadijaYahya-f6b
    @KhadijaYahya-f6b 7 дней назад +4

    Mama tasha umenikosha sana

  • @MaryNyamboye-u1n
    @MaryNyamboye-u1n 7 дней назад

    Mama Tashia 🎉🎉🎉🎉👏👏👏👏
    Jiko - - - Jiko - - - Jiko mipango yako itafeli i tell you 🤣🤣🤣🤣😂😂😂

  • @bintimohammed28
    @bintimohammed28 7 дней назад +2

    ifike mahali iishe tu hii move duh yaan huku mnako elekea ni kama mnatufundisha kusalit ndoa na kudanganya na mume au mke kuamin kumbe sivo ndivyo duh

  • @IsabelFelipeNhakunhaku
    @IsabelFelipeNhakunhaku 7 дней назад +3

    Chico na ww bhana

  • @ShyakaclaudeNtarambirwa
    @ShyakaclaudeNtarambirwa 7 дней назад +17

    Wakwanza from rwanda so like zangu plz then nawapenda sana

  • @ESHAMWAKIVUMBA
    @ESHAMWAKIVUMBA 6 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 Hongera mama Tasha Kwa kumchamba chiko yaani umemchamba kiukweli kweli.😂😂😂😂😂😂

  • @ZainabuMohammed-f1y
    @ZainabuMohammed-f1y 7 дней назад

    Waawoo mamataxha umeongea mama nimekupenda bule mama❤❤❤❤❤❤❤

  • @BonfaceMuendo-ur9fu
    @BonfaceMuendo-ur9fu 7 дней назад +2

    Ndani mapema❤

  • @hadiakheirhadiakheiry
    @hadiakheirhadiakheiry 5 дней назад

    Upo vizuri mama tasha respect

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 7 дней назад +1

    Malizeni limovie lenu maana chiko kai na belinda wanaenda kutukera

  • @HadijaSelemani-f8i
    @HadijaSelemani-f8i 7 дней назад

    Sema pweza mgumu kufa 😅😅 kend alikupg gongo aukuf nakibendu tofal

  • @Khadijafatuma-v2b
    @Khadijafatuma-v2b 7 дней назад +1

    Kumbe mijanadume mwengine hainaakili hahaha ety kaenda kumringishia zatiti me naona anajisumbuwa tu mwanamke akikuchukia hee utaomba ardhi ipasuke uingie mana izo kusudi zake huwezi wewe mwaume 😂😅😅😅

  • @CelinaBeda
    @CelinaBeda 6 дней назад

    Huu uongo sasa yaan mtu ammwagie mumewangu tindikali atoke aje tena kwangu sio kweli

  • @sayunimnguruta98
    @sayunimnguruta98 6 дней назад

    Bob ungetupwa sijui ingekuwaje 😂😂😂😂 Tasha upone sasa tumikumiss huku mwenzio kai kawa msaliti😂❤

  • @ShakuurRayyan
    @ShakuurRayyan 7 дней назад +4

    Sas masozi mimba yak imeend wap jmni 🤔ao ashajifungua mim ndo Sina habar nieleweshen ndug zngu mim hii house girl sas hiv siielew inanichangny wllh🙆

    • @ceciliawilly8573
      @ceciliawilly8573 7 дней назад

      Mwisho niliacha kama amepatwa na uchungu ya kujifungua............

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 7 дней назад +1

    Masozi nilikumis mnoooooooo😅😅😅

  • @RehemaWandaty
    @RehemaWandaty 6 дней назад

    Nani mwengine anafurahishwa na sauti ya masozi🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @TabiaMwaisumo-ss7pz
    @TabiaMwaisumo-ss7pz 3 дня назад

    Chiko kachanganyikiwa kwa kweri 😂😂ila mama tasha kiboko ya wachawi😂😂

  • @emilywekesa-ut1wk
    @emilywekesa-ut1wk 7 дней назад

    Mama Tasha anaroho nzuri sn❤❤❤

  • @FaudhiaNgoya-k3i
    @FaudhiaNgoya-k3i День назад

    Mama Tasha ahsanteee❤❤❤❤

  • @geraldmwangira.4978
    @geraldmwangira.4978 День назад

    Chisa na umbea wke😂😂😂!! Alafu Chiko mtu akitoka jela hubadilika au anazidi kua mbaya😢!

  • @GaraxcyKepten
    @GaraxcyKepten День назад

    Sema chiko Anajua
    Japo Anatuumiza timu Tasha😂

  • @ميريم-ط1س
    @ميريم-ط1س 7 дней назад

    Chiko habari 😂mama Tasha sijaziandaa😂mimi Sasa subiri ziandaliwe Kisha utakujia 😂😂byee

  • @HassaniNassoro-l6i
    @HassaniNassoro-l6i 7 дней назад

    Hongera sana Mama Tasha, ww kweli ni msanii.❤❤

  • @AXELLAassia
    @AXELLAassia 7 дней назад +1

    Mom tasha😂 chiko habali :mm tashaa sijaziandaaaa😂😂😂

  • @estherwangari6273
    @estherwangari6273 7 дней назад +1

    sasa chiko amekuja Sana inafaa mama Tasha umwabie Mr nganyari hii mambo ya chiko,,alafu chiko Sisi tumejua huyo binti sio mimba ya ukweri

  • @BraveJohn-fh4fv
    @BraveJohn-fh4fv 7 дней назад +3

    Mbona kwangu inaonesha ukungu ni mimi tu au wote

  • @ZahidahAli-ys1fg
    @ZahidahAli-ys1fg 7 дней назад

    Da masozi nilikumos sana jaman ❤❤❤❤❤

  • @JescaMarykarisa
    @JescaMarykarisa 7 дней назад

    Safi sana mama tasha kwa ujasiri ulio ubeba ww na familia yako

  • @FelistusAdhiambo-o3p
    @FelistusAdhiambo-o3p 5 дней назад

    Kumbe kibendu ni kujifanya tu kumbe we mwoga😂😂😂😂😂